MAAGIZO YA TRUMP, TANZANIA HATARINI KUKATIWA MISAADA ARVs ZA UKIMWI, HALI ITAKUWA MBAYA - TIBAIJUKA

  Рет қаралды 51,085

HABARI 24

HABARI 24

Күн бұрын

Пікірлер: 213
@DavidJohn-d7i
@DavidJohn-d7i 18 сағат бұрын
Safi sana.kwan huenda tukawa na akili ya kujitegemea.uchumi tegemezi hauna mwisho mwema.mbona Traole kaweza?tunahitaji watu makini
@djnnyandboy564
@djnnyandboy564 12 сағат бұрын
Aisee hiyo yenyewe Kwan viongoz wetu ndiyo wanaokuwa wa kwanza kutuaminisha kuwa nchi zetu ni masikin wakat huo viongozi wameziendeasha hiz hiz nchi kwa kujitegemea na walithubut u na waliweza mf, COMRED JOHN POMBE MAGUFURI, MOMAR GADAF, IBRAHIM TRAORE MWAMBA ULIO SIMAMA AFRICA yan ifike kipind tubadilike WAAFRICA tuache kuishi KINAFIKI , sana nakubali man
@YourMoor-px1rd
@YourMoor-px1rd 11 сағат бұрын
POAA KABISAA TUTIE AKILI ZETU MISAADA NAYO INAPONZA
@YourMoor-px1rd
@YourMoor-px1rd 11 сағат бұрын
​@@djnnyandboy564AFRICA TUNAO UWEZO WA KUJIENDELEZA ISIPOKUWA VIONGOZI WOTE NI NJAA HELA ZOTE WANATIA NDANI WAO
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 10 сағат бұрын
Kwanini hatutengenezi zetu Kwanini!!!
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 10 сағат бұрын
Safi sana akate ili serikali za Afrika zianze kutengeneza dawa zake maana Afrika imezidi kuwa tegemezi
@PamelaGodfrey-q9b
@PamelaGodfrey-q9b 19 сағат бұрын
Tutaweka mikono juu ya wagonjwa nao watapata afya kwa jina la YESU
@faridfrefre35
@faridfrefre35 18 сағат бұрын
Uongo
@isaacramadhan9721
@isaacramadhan9721 18 сағат бұрын
Amen 🙏🙏
@ezekielshija9251
@ezekielshija9251 18 сағат бұрын
Yesu ni nani? Unamwomba baada ya kukatiwa msaada? Kumbe yesu nae hutulia aonapo misaada ya wamarekani!
@GlorydavidJeremiah
@GlorydavidJeremiah 17 сағат бұрын
Anza kwasasa
@vitalisbangilana526
@vitalisbangilana526 16 сағат бұрын
Hahahahahah
@MrNuurofficial
@MrNuurofficial 12 сағат бұрын
Burundi tuna miaka zaidi ya 10 hutupewi misada ya wazungu
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 12 сағат бұрын
Kwa kupigwa kwake BWANA wetu YESU KRISTO tumepona
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 7 сағат бұрын
Hiv inaepukika vizuri tu inabidi tubadili mwenendo wa maisha yetu na Mungu atusaidie 🙏🙏
@teyllalugazia
@teyllalugazia 17 сағат бұрын
Mi naona wanafanya vizuri, tukiacha zinaa, ubakaji na ulawiti na tukimuomba Mungu kwa bidii tutanusurika
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 16 сағат бұрын
❤❤
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 16 сағат бұрын
Kuna wengine wanazaliwa na hizo changamoto ndugu
@SanguloRaahoo
@SanguloRaahoo 16 сағат бұрын
Akili ya mtu mweusi imefanana na rangi ya ngoz yake iv Unajua huu ugonjwa ulitoka kwao na dawa zpo lkn wanafanya hiv Kwa maslah yao
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 16 сағат бұрын
@@judithgodfrey6503 kwetu yupo tunamlea lkn wanatunyanyasa nabado zinanunuliwa sio bure tuwarambe tako sasa jmn
@RachelGerald-b5u
@RachelGerald-b5u 17 минут бұрын
So kuna sehemu watu wanauziwa hizo dawa​@@JamilaJumanne-u7q
@MarcoPeter-y5n
@MarcoPeter-y5n 15 сағат бұрын
YESU ndiye muamuzi wa mwisho na tumtegemee yeye
@maswamills3161
@maswamills3161 14 сағат бұрын
Wenye haki wataishi kwa IMANI.
@YusuphuMakange
@YusuphuMakange 17 сағат бұрын
Una jipya kwa sababu ww sio Mungu kwenda
@DottoCharles-j9j
@DottoCharles-j9j 13 сағат бұрын
Magufuri alisema jaman Hawa watu sio wazuri
@SingemwambiRowminige
@SingemwambiRowminige 15 сағат бұрын
Hilo❤ni fundisho kwenye serekali na raiya wa afrika wajuwe hatukuumbwa ili tusaidiwe mambo yote ulaya wataam wa asili na jadi ndio mtawajulia hapo na kuona umuhimu wa wataalam wenu
@MpokiMwakaje
@MpokiMwakaje 18 сағат бұрын
Serikali za afrika msiogope ugonjwa wa ukumwi nijambo la kiroho, Majibu ya kuponya wagonjwa,wa ukimwi,majibu wanayo watu wa Mungu,waliozaliwa Mara ya pili kiroho, Marko 16:15-18
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 26 минут бұрын
Acha kufariji watu kwa ujinga Bado virusi vya ukinwi havijakupata ndiyo maana unaongea ujinga
@JajiZakayo-fw9mk
@JajiZakayo-fw9mk 16 сағат бұрын
huyu naye hana Mungu ndani yake kwani vidonge vya Arv ndiyo Mungu.
@suleimanmsangi2517
@suleimanmsangi2517 12 сағат бұрын
Trump sio MUNGU akafie mbele
@MARYNAGUJustin
@MARYNAGUJustin 11 сағат бұрын
Sawa tu watu tumrudie mungu
@fauzseif7344
@fauzseif7344 17 сағат бұрын
Atuache marekani sio yakututisha wao ndio wanatuibia mali zetu wagojwa wapo yatakwisha yoote hao sio mungu mungu ndo tunamtegemea
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 11 сағат бұрын
Mbona mmeenda kujazana huko? Mtajua hamjui
@AbdallahShaabani
@AbdallahShaabani 9 сағат бұрын
Afrika Afrika tena Tanzania viongozi walijisahau sana hasa wakabobea kwenye ufisadi na tamaa za madaraka sasa mambo yanaanza kugeuka😢😢😢
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni 2 сағат бұрын
Sijui lkn Kwan maligafi ya ARV kwetu Africa atuwezi tengebeza kweli wasomi wote wanasomea nn au ni Hali ya kujibweteka kuvumbua vyetu kwa.kutegemea vya majiran hii 😢
@HarunakiongoziMohamed
@HarunakiongoziMohamed 16 сағат бұрын
Mwenyezi mungu ndy mlinzi,marekani ndy nini
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 29 минут бұрын
Kama mwenyezi ndiyo mlinzi kwa nn unakunywa A r v ?
@ItikaMwambambale
@ItikaMwambambale 17 сағат бұрын
Ww una mtukana mkubwa wako kisha umuwezi kwa lolote 😂😂😂 nacheka kama mazuri,Tena msifanye masiara uyu jama akifunga iyo misaada sijui itakuaje Tz
@Yness-vh4yy
@Yness-vh4yy 12 сағат бұрын
Ndo mnaambiwa msitegemee binadamu Bali Mungu na juhudi za hard wokking
@gracemnyani6848
@gracemnyani6848 18 сағат бұрын
RIP JPM Rais wetu mpendwa tunakukumbuka sana sana
@John.L.Laizer
@John.L.Laizer 15 сағат бұрын
Hata hiyo UKIMWI ni hao ndio waliotuletea magonjwa itapungua maana before ya kuletwa hizo Usalama mbona UKIMWI haikukua wakwende huko Tumechoka misaada ya inayotugarimu pakubwa
@leokamil6284
@leokamil6284 19 сағат бұрын
Hatuna uwezo huku viongozi wanaendesha magari ya kifahari, Safari kila kukicha, kupeana majumba ya kifahari, kulipa wake wa maraisi n.k umaskini huo ni upi ?
@huyu1993
@huyu1993 17 сағат бұрын
Nyinyi acheni roho mbaya. Mfano ingekuwa wewe ndio hao viongozi jee usingetbelea gari nzuri? Nafikiri mmesahau au wewe huna kumbukumbu,ata Mwalimu nyerere alitembelea gari nzuri na mpaka hii leo magari yake yamefanwywa makumbusho, au mnajizima data?
@leokamil6284
@leokamil6284 11 сағат бұрын
@huyu1993 Sitaki kukujibu maana maneno yako tu yameonyesha uhalisia wa akili yako ilipogota .kifupi sijui umejibu nini maana ni ujinga mtupu
@SamwelMsese-c3y
@SamwelMsese-c3y 12 сағат бұрын
Mishahara ya kiongozi WA kiafrika ipunguzwe Kwa ajiri ya mataifa Yaho, na wizara mbalimbali za nchi zao.
@BraitonMkondya
@BraitonMkondya 13 сағат бұрын
Mungu ikumbuke Tanzania
@Lastbornecadet
@Lastbornecadet 11 сағат бұрын
awa watu bahada yakugundua kwamba marais wengi wa africa watafata mkondo wa IBRAHIM TRAORE na AYATI JPM basi wanaanza kutengeneza njia zakujitafuta 😢 ukweli ni kwamba africa ata tujipandishe kivipi hatuwezi kupindua kwa ao watu ata kidogo , apo kwakuwahurumia waasirika lazima kuwe mikataba apo yakufanya izo shirika ziendelee kuhudumu na apo ndo tunapoliwa😢
@JudithTarimo-s8s
@JudithTarimo-s8s 11 сағат бұрын
Zamani watu wenye ukimwi walijulikana Ila.siku hizi hawajulikani na wanasambaza kwa makusudi
@FrancisMcharo-e3j
@FrancisMcharo-e3j 4 сағат бұрын
Sawa tu maana TZ mpaka yatkute viongozi wapo bize sana
@MbulwaMunyao
@MbulwaMunyao 11 сағат бұрын
Ni nyakati z mwisho mwenye haki ataishi kw Imani yke mwenyewe
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 10 сағат бұрын
Afrika ijitambue tu ya nini kuitegemea Amerika 🇺🇸?
@BENALDKILEO
@BENALDKILEO 19 сағат бұрын
Kwa nn tuwategemee wahisani tunaweza kujitegemea sisi wenyewe tukiamua. Mbona Bukinafaso haidaiwi na mtu tunaweza tukiamua
@gracekisaka8461
@gracekisaka8461 18 сағат бұрын
Sikutegemea kitengo hicho cha ARV ndio shida...Watanzania fungukeni...watu wasali kila mtu na dhehebu lake na kumwamini Mungu na kufuata matendo mema ..
@ValerianaKilumile
@ValerianaKilumile 14 сағат бұрын
Kweli kabisa haiwezekani wamarekani wakamuliwe kodi waafrika tupewe arvs za dezo wakati sisi wenyewe ni matajiri sana lakini tunatumia ovyo mali zetu kwa wizi uwezo wa kutengeneza dawa tunao
@martinkisha6307
@martinkisha6307 11 сағат бұрын
Tujitengemee tunaraslimali nyingi na pesa zipo kama ccm imenunua mabasi , na kungawa mapikipiki na kununua mbao yasitishwe na mabasi yaizwe
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 17 сағат бұрын
AFRIKA I. IACHE KUWA TEGEMEZI KWA WAHUNI NA WEZI WA KIZUNGU. TRAMP ATAVURUGA DUNIA. ANAONA YEYE NI MUNGU WA DUNIA.
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 18 сағат бұрын
Tuliosoma Cuba tunajua hiyo kauli ni hatari sana kwa taifa letu
@maryfides591
@maryfides591 7 сағат бұрын
Jamani muogopeni mungu msifikili waathilika wate ni Malaya lahasha kama halijakukumba kwenye familia shkuru mungu na kabla ujafa ujaumbika nawao pia hawakupenda waumwe jamani nyie mwisho wenu mnaujua kwakweli mwenyezi mungu hawasamee hamjui mlitendalo😮
@ElishaNdosi-i3k
@ElishaNdosi-i3k 12 сағат бұрын
TRUMP ANATISHIA WATU ILI TUANZE KUMUABUDU NA KUMUONA MKOMBOZI KUMBE NI MUUAJI NA MNYONYAJI
@LamekiMichael-pz7rv
@LamekiMichael-pz7rv 15 сағат бұрын
Kata kabisaaaaa
@McNdenza
@McNdenza 18 сағат бұрын
Ndo watu watapunguza ngono
@LinnaJohn
@LinnaJohn 13 сағат бұрын
Unasema tu lkn yakikukuta kwenye familia yako auta sema kitu mungu ni muweza wataombewa watapona tu
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 10 сағат бұрын
Trump kata kabisa hiyo misaada
@KizibaDunia
@KizibaDunia 18 сағат бұрын
Sis hatutegemei missada kutoka nje tunajiweza kipind mna chukua misaad hamkukumbuka kua kunasiku mambo yatabadiloka mnashituka Leo ujinga gan huu Kwan mlimdhalau Alie sema chakuazim hakistir mawili nyie. Viongoz weh kabisa
@KostaJoseph
@KostaJoseph 9 сағат бұрын
WANATUPA AKILI YA KUTENGENEZA DAWA ZETU WENYEWE
@zainabzanzibar1518
@zainabzanzibar1518 19 сағат бұрын
Wasitutishe wao sio miungu
@JamilaJumanne-u7q
@JamilaJumanne-u7q 16 сағат бұрын
Apo chacha wanywe wenyew shenz zao
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 16 сағат бұрын
Msememe hivyo hali itakuwa mbaya zaidi watu watakufa😢
@SwaumChawage
@SwaumChawage 13 сағат бұрын
@@Sarah-e1o9k kuhusu kufa ni mipango y mungu utashangaa hata hapa Tanzania daw y ukimwi ipo ila kw7bu tumezoea msaada 2nasubir tupewe ila wakigoma kutoa utaona wataalam watakavyo umiza vichw mpk kitaelewek
@DanielMalundi
@DanielMalundi 18 сағат бұрын
Mungu tusaidie.
@MwanjiNzala-mo5ni
@MwanjiNzala-mo5ni 2 сағат бұрын
Kama tulishinda corona ni wazi tunaenda kuushinda ukimwi africa unaenda kuisha kwa kutumia tiba zetu za asili naamininhili kila lenye mwanzo halikosi mwisho mwisho mbaya ni mwanzo mzuri kwa upande mwingine Mungu anaenda kushangaza ulimwengu kama dawa zipo ila mlipumbazwa na mabepali watu hawaendi kutumia tu dawa kila siku.ila wanaanza kutibiwa na kupona
@muktarkassim6647
@muktarkassim6647 15 сағат бұрын
Marais wa Africa wa Amke wa silale
@MatungeElias
@MatungeElias 19 сағат бұрын
Maoni ya Tibaijuka ni maagizo ya Trump kwa Tanzania😅 aisee
@LazaroBujiku-u7d
@LazaroBujiku-u7d 6 сағат бұрын
Aliyeimba you never miss a water till you well run dry ndo hii
@kwisa4899
@kwisa4899 17 сағат бұрын
Jamani mbona huwa tunasema hawajamaa tunawaweza na tupo vizuri kiuchumi nini tena kinaendelea.
@DanielMangasa-hs4hx
@DanielMangasa-hs4hx 7 сағат бұрын
Hatareeeeeee Kwani wanaojitangaza wamegundua dawa ya Kaukimwi wako wapi😊
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 23 минут бұрын
Afrika amkeni mwache kuzoea vyabure nafikili viongozi mtaanza kuajibika mwache unyonge tramp nimemkubari kwahiri kwasababu uezo afrika tunao wakujikomboa lakini kwasababu viongozi wengi nivibalaka wawazungu walilea pesa zabule wakasahau kutengeneza nchi zao hongeala tramp kwahilo
@SuolFat
@SuolFat 19 сағат бұрын
Huyu trump hatanii
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 18 сағат бұрын
Lupakisyo kandonga china hawana kitu urusi pia ni masikini.nawo wanapewa misada .na USA.kama sisi mimi naomba melikani ijitowe tasafu wafute watu wanaiba sana hizo pesa kwa manufa yao pesa tanzania ni njingi mama ataleta. Mbona za magoli tunapewa atashidwa vipi mama ataleta ccm juu mama oyeeeeeee😅😅😅😂
@JofreyMsigwa
@JofreyMsigwa 17 сағат бұрын
Mama ataleta mbona magoli ananunua mambo n moto 😂😂😂😂
@DeogratiusMelchior
@DeogratiusMelchior 7 сағат бұрын
AT MI 5 MINGINEEEEE.
@katemachanda7035
@katemachanda7035 12 сағат бұрын
Trump anajua kuwa WHO ndio wanaua watu. Sasa wakatae aina zote za chanjo, pamoja na ile wanayotaka kufanya kwenye mifugo. Tukiachana na mambo kama hayo tutajiepusha na magonjwa yakutengenezwa kama Kansa na mengineyo. Kingine ni wakati sasa wa Serikali kuhimiza na kuweka mazingira bora kwa tiba asili pamoja na kuzuia viatilifu na madawa ya Kilimo yenye kutia sumu ktk vyakula, kuharibu mazingira na rutuba kwenye ardhi n.k ingawaje vyote hivyo vinaonekana kuleta mavuno yanayoonekana ni mengi kuliko kawaida au mazao yaonekanayo yenye ubora machoni lkn ndani yake yenye sumu na mambo mengi yakuathiri miili ya wanadamu.
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 8 сағат бұрын
Yaani mpaka leo tunaamini nchi za nje ndio zina misaada ya kweli na kwamba wakisitisha ndio tutaumia? ujinga mtupu badala kuwaambia WaTanzania waelimike waache uzinzi unawaambia watakosa dawa za kurefusha maisha huenda hizo dawa ndio zilosababisha watu kuishi maisha ya hovyo kwa kujua kuna dawa za kurefusha maisha
@GadielKahemba
@GadielKahemba 19 сағат бұрын
Serikali imuwezeshe tr msigwa kutengeneza dawa ya kutosha kueahudumia wa tz kwani hii ndo firusa pekee bila lawama.
@JosephKasyaka
@JosephKasyaka 7 сағат бұрын
Naulizaje,? Miti shamba imeisha? Shem on him 😞😞
@mr.majeni5817
@mr.majeni5817 6 сағат бұрын
Yan wazungu wanahaha kweli kuitaman Afrika lakini hatuna shida nao kiukwel Wacha waache kuleta bwana Kwan hao wanaotumia hawafi!!! Wakat w mungu ukifika ARV sıo kitu yeye nan haswa kuamua hatma ya mtanzania na mwafrika ? Aache ungese
@Yness-vh4yy
@Yness-vh4yy 12 сағат бұрын
Mtaoza mwaka guy muache ngono
@HansChuma
@HansChuma 14 сағат бұрын
Nikweli dadaangu nimekuelewa sana kwa ujumbe wako hawa wasenge sana nikweli kabisa Gonjwa hatulijui lilipotokea wametuletea huku Africa kwajir ya biashara zao kwakuuza tiba senge hawa then wanataka kusitisha kwa kutikana kwa misaada shenzi
@DieudonneMasango-d6b
@DieudonneMasango-d6b 11 сағат бұрын
Huyuuuù😂😂😂😂😂😂😂
@AkimuWaziri-u9b
@AkimuWaziri-u9b 8 сағат бұрын
Trampo fanyahivyooo
@sofialinus8241
@sofialinus8241 11 сағат бұрын
Tutatumia mitishamba na kwajina la YESU tutapona
@Mrkigoma
@Mrkigoma 16 сағат бұрын
Safi sana
@RamazanJuma
@RamazanJuma 11 сағат бұрын
Hamna mashiko yeyote huyo mama hana cha kusema misaada au mikopo acheni porojo mungu ndio kila kitu na hao marekani waende zao hao huo ukimwi wameleta wao
@AsiaAmani-m9z
@AsiaAmani-m9z 7 сағат бұрын
Akwendreeeee na dawa zake hizo anawapa ndg zake wameze, si hatuna hajanazo huku. Mxiuuuuu
@PamelaGodfrey-q9b
@PamelaGodfrey-q9b 17 сағат бұрын
YESU NI NJIA YA KWELI YA UZIMA
@LupakisyoKandonga
@LupakisyoKandonga 18 сағат бұрын
Marekani sio wakumutegemea kabisa twendeni urussi nachina
@AlexGwiha
@AlexGwiha 18 сағат бұрын
Hizo nchi hazina hazijafikia revo ya kuifazili dunia nzima
@hajimgaya7726
@hajimgaya7726 17 сағат бұрын
Hata hao si wakuwategemea.Tujitegemee wenyewe si kuwategemea watu wengne.Hao tunaowategemea wao wanawategemea akina nani.Nguo ya kuazima haisitir makalio Uwezo wa kujitegemea wenyewe tunao tena mkubwa tu ikiwa viongozi wetu watasimamia mali zetu vizur.
@JulianaSakatete
@JulianaSakatete 11 сағат бұрын
Mmalekani adawa ana hela India dawa
@shaameshaame9721
@shaameshaame9721 9 сағат бұрын
Trump sio Mungu aache umalaya na ujinga wake ni shoga Kama shoga wengine
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 18 сағат бұрын
YIYI WATANGAZAJI WA HABARI 24 MEKUWA KAMA WATUMWA KWANIKUTANGAZA HABARI HIZI MAREKANI KWANI NIMUGU JARIBUNI MJEHUKU MARIKANI MUONE HUKU HALI TETE MAELFU YA WAMAREKANI WANA LALA KWEYE BARABARA MAMILIONI WANA UKIMWI YIYI NINI MNAKASUBA
@PaschalCharlesLunemhya
@PaschalCharlesLunemhya 11 сағат бұрын
Mataifa yote ya Maghsribi yasitishe kuzipa misaada nchi zote za Afrika
@elnorahmjomb1896
@elnorahmjomb1896 18 сағат бұрын
Africa must style up.anyway ni wao walileta ukimwi
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 18 сағат бұрын
Ndiomana mana mnatuletea magonjwa kwasababu mfanye mnavotaka
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 18 сағат бұрын
Atakuwa sio.trampo.atakuwa ni Mungu wameathilika ila walivo.huru.na ngono hadi aibu mbele za Mungu sio trampo.kama litatokea.litatimia.lililonenwa na nabii.Isaya.3.Mungu.amesema.ataondoa.tegemeo na egemeo la wanadamu Yeremia 17.inasema amelaaniwa.mtu.yule amtegemae mwanadamu afanyae mwanadamu kuwa kinga.yake huku moyoni mwake amemwacha Mungu unakuta mtu ni mzinifu ila anailaumu.serikali hatari Watanzania Mungu yupo na vitabu vya kinabii ukivisoma utaogopa sana
@walker-96
@walker-96 19 сағат бұрын
😢😢😂😂 ndugu zetu tutawapoteza sana
@HellenNkwera
@HellenNkwera 18 сағат бұрын
Duh unachekaa nduguu zetuu😢😢
@aminashekuwe670
@aminashekuwe670 15 сағат бұрын
Mmungu atamshinda alysallah biahkamal hakimeen
@GideonNzige-k7i
@GideonNzige-k7i 9 сағат бұрын
Kumbe watu wanaitukana marekani huku wanatambua hupata misaada ya dawa, endeeni urusi acheni kelele
@SalumSaid-w8i
@SalumSaid-w8i 14 сағат бұрын
Watu wengi ujiga umetawa trmp yeye ninani kipi anachokiwezi ktk hii dunia tuna msahau mwenyezi mungu tukamfikiria trmp niunga ulio wazi
@ciayobiayo4614
@ciayobiayo4614 12 сағат бұрын
Huyo Mungu mbona haji kuwasaidia mnapopata majanga,mbona mashirika ndio huja pamoja kisaidia. Ina ujinga uliviwatawala waafrika. Ngija misaada ikome ndio muine Cha moto.
@HellenSulle-m7t
@HellenSulle-m7t 18 сағат бұрын
Kwani marekani ni mbinguni? Au ndo kuna Mungu Mungu anafanya njia pasipo na njia
@DivaMsukuma-c7x
@DivaMsukuma-c7x 7 сағат бұрын
Niwakat wakujionyesha watu wanaotibu kwakutumia miti shamba
@AnnoyedBonsaiTree-cl5sv
@AnnoyedBonsaiTree-cl5sv 9 сағат бұрын
tumekwishaasa!!
@geofreymilinga2965
@geofreymilinga2965 12 сағат бұрын
Wazungu wajifunze kwa Korona waliishia kufa wao, kupitia ukimwi wanazan tutakomolewa waafrika Yesu Yupo na Tunatambanae tutawaombea waathirika wote na watapona.
@barryrioba3934
@barryrioba3934 17 сағат бұрын
Kumbe MAREKANI Ndio Inasaidia Dunia Halafu Kuna WAPUMBAVU WENGI HAPA Kila Siku Wanajifanya Kusifia CHINA NA URUSI.?!! dadeki.. mtaimba kipindi hiki. Wanafiki Wakubwa Nyie!!!😢😢😢
@isaya9613
@isaya9613 8 сағат бұрын
Kyajepo twiketepo
@muhamedmsomally4175
@muhamedmsomally4175 14 сағат бұрын
Kukata msaada kwa trump ya kiafya huenda ntukavumbua dawa zetu sis wenyewe ambazo inaweza ikawa nidawa ya kumaliza ukimwa kabisa sio ya kuendeleza na kukaana virus
@infohometv3896
@infohometv3896 8 минут бұрын
Sahihi kabisa maana dawa zililikua zina vumbuliwa lakini zinapigwa chini kwa sababu ya propaganda zao
@CharlesSomeke-p8m
@CharlesSomeke-p8m 10 сағат бұрын
Kuna tiba miti shamba zipo nyingi sana
@CristinLyanga
@CristinLyanga 17 сағат бұрын
Hio misaada inaendaga tu kwa wa pigaji. Hivo sasa kila nchi itie akili misaada watu wanatembelea ma vx na huduma kwa jamii zinasua' eeee kila nchi sasa akili kumkichwa.
@shabansalum1848
@shabansalum1848 17 сағат бұрын
Hivi magari haya yakifahari serikali haiwezi kuacha kununua?hiyo bajeti ya magari ikaelekezwa kwenye hizo dawa za ukimwi?
@mgawerevocatus8582
@mgawerevocatus8582 16 сағат бұрын
Watanzania na waafrika tuwe na kasumba ya kukubali vya kwetu. Tanzania yupo Dr aliyegundua dawa ya ukimwi unapina kabisa na siyo kufubaza virusi Hiyo inayoitwa misaada siyo misaada ni mikopo
@Kwarasi
@Kwarasi 15 сағат бұрын
Tuna miti na wanyama na watu maana yake madawa tunayo ni uboya wa serikari yetu .
@kanankirannko6174
@kanankirannko6174 12 сағат бұрын
Waiiiii hao marais wako hapo wajadili cha kufanya
@shamisissa9165
@shamisissa9165 17 сағат бұрын
Ndo mana nasema Wazungu wanawaletea waafrica chanjo za Maradhi Hao Wazungu husikii wakiwa na ukimwi
@RamadhaniSalimu-r4q
@RamadhaniSalimu-r4q 11 сағат бұрын
yani serikali bwana pesa za magori ya mama no knout ya mama wanazo ila pesa za kutengeneza viwanda vyao vya dawa hawana
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 15 сағат бұрын
uwezo wa nchi ni MDOGO kasema nani....ni akili za viongozi ndio ndogo
@mohamedsuleiman1222
@mohamedsuleiman1222 17 сағат бұрын
Trump si mungu mbona watu wameshtuka jmn Trump nikiumbe dhaifu kama Mimi Tu....sai Africa NI iketi ipange mmbo Yao sio kutegemea nchi ya America
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 12 сағат бұрын
NDO TUKOME KUWAABU HAO PIA CHANJO ZA MISAADA ZITAKOMA, ALAFU WATUIBULIE MAVIRUS AINA NYINGINE TUFE KAMA KUKU
@paulsibu5770
@paulsibu5770 15 сағат бұрын
Ukiona MTU ambaye ameacha kunywa ARVs alafu akaugua Huwa ni Hatari Sana, juzi juzi Kuna kijana tulimzika aliacha kunywa ARVs mpaka anakufa alikuwa ameisha mno na kukondeana
@JulianaSakatete
@JulianaSakatete 10 сағат бұрын
Eee wasukari hawakondi na tb tuna ksubiri wewe maana uko windo pilio vipo havijasoma geuka nyuma unanani achapa
@JulianaSakatete
@JulianaSakatete 10 сағат бұрын
Ana Cha pa ya Arv
@JulianaSakatete
@JulianaSakatete 10 сағат бұрын
Halafu hujui mlibadi Shana mahusiano
@Saidiamiri-s8i
@Saidiamiri-s8i 18 сағат бұрын
Afadhali isitishwe maanahiyo hiyo misaada huwa inaishia kwenye matumbo ya watu tu,simamia msimamo wako Trump
@jackisonmlaari4556
@jackisonmlaari4556 Сағат бұрын
Haya ndio magufuli alikua anakataa
Matangazo ya Dira ya Dunia TV Jumatatu 27/01/2025
28:11
BBC News Swahili
Рет қаралды 15 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
PLANET PHARMACEUTICAL DAR OPEN 2025. DGC Yellow vs Annadil Vijana
3:40:20
Dar Gymkhana Snooker
Рет қаралды 113
Luhya Nation, Tell Ruto the truth
16:09
Herman Manyora
Рет қаралды 38 М.