AMINA KUBWA ubarikiwe baraka nyingi zaduniani nambinguni
@jeannekatembe63965 ай бұрын
Amen , tusaidie maombi kuhusu hayo mazabao. From USA California
@nancyisoyi81649 ай бұрын
Asante sana MCHUNGAJI Amieli kwa kutuelimisha kuhusu majina na Rangi
@LudovikLudovika4 ай бұрын
Ameen,nafunguliwa leo kwa Jina la Yesu
@wemamanikana97919 ай бұрын
Kwa imani nami nimefunguliwa katika jina la Yesu Kristo, Amen 🙏
@FurahaKyubwa9 ай бұрын
Ninataka musaanda wamaombi ninaotavibaya naonandoto zakutumika nakoula usiku yesu unifunguwee kwajina eyesu ni funguliwe amena amen
@NeemajolamokatalyАй бұрын
Amina mchungaji atakama niko mbari napokea uzima nfunguliwa mchungaji Amina
@lilianluhasi3119 ай бұрын
Napokea kwa jina la Yesu Kristo
@AyubuMwarja7 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi nimebarikiwa sana Kwa mafundisho Yako.
@GggyJhh-y4x9 ай бұрын
Amina mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana na nimejifunza vtu vngi sana ubarikiwe
@Soni-lt6oi6 ай бұрын
Asante sana Yesu kwa neno lako limeniweka huru
@AlexAliane9 ай бұрын
Mubarikwe saana na Mungu watu wa promover TV pia na Mchungaji Katekela 🙏🙏
@FrançoisBarakaFaustin5 ай бұрын
Mahubiri yamenigusa 😢😢 sana kuishi bila mungu nibure
@elijahwambugu83015 ай бұрын
Amina mchungaji
@SabinaEzekiel-vb5nh5 ай бұрын
Asante Yesu kwa injili hii
@KateWinslet-j8q9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu nimejifunza kitu kikubwa sana maana kwangu mimi nimekuwa nikiona alama nyeupe sanasana
@VicentSubi3 ай бұрын
Unakuwa unaonaje
@Mbembela4 ай бұрын
Nashukuru Sana kwa maombi najinsi ya kujitoa kwenye vifungo nieuona mkono wa Beans ukitenda kazi
@BlandinaJonathan-vz5ur8 ай бұрын
Kaka nakufuatilia kabisa ❤❤❤❤❤barikiwa saana
@jenipher60689 ай бұрын
Nimepokea mume wangu kwa jina la Yesu
@ااا-ح9م7 ай бұрын
Ubarikiwe mutumishi wa mungu
@mwananyamalaz44279 ай бұрын
Pray for me brother and sister natamani kumupokeya mungu wetu God bless 🙏
@eliethmwanguya71189 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@GérardNdayisenga-g3q5 ай бұрын
Jameni Bwana Yesu asifiwe,ninaomba ujumbe huu umfikie Mchungaji huku Burundi tunamuhitaji ili tufunguliwe na Sisi.Mungu akimruhusu atufikiye kwakweli tutampokea.
@LennoxLewis-x4e9 ай бұрын
Amen ,mtumishi tunakukaribisha Kenya
@RadiyaHassan-m7g9 ай бұрын
Amen nimepokea kwa jina la Yesu
@ruderesangara73008 ай бұрын
Ndoto zakuota niko shule ya msingi mara kijijin wakati nilitoa huko miaka mingi iliyo pita nazikataa kwa jinaaaaaaa kwa jinaaaaa la yesu
@emmanuelmgeni2739 ай бұрын
Ameni, MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU.
@elkanamange52454 ай бұрын
Amina tunabarikiwa sana
@MaryShirima-yw3kp8 ай бұрын
❤❤komenti nikuelezea ulivyo pokea ibada🥰🙏🙏
@rosemerlupanga87306 ай бұрын
Barikiwa mchungaji katekela
@DorcasAjibu10 күн бұрын
Tuna shukuru mungu aliye kuokowa ili nasi tuambiye Siri ya kuzimu nitumiye numéro yako pasteur niko Congo Bukavu
@abigaelmwadena22629 ай бұрын
Ameen ameen barikiwa sana
@NellyShiku-zw4mf9 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@AyubuKikoti-gu5mb9 ай бұрын
Ubaeikiwe sana mtumishi,nikweli tu ninakwama kwasasabu ya maagano,na hata waganga wa kienyeji wanasema kunamaagano ya zamani,,nisaidie baba katekela,
@yeshuasnewweapon55099 ай бұрын
Tubu kwa kuugua. Zaburi 51
@julianapeason625428 күн бұрын
unasema ukweli kabisa, mimi mwenyewe nimeshafanya hiyo mistake mara nyingi, napeleka sadaka kabla sijainenea. Na mchungaji anaichukua kwa furaha sana. Yaani Pastor unaongea maisha yangu, laana za ukoo zinanilazimisha kuabudu mizimu na kwenda kwa waganga
@Mbembela4 ай бұрын
Hakika Mungu wa Mbinguni ametenda naona kufunguliwa
@ErnestinaKisinga8 ай бұрын
Ameen past .
@tumainipallangyo7762 ай бұрын
Ameeeen
@paulinendunge64379 ай бұрын
Amina
@elizabethmoh50499 ай бұрын
Pray for me man of God napitiq kipindi kigumu
@leahdaniel11179 ай бұрын
Mungu akuvushe mpendwa
@elizabethmoh50499 ай бұрын
@@leahdaniel1117 amen
@elizabethmoh50499 ай бұрын
@@leahdaniel1117 ame
@gervaswilliams49539 ай бұрын
Yesu asimame upande wako
@LoFi_1209 ай бұрын
Nimepokea kwa Jina la YESU KRISTO, ntarudi kushukuru na kumsifu Mungu katika kusanyiko kubwa (zaburi 35:18), hallelujah jina la Bwana libalikiwe❤.
@MosesmcSabu9 ай бұрын
Amen
@AgnesSima-c2c8 ай бұрын
ASANTE SANA
@upendokikwelele6204 ай бұрын
Aameen
@ApostleKepha4 ай бұрын
Amenii
@RehemaGodfrey7 ай бұрын
❤ aminaaa 🎉🎉🎉
@Wamisangi5 ай бұрын
Hapo kwenye Majina, eti Yakobo nini? Kwa nini Mungu ajitambulishe kwamba yeye ni Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo? Mathayo 22:32-33. Yesu anasema mwapotea kwa sababu Mathayo 22:29 Watu wangu wanaangamizwa Hosea 4:6a.
@JoyceZabronАй бұрын
Asa mchungaji kama tushaita watoto majina hayo tunafanyaje sasa ili kuwanusuru na izo roho naomba nisaidie
@AgieTom16 күн бұрын
Mbatize jina lingine uanze kumuita ndio maana inashauriwa ijue maana ya jina ndipo muite mtoto
@annambembela66619 ай бұрын
Ubarikiwe nisaidie namba ya mchungaji jaman ninashda sana
@IsabelMazik-r4t9 ай бұрын
Thank you JESUS LORD 💪💪
@MilkahMaritim4 ай бұрын
Asante mitsubishi niambie Mimi nawatoto roho ya rejecting
@VickyPaul-ej5tm8 ай бұрын
Hakik nabarikiwa na Bwana kupitia ww mtume
@SmilingCityMap-xb9md9 ай бұрын
Hapo tunaachana na neno kabisa na kufuata ubashili hii ni staili ya wahubili siku za mwisho haya waombaji vipofu enendeni kwa kufuata langi badala ya kuomba kwa jina la yesu na neno la mungu
@samwelstephen63769 ай бұрын
Ndugu yangu, Anachokifanya mtumishi huyu wa Mungu SIYO UBASHILI,bali anafafanua kuwa katika ulimwengu wa roho rangi zina maana tofauti tofauti,na ndivyo ilivyo. Ubarikiwe.
@SmilingCityMap-xb9md9 ай бұрын
Tatizo hakuna Neno katika hayo mafunuo @@samwelstephen6376
@lilianphilipo92192 ай бұрын
Neno limesema tunapaswa kuzijua hila za yule adui ndo hiki ambazo Mtumishi anatufundisha huwezi kupigana na adui wakati hujui mbinu zake lazima ujue mbinu za adui ili ujue namna ya kupigana naye vita. Kupigana kwetu si katika mwili ni katika Roho.
@beathaishengoma44699 ай бұрын
Nisaidie nimekuwa nkiota ndoto ya nyoka wa kijani kila wakati
@GlauryHaule2 ай бұрын
Mimi tu nimekula hiyo nyama ya mizimu kwenye mti mkubwa mkuyu
@GlauryHaule2 ай бұрын
Lakini kweli mjina mengine sio
@ElizabethMaimu-g4u9 ай бұрын
Naomba namba Yako mtumishi
@fitinamarando9 ай бұрын
PROMOVER TV Mbarikiwe wana wa Mungu, hii semina ni wapi?
@faridakigava4904Ай бұрын
Jactani tusaidie huyo mtu aje na kwetu huku moakani tunduma
@nancymumbua88259 ай бұрын
Kuota ukiona kila wakati unapikia njikoni ya kijijini mwenu mahali umelelewa ...wapikia tu wenye ulilelewa na wao na wazazi wako ..inamaana?
@MaaDii-iz3ur9 ай бұрын
Mtumishi mm naomba kuomba namba yako,nko saud arabia lakin nyumbani ni Kenya,nahitaji mazungumzo na wew kuhusu madhabahu ya ukoo maana kla nkiombea familia naota nko nyumbani ukoo wote ukokuzimu.
@NeemajolamokatalyАй бұрын
Mchungaji mimi apa naitwa julius john mm nimektana namajarimbu Mchungaji kama nigekuwa nanambar yako nigekwambi matatiźo yangu mi apa nilikuwa mchungaji ila kirichonikuta mchungaji natamani tuongee unsaidiye mchungaji tummies nambar yako
@AidaKantara26 күн бұрын
Jambo mchungaji, na omba msahada wa maombi nina nduguyangu ana vifungo vya familia yaani maicha yake yana ongozwa na shetani kabisa tume omba kila maombi lakini hayatiki