Рет қаралды 156
🔵🔴 @mabanoshaban 🇧🇮 mchezaji wa AS Port 🇩🇯: "Palikua baadhi ya watu ndo walisababisha mimi nisifiki mbali ndio walio kuwa wana bana. Mimi ndie nilieanza kutafutwa Uturuki kabla ya @ndayishimiyeyoussuf ''Nyanga'', mimi nilitafutwa na wa meneja wengi na wanaskitigaga sasa kuona bado ningali Afrika. Kwasasa ndoto kubwa ya kuisaidia timu ya taifa Intamba mu Rugamba officiel nina amini kua kuna siku nitarudi kucheza na Nyange."
#akezasports #lesbeautesdecheznous #emission