Awa ni makuma sana ndio maana sisi watu wa tanga tunaonekana washamba kila ck mwenzao akiamzisha jambo lake wao wanakuja kuzuruga ata km tuliomuona mwakinyo ni msumbufu ila kwenye ili mmeturudisha kwa mwakinyo moja kwa moja
@omarjuma-f3l2 ай бұрын
Wameungana .....Mwakimyo m1tu
@JonathanTito-o9s2 ай бұрын
Huu ni ushamba wa kipuuzi sana! Lakini jambo la kumshukuru Mungu kila mnapofanya huu upuuzi wenu Mungu anawalani hamfanikiwi
@RamadhaniAlly-mi2dg2 ай бұрын
Nyie munafira mabondia wenu , taarifa tunazo
@VenanceMahenge-r1k2 ай бұрын
Tutamwangalia mwakinyo tumewachoka
@VenanceMahenge-r1k2 ай бұрын
Nyinyi lengo Lenu sio sitamani watu wawafatilie kwasabu mnataka kuvuluga mipango ya mabondia wengine