Lung'wecha ng'wana ituli .. ngikaa ... Nikiwa hapa Dar ... Nimekumbuka mbali sana .. kipindi hicho unaenda kuangalia finally kiingilio n Kuni ... Tafadhali hii comment naomba umuoneshe aisome mwenyewe .. Asante kaz nzr sana
@MwinyikondoNassor24 күн бұрын
❤lung:wecha shinu eyene pamoja San Osaka lyanendho
@MitandaMaduhu4 ай бұрын
Hata useme mwalimu wa kuelimisha jamii kweli
@robertmazuri46925 ай бұрын
Manju huyu kwa nyimbo hamna anayefuata hata mmoja
@NkaligaNilla2 ай бұрын
Kaka unaweza mungu akutangulie
@BuruguJinyage Жыл бұрын
Safi sana lungwecha nyimbo zako mimi bulugu jinyage kutoka lufiji mohoro pwani
@MussaSamweli-g1b6 ай бұрын
Safi sana mungu akulinde sana moto gobake ilale
@januaryjulius98214 ай бұрын
Hili jamaa hatari sana kwenye utunzi wa nyimbo
@MazikuMaganga-x3u2 ай бұрын
Tupo pamoja Sana kaka idumishe jadi
@pasamthreecomedy3 ай бұрын
mashine hii lung'wecha ng'wanituli
@sanaanimaisha4072 Жыл бұрын
Mtaalam Mwanaituli lung'wecha. Jamaa anajua hadi anajua tena na tena.
@teacherkaligodottonjige Жыл бұрын
Huyu Ni manju ameanza kazi miaka ya 1980s (1987, 88, 99
@Medardntambi Жыл бұрын
Mwanang Bado tunahitaji nyimbo zako mpya
@MajaliwaDaud-px1nx Жыл бұрын
Katemi kagongwa moja pamoja jamani nakububuka ezi hizo
@simonmaige77855 ай бұрын
Nyimbo nzuri lkn sauti mmeharibu kuichuja imekuwa kama inaimba Artificial Intelligence
@musasamwel5544 Жыл бұрын
Rafik yangu mkatale unaupiga mwingi sana kaza buti tyu
@thentuzumusic Жыл бұрын
THE NTUZU MUSIC KAFIKA HAPA LWEGE STUDIO
@djmusakasekesetz8126 Жыл бұрын
TAYARI DJ MUSA KASEKESE MPANDA KAFIKA KUCHOTA NYIMBO MPYA I 2023
@kamtafuteTena01 Жыл бұрын
Kaka kama kaka, hongera sanaaaa🌶️❣️💯💥💥💥🔥🔥
@marcopaulo6627 Жыл бұрын
Napenda Sana nyimbo zako,safsana unatuelimisha
@mageletz Жыл бұрын
Zamani sana mhe piah kazi nzuri sana .
@robertmazuri46925 ай бұрын
Naomba namba za fiati jmn mwenye nazo
@emmanuellambo1824 Жыл бұрын
Hakika wewe unafundisha jamii yote jinsi ya kuheshimu kazi yeyote Ile na kuwekeza kipato unachokpta
@julius.mayunga2310 Жыл бұрын
Fiati unatisha lingobheko nitakuja siku moja unisafishe mwili sawa fiati