Hili suala SGR litasumbua sana kama serekali haikuwa macho na wapinga maendeleo ambao ni mipango ya chama cha upinzani ili kuwepo na mikwano nchi ionekane hakuna ilichofanya,tujifunze kwa yaliyotokea kwenye utawala wa kikwete kulikuwa na matukio kama hayo,mabomu kuripuliwa migomo ya madktari na mengine mengi,indapo atakamatwa mtu yoyote mfanyieni uchunguzi wa hali juu mutajua ametumwa na nani,kama michezo ya kuteka watu inavofanywa
@daudkondo40697 күн бұрын
Mzee warioba hebu wanyooshee kidole wale wanaokamatwa na kura feki
@ahmed-shakirmwamba49927 күн бұрын
Vipi tena Shekh mbona Talimo badala ya Tarimo. Kuwa makini sana usiwaige hawa jamaa.