MAC DIZZO - Huyu Hapa MAC D, MAC DIZZO | Bado Yuko Fiti - Part 1

  Рет қаралды 1,718

Bongo Project

Bongo Project

Күн бұрын

Пікірлер: 16
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 2 ай бұрын
Jumba bovu Polisi kama mia nyuma wananisukuma respect
@MalaikaHome-b6r
@MalaikaHome-b6r 2 ай бұрын
Bongo record
@directorgaiva
@directorgaiva 2 ай бұрын
Content kali, Unafanya na watu muimu sanaaa, salut
@bongo_project
@bongo_project 2 ай бұрын
Shukrani sana
@angedizzle1
@angedizzle1 2 ай бұрын
Karakata Stand up
@albertgosbert1623
@albertgosbert1623 2 ай бұрын
for good mtangazaji, hopeful unawahoji ukiw unajuwa past zao, kipindi hiko ilkuwaje, ila mpe space ajielezee...ni kama unamuhuliza kitu kisha unadakia kitu kbla hajajibu..
@bongo_project
@bongo_project 2 ай бұрын
Pamoja. Ujumbe umefika
@albertgosbert1623
@albertgosbert1623 2 ай бұрын
@@bongo_project Ur big fans , see u further
@chotarawakingoni8148
@chotarawakingoni8148 2 ай бұрын
Kizazi cha kwanza yupo sahihi kama alivyowataja Hadi cha pili ila kamsahau DUDUBAYA kwasabu ndio alitoka hapo na Ngoma kama NIDHAMU na hapo hapo NIGGA JAY na CHEMSHA BONGO Yake. (Hiko kizazi cha pili) Lakini cha 3 ndio kina DULLY,JAY DEE, hapi kamsahau T.I.D,BWANA MISOSI,WAGOSI WA KAYA,MR EBBO,JAY MOE,SOLO na wengine wengi Tukija cha 4 ndio Tunaanza kina ALI KIBA,ABBY SKILLS,MATONYA,MB DOGG,BOB JUNIOR wasanii wengi wa G Records na hao wa kuimba imba Cha 5 sasa ndio kina CHID BENZ,TUNDA MAN,SPACK,Z ANTON Cha 6 sasa ndio hapo kuanzia 2009 ananza DIAMOMD,RICH MAVOKO,OMMY DIMPOZ,SHETTA Tunakuja hadi kina BEN POL,JUX,BARNABA,LINAH Ndio hadi Tunakuja 7 & 8 kina YAMOTO BAND hadi kina NANDY To Zuchu Ndio mimi naona huo mpangilio
@bongo_project
@bongo_project 2 ай бұрын
Yeah! Asingeweza kutaja wasanii wote…kataja baadhi tu. Ila katupa historia nzuri
@chotarawakingoni8148
@chotarawakingoni8148 2 ай бұрын
@ Tunakubali Admin unafanya kazi nzuri na kipind chako THE BEST unatupa ushirikiano mashabiki
@contempo_builders
@contempo_builders 2 ай бұрын
Sauti ya Nyagi Aseeh....
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 2 ай бұрын
Unatabia za mama ako
@chrisskucha6108
@chrisskucha6108 2 ай бұрын
Hiyo ndiyo sauti yake original ila kwasababu ww ni mtt wa elf 2000 sikshangai hujui kitu
@mshangaf1726
@mshangaf1726 2 ай бұрын
uchambuzi wa mackdizo haujanyooka, hajawataja BDP, SWALEHE JABIR, MAWINGU, DOGO HASHEEEM etc
@bongo_project
@bongo_project 2 ай бұрын
Kuna sehemu ya pili na ya tatu zinakuja
Jackie Chan Frust, Tak Nak Wariskan Harta kepada Anak
12:00
ML Studios
Рет қаралды 147 М.
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
"I was in the car accident that k*lled Esir" - Nameless
10:54
Hard Lock Podcast
Рет қаралды 771
Zola IMbube (Feat Berut (Official ) Lyric video
3:56
Zola 7
Рет қаралды 178 М.
SENGA NA PEMBE KWENYE CHEKA TU
12:19
Cheka tu
Рет қаралды 1,4 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН