Duuh hii sasa ndio ujue wanachofanya mafia boxing wanataka kushindana na mwakinyo hili lipo waziwazi jamaa katangaza mwezi huu tareh 16 na nyinyi mnafanya siku hiyohiyo yan ilimradi TU mumkomoe Hasan mwakinyo acheni chuki na husda
@EmmahLiypix12 күн бұрын
Siwezi kuwapenda hawa Mafia na ni halali mwakinyo akiwachukia maana wanaonesha chuki za wazi Kuna pambano mwakinyo alikuwa anapigana dar wao wajaenda Tanga tar hiyo hiyo na saivi wamepanga hivohivo
@ahadjuma835612 күн бұрын
tuta angalia maludio tukipenda ila tupo na mwakinyo bondia bora wamuda wote Tanzania 😂😂😂