MAGIC SCHOOL | ep 06 | FULL EPISODE

  Рет қаралды 114,838

Dubu Tz

Dubu Tz

Күн бұрын

Пікірлер: 454
@salumuernest6042
@salumuernest6042 8 күн бұрын
Jamani fundisheni watu neno la mungu kwa nini mambo ya kishirkina?
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
Tumrudie Mungu Ndugu zangu Mungu ni Mkubwa Tuache Maasi Dunia sio chochote hii Kila kitu tutakiacha na Tutarudi Kwake Sawa ndugu zangu!! Tuache Shirki pia ni Mbaya sana mungu hapendi... Hapo Vipi Kaka Salumu🤝🤝
@jemimajerome3971
@jemimajerome3971 8 күн бұрын
Hii ni sehemu ya sanaa ambayo mwandishi kama kutumia upande huo kuwakilisha watu wanaoishi kama hao
@Beb-r9v
@Beb-r9v 8 күн бұрын
​@@OfficialDubu_tz😂😂😂ila dubu
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 8 күн бұрын
😂😂😂😂 Dubu
@CrsAlzaid
@CrsAlzaid 8 күн бұрын
Kuna misikiti makanisa nadhani hizo ndo sehemu maalum zamambo ya mungu muachen kijana wetu afanye kazi zake kwa amani
@macklinafesto9358
@macklinafesto9358 18 сағат бұрын
Kazi nzuri dubu leo nimependa zaidi ❤🎉
@kondemagoh
@kondemagoh 9 күн бұрын
Wakwanza timu dubu konde magoh apa 💪
@cynthiaagutu697
@cynthiaagutu697 9 күн бұрын
Kazi nzuri ila mnachelewesha sana❤❤🔥🔥🔥
@ArabiDua-ct8bl
@ArabiDua-ct8bl 8 күн бұрын
Kazi mzuri ìla munachelewesha sana
@AzizahMbonde
@AzizahMbonde 8 күн бұрын
❤❤ yan we dubu noma sana yan na big misondo
@fatumasaidmajero2050
@fatumasaidmajero2050 8 күн бұрын
Hongera sana dubu much love❤❤❤
@KelvinDiksoni
@KelvinDiksoni 4 күн бұрын
Kazi nzur sana
@حليمه-خ3ح
@حليمه-خ3ح 8 күн бұрын
Kazi safi big up manzee n vp muendelezo😊
@angeledga5651
@angeledga5651 4 күн бұрын
Chingi bana na sura lake kama sanamu la makubusho😂😂😂😂
@OmariJumaaWaziri
@OmariJumaaWaziri 8 күн бұрын
Duh Yan utani wao Hawa ndege wa Moto na nyani ngwengwe ni ubaya ubwela kweli😂😂 Kama unawakubali like hapa👍👍👍👏👏😊
@kayejipaul
@kayejipaul 20 сағат бұрын
Wanafurahisha sana aisee
@Lidya-e1i
@Lidya-e1i 9 күн бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉nikiwa wa kwanza leo nmengojea sana
@SophiaMabula
@SophiaMabula 7 күн бұрын
Jmn hawa wa2 watakuja kufa ndege wa moto ,ngwengwe duuuh ubaya ubwela❤❤
@ZaiLilanje
@ZaiLilanje 8 күн бұрын
Kazi mzuri ila mnachelewa sana jamani🎉🎉🎉
@Dooh294
@Dooh294 9 күн бұрын
Wakwanza leo, wapi likes jamani, kazi nzuri dubu🎉🎉❤
@GolingoIbenzi
@GolingoIbenzi 8 күн бұрын
Mnachelewesha sana kazi zenu mpaka zingine mnaziachia njiani
@Mainatongwe
@Mainatongwe 8 күн бұрын
Nimechelewa jmn siombay kazi nzur udugu wangu dubu
@RayvannyAli
@RayvannyAli 8 күн бұрын
Kazi mzuri ila munchelewesha sana ❤ @Rayvanny 🐅🇲🇼🇲🇼
@Mizaname
@Mizaname 5 күн бұрын
Ahhhh utani basi,Aishi mpaka iishe noma sana🫵
@HatungimanaRahma-r7l
@HatungimanaRahma-r7l 8 күн бұрын
Iyi team naipend sna kwasabab movie zao ni fupi sana alafu nzur ❤❤onger snaa dubuuuuu
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
🙏🙏
@doctorsharifusharifutibatv8469
@doctorsharifusharifutibatv8469 8 күн бұрын
WAKO vizuri sana
@Joan-c2r
@Joan-c2r 8 күн бұрын
Hongera sana kwa kazi nzuri from Kenya
@KhadijaMasoud-m6u
@KhadijaMasoud-m6u 8 күн бұрын
Kibonge jiniasi kwa kufanya mabaya ndo akili hy😂😂
@Hatungimanaiddympolebamarire
@Hatungimanaiddympolebamarire 8 күн бұрын
Munacherewesha ao ndoyule msemo bizuri habitaki harakaaa dubuu salut
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
🙏
@ZaituniRajab-n2x
@ZaituniRajab-n2x 6 күн бұрын
Mwenyez mung tu awasaidie kwa kila jmbo maan team dubu kusema ukweli wapo vzr na nawakubali ❤❤kinoma mwaaaah na poleni kwa na changamoto mnazokabiliana nazo 🤭😍🤭😍
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 6 күн бұрын
Tunashukuru sana Mungu akuongezee na wewe pia❤️
@KisingeliTalent-d6g
@KisingeliTalent-d6g 9 күн бұрын
Aya nyan ngwengwe wangap hapo namba moja nimetulia hapa 😂😂😂
@MichelleSwai
@MichelleSwai 7 күн бұрын
Nimeipenda Sanaa hizi episode kuanzia ya episode ya 4 -6 tamuu Sana maana ni nzr aisee nipo chini ya magoti yenu tupeni episode ya 7-15.
@Msaniitz
@Msaniitz 8 күн бұрын
Dubu kazi nzuri sana🎉❤
@EuticusWabwire
@EuticusWabwire 8 күн бұрын
Jamani huku Kenya tunangoja next episode,, watching it from Nairobi Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@JoyWairimu-qv5gp
@JoyWairimu-qv5gp 8 күн бұрын
Wew eleze
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 8 күн бұрын
Kazi nsuri sana dubu, from Gikombaa nairobi
@Maryam-e2x8p
@Maryam-e2x8p 8 күн бұрын
Mandonga yuasumbuliwa na mapenzi❤❤❤🇸🇦
@HatungimanaRahma-r7l
@HatungimanaRahma-r7l 8 күн бұрын
Jamanii tupeni muendelezo wa fortune 😢😢😢
@neemahajj
@neemahajj 8 күн бұрын
Kwa mara y kwanz dubu amezuia kombora🤭👊uko juu🔥🔥
@machozimukucha
@machozimukucha 8 күн бұрын
Nawakubali sna pia nawapenda sn kwakazi Nzuri munazo zifanya❤❤❤🎉🎉🎉🎉💯💯🔥🔥🥰
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
🙏
@OmmyDseven
@OmmyDseven 8 күн бұрын
Bro mko vzr sanaa kitolondo noma ila mkitoa kwawakaty ndy mtazid kukua lkn mnachelewesha sanaaa maua yenu🎉🎉🎉
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 8 күн бұрын
Mi nacheka nyani ngwengwe na mwalimu moto 😅😅😅ubaya ubwela 😅😅😅
@Lea-tj5kf
@Lea-tj5kf 8 күн бұрын
Nljua kamuona jmn dubu kumbe ndoto😮gud job kaka
@Samiyabahatinanti
@Samiyabahatinanti 7 күн бұрын
😁😁😁🤣🤣cingi ananiuwaga sana
@AliMunga-c8n
@AliMunga-c8n 7 күн бұрын
Kazi nzuri bro dubu big up sana
@RizikiZiki
@RizikiZiki 8 күн бұрын
Kiti moto na Nyani Ngwengwe munamambo nyiye ongera Dubu kwazi nzuri🎉🎉🎉🎉
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
🙏
@aishaomar2287
@aishaomar2287 8 күн бұрын
Yani dubu😂😂😂 ukaamua umfushe mdada wa watu na marashi adhimu😅
@Ludovickmunishi
@Ludovickmunishi 8 күн бұрын
Aiishi adi iishe 😂😂😂😂😂😂ubaya ubwela
@MercyOdera-d2r
@MercyOdera-d2r 8 күн бұрын
Kazi safi sana dubu
@JaphetKarisa-d4g
@JaphetKarisa-d4g 8 күн бұрын
Yeeees kitorondo umeweza kuivuta fimbo
@DanielMepukori
@DanielMepukori 8 күн бұрын
Hae
@kingyohaner4855
@kingyohaner4855 8 күн бұрын
Kazi nzuri saana dubu❤❤❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
🙏❤️
@Mizaname
@Mizaname 5 күн бұрын
Dubu umeziwia kimbola noma sana
@RyanGerald-j2u
@RyanGerald-j2u 8 күн бұрын
Kazi nzur sana🎉🎉🎉
@MaimunaNangabo
@MaimunaNangabo 8 күн бұрын
😂😂😂jamani mwalimu moto unanifurahisha sana 😂😂❤🎉🎉❤❤hongera
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
🙏
@JoyWairimu-qv5gp
@JoyWairimu-qv5gp 8 күн бұрын
2naogoja sana nawapenba san
@Kaske-bleumartin
@Kaske-bleumartin 9 күн бұрын
Nice from merekani wa kwanza leo
@HappyMoses-rt1nv
@HappyMoses-rt1nv 8 күн бұрын
Nainjoy sana❤❤❤❤🎉🎉🎉
@JosephineApondi-m4i
@JosephineApondi-m4i 8 күн бұрын
Kazi zuri sana dubu❤❤❤
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 8 күн бұрын
Mandonga acha wivu,,,na acha roho mbaya
@SophiaNdagwa
@SophiaNdagwa 7 күн бұрын
Good job dubu na team yak🎉🎉
@MillicentMoraashMongeri-s8p
@MillicentMoraashMongeri-s8p 8 күн бұрын
Nimeipenda hiyo❤❤❤❤❤wauh
@saumjuma3940
@saumjuma3940 7 күн бұрын
Jamani harryporte unachelewa Sana na hilo abaya vua vaeni kam chingy mbon movie zote havaagi mabaibui
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 8 күн бұрын
😂😂😂ubaya umbwela nyan n mtumishi moto nyie 😂😂😂😅
@alfredtebeka2497
@alfredtebeka2497 6 күн бұрын
Jamani mbona kitoronto ni mzuri❤❤ kama uwa🌹🌹
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 6 күн бұрын
🥰
@EzekiaMsemwa-sk7ow
@EzekiaMsemwa-sk7ow 8 күн бұрын
Wahisha mnachelewa sana wanaaaaa
@ThamaratiHamisi
@ThamaratiHamisi 8 күн бұрын
Dubu nakupenda we kaka, unaniondolea stress zote nikiwa naangalia kazi zako, unajua alafu unajua tena
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
🙏
@RajuShabani
@RajuShabani 8 күн бұрын
Asante dubu
@Newtonwafula-g3s
@Newtonwafula-g3s 8 күн бұрын
tubu tunataka 7 tunakupokesa sana kazi yako sisi wake🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko na wewe
@ibrahimukombe
@ibrahimukombe 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂dubu nakuaminia kwa Leo 😂😂😂😂 umeniweza umezuia kimbola Leo😁😁😁😁😁
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
🤣
@kangamnhamajanja
@kangamnhamajanja 8 күн бұрын
safi dobu
@Awoshy
@Awoshy 6 күн бұрын
Siunajua Dubu ndio michezo yake ya kujifunika uso😂😂😂😂😂😂😂ila kimbola 😂😂😂kitakuja kiwauwe wanafunzi wallah sio kwa kuanguswa huko😂😂😂😂😂😂
@lizchepkorir2000
@lizchepkorir2000 8 күн бұрын
nyani mgwengwe na mwalimu moto mtakuja kuniua jameni😹😹😹safi sana Dubu 🎉🔥🔥🇰🇪
@ButoyiRukiya
@ButoyiRukiya 8 күн бұрын
Namimi wataniwuwa😂😂😂😂
@fatumaselemani3807
@fatumaselemani3807 8 күн бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤mbona autumi linki jamani
@JenipherMsisi
@JenipherMsisi 8 күн бұрын
Mnatuweka Sana jaman❤🎉🎉
@paulrimba654
@paulrimba654 8 күн бұрын
Good job dubu and crew, much love from Kenya
@MaSuzy-zf8ol
@MaSuzy-zf8ol 8 күн бұрын
😂😂😂😂jmn mbona ujapa tena😂😂😂
@QueenTelly-y5h
@QueenTelly-y5h 8 күн бұрын
Safi sana ilamnachelewesha
@bonifacedaniel-ng2hf
@bonifacedaniel-ng2hf 4 күн бұрын
Happy nikweli fundisheni watu kua dunia iko mwishoni jamani wamgeukiie munga atuokoe amen
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 4 күн бұрын
❤️
@AnganileMendamenda
@AnganileMendamenda 5 күн бұрын
Kunvt vng sana vya kujifunza ktk move hii ingawa watu tunaitazama kwa upande was Imani lkn tunapaswa kua makini kwa Kila jambo kama chobi
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 5 күн бұрын
🙏
@Awoshy
@Awoshy 6 күн бұрын
Haiishi hadi iishe ubaya ubwela 😂😂😂😂😂😂
@RehemaShindo-px7gt
@RehemaShindo-px7gt 8 күн бұрын
Huyu kibonge mchicha 😂😂😂😂jamani yuanifurahisha😂😂😂😂
@godfreymusungu
@godfreymusungu 8 күн бұрын
Nawapenda katoeni nyingine kwa haraka jamani 😁
@Neykids
@Neykids 7 күн бұрын
Hongerenii sanaaa kaka🎉
@NikizaGamariel
@NikizaGamariel 9 күн бұрын
Wakwanza mimi hapa kutoka USA 🇺🇸 Naomba likes zangu😊😊
@christopherernest2316
@christopherernest2316 8 күн бұрын
Kazi nzuri sana ila mnatucheleweshea sana tunasubiri mno muendelezo😢😢😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@DanielMepukori
@DanielMepukori 8 күн бұрын
Hae
@OmariJumaaWaziri
@OmariJumaaWaziri 8 күн бұрын
Good ideas good performance 👏👏 keep it doing 🔥 we are appreciating you 👏👏 kama unakubali magic School gonga like naanza mm👍👍👍👍👍
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
💪
@macklinafesto9358
@macklinafesto9358 18 сағат бұрын
Nzuri hiyo nimependa ❤
@TigerGabrielsaint
@TigerGabrielsaint 8 күн бұрын
Aliye ona kule chini kunanuka ninani😂😂😂
@JamesonMwanyombwee
@JamesonMwanyombwee 8 күн бұрын
Mnachelewesha sna
@amissebernardobaiuene
@amissebernardobaiuene 8 күн бұрын
Mimi ndo wakwanza kuhuna hi sinema
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 8 күн бұрын
dubu ananguvu sanaaaa bac ty
@EyecandieDr
@EyecandieDr 8 күн бұрын
Wow so creative bro much love from Kenya as always ❤
@aishaaisha7097
@aishaaisha7097 8 күн бұрын
Aisee mandonga umeniangusha😅
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 7 күн бұрын
Ila nyani ngwengwe na ndege wa moto😂😂😂
@nyamiziramadhani4232
@nyamiziramadhani4232 8 күн бұрын
yaan dubu ananguvu ila anajifanya mjinga nimependa hyoo 😂😂😂 waooo inafundisha kitu
@TheresiaRuben-n6c
@TheresiaRuben-n6c 6 күн бұрын
Jaman hiimove ninoma ila 2kitaka muendelezo ndoshida
@SabrinaLilian-z4j
@SabrinaLilian-z4j 8 күн бұрын
Nzur sana dubu
@MshengaSuleiman
@MshengaSuleiman 8 күн бұрын
Nyani ngwengweee bwana 😂😂😂😂
@peterngila4221
@peterngila4221 7 күн бұрын
Noma kweli
@ZainabAlly-un2yw
@ZainabAlly-un2yw 8 күн бұрын
Hongera sana dubu
@zeshaliustz
@zeshaliustz 8 күн бұрын
Move kali sana sungwi tunaifatia sana🔥🔥🔥
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
🙏🙏
@amossumuni1
@amossumuni1 7 күн бұрын
Afu ingependeza kama mngetoa Sungwi Season 2 ​@@OfficialDubu_tz
@NasmaahMahadhi-k6x
@NasmaahMahadhi-k6x 8 күн бұрын
Jitahidin kuwah kuitoa mpak nin sahau Kam kuna dubu
@AdamuMkimbu-x1q
@AdamuMkimbu-x1q 7 күн бұрын
Zinachelewaa sanaa kutokaaa.mkuu
@AyubuKamendu-w4o
@AyubuKamendu-w4o 8 күн бұрын
Kazi nzuri
@AminaOmary-gu7mp
@AminaOmary-gu7mp 7 күн бұрын
Dubu mungu abariki kazi ya mikono yako🙌🙌
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 7 күн бұрын
🤲🤲
@mwanamisikifogo869
@mwanamisikifogo869 8 күн бұрын
Nice job I like it🎉🎉🎉🎉
@shaxonboy_
@shaxonboy_ 8 күн бұрын
🐼huyu ndo dubu😁
@mwanaherimkanda49
@mwanaherimkanda49 8 күн бұрын
Dubu mtu mbaya napenda upole wako tu❤
@OfficialDubu_tz
@OfficialDubu_tz 8 күн бұрын
❤️
@aronnguvila3514
@aronnguvila3514 8 күн бұрын
kuna mwanafunz hayupo dubu
@JumaMwinyipembe
@JumaMwinyipembe 7 күн бұрын
Kazi nzur dubu 💯💯
MAGIC SCHOOL | ep 05 | FULL EPISODE
32:32
Dubu Tz
Рет қаралды 136 М.
WHITE HOUSE | EPISODE 1| HORROR MOVIE
22:38
KZ2 FILM
Рет қаралды 73 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,8 МЛН
I LOVE MY TEACHER | 1 |
18:16
CLAM VEVO
Рет қаралды 460 М.
DUNIA (Ep 11)
23:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 162 М.
SHEILA | Part 4
30:05
SheyShey Tv
Рет қаралды 82 М.
MAGIC RING | FULL MOVIE |
1:13:45
CLAM VEVO
Рет қаралды 817 М.
SANDRA [1]#kiparabrand #clamvevo #mwakatobe
17:28
SANDRA OFFICIAL
Рет қаралды 131 М.
SANDRA [3]#kiparabrand #clamvevo #mwakatobe
15:06
SANDRA OFFICIAL
Рет қаралды 79 М.
SHETANI |Ep 5| SEASON TWO
21:22
Comedy Plus
Рет қаралды 35 М.
MAGIC SCHOOL | ep 01 | FULL EPISODE
28:02
Dubu Tz
Рет қаралды 310 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39