LYDIA JOHN GRAND FINALE ROUND ONE/ RUSH BY AYRA STARR

  Рет қаралды 41,170

BongoStarSearch

BongoStarSearch

Күн бұрын

Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 14 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz

Пікірлер
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 Жыл бұрын
Live performer....... Mimi ni shabiki wako Lydia.
@Clex-f5s
@Clex-f5s Ай бұрын
😊mpo kitambo
@hummymgaza6915
@hummymgaza6915 Ай бұрын
Watu wanalaumu Bss while alifika top 6, wananchi ndo wamemuangusha mana kura zao walishindwa kumchagua ili apate ushindi. Me nahisi huu ni wakati wake tu cz wakati ukifika hamna wa kuzuia. Mimi binafsi nilikua nampenda kwa bss since day one ya audition
@timothmwakakusyu4563
@timothmwakakusyu4563 Ай бұрын
Wabongo wahuni sana 😂😂😂😂😂😂😂😂 Sasa wanalaumu majaji
@hummymgaza6915
@hummymgaza6915 Ай бұрын
@ yaani 😅😅
@mullerrbn4852
@mullerrbn4852 Жыл бұрын
Me napenda huyu dada anavyoimba sautiii nyingi sana anautawala mziki sijui kwa nn hajashinda anaimba tofauti sana
@wakc
@wakc Ай бұрын
Now, you can relate that God's time gonna be the best
@basilnyenza1181
@basilnyenza1181 21 күн бұрын
I LOVE YOU MY DADA NAKUOMBEA UWE STAR MKUBWA UWAZIBE MDOMO WANAOKUKATAA❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@elizabethkikwesha1567
@elizabethkikwesha1567 Жыл бұрын
Dada anajua Sana
@FredySasun
@FredySasun Ай бұрын
Mungu anajua kuumba vipajii dada anajua🔥🔥🔥🎼🎤
@ezekielpaul7393
@ezekielpaul7393 Жыл бұрын
Ww ni noma Sanaa love you❤❤
@malakikamwela8745
@malakikamwela8745 Ай бұрын
IVi kuna mtu amekuja apa BAADA YA trend za TikTok Na upo 2025? Any one please!
@AdorableVituVikali
@AdorableVituVikali 29 күн бұрын
We’re here
@janethsadock4559
@janethsadock4559 26 күн бұрын
Karibia wote tumekuja
@iptisamismaill-f6h
@iptisamismaill-f6h Жыл бұрын
Mungu akusaidie lydia.... u are the best
@carolinetanui2382
@carolinetanui2382 Жыл бұрын
Kipenzi changu♥️.... Mombasa
@paulantony5401
@paulantony5401 22 күн бұрын
The only thing is that I'm also from Tanzania based in Kenya but you killed it girl keep it up you will go far my dear 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AbnomalSubmarine
@AbnomalSubmarine Ай бұрын
Nani yuko hapa 2025.......❤❤
@sonmgeta1967
@sonmgeta1967 Ай бұрын
Niko hapa napitia pitia mavitu yake nilkuwa simjui
@JABIRKATUNZI
@JABIRKATUNZI Ай бұрын
Mimi hapa kumwangalia Lydia wanamsifua sana
@Keyjop
@Keyjop Ай бұрын
Huyu dogo ni noumaaa
@johnfilbert5915
@johnfilbert5915 Ай бұрын
Mimi narudiarudiaga hii performance ya huyu Dada tokea kwenye live performance,,nashangaa alitolewaje
@eliaschristopher4200
@eliaschristopher4200 Ай бұрын
Niko apa ❤
@emmanueljohn7
@emmanueljohn7 Ай бұрын
Nimemuelewa Master J Huyu Dada alikuwa anajua kuimba na Sauti nzuri ila alinyimwa Upako wa Kuchagua nyimbo zenye melody nzuri
@abdulazizimashaka3275
@abdulazizimashaka3275 Ай бұрын
huyu dada ni noma na anajua and always salam akimkubali mtu ujue huyo mtu ni noma
@fadhiljoseph2481
@fadhiljoseph2481 Жыл бұрын
❤ first
@evancepolin1403
@evancepolin1403 Ай бұрын
Wewe ni Estelle wa Bongo, the strength in you is superb
@bonifasipaulo
@bonifasipaulo Ай бұрын
Unaweza sana unyama mwingii
@charlesgatimu9845
@charlesgatimu9845 Жыл бұрын
From 254 L.J
@MusaMAKAME-l1p
@MusaMAKAME-l1p Ай бұрын
Tulivyosikia anaenda kufanya collable na mbosso tukajazana huku Kam mama Suma. Tujuane guys😂
@saiddotto8584
@saiddotto8584 Ай бұрын
Mlie kuja kumchulia kutoka uko TikTok likes apa
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
Mm bado namsubiri mwanasheria wangu afike ndio niulize shilole kwanini alikuwa Judge ktk kutafuta vipaji ambavyo vinaweza kuwa njia moja wapo ya maisha ya watu .
@brightnessmakoba
@brightnessmakoba Ай бұрын
We unajua kuimba au kisebengo baya😏
@janethsadock4559
@janethsadock4559 26 күн бұрын
😅😅😅😅😅
@GraceMaftaha
@GraceMaftaha Ай бұрын
Unajua xna rake zako
@hadijasalim7769
@hadijasalim7769 Ай бұрын
Iyinyimbo ngumu Sana unaweza Sana
@talentshow2024
@talentshow2024 Ай бұрын
Who watch 2025 like here😂❤❤❤
@ValentinoErnest
@ValentinoErnest 27 күн бұрын
amaizing sana yaani
@RahmhRr-d9v
@RahmhRr-d9v Ай бұрын
Tanzania Munajua tena sana
@SHARONODONGO-nv4dr
@SHARONODONGO-nv4dr Ай бұрын
Keep it up baby girl ❤
@kyebemboka1683
@kyebemboka1683 Ай бұрын
Unajua kupitiliza, wewe ni mnoma.
@Mkoi_255
@Mkoi_255 Жыл бұрын
❤Third
@godywalex1336
@godywalex1336 Жыл бұрын
❤Second
@bwizaparadise4193
@bwizaparadise4193 Жыл бұрын
Uyu akuchaguwa nyimbo nzuri kaima vibaya sana 😂😂😂😂
@karimchindema9823
@karimchindema9823 Жыл бұрын
Hujui kitu nyamaza
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 Ай бұрын
kaimba version ya pili ya wimbo ambayo Ayra kaimba kwenye jukwa kubwa USA, Tulia wewe.
@talentshow2024
@talentshow2024 Ай бұрын
Haya wewe unajua tuimbie
@RahimMussa-z7e
@RahimMussa-z7e Ай бұрын
🤔🤣Hoja ingekuwa kachagua nyimbo nzuri kaimba vibaya unge eleweka ila kwakua kachagua nyimba mbaya na kaimba vbaya basi ni nzuri sana
@princeemma3868
@princeemma3868 Ай бұрын
Sasa kama ww kuandika tu kuimba umeshindwa unawezaje kumkosoa mwenzako kaimba vibaya
@eleonorashirima1604
@eleonorashirima1604 Ай бұрын
Wf angu lid god blesss
@williammosha8684
@williammosha8684 Ай бұрын
Sasa anasema hakusoma hii luga mi nimesoma af siviwez ikoje hii
@nassorhamadi5738
@nassorhamadi5738 Ай бұрын
Star
@adamomondi6359
@adamomondi6359 23 күн бұрын
master j mbinafsi😮
@Juls-pl4uw
@Juls-pl4uw Ай бұрын
Selection ya nyimbo ndo ilizingua
@alexshiru2481
@alexshiru2481 Ай бұрын
Huyu Mdada nomaaa 2025
@Apolina2000
@Apolina2000 Жыл бұрын
❤❤love ❤the
@FootballSkillsTanzania
@FootballSkillsTanzania Жыл бұрын
you have great voice you remind me of #zhaviaward From #TheFour
@CHRISPINCHRISANT-t8x
@CHRISPINCHRISANT-t8x Ай бұрын
KWANI MASTER J ALIKUWA NA ISSUE GANI NA HUYU BINTI JAMANI,MBONA BINTI YUKO HOT ILA KILA SEHEMU MASTER J ANAONEKANA HAMUELEWI.DAHHH
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Master j sio yeye ,shetani alikua ndani yake ukimsikiliza huyu binti kapitia changamoto kubwa sana inewezekana master j alikua kabeba nguvu za giza,napia sio mtu wa ibada
@Carolinecarol278
@Carolinecarol278 Ай бұрын
@@kwisa4899😂😂😂😂😂 ila wewe
@robertnkondokaya2996
@robertnkondokaya2996 Ай бұрын
SIIFUATILII BSS KWA SABABU MMEIFICHIA HUKO KWENYE KINGAMIZI CHA STAR TIMES BUT HUYU NINGEMUONA NINGEMPIGIA KURA ILI ASHINDE WA KWANZA
@jacksonpeter9219
@jacksonpeter9219 Ай бұрын
Muda wake ushafika wa kuonwa kwa hiyo ata wangeeka kwenye king'amuzi chako wale wa kwenye king'amuzi kile wangelalamika pia kama wewe ingawa nao wangemuona tuuuu.Ni muda wake Now
@Odela-g8q
@Odela-g8q Ай бұрын
Nampenda lyidia
@NGABO-f3q
@NGABO-f3q 29 күн бұрын
Niko na nitazidi kuja na Kila nikija hapa nitazidi kuwaambia Lydia Mkali xana
@AnnaKijazi
@AnnaKijazi Ай бұрын
Dada wewe utafika mbali nimekuja kukuangalia tena nlivyoona unatrend
@LoveAron
@LoveAron Ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Ameeen
@Mr.Banton
@Mr.Banton Жыл бұрын
🔥🔥🔥🙆
@fatmebakar1315
@fatmebakar1315 13 күн бұрын
sauti yake km rihama
@JamesLaizer-c3m
@JamesLaizer-c3m Ай бұрын
😢❤ Lydia you deserve
@YousufAlkatri
@YousufAlkatri Жыл бұрын
❤❤❤
@SaraRobert-io8xv
@SaraRobert-io8xv Ай бұрын
Sas alichagua nyimbo hii akitengemea nini
@abdulazizimashaka3275
@abdulazizimashaka3275 Ай бұрын
Hapa hatuangilii ni jins gani kaimba nyimba tunacho angalia ni matamshi na saut inatokea wap
@JeanMatenga
@JeanMatenga Ай бұрын
Sifa kwa Mungu baba endelea
@MaryMabula-e6n
@MaryMabula-e6n 3 ай бұрын
😢nampenda sana uyu dada sauti yake ni nzuri sana
@mdachiog5211
@mdachiog5211 Жыл бұрын
@ChugaGirl-vy9wg
@ChugaGirl-vy9wg 11 ай бұрын
Xjaamin❤❤❤❤❤❤❤daaaaa
@RamaMponji
@RamaMponji Ай бұрын
Unajuaa mbaka unajuaaa tenaaaaaaaa
@rizikiabely7416
@rizikiabely7416 Ай бұрын
Dogo unajua sana
@LivinusThomas-s3o
@LivinusThomas-s3o Ай бұрын
💪
@alphablondponera2367
@alphablondponera2367 Ай бұрын
Upo fainala then unachagua wimbo umepooza hiv
@lusekelo97
@lusekelo97 Ай бұрын
🎉🎉🎉
@keadaplatnumz1063
@keadaplatnumz1063 Ай бұрын
She just need to work on autotune
@KOLOMSAFI1
@KOLOMSAFI1 Жыл бұрын
🥰🥰
@elsymasika46
@elsymasika46 Жыл бұрын
Hakuna kitu
@iptisamismaill-f6h
@iptisamismaill-f6h Жыл бұрын
Tulia we chako kibovu kikowap
@lagzdaddy7689
@lagzdaddy7689 6 ай бұрын
Where did she go @lydiajohn ???
@DamariceAchia
@DamariceAchia 14 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@DamariceAchia
@DamariceAchia 14 күн бұрын
Love you
BSS 2024 SE15 EP09 STUDIO 2 | FULL SHOW
1:30:21
BongoStarSearch
Рет қаралды 52 М.
RAZACK ADAM GRAND FINALE ROUND ONE/ DUNIA TUNAPITA
8:06
BongoStarSearch
Рет қаралды 16 М.
Minecraft: Who made MINGLE the best? 🤔 #Shorts
00:34
Twi Shorts
Рет қаралды 46 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:36
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 51 МЛН
"MASTER JAY HAKUNIKATAA BSS | NILIPATA AJALI NIKAKATWA MGUU" LYDIA
21:19
ASAGWILE-HELLO MBINGUNI
11:05
Asagwile Official
Рет қаралды 53 М.
SALUH AKIIMBA SEYA BSS | MAJAJI WAKOSA LA KUSEMA |
5:27
SALUH Tz
Рет қаралды 164 М.
KING DAVID GRAND FINALE ROUND ONE/ ENJOY
7:50
BongoStarSearch
Рет қаралды 7 М.
RAZACK ADAM WHEN A WOMAN LOVES\ PERFORMANCE YA USHINDI
10:08
BongoStarSearch
Рет қаралды 48 М.
Minecraft: Who made MINGLE the best? 🤔 #Shorts
00:34
Twi Shorts
Рет қаралды 46 МЛН