MAADUI ZAKO WATATESEKA SANA.

  Рет қаралды 134,756

Tabibu Lois

Tabibu Lois

Күн бұрын

Пікірлер: 252
@chichiereyh
@chichiereyh 8 ай бұрын
Dada Mungu akubariki nilifanya ulivosema adui yangu amekatwa mguuu😒🙏🏾
@tabibulois
@tabibulois 8 ай бұрын
Duuh universe Ina nguvu sana inamaana alikusudia kukuua asili imemlipa
@Muzikikabong
@Muzikikabong 8 ай бұрын
Bjr mimi napatikana congo.sasa mimi namesha fanya hizo remady yafanta kwajili yakulipa madeni.ilatu hakuna kinacho badilika madeni, nipalepaletu wala inakuwa ngumu zahidi.jesasa 'najiuliza, hiimambo unayo sema katika chaneli hii nikwali? Ama imekuwa niku ongeyatu? Jibu dada Tabiblouis.napenda sana chaneli yako.hatakama sija fanikiwandani.
@EmmanuelAlly-zr7uf
@EmmanuelAlly-zr7uf 7 ай бұрын
Dada mi naitaji niwe na pesa❤
@saluShop-jm5ku
@saluShop-jm5ku 4 ай бұрын
Sipat Sikh anty nifanyaje
@ImmaculataLaurian
@ImmaculataLaurian 27 күн бұрын
Hahahahah
@naomichege-h3e
@naomichege-h3e 9 ай бұрын
Asante sana nilifanya Jana MuNGu amenionyesha kenye kinaedea kwa doa yangu na mwenye anaharibu doa yangu .
@stanmapendomosha2654
@stanmapendomosha2654 Жыл бұрын
Asante kwa SoMo lako nimekuelewa as me Nina swali yezakuwa una maadui ambao ww huwajui Wala hujui kuwa Kuna mtu anafuatilia maisha Yako nifanyeje????
@MilghaneNyari
@MilghaneNyari Жыл бұрын
Dada shikamoo,dada angu nashukuru sana dada kwa ushaur na mafundisho yako mungu akulinde na akuzidishie maisha marefu jaman ,
@tabibulois
@tabibulois 5 ай бұрын
Asante mpendwa
@RehemaNzeyimana-j1k
@RehemaNzeyimana-j1k Жыл бұрын
Asante saana mungu akuripe APA duniani n'a hera n'a akubariki saana asante
@robloxkingofnoobs9482
@robloxkingofnoobs9482 Жыл бұрын
Asante sana sister ,Mungu akuongee maisha marefu. Amina❤
@agnesimchicha4499
@agnesimchicha4499 Жыл бұрын
Dada nashuku Asante hizo ndio zinaniludusha nyumba dada Asante sana mungu akulinde zaidi na zaidi
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Asante sana 🙏
@HaruniNari
@HaruniNari 7 ай бұрын
Asante dada Mungu akibariki sana
@tabibulois
@tabibulois 7 ай бұрын
Ameen
@NaomChepkirui-wi5cf
@NaomChepkirui-wi5cf Жыл бұрын
Asante sana kwa funzo nzuri sana dada nateseka sana kimwili mchana siskii chochote lakini usiku ni maumivu tu kwa mkongo ata silali shitaNi nini
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Utanipigia 🙏
@mlishohadija6923
@mlishohadija6923 4 ай бұрын
Asante sana dada kwa mafundisho mazuri Mungu akupe maisha marefu
@tabibulois
@tabibulois 4 ай бұрын
Ameen
@roselydahamwayi6971
@roselydahamwayi6971 Жыл бұрын
Asante karembo unanifanya niwe na nguvu nimeteseka miaka mingi Sanaa lakini kwa ushauri wako najua Mungu atanifungua
@NathalieMalyamacho
@NathalieMalyamacho 9 ай бұрын
Asante sana dada,mungu akulinde
@tabibulois
@tabibulois 9 ай бұрын
Asante Sana🙏🙏
@SalimKombo-w1l
@SalimKombo-w1l 3 ай бұрын
Je badala ya glass unaweza kutumia chupa iliyo nyeupe inayoonesha ??
@JeremiahSebastian-v5g
@JeremiahSebastian-v5g Жыл бұрын
Duh nimekupenda bure we dad's mungu aibariki kazi yako
@MzeeBAlly
@MzeeBAlly Жыл бұрын
Asante,sana sasa, kama mtoto aling'atwa,na nyoka kabatini,nasasahivi kachanganyikiwa,anakula majani mabichi na anaharibu matundaya watu mashambani,jeenitumie nini, iliarudi haliyakeyakawaidaa, naomba msaada wako Doctory
@felicienkatalayi3250
@felicienkatalayi3250 3 ай бұрын
Asante Dada
@khamissaid1950
@khamissaid1950 Жыл бұрын
Asante Dada Mungu akubariki unatupa faida nzuri👏👏👏
@sophietoya4617
@sophietoya4617 10 ай бұрын
Shukrani Sana kwa mafunzo mazuri mungu akubariki
@asiyejaliShemu-ml1np
@asiyejaliShemu-ml1np Жыл бұрын
Jambo dd ukweli unafundisho mazuri sana yani tutayazingatia
@geraldsiame2941
@geraldsiame2941 Жыл бұрын
Asante dk kupitia masomo yako nimepona ugojwa kabisa Asante
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Mungu ni mwema sana 🙏
@SalehOthman-e7q
@SalehOthman-e7q 5 ай бұрын
Asante dada kma wani Penda mnde kuowa karibu zanzibr
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Asante kipenzi nauliza karatas lazima iwe plane yaani huku uarabuni kuipata ni kazi hatutoko ila kuna karatas plane za kufyonza mafuta je zafaa
@MiriamAkolom
@MiriamAkolom 9 ай бұрын
Asante kwa mawaitha na ubarikiwe sana .
@dorisiteaMkonvike
@dorisiteaMkonvike 3 ай бұрын
Asante dada mungu baoibaoiki
@ireneinnocent4128
@ireneinnocent4128 10 ай бұрын
Asante sana kwa Moyo wako wa kusaidia. Mungu akubariki nakufuatilia sana.
@tabibulois
@tabibulois 10 ай бұрын
Asante🙏🙏
@JAMALISHEDAFA
@JAMALISHEDAFA 10 ай бұрын
Mama nimekuelewa sana mungu akuzidishie
@KadungulaAnord
@KadungulaAnord Жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu hapa duniani Asante Kwa huduma
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Ameen Asante sana 🙏
@EuniceAlmasi-vo1yy
@EuniceAlmasi-vo1yy Жыл бұрын
@@tabibulois Nina adui na ni mtu wa familia amenifanyea mengi baya.Nikunua ngo"mbe anakuja usiku anaua .kuna siku akanimwagia maji chafu maisha ninayopita ngumu .ninataka ahame aende mbali
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
@@EuniceAlmasi-vo1yy utanipigia
@jovinessrichard1800
@jovinessrichard1800 8 ай бұрын
​@@tabibuloisnaomba namba yako
@tabibulois
@tabibulois 8 ай бұрын
@@jovinessrichard1800 +255 622 074 085.
@EshafadhiliIsmail
@EshafadhiliIsmail 2 ай бұрын
Asante dada kwa mafunzo yko nitalifanya hili
@magdalenajosephmagdalena5016
@magdalenajosephmagdalena5016 Жыл бұрын
Asante sana, unanipa furaha
@michaelmshani3665
@michaelmshani3665 Жыл бұрын
Dr mi nasumbuliwa na kiuno msaada wako please
@Ronaldo78943
@Ronaldo78943 11 ай бұрын
Asante dada yangu kutia chunvi na maji mtu anatumia siku gapi
@angelhermany5263
@angelhermany5263 3 ай бұрын
May God bless you darling
@tabibulois
@tabibulois 3 ай бұрын
@@angelhermany5263 Asante Sana 🙏
@dorthyonyancha8561
@dorthyonyancha8561 4 ай бұрын
Asante dada nitafanya kesho Kwa boss wangu
@MariaMahinya
@MariaMahinya Жыл бұрын
Dada za jioni nashukuuru kwa kazi zuri
@ndoricimpajovith3447
@ndoricimpajovith3447 17 күн бұрын
Utajua je ma Adui zako Sawa, mbona wengi wanafki miongoni wa malafiki zetu😭
@josephineatema5078
@josephineatema5078 Жыл бұрын
Thanks mum❤
@DUCIELELISHA
@DUCIELELISHA 4 ай бұрын
Maman nilifanya yivo calatasi haikuyayuka après ile siku saba
@tabibulois
@tabibulois 4 ай бұрын
Ichome moto
@JoyNyanduko
@JoyNyanduko Жыл бұрын
Kuna Rafiki ako na breast cancer utamsaidia aje plz madam
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Atanipigia
@VailetMwakajinga
@VailetMwakajinga 3 ай бұрын
Mungu akulinde
@princebuganzilut2047
@princebuganzilut2047 Жыл бұрын
aise asante sana. Sijawahi na sijachelewa Asante
@malumbalucas6953
@malumbalucas6953 10 ай бұрын
Mi naitwa Malumba darasa la ninalifatilia sana
@tabibulois
@tabibulois 10 ай бұрын
Karibu
@LightnessTemba-f4d
@LightnessTemba-f4d Жыл бұрын
Asante sanaaa kwa mafunzo mazuri
@veronicaadhiambo-gx1yk
@veronicaadhiambo-gx1yk 2 ай бұрын
Na Dada kama hauna glasi, lipi ingine?
@annenihezagire2721
@annenihezagire2721 Жыл бұрын
Asate sana dada Mungu akubariki sana Mimi maduwi wananitesa sana ivinimyaka miwili nateseka
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Wakomeshe
@janewairimunjuguna138
@janewairimunjuguna138 Жыл бұрын
Thank
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Mimi miaka 38 wananisumbua
@JeremiahSebastian-v5g
@JeremiahSebastian-v5g Жыл бұрын
Watesi wangu ni wengi Sana nakuomba msaada wako
@Angependo9141
@Angependo9141 Жыл бұрын
Nimala ya kwanza nimekuona wacha nikufuatilie Dada yangu dada niko na maadui saanaaaaaaaaaaaaaaa😭😭
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Karibu 🙏
@annahmwakabenga3877
@annahmwakabenga3877 Жыл бұрын
Asante kipenzi nimekupata mungu aendelee kukutunza
@eunicem5647
@eunicem5647 Ай бұрын
Asante sana 🎉
@AnastanciaOnduso
@AnastanciaOnduso Жыл бұрын
Asante dada kwa kutusaidia
@sharlyneosundwa1781
@sharlyneosundwa1781 Жыл бұрын
Thank you so much 🙏🙏🙏🙏 be blessed
@SumiraMengi-tu1hs
@SumiraMengi-tu1hs Жыл бұрын
Asante sana dada mungu akubariki sana
@CorolineKhaluhi
@CorolineKhaluhi 3 ай бұрын
Mungu, akulide, sana
@SheilahBenson-df9wh
@SheilahBenson-df9wh Ай бұрын
karatas yoyote au amby hain mistar
@glorymlewa76
@glorymlewa76 Жыл бұрын
Ameen menata uweunatuna wasp utume hizo vidio naona ndio itakua vizur
@MatikoMagwega
@MatikoMagwega Жыл бұрын
Naenda kufanya dadaa kwaimani nitamuona na kumjua mbaya wangu
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Sawa kabisa
@GabrielAngina
@GabrielAngina Жыл бұрын
Nikitaka mwajiri aniongeze 😮 8:12 pesa bila mimi kumuuliza nitafanyaje? Gabriel Ochieng kutoka Nairobi Ken Ahsante
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
😮dada ubarikiwe tiba zako ni za kweli jana nimeweka kitunguu. Na nikapaka maji ya sukari, karatas nimeshandika inaendelea kiangamiza
@rosechepkorir4998
@rosechepkorir4998 Ай бұрын
Dada huku kwetu angunanga chumvi ya mawe
@MWANAHAMISOTHUMAN
@MWANAHAMISOTHUMAN Жыл бұрын
Kwakweli dada nimeielewa mungu atusaidie
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 10 ай бұрын
tunaomba namba yako ya simu na wapi ulipo mie nasumbliwa na presha ya macho
@BagirubwitonziDawson
@BagirubwitonziDawson 4 ай бұрын
Dada habali ya saa izi nasumbuliwa ba plesha namafigo nijitibu na na nini
@tabibulois
@tabibulois 4 ай бұрын
Nakutibu kwa mwezi mmoja unapona utanipigia
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 4 ай бұрын
Mungu akutunze sana.Amina
@tabibulois
@tabibulois 4 ай бұрын
Asante 🙏❣️❣️
@ScottMuleka-f3u
@ScottMuleka-f3u 3 ай бұрын
Dadapolesaana,natesekasaana,naomba,nisaidie😅mungu akoneko
@tabibulois
@tabibulois 3 ай бұрын
@@ScottMuleka-f3u +255622074085
@wardamohamood
@wardamohamood Жыл бұрын
Ahsantee.dada
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt Жыл бұрын
Asante Sana mama
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Shukrani 🙏
@PendoMosha-q3i
@PendoMosha-q3i Ай бұрын
Yn kunajirani anapamba na mimi kweli anataka niachike ili yeye aolewe
@BuyoyaYvette
@BuyoyaYvette Жыл бұрын
Asante kijana wangu arikuwa amefirisika nikamupa habari ya chunvi kafanya siku 2tu kapigiwa simu waimbaji wanataka awetengenezee nyimbo leo ameanza kazi kalipwa laki moja ila kuna wengine kawatengenezea nyimbo zakwaya wamekataa kumulipa lakimbili zake ameeandika jina la mukuu wao kaweka kwenye maji yachunvi tunasubili matokeo
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Chumvi ina nguvu sana aendelee kutumia
@mariammariamomary4911
@mariammariamomary4911 Жыл бұрын
Khaaaa hii baraa ubarikiwe kipenziii
@AngelPima-h6q
@AngelPima-h6q Ай бұрын
Je kama siwajuwi harafu wananitesa nifanyaje?
@yusufissa-p6e
@yusufissa-p6e 10 ай бұрын
Maadam naomba namba yako ya simu.
@victoriangowi8371
@victoriangowi8371 Жыл бұрын
Nimependa Sana huduma yako
@chimenyamwatuwa7341
@chimenyamwatuwa7341 Жыл бұрын
Nakupenda sana darasa nizuri
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Asante sana mpendwa 🙏
@deborakasambula7431
@deborakasambula7431 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@DarinSalumu
@DarinSalumu 4 ай бұрын
Mnapatikana wapi
@SophieThomas-b2f
@SophieThomas-b2f 2 ай бұрын
Asanteee sana
@janetbosibori4236
@janetbosibori4236 Жыл бұрын
Tunaweza tumia pastic lkini iko clear
@SalehOthman-e7q
@SalehOthman-e7q 5 ай бұрын
Nakukubali sana
@tabibulois
@tabibulois 5 ай бұрын
Karibu sana
@TeddyFriminiKessy
@TeddyFriminiKessy 6 ай бұрын
Dada nimerushwa na kutapeliwa sana niwafanyeje hawa watu??
@tabibulois
@tabibulois 6 ай бұрын
Pole
@Deusdedit-f9z
@Deusdedit-f9z Жыл бұрын
Umesema baada ya siku saba nimwage chooni naruhusiwa iyo grass kuitmia tena
@AshuraSalum-xm9bm
@AshuraSalum-xm9bm 6 ай бұрын
Ubarikiwe
@Frank_king35
@Frank_king35 2 ай бұрын
Amina❤ dada
@Fatemajaffer-m7x
@Fatemajaffer-m7x Жыл бұрын
Dada atka ikombe ya plastiki inafaa?
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Hapana Tumia glas ama plastic nyeupe
@noahemanuel7015
@noahemanuel7015 Жыл бұрын
Mwanzoni nilikuona kama mshirikina ila hapa nimekuelewa na nimesubscribe your channel. Ubarikiwe sana. Sijaenda church Leo ila naona Kama nimebarikiwa zaidi❤❤
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Ni mpaka uwe na ufahamu mkubwa ndiyo unaweza kunielewa
@mbwananongwa4415
@mbwananongwa4415 Жыл бұрын
Dah ongera dada
@JeromeHatungimana
@JeromeHatungimana Жыл бұрын
​@@mbwananongwa4415❤
@zaitunikwizera5409
@zaitunikwizera5409 Жыл бұрын
Asati sana dada
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 Жыл бұрын
Sauti yako iko chini sana Mimi sijasikia kitu
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Nimeifungua kwangu iko sawa jaribu kutumia earphones
@piliramadan875
@piliramadan875 Жыл бұрын
Asante sana dadate
@shadrackmasagi9608
@shadrackmasagi9608 Жыл бұрын
Nimejikuta nalia sana
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
KWA Nini mpendwa unalia
@Lumiplay-n7q
@Lumiplay-n7q Жыл бұрын
Kama hawuna glasi huruhusiwi kutumia kikombe chochote
@StellaMusavi
@StellaMusavi Жыл бұрын
Nikama hakuna chuvi ya baharini nitafaya Nini? Juu Mimi Niko Sudan hakuna
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Tumia Mkojo Wako
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Kama uko juba nenda soko la konyokonyo
@StellaMusavi
@StellaMusavi Жыл бұрын
@@tabibulois Asate sana
@roselydahamwayi6971
@roselydahamwayi6971 Жыл бұрын
Nimelia nimechoka nimeomba nimechoka nimetamani ninywe jick nife but naurumia watoto Mungu anisamee kwayote
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Pole sana ungenipigia
@PaulMalongo
@PaulMalongo 6 ай бұрын
uko wapi
@Eunice88900
@Eunice88900 Жыл бұрын
Na mtu akikatalia pesa Yako,unaeza fanyaje arudishe?
@NiyomwungereElvanie-cm1mj
@NiyomwungereElvanie-cm1mj Жыл бұрын
Mbona mimi nimekosa chumvi yamawe
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Unayafinika au hivo wazi
@marthadaffi6171
@marthadaffi6171 4 ай бұрын
Asantee
@jacklineangela
@jacklineangela Жыл бұрын
Asante sana Kwa mafunzo
@Purtyi-gs6eu
@Purtyi-gs6eu Жыл бұрын
Mm nataka nipate mume niolewe
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Utanipigia
@StellaMusavi
@StellaMusavi Жыл бұрын
Na hulinza hivi ,wengene hatuko na chuvi ya mawe
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Tumia Mkojo Wako
@malkiamariamvuga3342
@malkiamariamvuga3342 Жыл бұрын
Asante sana mumy Kwa mafunzo mazuti
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Asante pia
@SylvesterIsengi-ib5mz
@SylvesterIsengi-ib5mz Жыл бұрын
Mum kupenda sana,number yako iko mutandao tuweze kuhusiana Mimi na wewe Niko nashida mingi
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Asante kilasiku utakua unashika glass
@MWANAHAMISOTHUMAN
@MWANAHAMISOTHUMAN Жыл бұрын
Alaf nieleweshe hiyo ngilas yenye maji nitayamwang wap
@tabibulois
@tabibulois Жыл бұрын
Rudia video nimeelekeza
MKOJO WAKO UTAKUPA MAFANIKIO
10:39
Tabibu Lois
Рет қаралды 70 М.
Majini Na Wachawi Watakimbia Fanya Hivi. +255 622 074 085.
10:24
Tabibu Lois
Рет қаралды 52 М.
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 36 МЛН
PIZZA or CHICKEN // Left or Right Challenge
00:18
Hungry FAM
Рет қаралды 12 МЛН
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Hakikisha umepanda miti hii nyumbani kwako
8:04
Topten Tv
Рет қаралды 194 М.
JINSI YA KULIPA MADENI HARAKA | Happy Msale
9:54
Happy Msale
Рет қаралды 24 М.
Put Your Name  in Salt Water This Will happen To Your ENEMIES
9:29
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
KILE HUKUJUA KUHUSUMATUMIZI YA CHUMVI
24:23
Dr. WILSON TAYO SWAHILI CHANNEL
Рет қаралды 19 М.
UNAPANGA MIPANGO HAITIMII? TUMIA MAGADI, +255622074085.
11:58
Tabibu Lois
Рет қаралды 97 М.
April 7, 2024(1)
39:56
Zionite Gospel
Рет қаралды 37 М.
Namba 808 itakupa chochote unachotaka.
9:36
Tabibu Lois
Рет қаралды 93 М.
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 36 МЛН