No video

MABORESHO KATIKA TENDO LA NDOA KWA WANANDOA

  Рет қаралды 815,891

MITIMINGI ONLINE TV

MITIMINGI ONLINE TV

6 жыл бұрын

Somo hili ni kipande tu cha somo, Endapo utahitaji masomo yanayohusu Tendo la ndoa kwa wanandoa tu, wasiliana nasi uweze kupata masomo haya na uboreshe na kuimarisha ndoa yako.

Пікірлер: 170
@omarikintu8642
@omarikintu8642 6 жыл бұрын
Somo hili ni nzuri sana,nilikuwa na tatizo na mke wangu tuliposikiliza kwa pamoja somo hili nimegundua mabadiliko makubwa,shukurani sana Mchungaji
@sesiliachungu1118
@sesiliachungu1118 4 жыл бұрын
Nimelipenda somo baba ,ukapumzike kwa amani
@njiaUpdate
@njiaUpdate 6 жыл бұрын
Barikiwa sana mtu wa Mungu.
@yohanajulias142
@yohanajulias142 Жыл бұрын
Hahahahahahahaha maziwa ni watu wawili nimeipendaa hili Somo barikiwaa
@fettysaidcharata5974
@fettysaidcharata5974 5 жыл бұрын
Duh noma sanaaa hongera kwa elim nzur lakin wanaume wengi wa sasa ivi hawaridhki hata umpe kla dakka
@salummpala4176
@salummpala4176 4 жыл бұрын
Mungu Akuweke Sehemu salama
@mariamakinda7155
@mariamakinda7155 6 жыл бұрын
somo nzuri sana mitimingi ubarikiwe sana kwa mafundisho mazuri sana kwakweli
@charlesjames7144
@charlesjames7144 5 жыл бұрын
Somo nzur sana me slim
@samsalum7156
@samsalum7156 5 жыл бұрын
Saf sana
@omarikintu8642
@omarikintu8642 4 жыл бұрын
Ulienda mapema sana mtumishi,tulikuwa bado tunakuitaji kwenye mafundisho yako mazuri.
@modestmushi7934
@modestmushi7934 6 жыл бұрын
wow! great. thanks for the nice and genuine lectures
@loisafelix881
@loisafelix881 6 жыл бұрын
Asante, pastor. Wadada Mungu anawazoom!
@aeroportonissan8077
@aeroportonissan8077 6 жыл бұрын
msomi mzuri wa elimu hii. nimekukubali kwa elimu uliyoisomea vyema
@hilarymsigwa8769
@hilarymsigwa8769 6 жыл бұрын
Dr. wewe ni msaikolojia kweli nakukubali mno baba
@alexandermtambala9039
@alexandermtambala9039 6 жыл бұрын
Hilary Msigwa
@maureenmuhonja722
@maureenmuhonja722 6 жыл бұрын
asante kwa funzo nzuri
@alexandermtambala9039
@alexandermtambala9039 6 жыл бұрын
Maureen Muhonja
@rhinaregina5806
@rhinaregina5806 6 жыл бұрын
Wow thank you for great massage I love this massage because I am close of my wedding
@allysingu4179
@allysingu4179 5 жыл бұрын
Asante sana mungu akubarik sana.
@adesankaandre9434
@adesankaandre9434 6 жыл бұрын
Ahsante kwa masomo mazuri
@geofreyjohnn4267
@geofreyjohnn4267 6 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@mipawatambu7146
@mipawatambu7146 6 жыл бұрын
sawa sir
@graceoisso3238
@graceoisso3238 5 жыл бұрын
Asante kwa somo mwalimu. Kwa eneo hlo najitahidi 😂😂😂
@johnnanjero5431
@johnnanjero5431 6 жыл бұрын
Nakupenda sana professor ubarikiwe
@sifagubandja1589
@sifagubandja1589 2 жыл бұрын
Papa I will miss you forever and ever my best teacher
@stellaedward7726
@stellaedward7726 6 жыл бұрын
Very interesting mheshimiwa
@onesmojeremia9713
@onesmojeremia9713 6 жыл бұрын
Mwl..ulichokisema nikweli kabisa mm hili tendo LA ndoa linasafisha akili kweli. kweli
@yohanasimtenda748
@yohanasimtenda748 6 жыл бұрын
kweli kabisa, Mafundisho kama haya ni adimu sana kwa wapendwa.
@fidelakili8544
@fidelakili8544 6 жыл бұрын
Ina ku bidi kuja apa Congo
@liliansanga8188
@liliansanga8188 6 жыл бұрын
amina baba, napendaga sana vile unafundisha, nakumbuka nilikuaga mbeya ulifundisha pale teku hall, ubarikiwe mno mchungaji
@user-sk2xr7yv3h
@user-sk2xr7yv3h 6 жыл бұрын
Nice mafundisho Baba ubalikiwe
@davineryohannes8942
@davineryohannes8942 4 жыл бұрын
Saw pastor
@yohanammbaga3835
@yohanammbaga3835 6 жыл бұрын
Barikiwa sana mwalim nimejifunza sana
@user-ui5ut6xp3z
@user-ui5ut6xp3z 6 жыл бұрын
Ha ha Mr Miti mingi uwi Eti kwan unaenda kupndsha magunia grofan
@vesitinalevocatus4886
@vesitinalevocatus4886 6 жыл бұрын
nakupenda sana maana huwahufichi unafundisha sawasawa bilakuchengesha
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 6 жыл бұрын
Asante mkuu kwa mafundisho mazuri
@agathonliabwike7135
@agathonliabwike7135 5 жыл бұрын
Very nice message nimeipenda mchungaji
@finiasfidelis1475
@finiasfidelis1475 5 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri Dr
@thedylembris4701
@thedylembris4701 6 жыл бұрын
Karibu Arusha mtumishi
@edwinmwenda5851
@edwinmwenda5851 5 жыл бұрын
Somo zuri nimelipenda
@catherinegachii6746
@catherinegachii6746 6 жыл бұрын
wooow what a lesson ....
@nikkilaizer1707
@nikkilaizer1707 6 жыл бұрын
kweli Doctor upo vizur sana nmebarikiwa na kujifunza sana
@luciekalume5784
@luciekalume5784 6 жыл бұрын
Sasa mwanaume mwenye hataki kufanya tendo landowa huyo nimuzima kweli?
@martinerichard5827
@martinerichard5827 4 жыл бұрын
Thank you Mwalimu kwa mafundisho mazuri, Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani! Mafundisho yako daima yatadumu mioyoni mwetu!
@imanimagesa1966
@imanimagesa1966 4 жыл бұрын
tunashukuru mchungaji kwa mafundisho ya ndoa ubarikiwe sana
@eliphaseibrahim646
@eliphaseibrahim646 6 жыл бұрын
Nimejifunza mengi sana katika somo hili japo ni kijana, Shukrani za dhati zimwendee mwalim wa somo hil
@amourtotale709
@amourtotale709 4 жыл бұрын
I cant believe you are gone.😱😱😭😭 you did your part.rest in power in heaven pastor.
@samalmbise8887
@samalmbise8887 5 жыл бұрын
Asante kwa somo mchungaj
@doramarcel1013
@doramarcel1013 5 жыл бұрын
Nimelielewa saaana hili somo, ubarikiwe saaana mkufunzi
@evachanjarika170
@evachanjarika170 6 жыл бұрын
Mungu atusaidie. Amen
@asifiwejohn6124
@asifiwejohn6124 5 жыл бұрын
hakika mtumishi barikiwa sana
@salimalqartubi3038
@salimalqartubi3038 5 жыл бұрын
somo zuri sana nazidi kujifunza ubalikiwe sana mtumishi
@sarasospeter8280
@sarasospeter8280 5 жыл бұрын
ubarikiwe.sana.kwa.fundisho.kubwa.
@alenjames6810
@alenjames6810 6 жыл бұрын
Dah!!!!Barikiwa sana mtumishi , Nimejifunza kitu japo sijaoa
@pendodaud7244
@pendodaud7244 6 жыл бұрын
Alen James Naomba uoe alen james
@michaeljonas7497
@michaeljonas7497 6 жыл бұрын
+Pendo Daud my best we umeolewa?
@olivermfinanga1268
@olivermfinanga1268 5 жыл бұрын
Alen jemsi fany uoe mtumish
@AliMohamed-kd1uc
@AliMohamed-kd1uc 6 жыл бұрын
napendaga masomo yako ubarikiwe sana
@hamiscosmas4667
@hamiscosmas4667 6 жыл бұрын
Asante mwalimu
@jacobtesha4043
@jacobtesha4043 6 жыл бұрын
Asante mwl.
@fettyfetty6091
@fettyfetty6091 5 жыл бұрын
Ubarikiwe kwakweli
@aishahaisha4941
@aishahaisha4941 5 жыл бұрын
Kwa kweli nimepata hatua kwenye mafundisho yako ya ndoa ubarikiwe Sana
@barakasylvester83
@barakasylvester83 6 жыл бұрын
hongera sana pastor.
@einothroberth1706
@einothroberth1706 5 жыл бұрын
Ila kwanini unawatetea wanaume tu kwanini usiongelee pande zote, mimi naumia kwasabab unakuta unamfanyia Mwanamume Kila kitu lakini bado hatulii
@gideons5265
@gideons5265 6 жыл бұрын
Mwalimu wangu unagonga hatari..... Am Gideon Lulabuka
@user-ui5ut6xp3z
@user-ui5ut6xp3z 6 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa elimu
@rahmamusa1152
@rahmamusa1152 4 жыл бұрын
Somo zuri ubarikiwe
@estarmunuo4232
@estarmunuo4232 5 жыл бұрын
Good
@hellenjonson9247
@hellenjonson9247 5 жыл бұрын
Ntakua nampa mume wangu kila anapohitaji
@khalidkhalfan1882
@khalidkhalfan1882 6 жыл бұрын
Barikiwa mchungaji ahsante kwa mafundisho
@gerwaldalwena1210
@gerwaldalwena1210 6 жыл бұрын
asante Kwa masonzo mazuri ya ndoa
@salehelufedha833
@salehelufedha833 6 жыл бұрын
Nice cut
@patrickmbogo1885
@patrickmbogo1885 5 жыл бұрын
Duh ubarikiwe sana bishoop yanii mungu akupe maisha malefu somo nxuri sana
@mwandjammbandoci1029
@mwandjammbandoci1029 3 жыл бұрын
Nimecheka sana ila umeongea point mwalimu, pumzika kwa amani
@moidasilwamba1482
@moidasilwamba1482 6 жыл бұрын
Umeeleweka Mwl.
@aronmbele8828
@aronmbele8828 6 жыл бұрын
Mmmmm safi
@fibioko8916
@fibioko8916 6 жыл бұрын
amen
@wilfredroberttv7619
@wilfredroberttv7619 4 жыл бұрын
Hii ni ukweli kabisa
@AliM-di8dz
@AliM-di8dz 6 жыл бұрын
Jamani sasa mhhhh kila.. wakati tu kazi IPo.
@SirdickOmondi
@SirdickOmondi 4 жыл бұрын
Halleluyaaah.....
@angelshoo1153
@angelshoo1153 5 жыл бұрын
Huwa simkinai huyu baba sindano za moto kama kawaida 😂😂
@annamushy2920
@annamushy2920 5 жыл бұрын
Nimefrahi Bba ila wanaume hamrithikiii mmezidi kuchepuka mno,kila mnachokiona mnataka kufakamia hata kama umetoa kwa mkeo muda huo huo.
@barikiwa22
@barikiwa22 6 жыл бұрын
Sawa ila bado wanaume wengi ni waroho hata uumpe vp bado Hilo tendo ataenda inje kupata pia.
@bongetpinto2742
@bongetpinto2742 6 жыл бұрын
umempa mara ngapi kwa wiki na bado akaenda nje?
@mwashasule6689
@mwashasule6689 5 жыл бұрын
Inategemea
@crispinankya7437
@crispinankya7437 5 жыл бұрын
Hangay
@josej9888
@josej9888 5 жыл бұрын
Uzidi kubarikiwa mchungaji.
@elibarikimaussa907
@elibarikimaussa907 5 жыл бұрын
kweli ulichosema mimi mwenyewe naweza kila siku ni kwamba ninapotezea tu siku zingine
@zulfaibrahim6766
@zulfaibrahim6766 4 жыл бұрын
For sure,,,, daaaa....
@julianacharles9828
@julianacharles9828 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂asiote anakumbizwa. Duh!isee 😂😂😂
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 4 жыл бұрын
Haifai kutumika mwanamke kinyume na maumbile,imesahaulika hii , pamoja na siku za hedhi .
@happynesssulle8369
@happynesssulle8369 5 жыл бұрын
nice
@mwashasule6689
@mwashasule6689 5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi
@SallykenyaKenya
@SallykenyaKenya 5 жыл бұрын
Very nice
@enosjames9342
@enosjames9342 5 жыл бұрын
Asant kwa ujumbe wako
@mollelaloice398
@mollelaloice398 6 жыл бұрын
somo zuri kiukwel
@dengerengisaruni1859
@dengerengisaruni1859 5 жыл бұрын
Wewe ndoo mchungaji wa ukweli achana hawa watapeli wa siasa
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 6 жыл бұрын
Onesmo Jeremia umenifurahisha
@innocentvalentinb52
@innocentvalentinb52 4 жыл бұрын
Rest In Peace ✌️ my Paster
@josephinemkirindi3671
@josephinemkirindi3671 6 жыл бұрын
Thanks nimekuelewa mwalimu
@miltonnasony7785
@miltonnasony7785 5 жыл бұрын
good
@scolaroselaurent3267
@scolaroselaurent3267 4 жыл бұрын
Bwana asifiwe naomba nisaidie nachanganyikiwa simuelewi mume nisaidie nimechoka nipo Jirani na kanisani kwako napaje Huduma nisaidie nimefika mwisho
@gloryanistarick2848
@gloryanistarick2848 4 жыл бұрын
R.I.P. tutakukumbuka kwa vingi.
@yudaseleman8320
@yudaseleman8320 4 жыл бұрын
Anaeolewa anakunywa bia kunandoa apo?
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 жыл бұрын
👍
@hopeian4245
@hopeian4245 4 жыл бұрын
RIP Pastor
@pastorbugeraha6529
@pastorbugeraha6529 6 жыл бұрын
yaani ww mbaba unanibariki saaana
@albertoarcangel5859
@albertoarcangel5859 5 жыл бұрын
😳
@akinyililian3330
@akinyililian3330 6 жыл бұрын
Nani mwalimu wa ndoa ni mitimingi
@nisilemwalwiba4639
@nisilemwalwiba4639 6 жыл бұрын
mtumish ubarikiwe sana nimeelewa sana na tusiishie kusikiliza Bali tubadilike
@neemajelemiah766
@neemajelemiah766 6 жыл бұрын
kweli na ndo maana wsnaume wengi wanachepuka, Lol...
@josej9888
@josej9888 5 жыл бұрын
Ukimnyima sasa atafanya nini? Lazima achepuke.
@kuhanimkuumelkizedeck3054
@kuhanimkuumelkizedeck3054 5 жыл бұрын
Neema Jelemiah vp
@scolamabuga4443
@scolamabuga4443 5 жыл бұрын
Hatari
@lindaelidoriye5210
@lindaelidoriye5210 4 жыл бұрын
Rest in peace dady
MITIMINGI # 184 SIRI IWAMALIZAYO WANAUME WASIFANIKIWE
24:43
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 496 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
Они так быстро убрались!
01:00
Аришнев
Рет қаралды 2,7 МЛН
😳 Все русские уже знают итальянский?🇮🇹
00:15
MITIMINGI # 675 JIFUNZE KUKATA KIUNO KUBORESHA TENDO LA NDOA
15:41
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 569 М.
MITIMINGI # 181 UKIONA MUME HAKUTUNZI WEWE, HATUNZI FAMILIA - REKEBISHA HAYA
19:09
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 19 М.
MITIMINGI # 885 UKITAKA MKE WAKO AKUPENDE WEWE TU ZINGATIA HAYA
20:51
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 129 М.
MITIMINGI # 243 TENDO LA NDOA SIO KIPIMO CHA UPENDO WA KWELI
14:53
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 146 М.
MWANAMKE UKIMPENDA SANA NA AKAJUA UNAMPENDA SANA UTANYANYASIKA  "PASTOR MGOGO
36:53
MITIMINGI # 129 SUMU YA KUMMALIZA MWANAUME AKUPENDE MAISHA YAKO YOTE
16:11
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 212 М.
MITIMINGI # 554 VITA YA MAWAZO
30:20
MITIMINGI ONLINE TV
Рет қаралды 98 М.
HUYU HAPA TWAHA MWAIPAYA AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUACHIWA
7:25
IPINDA ONLINE TV
Рет қаралды 10 М.
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН