MABAROBARO MAZIMA YANAVAA BANGILI NA CHENI, HALAFU HAYANA NGUVU ZA KIUME || SHEIKH NYUNDO

  Рет қаралды 266,817

Ibrahim Zancom

Ibrahim Zancom

Күн бұрын

Пікірлер: 145
@HAMISIALLI-b8p
@HAMISIALLI-b8p 7 ай бұрын
Allah akurehemu shekh nyundo na ukupe mwanga na akupunguzie adhabu za kaburi
@buruhaniimamusherukingatz4358
@buruhaniimamusherukingatz4358 Жыл бұрын
Mungu amuondoshee kshehe wetu ndani ya kaburi lake liwe mashimo katika mashimo mazuriii amin
@hassanmkumba5852
@hassanmkumba5852 Жыл бұрын
Kaburi lake liwe kati ya bustsni ya Peponi
@yusufurajabuomari647
@yusufurajabuomari647 Жыл бұрын
Allhah akusamehe makosa yako na alifanyekaburi lako kuwe miongoni mwa viwanja vya peponi wewe pamoja na waumini wengine waliotangulia mbele za haki Inshaallha
@nishumkastudio4170
@nishumkastudio4170 Жыл бұрын
May Allah grant him janatul firdows,Amiin ya allah
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 2 жыл бұрын
Al Habib nyundo umetuwachia mzigomkubwa sasa hivi watu wanazidi kuangamia wakutuonya mnaondoka Allah akulipeni Janna kwamlioyafanya Amina
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Ameen
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 жыл бұрын
Amin yarab
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 жыл бұрын
Alifanya kaxi kubwa sana mungu amuhifadhi na ampe darja ya juu kabisa kwa alichotufanyia
@athmanmuhammed7333
@athmanmuhammed7333 2 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu Amrehemu sheikh nyundo
@hamadimuya7248
@hamadimuya7248 2 жыл бұрын
Allah akulipe sheikh nyundo na akusemehe madhambi yako yote na akuepusha na adhabul ghabri..
@zeitunazei2442
@zeitunazei2442 2 жыл бұрын
Amen
@domcityfarmingcenter7754
@domcityfarmingcenter7754 2 жыл бұрын
MASHAALLAH ALLAH AKUSAMEHE DHAMBI ZAKO NA AKUJAALIE PEPO 🙏🙏🙏
@suleman-ox7ce
@suleman-ox7ce Жыл бұрын
Mungu akupe sheikh nyundo kitabu chako cha a'mali kwa mkono wa Kulia.amiin
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 2 жыл бұрын
ALLAH AKUANGAZIE NURU KTK KABURI LAKO 😰🤲
@abdallahmajura2519
@abdallahmajura2519 2 жыл бұрын
Allah akurehemu sheikh wetu
@yusuphhugugu9759
@yusuphhugugu9759 2 жыл бұрын
Mashaallah.... MWENYEZI MUNGU MTUKUFU akujalie kila la kher uko ulipo
@swaumuntandu9127
@swaumuntandu9127 Жыл бұрын
Mashallah 🥰, mwenyez mungu akuweke habity. Pepo ya firdaus iwe stail yako, inshallah
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 Жыл бұрын
Amiin
@Abdallahmohamed72
@Abdallahmohamed72 Жыл бұрын
Amiin thummah amiin
@kombomaulid1249
@kombomaulid1249 2 жыл бұрын
Allah will pay your good heart of talk to the truth
@raziaidd2392
@raziaidd2392 2 жыл бұрын
Allah akurehem sheikhe wetu
@kinkybanjukome217
@kinkybanjukome217 Жыл бұрын
Aamiin yaa raabbal aalamiin
@haithamjuma2472
@haithamjuma2472 2 жыл бұрын
Ni mtihani kwa kweli wao waona ni fesheni kumbe hawajui wanajishusha hadhi. Allah akurehemu sheikh wetu nyundo yako itabaki kugonga tu
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
Amiin yarabal alamin
@khalidhaji8570
@khalidhaji8570 2 жыл бұрын
HAKIKA amesema kweli Al habib Marehemu shiekh Nyundo , INSHA ALLAH BIIDHILLAH KAREEM ALLAH (SW) AZIDI KUKUHIFAHDI INSHA ALLAH MILELE na sisi tupo nyuma YAKO TUTAONANA JANNA BIIDHILLAH KAREEM.
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Ameen insh allah
@raziaidd2392
@raziaidd2392 2 жыл бұрын
Ameen
@alihemed
@alihemed Жыл бұрын
Aamin
@jumamohammed5378
@jumamohammed5378 2 жыл бұрын
Allah amrehemu Aaaamiin
@EdsonBenedict
@EdsonBenedict 10 ай бұрын
Allah akusahe dhambi zako shekhe
@SbOm-b7k
@SbOm-b7k 6 ай бұрын
Allahu aqbar, Wallahi hatunawezo wala guvu ,basi tu binaadamu tumeisaha akher yetu, Allah akuraham ulikua anatukumbusha mambo mazur Wallah Allah alikuhitaji Aid
@ahmedyusuf9634
@ahmedyusuf9634 2 жыл бұрын
Allah yarham sheikh nyundo ameen
@ahmadjuma-xx5nd
@ahmadjuma-xx5nd 7 ай бұрын
Allah akurehemu sheh nyundo na alitiye nuru kabur lako na akupe kitabu chako Cha amali kwa mkono wa kuliya
@BiushiNaaman
@BiushiNaaman Жыл бұрын
Allah akurehemu ailaze roho yk mahali pema peponi
@lawskuli9876
@lawskuli9876 Ай бұрын
Allah akufanyie wepesi katika njia ya kuingia peponi. AMIN.
@hamisdad
@hamisdad Жыл бұрын
Allah akupe Nuru amina
@maulanasayid6953
@maulanasayid6953 2 жыл бұрын
Mashalahu mungu akurehemu
@abdiadan4837
@abdiadan4837 2 жыл бұрын
Masha Allah, mola mlezi akurehemu
@mussamuhoza5774
@mussamuhoza5774 9 ай бұрын
May Allah grant him janatul firdaus 🤲🏽
@faridaali6850
@faridaali6850 2 жыл бұрын
ALLAH akurehemu 😭
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez 7 ай бұрын
Jamani tumsalieni mtume Muhammad. (S w)Allah akbar 😢😢😂😂mungu amrehemu shekhe nyudo ishaallah 😊😊❤
@ahmedhamisi8335
@ahmedhamisi8335 2 жыл бұрын
In shaallah mwenyezi mungu amrehemu shekh wetu
@abuusirleh8196
@abuusirleh8196 Жыл бұрын
👐👐
@musawaziri648
@musawaziri648 7 ай бұрын
msema kweli kipenzi cha mungu shekhe nyundo ni miongon mwao mungu amjalie pepo
@HarryKane-x3s
@HarryKane-x3s 7 ай бұрын
Allah akujalie pepo ya firdaus akuondoshe adhabu y kaburini
@nassorochura7838
@nassorochura7838 Жыл бұрын
mungu msamehe madhambi yake mpe pepo iliyonjema
@AbassNgosele
@AbassNgosele Жыл бұрын
Mashallah unasema ukweli sheikhe
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah shelkh wetu Allah hakupe pepe ya fildas
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Ameen
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 Жыл бұрын
Amiin 🙏
@QChief
@QChief 2 жыл бұрын
Mashaaaalah tunakukukbuka sn maneno mazitoo
@salmamakame6439
@salmamakame6439 2 жыл бұрын
Allah akurehem kaka yetu akujaalie firdaus iwe makaazi yako
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Ameen
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 жыл бұрын
Aamin
@najmanajma963
@najmanajma963 2 жыл бұрын
Amiin thuma amiin yarab
@fatmamsiliwa8485
@fatmamsiliwa8485 2 жыл бұрын
Amiiin
@Issamuemede
@Issamuemede 6 ай бұрын
Allah akulinde na adhab za kabr na haletewanga milele ktk kabr lako shee nyundo😢😢😢😢😢😢😢
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
Allha akurehemu shehe wetu 1:16
@GudgudKitika
@GudgudKitika 5 ай бұрын
Mashalaah mungu akusameee sheer wetuu
@nasseralmaqbali6317
@nasseralmaqbali6317 2 жыл бұрын
Allah akurehemu ya shekh Hassan
@ramadhanbaraka6474
@ramadhanbaraka6474 2 жыл бұрын
Mngu akurehemu sheikh nyundo umefuzu MashaALLAH.
@mussavande-mcstar1890
@mussavande-mcstar1890 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi Al marhoom shekhe nyundo yaani uliongea Kwa hisia kali sana😢
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Ameen
@faridaikussi
@faridaikussi Жыл бұрын
Kbs
@allymbarouk5362
@allymbarouk5362 Жыл бұрын
Rahimahullahu alaihi
@HamidaShabani-ys1po
@HamidaShabani-ys1po Жыл бұрын
Allah amuhifadhi shekhe wetu Allahumma amiin
@ramlaomar7923
@ramlaomar7923 2 жыл бұрын
Mungu akuhifadhe shkh
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Ameen
@AzhadSaid-j1t
@AzhadSaid-j1t 6 ай бұрын
Mungu amlaze pema pepon amsamehe makosayake
@saidyshein8256
@saidyshein8256 2 жыл бұрын
Mungu akupe wepesi
@daretowatch7214
@daretowatch7214 Жыл бұрын
Allah akurehemuu😢
@aishaarusha894
@aishaarusha894 2 жыл бұрын
ALLAH akurehemu nyundo
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Ameen
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib Ай бұрын
Innalilai waina lilailajun chuma lko nyundo kaenda nauzuliwake
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 2 жыл бұрын
Yaa Allah Mrehemu shekh huyu alikuwa anajituma sana
@ramzaomar3067
@ramzaomar3067 2 жыл бұрын
Ameen yaa Rabbal alamin
@muhammedyussuf8406
@muhammedyussuf8406 Жыл бұрын
Ameen yaarabbi
@SaidKhamis-sb1dl
@SaidKhamis-sb1dl Ай бұрын
Ameen
@Hawa-d2q
@Hawa-d2q 7 ай бұрын
Allh akuingize peponi amin
@GatekaFatma
@GatekaFatma 7 ай бұрын
Naimani hakuna mkamilifu duniani Allah akurehem shekh Wetu na akusamehe uloyatanguliza
@mariamhamad4171
@mariamhamad4171 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi shekh wetu maskin hakika soteniwaja wa Allah nakwake ndiomarejeo yetu
@ashanjeri5281
@ashanjeri5281 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi
@mohamedhajj9881
@mohamedhajj9881 2 жыл бұрын
Mashalla mungu akuhifadhi
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Ameen yarabby
@najmanajma963
@najmanajma963 2 жыл бұрын
Amiin thuma amiin yarab
@najmanajma963
@najmanajma963 2 жыл бұрын
Allah akuhifadhi inshaAllah 🤲🤲🤲🙏🙏🙏
@abdillahbakar8476
@abdillahbakar8476 2 жыл бұрын
Uhakika yani
@SociedadeSust1234
@SociedadeSust1234 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu 😭
@alimashua632
@alimashua632 2 жыл бұрын
Kweli mambo meng hatufai kufnya tunamdarau mungu San
@hawaabdallah4782
@hawaabdallah4782 2 жыл бұрын
Masha allah
@StevenMutale-xt9yj
@StevenMutale-xt9yj 2 ай бұрын
Mungu akusaidie sana uko uliko
@fgg8794
@fgg8794 Жыл бұрын
Mashaallah I lovo you so much Allah
@bakarkhamis5369
@bakarkhamis5369 2 жыл бұрын
Allah akurehemu
@noot-oe2mw
@noot-oe2mw Жыл бұрын
Shelkh Hassni Allah hakujalie Pepo ya Firdausi
@marshaly8473
@marshaly8473 2 жыл бұрын
Allah Arham amlaze pema peponi shekh nyundo
@hassannuno5553
@hassannuno5553 2 жыл бұрын
Allah akurehemu sheikh 💛
@AsumanRamazankanick
@AsumanRamazankanick Жыл бұрын
Hakika maneno mzuri sana
@AbdulrazakOmar-qu8wm
@AbdulrazakOmar-qu8wm Жыл бұрын
Alhamdulillah 🤲 kwa kutupa mu ongo wa dini
@nabawiyaissa387
@nabawiyaissa387 Жыл бұрын
Muongo kivip??
@platiniali8609
@platiniali8609 Жыл бұрын
Imam mkubwa uyu
@mwarukunikiwera1439
@mwarukunikiwera1439 2 жыл бұрын
Duhh subhanallah
@gsplundi1327
@gsplundi1327 Жыл бұрын
Allah wahkubaro
@muslimmuslim512
@muslimmuslim512 Жыл бұрын
Allah akhulehem
@salmamakame6439
@salmamakame6439 2 жыл бұрын
Ameacha pengo kubwa mkemeaji maafa kama yye hatuna tena Allah akurehemu
@shamsaalrahbi5573
@shamsaalrahbi5573 2 жыл бұрын
Hakika
@ShabaniSudi-wf1of
@ShabaniSudi-wf1of 2 ай бұрын
Ameen
@hassanmkumba5852
@hassanmkumba5852 Жыл бұрын
Allah amrehemu
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 жыл бұрын
Siku hizi wanaume wanavaa urembo kuliko hata Wanawake
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 Жыл бұрын
Kweri kabisa
@eliyanorobeth8567
@eliyanorobeth8567 2 жыл бұрын
Njaaa mbaya
@abullahkabaka8774
@abullahkabaka8774 Жыл бұрын
Daimond duniani hayuko na akhira huzengewa, yeye na babake wanafanya istizae kwenye dini ya kiislamu, mungu awaongoe
@abdullaabdullahmpakanjia2336
@abdullaabdullahmpakanjia2336 2 жыл бұрын
Naam mwalimu mwenyezimungu alifanye kaburilako liwebustani miongoni mwabustani zapeponi
@cashyngendo7052
@cashyngendo7052 2 жыл бұрын
Am a Christian and l have lived in Arab countries where l understand men don't wear chains or gold ring gold belongs to women and girls men only wears ring
@SmartSmart-n4i
@SmartSmart-n4i 26 күн бұрын
Exactly
@timanighosto888
@timanighosto888 2 жыл бұрын
Nice🙏
@aminashariff8784
@aminashariff8784 2 жыл бұрын
Allah akupe jannatulfirdaus
@henrishjohn8783
@henrishjohn8783 7 ай бұрын
Mafundisho mazuri
@yasirsaidealidade7717
@yasirsaidealidade7717 2 жыл бұрын
King kina
@husseinboru6613
@husseinboru6613 Жыл бұрын
Yuko mbele ya haki
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 Жыл бұрын
Rabii wasamehe wenzatu walotangulia
@twahatembo7818
@twahatembo7818 2 жыл бұрын
Harmonize
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi Жыл бұрын
😮
@lonelyparent
@lonelyparent 2 жыл бұрын
Usipige kelele na Jasho kukutoka kama uko vitani,ongea pole pole taratibu kama ma Shekhe wa makka na madina,wapole sana.
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 2 жыл бұрын
Anapotosha watu kusema eti wazungu makafiri ! Teknlogia yote hiii hawana akili
@yussufsuleyman2548
@yussufsuleyman2548 2 жыл бұрын
Sharif yussuf
@maxcharles5436
@maxcharles5436 Жыл бұрын
Mi mroma lkn huyu yupo vzr
@fgg8794
@fgg8794 Жыл бұрын
Akuna
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 2 жыл бұрын
Mavazi siyo dini nafisi yako na imani yako ndiyo dini
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 2 жыл бұрын
Ingia msikitini na suruale ya kipande ukaswali. Ndugu yangu mavazi ni muhimu kwenye dini yetu
@nyatya199
@nyatya199 2 жыл бұрын
Basi tembea uchi ubaki na nafsi na imani yako , Kama mavazi si katika dini
@zully756
@zully756 2 жыл бұрын
Dini mfumo wa maisha,Kulala, kula , kwenda chooni, kuvaa na kuishi maisha ya mtume kwa masaa 24 kwa maisha yako yote ni DINI.
@athumansuphian5891
@athumansuphian5891 2 жыл бұрын
Wewe unaesema mavazi wewe hujielewi kabisa tembea uchi basi tuone acha ufala wewe nenda kasome dini yako vzr
@abdallahshekibula3939
@abdallahshekibula3939 2 жыл бұрын
Huwez kufanya ibada km hujajistr
@teddysanga1840
@teddysanga1840 2 жыл бұрын
Hata mick unayo tumia katengeneza kafili sasa kama ww MUNGU anakusaidia mbona hujui kitu chochote kazi kupiga mdomo
@fgg8794
@fgg8794 Жыл бұрын
😂😂😂
@johnjonath6687
@johnjonath6687 2 жыл бұрын
Makafili ndo nn bas
@amurimzungu-tn4jf
@amurimzungu-tn4jf Жыл бұрын
Kafiiri yule aliyekufuru mitume na ujumbe wao so kama unamkubali mtume mmoja na unawakataa wengine basi mtu atakua hajaamini kwani mitume wote wamekuja na ujumbe mmoja so kama mtu anasema anamuamini yesu au kwa Jina Lengine katika kuran Issa mwana wa Mariam so na unamuamini na lakini unamkata mtume Muhammed rehma na Amani ziwe juu yake basi utakua hujaamini bado na ikiw mtu anamumanini mtume Muhammed na anamkataa yesu Issa basi au mitume mengine basi utakua hujaamini kwani mitume wote wamekuja na kazi moja na kutaongoza sisi wanadamu kufanikiwa hapa na maisha ya milele huko akhera so sisi waislamu tunamuamni mtume Muhammed ndio mtume wa umma huu na ndio mtume wa mwisho na tunamuani Issa mwana wa Maryam au yesu kuwa alikua mtume na Tena miongoni mwa mitume watukufu na tunawaamini mitume yote waliopita na ndio Habari zao zimo katika quran, so ukiwa utamuamini mmoja na unawakata wengine basi mtu ndio anaitwa kafiri aliyekufuru ujumbe
@rashidiwaiti6686
@rashidiwaiti6686 2 жыл бұрын
Mjingaa falaa Sana huyoo mpaka eleeni itakuwa ana..............huyoo
@Biography9987
@Biography9987 Жыл бұрын
Allah akurehemu sheikh nyundo
SHUHUDIA DRONE CAMERA ILIVYO NASA MAMBO KWENYE MSIBA WA SHEIKH NYUNDO
16:23
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 326 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
WATU WANALAWITIANA, UTASKIA NIPE TIGO KWA MANENO YA VIJANA
7:33
Ibrahim Zancom
Рет қаралды 100 М.
KAULI YA MWISHO KABLA MAUTI YA SHEIKH NYUNDO
4:07
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 199 М.
KUNA MAKUNGWI KAZIYAO MATUSI TU //SHEIKH NYUNDO
19:13
arkas online tv
Рет қаралды 127 М.
MUHUBIRI SHAFII AWATIKISA WAISLAM MBAGALA
16:10
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 114 М.
UNAZITOLEA MACHO MALI ZA WATU UNAJUA WAMEZIPATA VIPI?// SHEIKH NYUNDO
32:53
MIDOMO ISHAWAUMIZA WENGI //SHEIKH NYUNDO
38:05
arkas online tv
Рет қаралды 8 М.
WANAVAA PETE ZA VIDOLE VYA MIGUU  WAHUNI//SHEIKH NYUNDO
23:51
arkas online tv
Рет қаралды 22 М.
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36