Рет қаралды 18,017
Nilimdanganya lakini ukweli ni kwamba maswali yale yalikuwa ya kawaida sana, ila tu kila nilipofikiria majibu taswira ya Madam Suzy ilitokezea na kuniwekea kiwingu kwenye akili yangu na mara jibu likanipotea.
Kila nilipomfikiria Madam nilipata msisimko wa ajabu moyoni na nafsi kufarijika sana kutokana na tulichotoka kufanya
SIMULIZI FUPI
SIMULIZI
LUCAS LUMBASI