Tukiwa hatuna maadili ya sheria ya uzalendo wa radhilimali ya nchi. Raisi nchi kutekwa na kutawaliwa kwa nchi. Kosa kubwa sana viongozi wanafanya katika nchi. Sheria ibadilishe n iwe kali kulinda n kuona rasili mali ya nchi inamfaidisha mwananchi SiO watu kidogo wanaoogiza nchi au ifaidike nchi ya njee.
Mwandishi unahoji vizuri ,na majibu ya huyo mwanasheria hayajitoshelezi ndio maana wakienda kwenye vyombo vya sheria wanashindwa
@nakalikyumile32342 ай бұрын
Huwezi kuelewa maana wewe sio mwelewa"pole zombi
@mayrfrimi47592 ай бұрын
We mwandishi jaribu kuwa muelewa, Alfonz yuko sahihi Tanzania nzima tuna masikitiko sema hatujui tusemee wapi, Mungu atatutetea. Bandari yetu haitauzwa kwa waarabu , maendeleo hakuna, mabarabara yetu mabovu, maji hatuna Arusha tunatembea na ndoo kila siku, kwa waarabu maendeleo yao ni mazuri mpaka vijijini, inauma sana
@chrysanthushakaunga65602 ай бұрын
Tanzania kuishi kunahitaji uwe kama kipofu Ili uendelee kuishi
@luciasteven33142 ай бұрын
Tatzo sio kua kipot achana n kitu kinaitwa WITO yani nimsukumo wa nguvu unaotoka ndani y moyo unaweza jifanya kipofu ila ule msukumo wa ndani ukakufanya uone😂😂😂😂
@TM-zs3rmАй бұрын
Hili jambo limemzidi akili na utaalam huyu mwandishi ingawa anamaswali mengi. Ni mambo ya kiutaalam n. Elimu na uelewa wa mtu wa kawaida.
@PascalChimatu-h6i4 күн бұрын
Siasa yabongo imekua chafu viongozi wanajimilkisha nchi imekua yakwao bila aibu wanatutesa sisi wananchi magufuli alisema usitese wananchi utkiwamaliza utaongoza wakinanani
@mayrfrimi47592 ай бұрын
Mwandishi jitahidi kusikiliza kwa makini, elewa hapa hatupingi matokeo, bali makubaliano ya mkataba unaopaswa kuendana na sheria na taratibu na sio mkataba wa kibabe, kwaajili ya wakubwa walioko pension na sio kwa faida ya nchi na raiya wake. Inauma sana.
@IginasMwanyikaАй бұрын
Mkumbushe Msomi Mwanasheria Lusako kuwa ni Waziri wa Uchukuzi anaitwa *Mbarawa* na siyo Mbawala kama anavyorudia rudia
@RoseKimishabhalemiАй бұрын
Ni sahihi mpaka sasa taz hakuna usalama.
@christinangondi4212Ай бұрын
Lusako unasema vyema, huyo mwandishi ni wa upande wa wapiga 'Muziki' so hawezi kukusikiliza
@RoseKimishabhalemiАй бұрын
Nyie wanasheria kwanini msiombe kurekebisha sehemu ya raisi kuajibishwa anapovunja katiba kwakuwa tu wananchi wanapovunja wanawajibishwa
@IginasMwanyikaАй бұрын
Huyu mwandishi wa habari ni *chawa wa kutupwa*.
@tulibonywamwaisoba30232 ай бұрын
Huyo mwandishi aache kuuliza kichawa chawa asinterupt maelezo ya mwanasheria
@christinangondi4212Ай бұрын
Huyu mwandishi labda katoka Daful sio M- TZ
@IbrahimKasambala-ts8re2 ай бұрын
mwandishi sikuelewi uchawa unakusumbua tu Huna hoja labda sio mtanzania
@MagangaAbdallahАй бұрын
Kuna shida gani Bandarini
@leothardngonya4842Ай бұрын
Wazungu sasa hawanashida, Wakitaka midume ya kuipumulie wanakuja Tz wanatoa fedha kwa mjinga kama huyu na kumwambia tengeneza uzushi fulani na baadae hotelini anapumuliwa. Ndio maana Putin aliwahi kusema "Tatizo la Mwafrika , Mwambie Muue Wafrika mwenzako nikupe pesa ni dakika tu hayupo" Anaushahidi gani huyo mpumbavu?
@RoseKimishabhalemiАй бұрын
Alisema mkataba wa hovyo siyo hukumu ya ovyo
@JosephLymo-j8x2 ай бұрын
Anachoongea nisaahii kabisa Hilo bunge sio lawananji
@mayrfrimi47592 ай бұрын
Wadau, kansa ya kutokutii sheria kwa Tanzania imebadilika kuwa kidonda ndugu, tujitahidi kutii sheria haswa viongozi wa serekali ndio kwanza kuvunja sheria na kufanya mambo kibabe., badilikeni viongozi, tukianza na Samia, Tulia, na wengineo. Chonde chonde.
@pantaleolaurentlaurentkavu20115 күн бұрын
Kila serikali inayowekwa madarakani.adhima yake Huwa ni kuwatumikia wananchi kuwaletea maendeleo.kupinga TU ni dhana ya kudhofisha mipango ya kuleta maendeleo..tuiache serikali ifanye kazi yake.bila kuikatisha tamaa
@christinangondi4212Ай бұрын
Mwandishi sijui kama anauelewa Mkataba wa DP World, badala ya kusikiliza FACT za Mwanasheria yy anatetea akili zake za kwamba TZ tuko shwaaari kabisa wala hakuna MATATIZO yeyote
@nakalikyumile32342 ай бұрын
Zimeuzwa za tanganyika nawewe za zanzibar zimeachwa kama ziliiivyo
@leodgardotmar71982 ай бұрын
My simple assessment is that the interviewer is just so ill informed, 😢
@eazyentertainment55702 ай бұрын
uko sahihi ni wahovyo kabisa hata hajui kitu
@ChristmasMaheri2 ай бұрын
Anayehoji anapotosha hoja ya bandari.Hoja ya bandari ni kuwa sisi ndiyo wamilki wa bandari zote.