Рет қаралды 2,497
Familia ya mtangazaji nguli marehemu Leonard Mambo Mbotela imetangaza kuwa maandalizi ya mazishu yake yameanza. Kwa mujibu wa msemaji wa familia hiyo Donald Mbotela, tarehe na eneo la mazishi litawekwa wazi hivi karibuni. Wakati huo huo, aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga alitoa rambirambi kwa familia hiyo alipozuru nyumbani kwa Marehemu Mbotela. Raila alimtaja Mbotela kuwa mzalendo, rafiki na mshauri wa kisiasa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: twitter.om/KBC...
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive