Hiyo ni changamsha game tu, No beef. Mashabiki tunawasikiliza wote, bora burudani iendelee 😂😂😂 vaniskaka
@macochal44235 ай бұрын
wanangu hii aibu ni kubwa sana kwa ndugu yetu kama unafatiria vizuri rap utajua nini namaanisha rapper yyte kupewa biti ili atuthibitishie kuwa ye ni bora lazima a flow nalo atakama ni ajajipaNGA VIPI ILA SIO KUTUAMBIA NA MISTARI AMBAYO NINayo ni ya nyimbo ambazo na plan kuzitoa that z bullshit mwamba amebugi step kwa kushindwa kutembea na hiyo he wont prove to us upon anything atakama tunamkubali shoutout to (maarifa these are li BARS)
@MtatuziTz5 ай бұрын
mziki vibe jrb kuelewa pia
@RichardCharo-zx3sy5 ай бұрын
The best reaction so far
@merryvankendri40215 ай бұрын
RASHID LUNYALILE. Hilo Ndo Jina La Young Lunya
@Khalidniya3805 ай бұрын
Mimi kibinafsi Lunya hua hanishawishi sana kwa Rap
@oujenouringi7676 ай бұрын
Sini mbuzi hapunguze minyasi ya moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ZaitunNdegwa5 ай бұрын
Fanya reaction yake hyo kaka vanny
@kingcopper_tz5 ай бұрын
Ila Vanny 😂😂😂 nakukubali sana kaka, all the way from Dar es salaam
@elvistheawesome48645 ай бұрын
vani sikaka tufanyie na nyimbo za maarifa Mbona za lunya huwa unafnyaga session zake Fanya reaction za maarifa Simshirikishi mtu Karibuni kibaha Maarifa ya maarifa 2,3 Acha ipepee
@moseskuria16 ай бұрын
When the name is bigger than the owner
@elvistheawesome48645 ай бұрын
Vani isikaka Maarifa anazo ngoma nyingi inabdi utufanyie hata 2 Kuna maarifa 2,3 kuna karibuni kibaha
@oujenouringi7676 ай бұрын
Tufanye hiyo
@degower5 ай бұрын
Young Lunya Anaitwa Rashid Lunyalile, Lunya ni Kifupi cha Sir Name yake LUNYALILE
@DDjay3196 ай бұрын
Respect bro😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@elvistheawesome48645 ай бұрын
KUNA WIMBO WA WEUSI UNAITWA "#HII HAPA" USITUNYIME UTAMU Fanya reaction wimbo huu wa weusi #Hii hapa hii
@Tungaraza07025 ай бұрын
Ulipo yatimba nimetimba 😂😂😂
@husseinkombo-34475 ай бұрын
maarifa ni mtu na nusu
@Julianstar_5 ай бұрын
Kaza braza uwe kam no life shaq wa us....sikupingi baba
@kingcopper_tz5 ай бұрын
Lunya, Maarifa, Con boi wote ni Rasheed
@blacksamaritan51675 ай бұрын
Huyu mwamba mnafiki sana 😂😂😂😂
@ChriswaMaria2 ай бұрын
Katika madogo wote yunya ni wa mwisho kwa upande wangu ila kinachombeba ana froo nzuri
@halidhakim8834 ай бұрын
Kweli lunyaa sio rapaa
@florencelegius13435 ай бұрын
🔥🔥🔥
@CHUYUTV6 ай бұрын
Hahaha ila ni aibu sasa si ange imba kama anajua
@omarihuseni15645 ай бұрын
Rashidi ni conboi
@Nackmctz_1135 ай бұрын
Kama ume wahi panda jukwaani ku perfom ukapewa beat uka zingua uta elewa hali alyo pitia lunya freestyle za wachache 😂😂
Oyah!!!! mbuz muacheni t! kama alivyo yule jamaah ni noma sana
@chichamusiq14985 ай бұрын
Pale hakuna msanii
@mrsavage76035 ай бұрын
So the tz big rapper is not bigger vile anajitapa. A rapper who can't freestyle !? Si waki battle live kama kwa 8miles atamezwa !? 😂😂😂😂
@smartyusufu16705 ай бұрын
10 za maangamizi
@SilvaCalistoCiprianoNkaimaАй бұрын
Fir💯👑
@dismanManota5 ай бұрын
Acha upuuzi young lunya ni the great
@PandaKakozi-n9i6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@elvistheawesome48645 ай бұрын
Kaka itabid uanze kufanya kumi za maangamizi Kuna Boshoo ninja Kuna maarifa Fanyaga na za dakika 10 za maangamiz
@youngcrous4 ай бұрын
van dakika za mangamizi 2018 2019 tuingembo kuzifanyia reactio youngkiller marifa young luya zile kali
@nikkithe2rd3835 ай бұрын
MBUZI kwa kizungu GOAT.,Greatest Of All Time
@ISSASHABANI-sw7lx5 ай бұрын
Kabaki tu na mashavu yake kama chura🐸hehehehehehe😂😂😂😂😂
@Kushnade5 ай бұрын
Maarifa kadandia bolo kwa mbele ishu haimuusu
@Meddyally-qh2er5 ай бұрын
Haikuusu wew
@Julianstar_5 ай бұрын
Maarifa tatzo ana kisaut fln ivi ch ajab
@Shokolokobango93855 ай бұрын
Maarifa ulifanya ngoma na janjaro beat na floo ulicopy kwa sarcodie mbona hatuja kusakama
@martynbarrack2104 ай бұрын
ati "basi mmalieze .... eeeh mbona easy"
@Stevekapugi6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Dance-challenges15 ай бұрын
Lunya anapiga kelele akaimbe tu mdundiko aisee😢
@chugaboy83185 ай бұрын
Rashid ni con boy
@KassimMwamtunda5 ай бұрын
Kiukweli kabisa young lunga ako na swag za kurap tu na uwa anajiongeza sana kujivimbisha ila Hana ushawishi na ukizungumzia marap ata top ten bongo hayupo
@texaz.nqtexaz5 ай бұрын
Reaction ya lunya wasafi na kumi za maangamizi
@tariknassoraucho58145 ай бұрын
Mzee tuletee io alofeli 10 za maangamizi
@marcosjorgepadiapuka136 ай бұрын
💥❤🫡
@daudiedsonrichard5095 ай бұрын
tatizo hawasikiki hadi wamdiss mbuzi, kwan akitengeneza ngoma yake ili asikike kuna shida? huo ndo ujinga, a real man stays quiet
@Babakeswanny5 ай бұрын
Kuna watu hawajui maana ya MBUZI
@MetoIgotyou5 ай бұрын
Rashid lunyamike
@NoelChambo5 ай бұрын
Kiukweli Lunya hakuna Rapper anayemuweza kwa flow tamu.
@NISHYBOY2556 ай бұрын
Sasa tangu young lunya afanye interview wasafi mpaka saiv ndo anatumia hio beat mbona haikuitumia hio hio siku anakuja kutowa leo week moja sasa ...yeye ndo ako na aibu na sio young lunya..marifa yy kajianda na lunya hakujiandaa sasa..which is which yy ndo fara...hamna kitu hapo ajisikia juu kapiga zoezi
@DanielChaula6 ай бұрын
😂😂😂😂
@ISSASHABANI-sw7lx5 ай бұрын
Wewe ulitaka atowe hiyo siku yako ili iweje na alishindwa kutambaa na bet
@BilaliBilaliamri5 ай бұрын
Fatilia music lunyaa ashawahi kufeli kumi za maangamizi pale east Africa redio wala usitete lunya kawaida sana live beat