Mungu azidi kukuinua nyimbo ipo nzuri sana kweli amenihirumia
@user-zh5ux6qn8u6 ай бұрын
Na bahati bukuku alikuwa amebadilika, nani mwingine ameona hivyo
@pilipili727311 ай бұрын
Mbona dada bahati ayupo kwenye video
@Samuel-tp9dc Жыл бұрын
Bahati bukuku angekuwa apa kama ni moto
@salum88487 ай бұрын
Km umestuka dada aliyeonekana humu c bahat bukuku nipe like zangu
@aishaesta9214 Жыл бұрын
Sasa bahati bukuku yuko wapi jamani mmhh 😢😢😢😢
@msumbaalihappytokenyan5714 Жыл бұрын
Ndio nashindwa na wao aki 😂😂
@Samuel-tp9dc Жыл бұрын
Bahati bukukuu jamaniiiiiiiiii😢
@santanabii53749 ай бұрын
The song is blessing me every day,, Maggie sioni Bahati naskia sauti tu🤷🤷🤷🤷barikiwa dada zangu🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@priscillamshai85855 ай бұрын
Sauti ya bahati bukuku ipo ila haonekani..
@Samuel-tp9dc Жыл бұрын
Tuna miss Bahati bukuku kwa Iyi vidéo
@nkarizikim6970 Жыл бұрын
Oohh Huruma za Mwenyezi Mungu ni nyingi sana! Mzidi kuinuliwa Watumishi wa Mungu!! Sifa kwa Bwana Yesu Kristo!!
@ndimamdoe634 Жыл бұрын
Hongera saana mom Maggie
@JudicaelleGatali9 ай бұрын
En Jésus nous sommes des Vainqueurs ah oui oui ya que lui seul le maître de notre vie, merci mes sœurs en Christ , que seigneur continue à vous guider ,et nos ennemis seront couverts de la hantent, merci mes mama, j'ai aimé la chanson , et j'aime beaucoup s'est chansons , que le seigneur vous bénisse tous ❤❤❤🇨🇬🇨🇬🇨🇬 Congo Brazzaville
@elynesaddy9878 Жыл бұрын
Woow kando na wimbo the ladies are so beautiful
@KeziaOkech2 ай бұрын
Muko sawa👍👍🙏🙏🙏
@piscaskazingufu98486 ай бұрын
Mu barikiwe na mungu, pia nimesikia luga ya kwangu lingala😊
@gaudenciaredwin2154 Жыл бұрын
Wanawake bomba katika jeshi la huduma 🎉❤💃💃🤟
@mujunisiden8997 Жыл бұрын
Wawooo very nice song 🙏🙏
@alfrednyairo2965 Жыл бұрын
Nasikia sauti ya Bahati Bukuku kwa wimbo but kwa vedio simuoni