Love the fact ile crowd ina chant willy paul over diamond lets continue supporting our own
@digitexcreatives81733 күн бұрын
@@LucidTonic we support our own but not bad behaviour. Willy Paul was out of order. He should have had his own show, not to disrupt Diamond's. He played with the emotions of his fanbase to gain sympathy. This was not a popularity contest but entertainment for which people paid a lot of money to watch the main artist, Diamond. Diamond fans did not get value for their money because of a musician with a big ego.
@WycliffeAbdulLigare3 күн бұрын
@@digitexcreatives8173 u are right yeye kama msanii angeshambulia watu amejiangusha angenyamaza tu kama simbaa
@nyangau87403 күн бұрын
Yapping nonsense ngoma xao huskizwa na watchmen na mboch @@digitexcreatives8173
@raelkere2 күн бұрын
It seems like you people you don't know what you're saying ...MTU atakuja Aje kwenu Nyumbani Na a+parform Mbele yako .... Wily Paul was Right 👍 100%
@heavydee25462 күн бұрын
Chibu akaoge ananuka shonde
@nangvanny-ir8esКүн бұрын
Love the fact ile crowd ina chant willy pozee over diamond let's continue supporting our own❤️🌟
@DoreenTesha-kk2kw3 күн бұрын
I am Tanzanian but kenyans have got a huge cooperation among themselves big up🥰
@gracejames25733 күн бұрын
Saa hii hata Ruto anatuogopa bwana
@Cjaygotvlone3 күн бұрын
unafanya nini hapa , got and comment, kwa wasafi tv , ohh sidhani utaelewea, nenda uka comenti..
@RichardCharo-zx3sy2 күн бұрын
Pozee is bigger than those gays from wasafi
@SylvesterElly2 күн бұрын
Wallah kuna vitu Kenya Shindaneni Na Tanzania Lakini sio Mziki,😂😂😂😂MC Ameshika Verse ya Marioo Mbaya Alafu bado mnabweka Mbwa Koko😂😂😂 Ngoma zenu zenyewe ni Nairobi2 Hakuna Show za Chaka2Chaka 😂😂Mmewàachia watu WA Ohangla ndo wanatembea Na ndoomana Show ya prince Indah inajaa hats kuliko ya Willy pol wakija Mashinani , Wasanii wanakula ngada Nairobi
@lilyg21342 күн бұрын
@@SylvesterElly 🤣🤣🤣🤣
@OwenMwenda-er2tb3 күн бұрын
Guys tukipea willy Paul support anaeza peleka industry ya kenya mbali sana, #pozee siku zote 💪💯💯
@njerilinda3 күн бұрын
True,
@HarizonOmondi-g4f3 күн бұрын
Pozze power king 🤴 siku zote
@OthumaniBakari3 күн бұрын
Mnajidanganya hamuwezi kuendelea kwa sababu mna rohombaya
@OthumaniBakari3 күн бұрын
Lazima mkubali mondi kawazidi mbali sana
@IshimweLionel-v3s3 күн бұрын
Hivi wa kenya mna vuta bangi Gani kiukwelii😂😂 Yani sijuwi ni seme Nini kila kitu chote Huwa munakitaka kwa ajili yakuandamana instead of working hard muko tuuu munaleta fujo musho zawatu I'm from Rwanda siyee wote tunajuwa ukubwa wa musani diamond ninacho kijua kwenu kwenye intertaiment ni maandamano tuuu nyieee kwl baangi zina wafanya mujione wakubwa kumbe haiko ivo😂😂😂
@conshilahkhavai93313 күн бұрын
This is our country and pozee is our own, no matter the differences we need to support our own! Not unless wote wangekua wakenya hatunge mind😂😂😂
@banbutita2 күн бұрын
Wangekuwa wakenya wote... Bado mngebaguana kwa ukabila ...
@calebmuriuki68042 күн бұрын
@@banbutitawewe si Mkenya basi...jiekee hizo fikra zako za sahani mbili ya minji
@digitexcreatives8173Күн бұрын
@@banbutita ukweli kabisa. Tuna shida kubwa.
@manfreddafrosa2994Күн бұрын
choko acha ujinga dplatz ni booomb of africa music 😂😂😂
@calebmuriuki6804Күн бұрын
@manfreddafrosa2994 bomb of Africa music and we chose poze over him?😂...that's how kenyans don't really care
@allyalvine18643 күн бұрын
Guys do you remember diamond platinumz akisema msanii anaogopa kenya ni pozee tu coz ya vocals hata akoaogopa kutoa collabo naye,so respect kwa Willy pozee ❤❤
@mussachande72973 күн бұрын
😂😂😂😂😂 alisemaga wapi ww Diamond sio level za kutoa collabo na huyo msaniii mdgo sana kwake
@MercyWahito-e6t3 күн бұрын
@@mussachande7297 Msanii mkubwa kwao Tanzania akikuja kenya,,,watu waheshimiane
@maryannwaweru56233 күн бұрын
@@mussachande7297 😂😂I'm surprised ati mondi anaogopa pozee
@richardvallerian10033 күн бұрын
😂
@tri_cher3 күн бұрын
there's a certain interview aliwahisema ya kitambo@@mussachande7297
@lidacall38963 күн бұрын
Diamond angejarubu kuletwa mbele ya Willy hiyo show aingeendelea ata kama dangote ni msanii mkubwa haimaanishi akuje atawale kwetu big up to the crowd Kwa kusimama na pozze our Star ⭐
@vaskosamweli35563 күн бұрын
Kenya hamna msanii mkubwa ko diamond lazma awatawale2
@@lidacall3896 pozee ni star wa Kenya ila Diamond ni star wa Africa RESPECT 😂
@kijanayaaput89403 күн бұрын
Si poa kunyanyasa Willy Paul, this is very wrong. Pozzee we ni mkali na mungu ataendelea kukuinua man. Wapende wasipende...
@DenisonAlphonse2 күн бұрын
Diamond nimkubwa kuliko willy poul
@calebmuriuki68042 күн бұрын
@DenisonAlphonseAND WE DON'T CARE....yeye ni simba Tz lakini paka huku kenya😂😂
@mamaa490Күн бұрын
I am a Tanzanian but I don’t think it is right to treat Willy that way. At his own? That is very wrong
@nowisb82863 күн бұрын
Pozeee pozeee pozeee pozeee... It time we acknowledge our own pia we cannot be relying on foreign artists to sell shows give our own his chance ....ERIC OMONDI MUST BE HAPPY
@Daniel-rs9nv2 күн бұрын
Nimekaa nairobi 5 yrs. Nachowapendea wakenya u guys know how to stand up for mistreatment. Nimependa jamaa wa tshirt nyeupe akiuliza the military people. Some ambayo kwetu no one would dare. Awareness ya wakenya/ kujitambua its top notch. Natamani kweli kwetu tungekua tunajitambua namna hio. Bless my ea people
@nziokawambua80263 күн бұрын
Kwani bouncers wake walikua wapi ... This is our country and we should set laws .. eny visitor artists should perform the last one
@Muddy_Muzungu3 күн бұрын
The same treatment will happen in Tanzania, we will also not allow any bozo artist from Kenya to perform first. GEEESH!!!!
@IREENKAIRUTHI3 күн бұрын
Woooiii tu jichoche kaa Wakenya. Diamond is an international artists bana. Who is Willy😂😂😂
@IREENKAIRUTHI3 күн бұрын
Hakufika bei bana
@FlorenceLangat-u2k2 күн бұрын
Hapa Kenya tunamtambua@@IREENKAIRUTHI
@collinsmeica1581Күн бұрын
DO you know who a headliner is?😂😂
@ImmaculateAmusula2 күн бұрын
No one is talking about Omar bestii wa bebii ❤❤❤❤kama umemwona piga like 😊😊😊
@phoebetaylor79112 күн бұрын
Thanks Kenyan for Standing with Willy Paul. We can't be dustbin in our own country. Respect.
@Kariminjagi073 күн бұрын
This is the start of the fall of DIAMOND platinumz and the beginning of rising of willy Paul again..Thankyou kenyans for supporting our own❤❤❤
@latenitepiano3 күн бұрын
What type of music do Kenya’s musicians play that can compete with Tanzanian music 🤔? Don’t try to compare with Tanzanian musicians! Because you keep on embarrassing yourself folks 😏🤣
@mariamakoba-l4i3 күн бұрын
Utasubilia sana kuanguka kwake,kwani Diamond ni chaguo la Mungu kwahyo acheni roho mbaya hakuna msanii kenya anaweza kushindana na msanii ya Tz
@Peter-fy3gf3 күн бұрын
Fall of Diamond My Sister Pls😅😅😅
@nyangau87403 күн бұрын
@@latenitepianongoma zenu huskizwa na watchmen na mboch
@nyangau87403 күн бұрын
@@mariamakoba-l4ingoma zenu huskizwa na watchmen na mboch
@EstherMacharia-e8v3 күн бұрын
This is our country wapeleke umamaa kwao 🥰🥰
@abdulnaseer80173 күн бұрын
Wasn't it supposed to be Africa tuwe one au?
@EstherMacharia-e8v3 күн бұрын
@abdulnaseer8017 apeleke hiyo usimba kwao l was there Kenya need to be respectd
@digitexcreatives81733 күн бұрын
@@EstherMacharia-e8v Tanzanians didn't organise the concert. We invited them. Your anger is misplaced.
@Peter-fy3gf3 күн бұрын
Sasa Walioandaa Show ni Wa Tz. Kenyans ndo wamemtenda Vibaya Poze Sio Tz. Kukuza hizi Vitu Zitapelekea mbaya zaidi
@EstherMacharia-e8v3 күн бұрын
@Peter-fy3gf huyo sio Simba in nyani huyo tuna tabuwa pozee our country farst
@NixonMusyokakitosh3 күн бұрын
The kambas say,,shambiki nisyo answer,,,you kill it meeen,,pozzee mwili mzima🎉🎉🎉🎉
@kubwayophanuel74283 күн бұрын
Nyinyi wote hamuna makosa,watayalishaji wemezinguwa....wangepanga kila kitu na kingeenda kwa wakati bila drama...the fact diamond amechukuwa hela na ameondoka....mashabaki acheni mambo ya tz na kenya....so vizuri let peoples enjoy music
@zainabhussein55423 күн бұрын
Nimefurahi kuona wa Kenya muna umoja big up kenya
@FrankieFrank-e4e3 күн бұрын
Uo ni ukabila sio umoja
@williamkeita15192 күн бұрын
Fact's kwenya mnaubaguzi mno hiyo msanii mkubwa
@yahyamajidyahyahilalal-har87622 күн бұрын
Ni ujinga mnao wakunya 😂😂
@calebmuriuki68042 күн бұрын
@@FrankieFrank-e4eukabila...pelekea mamako...THIS IS KANAIRO 254.....mshamba tu ndio anaweza sema ni ukabila
@calebmuriuki68042 күн бұрын
@@yahyamajidyahyahilalal-har8762TZ nayo ni Diamond pekee mnaeza jivunia naye what a shame....at least tuko na MASTAR WENGI in every sector kama papa jones, Bien Sol...films lupita nyongo, Eddie Gathegi...kipchoge pale athletics...na bado mashujaa 7s in Rugby...and what does Tz have other than Diamond??....NOBODY...literally NOBODY😂😂
@MatekaNewsTV3 күн бұрын
Diamond 💎 is Diamond 😄😄😄🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Wa Tz come here
@kikihalimaКүн бұрын
Huyu atatwangwa 😅😅😅😅😅😅😅
@jeniferemmanuel4251Күн бұрын
Nmefurah...onesmo popote ulipo..big up twanga wao kabisa..wivu wa maendeleo yako sio kitu rahis....pambana zaid sikuiz wanakuwa na la kusma sijui nn na nn .......tunakuheshm na tunakupenda diamond❤❤❤❤❤❤😊
@MargratePamelaКүн бұрын
Congrats to the Kenyans manzee for supporting willy Paul our own.Just chill poze you are going far this is the start of the downfall of diamond
@felixnyangate35713 күн бұрын
Respect our home boy.We stand with Willy Paul
@clintonmabuka8923 күн бұрын
Anyone who went at that concert made us proud hao stage managers shame on them Willy Paul to the world
@mosesmusyoka16983 күн бұрын
Big up!!madze to Kenyans who supported willy poze...it was no easy
@stevenogongo54272 күн бұрын
Be strong pozzee I thank God uko fti mkuu keep going with your Job zimba maskiyo utazame Mbele brother
@mercykamau43603 күн бұрын
Thanks Pozze for standing strong ❤❤❤
@sayeedfellah47063 күн бұрын
For the first time I support will
@starnotech_media3 күн бұрын
One team man
@dorrydorro18782 күн бұрын
I too. Am not into secular and this whole thing of matamasha. But Kenyans you have to regard your own.
@DaveYulewaachieng3 күн бұрын
King kwenye game pozze🔥🔥🔥
@moembithi3632 күн бұрын
Manager alijua huyo Diamond wake angejaribu apande angefurahiaaaaaa!!! We need more people like Willy Pozze ❤❤❤ Kaendeee saaana
@sumeiyaaswani95593 күн бұрын
Our own lazima we support diamond hafikii willy paul
@Muddy_Muzungu3 күн бұрын
Havikii kwa kuvuta bangi au?????
@mahmoodmohammed16793 күн бұрын
Be truthful to yourself,Acha ushabiki andazi,mi mkenya lakini huezi linganisha poze na mondi,Acha mondi,ata mbosso poze bado Sana....ni mdomo na publicity stunts tu...ata heri otile brown kuliko poze
@JeremyKokoyo-q8c3 күн бұрын
Diamond Bibi wa Pididdy lazima aperform ma Gay na lesbians wafurahi
@mussachande72973 күн бұрын
😂😂 huyo ni kama sisimizi kwa simba la masimba Dangote
@dolphinemouya38133 күн бұрын
@@JeremyKokoyo-q8csauti 😂
@MissingKey-xm8lk3 күн бұрын
It's so painful for sure....And true Pozzy ni 🌟 Star... being arrested with no offence.... never
@ashamaloba84223 күн бұрын
Given the platform pozee can be bigger than diamond ....kila mmoja ana audience wake mbona wafinyilie kijana wa nyumbani akiwa nyumbani
@fredylucas24843 күн бұрын
nilidhani kuwekwa mwisho ndiyo heshima ama mimi sielewi? Headliner hua anakua wa mwisho watangulizi wanaitwa opening acts. Ukienda O2 Arena 50 Cents akipiga watangulizi wanakua wengine na yeye anakua wa mwisho. Huyo Diamond kila kukicha wabongo wanamchekaga sababu anakua opening act akienda nje ninyi mnamtetea mtu wenu awe opening act mbele ya Diamond.
@CatherineBuleti2 күн бұрын
Pole sana pooseee, your tears is your new beginning, mark my words, we Kenyan let's stop supporting bongo music
@ViolaMwamba10 сағат бұрын
😂😂😂 as if our artists will die of hunger because of this. Wachenii kusupport kwani lazima mxiiieeew😂😂
@onokamonique90742 күн бұрын
Wale wa rhumba tuna comment wapi as we wait for ollomide koffi ❤
@annayambayamba86142 күн бұрын
❤
@khalidazim-j2m2 күн бұрын
Pozzeee uko fty mahn.......ushoga ya diamond wapeleke kwao huko.......we got uh🤘💯💯
@phaytanu3 күн бұрын
There's Room For Everyone 😃 But First Respect, Respect To Etana & Willy.
@BarakaJum-hr9jm2 күн бұрын
Wiliy kama unataka heshima lazima utuonyesho ulicho nacho bila ivo bro alafu mziki ni akila siyo vita rudi nyuma kidogo alafu rudi tena mbele anagalia ulupoatoka na ulipo mbaka ss umefanya nn mbaka ukakubalika hifi bro kikubwa pambana bigab sana birthday 💪🌟
@maboiller3 күн бұрын
We love you poze never loose hope ❤❤❤❤
@Mamaj-r6l21 сағат бұрын
Wameshidwa willy Paul your best brother
@Eiarlk3 күн бұрын
KENYANS KENYANS SUPPORT YOUR OWN ATA KAMA ANAKAA AJE NI WENU. SUPPORT YOUR OWN NO MATTER WHAT
@Eiarlk2 күн бұрын
@FreeGod368 unaumwa?
@ruthmwangi10212 күн бұрын
we love you pozzy wakenya we need to improve kabisaa just be strong 💪 ❤ God wl do it for u ❤
@zainabhussein55423 күн бұрын
Huyo boss wa diamond nae angefa kupigwa sababu utaendaje Kwa nchi ya wenyewe upige wenye nchi Yao alifa afundishwe adabu ila wakenya wenzangu nimefurahi kuona muna ushirikiano na hivyo ndio inafa kuwa na sio kukubali kuonewa
@loner_wolf9 сағат бұрын
Mbongo anakuchapa popote na hufanyi chochote wewe . Unafikir its easy thing .?
@SheilaOrlikКүн бұрын
Kenyas it is time for us to support our own
@kuntavellymusic3 күн бұрын
Yaani p didy amekata kuperform 😅 ni hatari tena zaidi😢😅 i like the Kenya we are becoming
@Mariahkahind3 күн бұрын
Naungana na wewe aende apinduliwe na p biddy...na hii ndio kenya 🇰🇪....
@AbigaelMisigo-id5cm3 күн бұрын
Kumbe watu walitusi cassypool bure aliposema ukweli kumhusu Pdiddy
Poleni sana,Willy Paul ni mtume diamond ni shoga kwao ni USA Kenya's together us one be blessings more and Marry Christmas and happy New year let move on guys take care always Kenya's be thanks once again Kenya's music thanks too our late Mzee njomo Kenyatta, merry Christmas too our beloved family Mzee njomo Kenyatta be blessed more and happy New year ❤
@J-MediaTv21 сағат бұрын
Kwani Unacomment Kama Umelewa Buda...Kenyatta ametokea wapi
@SALUMCHALO2 күн бұрын
Wakenya mnataka umaarufu kwakumzalilisha Diamond. Diamond mungu ameshamfungulia milango yaumaalufu sikunyingi sn
@jeniferemmanuel4251Күн бұрын
❤
@shairohShindemmm91273 күн бұрын
We will support Willy Paul our own. Huyo juu ya P Diddy asitulete. Those stupid askaris should know huyo ni wetu. We love you WP.
@mohamedmalikhussein62873 күн бұрын
Big up shaffie weru
@priscaauma-c2r2 күн бұрын
How could they do that to willy paul? To everyone who was there, thank you for saving our own willy paul❤❤
@CarenNafula-x6g3 күн бұрын
Yes we love you pozee for today hata kama anatusumbuanga
@RuthNaanyu-bd2bw2 күн бұрын
Why are they downgrading our own. Will paul to the world 🌎 you're the star that's is unstoppable.
@muzafarsharif94653 күн бұрын
Imagine vyenye wakenya tunasupport mziki wa bongo😢
@fahadfaraj64742 күн бұрын
Mlilazimishwa? Kibaya chajitembeza kizuri chajiuza haya leo organizers wenu ndo wanazuia ila mnalaumu diamond mnachuki na ulalamishi waajabu yani
@thehustlerafrica43683 күн бұрын
People came for Diamond Platnumz but Pozee ameharibu show
@MaryMaina-qk2te3 күн бұрын
True
@Carlos.T13 күн бұрын
Yet they chanted Pozzee instead of diamond wenyu..wee kwenda
@MachanaFredrick3 күн бұрын
Pozeee siku zoteee😂😂😂
@janewanjiku5274Күн бұрын
Hawa Wa tz wanadhani Kenya ni yao wakuje kutunyanyasa, will always support our own,pozee ur loved.
@nicholausmahenge824744 минут бұрын
Mfyuuuu
@stevohjohn15693 күн бұрын
"Msanii mdogo" na anapatia simba tumbojoto😂😂😂kinaya
@MokonoCynthiq3 күн бұрын
Imgn bt our Pozee ni msanii let him keep the fire burning one day atakuwa star ⭐
@livinjbenon80263 күн бұрын
Kenya yenyewe ndogo mmpate wap msani mkubwa😅😂
@maryannemwangi1683 күн бұрын
Kidogo atakuja kumshinda mondi
@nyangau87403 күн бұрын
@@livinjbenon8026ngoma zenu huskizwa na watchmen na mboch
@SalumMusa-f5l3 күн бұрын
@@maryannemwangi168jidanganyeni tu kwa nyimbo gan sasa alafu mnajua kabisa kuwa willy Paul mdg kelele za nn sasa kama mmbu
@liznimo5917Күн бұрын
Sikua napenda willy paul but for this willy you gat my back am your fan officially
@Kadivaqueen3 күн бұрын
😂😂😂😂😂aiii we have to support our country 🔥🔥🔥🔥❤️pozee
@joshuaosolo91452 күн бұрын
Come To Germany My Dear Brother. Kenyans 😢In Germany 🇩🇪 Are Truly So Sad As Kenyans Here In Europe 🇪🇺 😢
@masakake15803 күн бұрын
We support our own💯...big up pozee🤝
@maureenwarungu78932 күн бұрын
Kenyans for Kenyans 🎉🎉🎉🎉🎉hatuogopi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👊
@startwithginegine18913 күн бұрын
Poze ni yule yule habadiliki 😂😂😂😂😂
@hansmsangi9828Күн бұрын
Pole sana mdogo wangu ndio maisha hayo binadamu anapanga na Mungu anapanda kwahiyo shkuru kwa kila jambo huwezi jua mipango ya Mungu.... "Ndugu yangu utulie bahati ya Mungu haijulikani"
@rodgerluteshi3 күн бұрын
3:30 wacheni alie hiyo kitu imtoke 😂
@rosenyambura73123 күн бұрын
Imtoke kabisaa 😂😂😂
@shazzyclips76423 күн бұрын
I relate with him,I cry very easily whenever I feel violated.I think he felt so helpless and betrayed.Willy ni wetu manzee,he deserves to be respected
@leahwambui93133 күн бұрын
Acha kuleta mzaha hapa 😂😂😂
@sammyekisa93863 күн бұрын
Pozee our own... we're with you, our star.. the best.. 🔥 🔥
@mandajamaly48433 күн бұрын
😅mbona USA diamond anaperfome mchana kikubwa support ya mashabiki wakikupa basi ila kuhusu kuimba haitegemei muda sema simba la masimba 🇹🇿❤️proudly to be Tanzania
@nowisb82863 күн бұрын
Ni juu USA Simba ni panya
@nowisb82863 күн бұрын
Cha muhimu mmejua pia kenya kuna simba😂😂😂
@TheDavidasFamily3 күн бұрын
😅😅😅@@nowisb8286
@SalumMusa-f5l2 күн бұрын
@@nowisb8286wake ya yule panya tu ndomaana hakusaminiwa kwao mwanaume kapasua ugenini
@kichefuchefu23829 сағат бұрын
Waknya Chukituuuu ila hamnaktuuuu
@esthernjoroge29433 күн бұрын
Yeeeees👌👌👌👌👌 we have to support our own 🎉🎉🎉 willy We love you Kenyans we have to support own own Diamond huku sii kwenyu Tanzania. Where you think you always the first shame on you Diamond
@LucyBruno-b7e2 күн бұрын
uyo ambae ana bleach kama kamwagiwa pilau kichwani ndo nani kwani nahitaji kufahamishwa😎😎
@Az__20122 күн бұрын
🤣eti kamwagiwa pilau
@shairohShindemmm91273 күн бұрын
Kenyans you have made us proud. O one should be disrespected at his own home. Willis should step down to a new generation of new respectful hosts.
@StephenJakait3 күн бұрын
Wily💪💪💪🇰🇪
@RuthNaanyu-bd2bw2 күн бұрын
We demand Justice for Willy paul for being mistreated and being attacked before his performance.Willy paul should get immediate Justice ⚖️
@victortush60383 күн бұрын
Wakenya sometimes hukua madwazi😢😢,,,let's support our own fala anadie hard for diamond fuck🤒🤒
@africangirllifestyle76862 күн бұрын
Mlimuitia nini
@wafurafredrick95933 күн бұрын
Diamond should respect Kenyan musicians big ups to Willy Paul
@cassie91463 күн бұрын
The fact still remains that Willy was to perform before Mondi so as to raise the curtains for Simba. The question remains, why did Simba not want Willy to perform before him? Was he scared that pozze will set the bars too high for him to meet regardless of him being a big star or that Willy will steal his spotlight of the night????? Just a question coz sina lawyer😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@norahachupa19493 күн бұрын
Thank you for speaking my mind sinanga lawyer na bond
@akinyiokeyo46183 күн бұрын
Nimekimbuka kofia scenario
@itsmedo_u_getit91123 күн бұрын
Huyo poze hata kwa Marioo au Jay Melody hatii mguu
@palokuthereza2555Күн бұрын
It’s shame for u own people wanakupiga I feel bad coz ur trying to grow bro Mungu atakusaidia but don’t blame Our Baby boy Diamond Shemeji Yenu mjue tuna mtoto wetu huko
@nathanjunior76943 күн бұрын
Hii mbona kama ya kutengeneza, sijaona point hapa
@menejahimself98553 күн бұрын
Wameleta ushamba wa hali ya juu yani nilikuwa shabiki wa will now simwelewi kabisa
@JohnOduori-s7v2 күн бұрын
Its time we embrace our own.Big up to Pozee and his fans at large.
@James-sz4ec3 күн бұрын
Huwezi shindana na diamond
@Quincy274646 сағат бұрын
Willy my Kenyan favourite ❤
@vangiftshine3 күн бұрын
Mbona hamuonyeshi vile amepigwaa 😂😂😂😂😂😂
@MwanaidiNguluma3 күн бұрын
😅😅😅😅 sema pole pole dear...unachoma
@IREENKAIRUTHI3 күн бұрын
Kabisa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Kutafuta kiki
@MwanaidiNguluma3 күн бұрын
@@IREENKAIRUTHI 😂😂
@GraceSinkalla17 минут бұрын
Acha kushabikia ujinga,fanya kazi kwa bidiii heshima haijiletii inaletwaaa kulingana na kazi yako😢😢 put effort haitakuwepo izo mambo ety Tz wanapewa priority no uta ww unaweza fanya effort ukakubalika.
@boxdad3 күн бұрын
Shida Yako ulitaka diamond akuone uki perform na Hana shida na ww
@mtaanitvkenya80083 күн бұрын
Na Kwani noma iko wapi apo unasema ati shida
@FreddyJackson-d3mКүн бұрын
Rayvanyn🎉
@niubility57453 күн бұрын
Diamond, his works recognizes globally , he doesn't even need to fight kama Willy Paul, its about Music , performances not crying for local support even if unaimba matope.
@sharkboyafrica34663 күн бұрын
Imba uji ukunywe
@Feisal-hamad3 күн бұрын
Gongewa yai ule una njaa
@petermwashighadi-o6m2 күн бұрын
this is bad,,,really bad for our own to be treated like this,very shameful.
@geraldgerrytrump2543 күн бұрын
Kenya tuko na pozee tz mko na diamond.. hatujali kama mkubwa ama mdogo. Usije mwaga ugali wakati nimeshika sufuria ya mboga. Heshma iwe pande zote mbili.
@susannyanchera79773 күн бұрын
The funniest part ni management ni kenyans ndio wanafamfanyia ivyo...ukoloni mambo leo😢......
@AshleyMauka3 күн бұрын
Willy Paul avoid slay queens in your thing
@lbmaasai929Күн бұрын
Diamond hauna say Kenya . willy poul to the world
@mahmoodmohammed16793 күн бұрын
uyo mrembo anapiga kelele apo mwenyewe anaezataka ata apigwe maji na diamond 😂i dare diamond aonyeshe interests tu atachange mind amwambie ashuke kwa gari polisi wamshike😂😂
@shazzyclips76423 күн бұрын
So what's your point?
@DanielMogesi3 күн бұрын
Diamond no wa p Diddy
@ChaybajuniorКүн бұрын
Mm ni mtanzania ila kwenye hili broo willy ameonewa sio haki kabisa dah pole sana broo willy
@edwinokalo97903 күн бұрын
Pozee analia kitu siiiiiiimple 😂😂😂😂😂Diamond doesn't need charity shows infact aliwafanyia favour kukuja. The fact is and will always remain that Diamond is Africa's biggest star na hamna kitu mtafanya ata kama hammupendi
@coinslaker18483 күн бұрын
Mbwaa sana
@edwinokalo97903 күн бұрын
@@coinslaker1848 babako ndio mbwa
@CarohJoel3 күн бұрын
Very true
@Behd1453 күн бұрын
Diamond msanii mkubwa Africa kuja kenya kawaheshimu ila wakenya mlitaka kutengeneza content mshindwa ili mpandie kwake na mfaham simba hata wajibu
@Deecool2743 күн бұрын
Very true, but we value ours also, so we treat them equally @Behd145
@JoelNjane3 күн бұрын
Mna-allow aje ku-harassiwa in our own soil?...I can die fighting for our own!..
@digitexcreatives81733 күн бұрын
I was present and saw what happened. My take is simple. Willy Paul's drama was premeditated. He came one hour to the end of the show and demanded to force his way to the stage at the same time as diamond. Other Kenyans performed earlier without a hitch. Sad that he was hurt in the process. However, the organisers would have done better in terms of time and artiste management. Petty rivalry was not necessary. Some of us simply came to watch Diamond. It's not about Kenya versus Tanzania. Willy Paul can do better rather than pursue petty rivalry and public sympathy.
@sharkboyafrica34663 күн бұрын
Hii hatusomi ..shida hapo .ata angekuja kesho bado ni pozee
@nyawanzadorcas91953 күн бұрын
Na si diamond angewacha poze to perfom tu kwanza...akue the big guy basi..nkt
@kijanawamigori90813 күн бұрын
Peleka hadithi kwa shule ya singing sienzi
@faustineogana78693 күн бұрын
That's why you got a channel with 0 subs
@mercykamau43603 күн бұрын
Pozze forever
@richardmusili67993 күн бұрын
You humbled diamond 🎉
@Rukaka_jr3 күн бұрын
Sasa ndo alie kisa diamond kutaka kupafom b4 yake ila wakenya bana 😂😂😂😂😂, diamond is another person huwezi linganisha artists za kenya na simba, well done manager salam hatuwezi muweka msanii mdogo mbele ya no one artist AFRICA MASHARIKI NA KATI, proud 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿, haya wabaki na pozeee wao sasa 😂😂😂😂😂😂😂
@carolkungu30663 күн бұрын
Mia hau💩🚮
@leviskambo76523 күн бұрын
We don't care if yeye ni Simba but pia yeye apee wasanii wa Kenya heshima kama sio hivo mbaya mbaya,anaibia style za kudance diamond knows nothing kuiba tu, soon Simba atanyeshewa atazima
@lakasid38603 күн бұрын
@@leviskambo7652 Simba ni msanii mkubwa kuliko wasanii wenu wa Kenya muache kamdomo 🚮
@kennedymaitha91083 күн бұрын
We don't kiss ass bro, we support our own...huyo diamond akijua hapa lazima ajibebe heshima, this is Kenya not Tanzania Bana🚮
@barackobuoga43103 күн бұрын
P diddy ndio mnalinganisha na Pozee😂💔aende adinywe mkundu
@lordmclntyer2 күн бұрын
Diamond akuje wapigane na Willy Paul Kwa kizungu hiyo mambo iwatoke
@bigbavy9813 күн бұрын
2mbili apo kwa background 😂😂
@lucywanja3799Күн бұрын
Kenyan first respect
@sistadready53683 күн бұрын
What change does it make performing first or last if you believe in yourself?? Diamond said in the interview he was heading to France from kenya. This guy. Does it have to be chaos willy and co-o?????
@iamlimonar24053 күн бұрын
4 real ....watu wako na plans ...yeye alisema ako na safari...myb because of time he tried aperform wakwanza ndo aende but watu awaelewi
@sistadready53683 күн бұрын
@iamlimonar2405 He said he did on an interview
@MCJaymohКүн бұрын
Ata uyo paka wa tz angeekwa na embarambamba bado ningeshout embarambamba 😞😞🤔🤔