Poleni ndug zangu, mnaonaje mkizungushia bwawa hilo ukuta wa zege ili hayo maji yatumike kipindi cha kiangazi. Kam haiwezekn tegenezen njia ya maji upande wa pili ili bwawa likijaa maji yasirudi kwenye makzi y watu.
@HASSANBAKARI-q9c9 ай бұрын
KAMA UNAPOLALA HAPAJAI MAJAI HATA TONE,,MSHUKURU SANA MUNGU,,TENA SALI SANA,,IZO MAMBO MSIKIE MWENZIO TU
@AishaIddy-bt3rl9 ай бұрын
Yaani Nikweli
@PaskiiSlaa9 ай бұрын
Hakika, tunapswa kutoa shukran
@chriske88379 ай бұрын
Wah I thought this is happening only in Kenya but it all over east Africa ndugu pokeni pola zangu kutoka KENYA let be safe
@zainabmussa35219 ай бұрын
Mungu atufanyie wepesi katika majanga kama haya
@PaschalMartinezАй бұрын
Polen Sana kwa mafuriko tuombe mungu aepushe haya majanga mwaka ndo umeanza MUNGU TUSAIDIE WANAO NA HAYA MAJANGA
@MaryAlberto-f1q9 ай бұрын
Ee Mwenyezi Mungu turehemuu,,,, Watoto wako tukoo chini ya miguu yakoo 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏
@KhamisiHaruna-wp7kk9 ай бұрын
Polen sana ndugu zangu
@FabianAndrew-pp7rv9 ай бұрын
Poleni sana ndugu zetu mungu yu pamoja nanyi
@rosenyenyembe46989 ай бұрын
Mungu utusaidie
@mamamikuwa49919 ай бұрын
Poleni sana Mungu awape wepesi
@zakiamsafiri-ux5vh9 ай бұрын
Poleni sana ndugu zangu wa karatu
@RoseKimishabhalemi-oz9bn9 ай бұрын
Maombi ni muhimuili kwa Mungu wa kweli muhimu mno acha kutambikia
@majaliwabwitonde69009 ай бұрын
Poleni sana
@abelbaran41909 ай бұрын
Poleni sana jamn MUNGU aingilie Kati
@ScolasticaAndrea9 ай бұрын
Mungu tusaidie na janga hili
@JohnMahu-f1g9 ай бұрын
Pole ndgu zangu. Hlo bwawa ijengwe ukingo ili yatumike kwa faida ya kilimo kiangazi
@PaskiiSlaa9 ай бұрын
Mungu jmn, tuhurumie watt wako, tusamehe tulipokukosea, sisi ni binadamu si wakamilifu hata kidg, turehemu bb watt wako tunaumia
@joshuakitunzi95009 ай бұрын
Pole sana kwa majanga haya
@zizuzidu98039 ай бұрын
Namuomba Allah awape subra na awaondoshe majanga haya yaliyoyapata.
@veronicajohn76459 ай бұрын
Mama tengeneza safina
@stephanoeneshi99609 ай бұрын
Poleni
@MathiasDaniel-ud1kp9 ай бұрын
Mungu aisaidie karatu yetu
@hassankumba69389 ай бұрын
Inna Lillah wa Inna Illayhi Raj’uun. Allah SWT atunusuru.
@pennymahombo95289 ай бұрын
Mabadiliko ya Hali ya nchi ndio sababu ya kitaalamu,lakini tukisimama kama wale watu Wa Ninawi na Kutubu maovu yetu? MUNGU ni Wa rehema, atatunusuru na kupisha hasira yake.Isaya 57:14-21, 2Nyakati 7:12-15, Yona 3:1--
@MtotoHumbi9 ай бұрын
Mungu tusaidie
@audifacejosephat70719 ай бұрын
Mungu awaokoe katika janga hili
@amosmachibya18009 ай бұрын
Mungu wanusuru hawa wajawa wako
@cristinajeremiah24509 ай бұрын
Utani mwingime siyo mzuri lia na wanaolia
@claratango92629 ай бұрын
Poleni sana jamani 😢😢😢
@zizuzidu98039 ай бұрын
Hizi zote ni dalili za kiyama, mvua za mafutiko mwezi huu April kumekua na matukio mengi sana, kupatwa mwezi, Mauaji ya halaiki palestine, Vita vya Nchi kubwa, vinavyoelekea kua vya WW3, Mafuriko ya Kutisha kuanzia Dubai, China, Jangwani tz, kenya, burundi, leo hii karatu sijui panafuatia wapi... turudini kwa Allah kwa kumpwekeshea ibada pasina kumshirikisha na chochote, kabla hatujachelewa ikatukuta kifo au jua kuchomoza magharibi na kuzama mashariki (hiyo itatokea kwenye zama hizi za mwisho)
@SalomeMollel-hv1dx9 ай бұрын
Ah pole ndugu zangu wa manyara dhhh😢
@CorneliaPotini9 ай бұрын
Poleni jmn
@robertphilip3859 ай бұрын
Poleni sana Irqw
@souvenirweber71699 ай бұрын
Yesu anakaribia kurudi tutubu
@khadijayusuph26349 ай бұрын
Ee Mungu tuokoe
@mataypanga52629 ай бұрын
Dah,hali ngumu 😢
@nicksonclinton58429 ай бұрын
Wewe hakun maji yanayotoka ngorongoro stop this madness