Nimekuja baada ya kusikia umekufa nilikuwa napenda nyimbo jina la mwanamuziki silijui😢😢 pumzika Kwa amani baba
@RafaelFrancis-m6nАй бұрын
aliyekuj baad yakuskia amefariki
@dozzyfireАй бұрын
Hehehehehe bongo Bhn 😅
@doktamathewАй бұрын
🙌
@axmedcumar6196Ай бұрын
Tupo Yaani achaaa tuu
@NajmaHamady-n4gАй бұрын
😂😂😂 dah
@bouffdaddy4383Ай бұрын
Mm
@SuzanMoshi-m1sАй бұрын
Ila zaman maadili yalizingatiwa sana na hata katika ukuaji wetu tulikua tuko well raised sio kama saiv kili mtu kapagawa kisa mitandao .. Embu muone mama alivovaa kitenge chake vizur kabisa anajibeba mama wa heshima kabisa❤ RESTINPEACEKINGKIKIII🙏🏾
@emanuelmartin9601Ай бұрын
😊😊😊😊😊
@ogetoj6245Ай бұрын
Miezi mbaya, husini tele kufuatia kifo cha wanamiziki wakongwe kuaga Dunia. Jana usiku Mzee Kingi Kiki aliaga Dunia kusababisha pengo la kuogopisha Cha wakongwe waliosalia! Si wema kwa vikundi vya kushugulikia ratiba ya utunzi wa miziki, Tanzania! Ingalau, twasema ahsante kwa wakati tulikuwa naye duniani na kufaidika kwa kibali chake maususi. Mungu na amlaze pema peponi. Dr. Ogeto International
@mujuniemmanuel95932 жыл бұрын
Huko vizur mpaka sasa ebu endelea kuongeza jitiada mpaka muda huu .
@AbdallahMayowela20 күн бұрын
Kikii tutakukumbuka daima mungu aiweke roho yako peponi amin
@SylvetteMidika-do8jc12 күн бұрын
Continue resting in peace legend Bado twaskiliza wimbo wako jamani😢
@HamisiMakumba-g7v2 күн бұрын
Nyimbo naipenda Sana jaman ❤❤
@KhadijaMbufu19 күн бұрын
Mungu amuondolee adhabu za kabur
@edwinbishanga428914 күн бұрын
Pumzika kwa Amani. Legendary
@salvatorypolicarp79274 жыл бұрын
Nani mpk leo anasikiliza hii pin march2020?
@zachariasabun29214 күн бұрын
2025🎉😊
@mwanahijarajabu2368Ай бұрын
Sema anasauti nzur ya kuimba
@joelmakinga4220Ай бұрын
Pumzika Kwa Amani Mzee wa Kitambaa Cheupe. Tutakukumbuka Daima.
@ObaMizo-oc1wq2 ай бұрын
Jana tarehe 19/10/2024/cmba kapigwa na yanga goli moja nikichek gemu kitambaa cheupe
@SaveraRwezauraАй бұрын
BABA PUMZIKA KWA AMANI JAMANI,
@josephmoremi34166 жыл бұрын
Kikii inatukumbusha miaka ya 1999 wakati tukiwa tembo resort songwa,
@paulinamwahinda722325 күн бұрын
Pumzika kwa Amani😢😢😢❤
@faresfaustin43286 жыл бұрын
Big up mzee king kiki hii nyimbo huwa naikubal
@margarethpolepole743812 күн бұрын
Mungu anlazemahalu pema peponi nakumbuka enzi ya Mwalimu Nyerere ndiyo miziki tetu nwaka 47 Mpakani Bar na DDDC alikuwa anapiga muziki wake
@alladinamran39927 жыл бұрын
naiona Scandinavia,daah kweli miaka inakwenda,wapi Leo Scandinavia basi iliyokuwa bora sana miaka ya 190_2000,
@Amospius-r3y3 ай бұрын
hiyo ni polo ilitoka kati ya 2005 mpaka leo
@saiwamama7172Ай бұрын
Pumzika kwaamani
@stephenamos-pb6qrАй бұрын
kumbe ndo huyo mi namjuaga kwa wimbo wa baba paroko
@BarackmwanawaMalimiАй бұрын
R.i.p mzee mungu akusamehe dhambi zako
@musaludelemula1507Ай бұрын
Jamani nan amekuja 2024 baada ya kusikia amekufa
@neemammbaga227Ай бұрын
Mi nmelia 😢😢
@Kujifunza_learningАй бұрын
Mm aisee ndo nasikiliza wimbo hapa
@AbuuMatamaАй бұрын
Nilikuwa ht simjui
@jamesyohana126 жыл бұрын
daaaahhh wazeee ndio mlikuwa mafundi tu
@chrizostomchristian1884Ай бұрын
Pumzika tu mzee wetu
@GloryMsuya-fx4ruАй бұрын
Nilikua nacheza kwenye sherehe video sijawah Iona ndo Leo baada ya kufa unisamee
@KULWAKINGIАй бұрын
Kweli almasi zinaenda tu R. I. P MZEE KING KIKII
@kristopapaapaulo8117 ай бұрын
Tamu sana
@crershawmafia10093 күн бұрын
RIP Legend
@sifamkumula27458 жыл бұрын
Kitambo iko nko primary school umetishà king kikii