Hii nyimbo imetoka mwaka 1997 kati ya Madebe na sumbi tanda la Mwangoye
@mlimangaile669 Жыл бұрын
Kwa kweli hii ndio Beni ngoma pendwa na siku zile. Asante sana ndugu, maua yako pokea aisee
@evaristshija3082 Жыл бұрын
Mnanipa burudani sana na liwazo MAYOMBI GROUP kwa nyimbo hizi za kwetu.
@MasanjaSalu-m3u Жыл бұрын
Mayombi,hongera sana unatufariji na kutufurahisha Mimi ndio Masanja ule wimbo wa Meadu ya Ng'wandoya shabiki kindakindaki wa Ngalu Madebe na marehemu Jilunga Jidai ubarikiwe sana
@ajirashambani7010 Жыл бұрын
asante tupo pamoja kaka nipo kimya kidogo ila mambo yanakuja naandaa kazi niweke
@MsaDoto-c7n2 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana. Hakika mlipata burudani
@shijamasanja-m7m7 ай бұрын
Safi Sana nyimbo za kale ndio zina ujumbe mzur sana
@alphonceehumba8907 Жыл бұрын
Was the best moments to Ngallu
@michaelmasele6238 Жыл бұрын
Unyama Sana wangu.
@GetrudaBida16 күн бұрын
❤❤❤❤naipenda sana beni
@ajirashambani701011 күн бұрын
karibu
@FrankMsemwa Жыл бұрын
Umepiga mwingi sanaaa
@Richady-g3x Жыл бұрын
Lumwecha 2006 mayombi nawaerewa sana pokea mauwa yenu
@latasimon9303 Жыл бұрын
@manyombi asante sana kaka kwa hiz ngoma
@MajaliwaNdaka Жыл бұрын
Unatupa furaha sana tunakumbuka mbali sana hongera sana
@ShadrackMagele Жыл бұрын
Nipeni maua yangu nimekuwa wa kwanza
@martinemaganga525310 ай бұрын
Naomba wimbo wa Lung'wecha Bhazunije abhayanda nabhakabhizi emitumba.
@ajirashambani701010 ай бұрын
naufuatilia nikiupata nautuma
@GogardSonda2 ай бұрын
Hizi ndo nyimbo Sasa tunazitaka sio za saiv mnaiga mambo ya wazungu
@shaheqodfreykristiansolea720 Жыл бұрын
Mwanangu hapo umeupiga mwingi kinoma
@pascalnkuba9556 Жыл бұрын
Iko poa Sana, ila tungependa utupie nzima mzima
@barnabawana105811 ай бұрын
Mwenye kunipa maana ya bhagalu ,bagika, basahu nk zina maaana gani
@JohnMazikukapela8 ай бұрын
Mitara ni kama koo au (dheheb)
@emmaueljohnsonKihanda-fx9wm Жыл бұрын
Nitumie nyimbo ya lumwecha inaitwa nalumagwa mmbuu jihnamaluka.....
@ajirashambani7010 Жыл бұрын
ingia youtube uchek winbo wako nimekuwekea kisha sambaza link na wengine wengi wasikie mambo yalivokuwa moto
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
@@ajirashambani7010 nyimbo hii ya madebe imetoka mwaka 1997 siyo 1990
@JumanneHilya-of8ml7 ай бұрын
Mwangoye moja
@AgustinoAretas8 ай бұрын
SEMA tukumbushe
@BMathayo8 ай бұрын
We sumbi Kawa mlenga mkubwa kuanzia Miaka ya 1980s
@ulimbombonaulindi50884 ай бұрын
Kwanini ngoma zikitaka kupigwa huwa mnakata?!!! ACHA NGOMA ZILIE TUSIKIE
@ajirashambani70104 ай бұрын
Isikilize tuliweka leo utanipa mlejesho
@ulimbombonaulindi50884 ай бұрын
@@ajirashambani7010 nashukuru nimeiskia ndugu. Ila quality yake siyo nzuri kama hii, sauti haikurekodiwa vizuri
@samwelsamwel40428 ай бұрын
Uhakka
@LAURENTLAMECK-c4v11 ай бұрын
DU MADEBE UMEPIGAJE HAPO
@emmaueljohnsonKihanda-fx9wm Жыл бұрын
Hii ndio asili yetu sahihi
@JohnMazikukapela8 ай бұрын
Songa mbele mkubwa nyimbo bora
@magangasaid703 Жыл бұрын
Hyo sio ya 1990 basi tunaomba ya mwaka 2003
@martinemaganga5253 Жыл бұрын
Hii ni 2003/2004
@sondolwajilungu19618 ай бұрын
1995-2000
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
Acheni uongo mwaka 1990 Sumbi na madebe bado hawakua malenga wakubwa.
@sondolwajilungu19618 ай бұрын
Hao mamanju walikuwa fire tangu miaka ya tisini walikuwa vijana na ndiyo walikuwa wameliteka soko!!!
@gaspeldaniel11408 ай бұрын
@@sondolwajilungu1961 mwaka 1990 Sumbi hakuwepo katika ushindani
@sondolwajilungu19618 ай бұрын
Kaanza mwaka gani? Na Madebe mwaka gani?? Sumbi ameanza Ngoma mwaka 1986 na Madebe kaanza 89
@sondolwajilungu19618 ай бұрын
Kaanza mwaka gani? Na Madebe mwaka gani?? Sumbi ameanza Ngoma mwaka 1986 na Madebe kaanza 89
@gaspeldaniel11408 ай бұрын
@@sondolwajilungu1961 Huwo mwaka unaosema wewe 1990 manju waliokua wanawika ni Mgote..& Ijege..& Mwanamitumba..& Tagara..& Membo..& Tagara..& Ngwana Dudera..& bax