Maandazi | Jinsi Ya Kupika Maandazi Laini Sana

  Рет қаралды 167,241

Mapishi rahisi

Mapishi rahisi

Күн бұрын

Пікірлер: 76
@sumaiyamikidadi3589
@sumaiyamikidadi3589 Жыл бұрын
Ma sha Allah. Shukran recipe simple sana hii sinunui tena maandazi asubuh
@prosistermsoma8540
@prosistermsoma8540 Жыл бұрын
Nimependa Sana mapishi yako❤❤❤❤
@MachoMkucha-rl2gv
@MachoMkucha-rl2gv Жыл бұрын
❤❤❤na mm pia nime pika leo yani wangu adi raha kweli ❤❤❤
@danetyang6797
@danetyang6797 Жыл бұрын
That was wonderful teaching! Straight to the point. Tengeneza recipe ya kiazi kikubwa kama 2kg unga or 4kg. Kwa wanabiashara. Thanks.
@mercywanjiku5184
@mercywanjiku5184 10 ай бұрын
Asanti sana kwa maelekezo pia nenda karibu💓🎯👏👏💃
@RenaldiGidion
@RenaldiGidion Жыл бұрын
Umeelezeaa vzur kbs
@catherinemichael578
@catherinemichael578 9 ай бұрын
Asant my nimeweza kupika ❤❤❤
@HHh-hk6wg
@HHh-hk6wg 3 ай бұрын
MashaAllah asubuhi kesho nko jikoni practical
@SamarithaMesco
@SamarithaMesco Ай бұрын
Asante dada nimejarib yametok Poa San ❤❤
@لوووي11
@لوووي11 17 күн бұрын
Shukran sana ukhti
@AdelinahEmmanuel
@AdelinahEmmanuel 11 ай бұрын
mandaz yako mazur mumy hongera name nmejarb matokeo mazur sanaaa
@mageMartin
@mageMartin Жыл бұрын
Yan vikombe viwili ndio kiac gn kwann usise nusu au lg kwasababu kila mtu anakikombe chake nyumbn kwake😢
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 7 ай бұрын
Dada kuna vikombe maalum vya kupikia na si kikombe chochote tu..kanunue mesuring cup hutopata tabu
@MisosimitamuC
@MisosimitamuC Ай бұрын
Ni robo
@SylviaMallya
@SylviaMallya 11 күн бұрын
Asante Mimi Hiv ndo naelewa​@@MisosimitamuC
@SylviaMallya
@SylviaMallya 11 күн бұрын
​@@MisosimitamuClakin robo sukar yote hyo
@MisosimitamuC
@MisosimitamuC 11 күн бұрын
@@SylviaMallya mimi sijamwambia sukari nimesema vikombe viwili ambavyo ni measuring cups kikombe kimoja ni 125 kwahiyo viwili ni 250g ambayo ni robo inaweza kua unga, sukari au chochote
@ZuwenaSalum-pd4ol
@ZuwenaSalum-pd4ol 9 ай бұрын
Daa yani niliangavideo zamandazi ayatoki kabisa lakini jana nimetizama hi njia yako mashallah mandazi laini yamevimba vizur nsnimeamka nayo malaini ningependa nione njia yako yachapati pia
@DORCAS-py7fh
@DORCAS-py7fh Жыл бұрын
Ohh yes Wacha nijalibu
@roro_khn.khn.440
@roro_khn.khn.440 Жыл бұрын
ماشاء الله ❤🇮🇶🌹
@SamwelKisambu
@SamwelKisambu Жыл бұрын
Thanks much
@akwirinaagustino
@akwirinaagustino Күн бұрын
Kwahiyo dada kama una pika kilo mbili una weka amila na baking powder kiasi gani??
@SharifaDadi-o6u
@SharifaDadi-o6u Жыл бұрын
Shkrani sana ahsantee
@FredyKileo-r8y
@FredyKileo-r8y 2 ай бұрын
Mm nilikuwa nakosea naweka chumvi nyingi😅😅
@pulcheriamayombo5780
@pulcheriamayombo5780 4 ай бұрын
Asante nimependa ni rahisi
@habibasabour6159
@habibasabour6159 Жыл бұрын
Masha Allah
@mosesoduor183
@mosesoduor183 19 күн бұрын
Asante❤❤
@MagrethKujela
@MagrethKujela 6 ай бұрын
nauliza ukiweka bakingpowder je baking soda hauweki? au ni ipi nzuri kat ya baking powder na baking soda?
@HamidaYusufuKazibure
@HamidaYusufuKazibure 8 ай бұрын
Ila kucha ungekata nimeisi kinyaa uwii!😂😂😢
@LucyKamagi
@LucyKamagi 4 күн бұрын
Naweza kukandia maji badala ya maziwa.???
@nuurasaid741
@nuurasaid741 Жыл бұрын
Mshlh nzuri sn
@YusuphSamson-gq7wj
@YusuphSamson-gq7wj 8 ай бұрын
Umezidisha hamira
@ZainaHalifa
@ZainaHalifa Жыл бұрын
Maashaallah maashaallah
@aisharashidi34
@aisharashidi34 5 ай бұрын
I like it 3:59
@st.juniorsilwimba9691
@st.juniorsilwimba9691 2 ай бұрын
❤❤❤❤ SHUKRANI
@FriminaKilawe
@FriminaKilawe 9 ай бұрын
Good good tr.kazi nzuri sana ndo nataka nianze kuifanya now
@jesicmichael-7982
@jesicmichael-7982 Жыл бұрын
Kwenye siagi naweza nikatumia blu band nisaidie plz
@shelinenyongesa
@shelinenyongesa Жыл бұрын
Ndio blueband i think so
@Julyoman
@Julyoman 7 ай бұрын
Nimejifuza niko oman na wameyapenda atar
@cookingwithmimmo
@cookingwithmimmo Жыл бұрын
Nimependa sana mapishi yako
@ummrayyan5539
@ummrayyan5539 Жыл бұрын
Mashallah 😊
@saphinaabdul4689
@saphinaabdul4689 Жыл бұрын
Nmeipenda ila kucha jitahidi uzkate
@sarahinchrist6309
@sarahinchrist6309 9 ай бұрын
Ndo mana katumia gloves!
@bintshariffmuhammad620
@bintshariffmuhammad620 Жыл бұрын
MashaAllah mandazi mazuri lakn makucha yakate sio simazuri
@divinahogamba
@divinahogamba Жыл бұрын
Umekuja kuangalia nails
@btz1026
@btz1026 5 ай бұрын
Leo nitajaribu nimsurprise babe
@NasamaMaine-zi7dm
@NasamaMaine-zi7dm Жыл бұрын
Asante dada
@nassiraalbahri7916
@nassiraalbahri7916 Жыл бұрын
Shukran ❤❤❤❤❤
@BlessingAntony
@BlessingAntony Жыл бұрын
Mpka uweke maziwa au? Au mziwa so lazima kuweka
@KhadijaMpinda
@KhadijaMpinda Жыл бұрын
Naomba unijulishe km unga kilo tatu vipimo vya. Amira vinakuaje
@FeiHussen
@FeiHussen 2 ай бұрын
Nice
@josephculturemukwe9271
@josephculturemukwe9271 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@charitymeshackMeshack
@charitymeshackMeshack 11 ай бұрын
Mim nimejarib yakaw magumu sijui nimekosea wp dada
@mariammioki5329
@mariammioki5329 11 ай бұрын
Jamani Mimi nashundwa kuyapika yanakua magumu yanajivuta nimezidisha nini
@Mwanaisha-h4h
@Mwanaisha-h4h 2 ай бұрын
Wou
@elizabethvukusi4523
@elizabethvukusi4523 Жыл бұрын
Naweza tumia Unga wa brown
@NeemaHaonga-rt6qu
@NeemaHaonga-rt6qu Ай бұрын
Sijasinzia akisema na chumvi
@sumaiyaahmad9214
@sumaiyaahmad9214 Жыл бұрын
Tamu sana
@tatuali1464
@tatuali1464 Жыл бұрын
Mashalh mazuri
@HaliimaJuma-b6k
@HaliimaJuma-b6k 11 ай бұрын
Najalibu leo
@VeledianaKalolo
@VeledianaKalolo 8 ай бұрын
Asante
@graceshansila
@graceshansila Жыл бұрын
Sijaona uweke mayai au ndo auweki mayai
@Alen-i9r
@Alen-i9r Жыл бұрын
😊😊
@chrissmart7870
@chrissmart7870 Жыл бұрын
Iike it
@kweliinayokuwekahuru9982
@kweliinayokuwekahuru9982 Жыл бұрын
Niweke nini ili maandazi yakae mda mrefu??
@osakoedward
@osakoedward Жыл бұрын
Maganda ya ndimu yaliyosiagwa.
@FatmaMohamed-mf9kx
@FatmaMohamed-mf9kx 8 ай бұрын
@happyjozeeh3433
@happyjozeeh3433 Жыл бұрын
Mandaz matam but huo unga ni kiasi gan dadaa tuambie ka ni nusu au 1kg
@alinekompaore4150
@alinekompaore4150 Жыл бұрын
Merci
@ZawadiMbuya-bx6lg
@ZawadiMbuya-bx6lg Жыл бұрын
Chumvi haiwekwi hata kidogo
@satwanthoogan6429
@satwanthoogan6429 Жыл бұрын
Haujaweka sukari?
@dorothynyaduwa3853
@dorothynyaduwa3853 Жыл бұрын
Ameweka dukari 1 cup
@badawyhaji9288
@badawyhaji9288 Жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋
@dorrismwenda5161
@dorrismwenda5161 Жыл бұрын
Costs com Lori top
@NelianaStephano
@NelianaStephano Ай бұрын
Nikoteari
@AnnaHanna-f2n
@AnnaHanna-f2n 2 күн бұрын
❤❤❤❤❤
Jinsi ya kupika maandazi/mahamri laini na mambo ya kuzingatia
10:03
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 1,8 МЛН
MAANDAZI YA BIASHARA MATAMU SANA NA LAINI‼️
8:26
Hadija Sheban
Рет қаралды 481 М.
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 42 МЛН
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
KALIMATI | Jinsi ya Kupika KAIMATI Tamu ZISIZONYONYA MAFUTA
6:28
BelsFarm Kitchen Swahili
Рет қаралды 10 М.
Surprise your guests at Christmas dinner! Juicy Stuffed Pork Loin in bacon.
12:23
Easy & Delicious Recipes
Рет қаралды 2,6 МЛН
HUTONUNUA MKATE TENA  BAADA YA KUANGALIA VIDEO HII
6:21
keki plus
Рет қаралды 1,7 МЛН
Jinsi Ya Kupika HalfKeki Za Biashara Zenye Faida Kubwa
5:34
Caroline Haro
Рет қаралды 90 М.
Как стоять на руках 😨
0:33
danpursey
Рет қаралды 1,2 МЛН
Oops, I cut Mom's Hair! 💇‍♀️ DIY Paper Craft for Fun Hair Time!
0:24
Emily's Playhouse - Learning Videos for Kids
Рет қаралды 19 МЛН