Shukran kwa somo zuri Nauliza hii madugwa na smart anaweza kutumiya mama mzazi kwa niaba ya mtoto wake mgonjwa au jambi lingine
@allykk14592 ай бұрын
Sijakuelewa
@ZenaMoshi2 ай бұрын
Yani Aya mafuta Aina 2 umesema apo Je? Anaweza kutumiya mzazi wangu Kwa manuwizi kuusu mambo yangu . Au lazima muhusika wa tatizo Kwa sababu sipo Tanzania
@evelynensanga33302 ай бұрын
Asante sana
@DuduMagau-sm3pd2 ай бұрын
Baba!!! UKOVIZURI SANA kwenye kutofautisha sayari na SAA zake inavobadirika!! DAH ELIMU MUHIM SANA hii
@zainaabdallah55752 ай бұрын
Hapa saa 3 mbona haijaelezwa vizuri kuhusu kupata hela jaman