Simba fans we wil mis you Sakho asante kwa mazuri ulofanya Simba maana hakuna baya umefanya kapambane,kapambane na uwe na maisha mema Ufaransa,thanks to be a Simba player
@chrissg4026 Жыл бұрын
Tatizo makocha wa Simba hawajui jinsi ya kumtumia Sakho! Sakho ni Supper Sub! Anatakiwa kuingia dakika 45 za kipindi cha pili! Atakupa matokeo mazuri sana! Magoli yote amefunga alipotokea Sub kipindi cha pili!
@randomclips5474 Жыл бұрын
nina mawazo kama yako
@twalbuhaji Жыл бұрын
Kweli kabisa
@victorlyimo896 Жыл бұрын
Kamtumie wewe
@JovinnyBwondeye-sr2gv11 ай бұрын
@@randomclips5474zumu
@ManandiJumaaJr Жыл бұрын
Sako baller
@erensave30293 ай бұрын
Hada m9wed 💚
@rajawyyt4993 ай бұрын
Ah nade
@aminerossi61673 ай бұрын
Walakin rah ta7 niveau dialou chuia
@erensave30293 ай бұрын
@@aminerossi6167 عندك بنونيس نتمناو خير
@AbdoJabado3 ай бұрын
Khoya wch sinaw m3ah ?
@ImmaSimon10 ай бұрын
Tunammiss sana Sakho😢 Yan winga ya Onana ni tofauti na winga ya Sakho Nguvu, Kasi, Mashuti.. this man was on 🔥
@abdurasuliothmanimzee2889 Жыл бұрын
Bad na hajapewa goli Bora daah
@jimmycliff6977 Жыл бұрын
Daaaaah walimkosea sanaaaaaaa
@MarryCharles-rc6ei6 ай бұрын
Kuna wakati najikuta natukana bila hata kufikiri, hv hawa viongoz waliwaza nn kumuuza sakho na kumleta sawadogo, ona wakamtoa baleke na phili wakareplace na jobe na frade watu ambao hata tabora united hawawez kuwasajiri, Daaaah, ila hawa viongoz wana mbigu yao! Let's go sakhoooo
@MerryHerman-q7w Жыл бұрын
Bwana mdogo kabisa Magori makali mnoooooo
@AnastelaGerald10 ай бұрын
Simba wamrudishe sakho wetu
@MassoudSalimin8 ай бұрын
Namkubali sana sakhoo
@jimmydizonga1335 Жыл бұрын
Wachambuz wasiojua mpira huwa wanamkosea Sana sakho, hivi kweli tanzania kunawinga kama sakho.
@vckyjohnson1080 Жыл бұрын
Hakuna brother yeye ndo winga pekee mwenye magoal mengi
@MwanaharusCosmas Жыл бұрын
Kwanini tumuuze mtu kama huyu
@mohammedkidody56188 ай бұрын
Mm enyw najiuliza
@martinonetv Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉 sakho ni hatari sana
@tadashaclassic7766 Жыл бұрын
Nilichogundua Leo huyu jamaa nimtu 1 hatari sana
@EzzyEddy-il3ce Жыл бұрын
Sakho fundi tusimuuze mazee apewe tuu nafasi afu Bado mdogo umri unaruhusu
@EliyaMbosore-yv3zx Жыл бұрын
Huyu dogo anafunga magori makali ni hatari Simba msimuuze
@nayphatmood Жыл бұрын
Sakho ni mchezaj mzur sana sema Simba sijui hua wanafel wap
@fabianilango8 ай бұрын
Jeeeshi rimepotea😂😂❤❤
@BarakaWaya7 күн бұрын
Sakho alikua na uwezo mkubwa sanaaa
@DianaAbdalah-d8z8 ай бұрын
Leo hii simba ilipofikia tunacheza naka tim, kadogo, kana, tuvimbia, simba inavimbiwa na mtu, kweli, ata, yanga, awatuwezi
@chrissg4026 Жыл бұрын
Supper Subb!!
@figelomorice-vt2or8 ай бұрын
Mrudishen sakho haraka sana
@abdulmalickupete9015 Жыл бұрын
Tatizo sakho hachezi KITIMU WENZIE WANAMPASIA YEYE MDA WOTE HATOI PASI KWENYE 18 NI HILO TU MENGINE YUPO POA SANA
@LucasMathayo Жыл бұрын
Ndo shida ya timu zetu wauza wachezaj wazuri wachukua akina onana
@dundoonlinesingeli3 ай бұрын
simba hii 2024 inaitaji wachezaji kama sakho au kama vipi harudii tuu
@OmarAlly-pb5ie3 ай бұрын
Yani huyu dogo namuelewa sana,tena sana sijui kw nn viongozi hawamrudishi huyu
@costantiniepafra13724 ай бұрын
Sako arudi Kama Kuna uwezekano
@JohnWamlyoma4 ай бұрын
Musha chelewaga Sana b😂
@zohrazohra10518 ай бұрын
I miss u sakho
@Luffa.online Жыл бұрын
Siku zote tik tak ndio goli bola af chaajab kapewa yule zuchu
@BoniphaceCosta-kd2yw8 ай бұрын
Watulete Sako wetu
@curetive62637 ай бұрын
Saidoo anabaki Sakho anaondoka 😂😂 viongoz wa simba mkapimwe akili
@fatumaissa2624 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤
@mbaroukkhalifa8035 Жыл бұрын
Hassan Ahmed amefanya nichekw ety hiih aloo weeeh 😂😂😂🤣🤣
@SeveriniKazaura45-ek3jw Жыл бұрын
Uyu mtoto mrudisheni bn
@shariffshaffii3299 Жыл бұрын
Pape sakho
@Msetotz Жыл бұрын
Anajua
@PendoJoram2 ай бұрын
Hayupo kabisa tz hii
@RamadhaniOnana4 ай бұрын
Mwamba kwer kwel
@SalminJumanne-xp5kr Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@DeusiMorisi6 ай бұрын
Ndo wasafi walikuwa wanasema hajaisaidia simba
@paulmsape163 Жыл бұрын
Haswaaa ni hatari sn
@azizmiraji26109 ай бұрын
Sakho sijui aliwakosea Nini viongozi wa Simba
@alexaidan64379 ай бұрын
Wasenge 2 wale wamemwacha mchezaj mzr
@azizmiraji26109 ай бұрын
@@alexaidan6437 pumbavu kabisa
@VictaBuchumy5 ай бұрын
Tatizo tamaaa ya fedha hawafokasi mbele kinachokuja kugharimu badae
@SelemanSambula10 ай бұрын
Wamludishe sakho wetu jamani
@NehemiaMathayo10 ай бұрын
Me mwenyewe nishammisi tu sijui Simba walifeli wapi😢😅
@MassoudSalimin8 ай бұрын
Dg fund
@MassoudSalimin8 ай бұрын
Yan dogo nilvo nikimkubali had mtaan naitwa sakhoo
@pallangyojames68707 ай бұрын
Simba haipendi furaha nduguvinapenda majozi,mtu kama huyu unamuuza kwakipengele gani ndugu?ukiangalia sakoh alikua ni mtu mwenye uwezo mkubwa simba alikua anaiweza so wanaleta wachezaji vipofu now dah inaumiza saaaaaaana
@rashidommy3861 Жыл бұрын
Good performance 🦵👍👍💪💪
@ErickMbise-v6vАй бұрын
Kijanaa ana pengooo lakee msimbazii badoo😂😂
@HemediMajengo7 ай бұрын
Wanazinguaa
@HOLINESSPIUSE-gv8ud7 ай бұрын
Tff ubaguzi wao jamn hili goli la ihefu lilipaswa liende Moja kwamoja kuwa goli la mwaka msimu mzima
@omarymwazema53325 ай бұрын
kwahio onana ndio alikua mbadala wa sakho??????!!!! "ngungu boy umepigaje hapo"
@hemedkagodah1436 Жыл бұрын
Ila daah Sakho tunakumic na tutaendelea kukumic magol yake yalikua ya ajabu na yakuvutia
@mjukuuhotelitv7736 Жыл бұрын
Ombi langu jmn viongozi msimuuze P.O.S WETU
@JacobGodwin-vg2yk Жыл бұрын
Tusimuuze kabisa
@JohnWamlyoma4 ай бұрын
Ila nyie sijuwi walikosa hell za kumlipa 😂😂
@allysmedia2744 Жыл бұрын
Magoli ya matangazo kabisa
@KaremboKarisa-y9e4 ай бұрын
Aludi simba sako
@OscarConoradi-jg1ih Жыл бұрын
Aliye cheza simba kwa uchunguuuu na kwa jashoooo huku ikiiheshimu logo ya Simba ni Sako tumebaki na mabitozi
Hi simba ya sasa inamuhtaj sackho jaman yule ni mcheza anaendana na hii simba viongoz fanyeni namna hat dirisha dogo aje
@AnnaChristopher-m3k Жыл бұрын
Atakuwa mchezaji mkubwa sana duniani
@AugustineLukumay8 ай бұрын
Dah. Kama tumelogwa yani, wakat wenzet wanawang'ang'ania wachezaji wao wazuri sisi tunawauza dah inabidi viongozi muwe na akili ndo kila siku timu mpya ebu angalieni alahaly wapo mpaka wazee ila wana umuhimu kweny hicho kikosi sasa mtabakia mnaangalia mafanikio wakipata wengine nyie kila siku mnaishia palepale hampigi hatua afu mnatuletea wachezaji wasioeleweka