MAGOMA YUPO TAYARI KUZUNGUMZA NA VIONGOZI WA YANGA...

  Рет қаралды 8,110

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 30
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 2 ай бұрын
Jamani wana familia mshaurini huyu mzee aachene na hili jambo... ameanza kupauka anaanza kukosa raha yaani anajikaza tuu....😢😢😢 Atakondeana soon... mtihani kwa kweli...... Hataweza kushinda
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 2 ай бұрын
Magoma ni mio goni mwa wale waliokuwa wanajinufaisha na maisha yao yalikuwa yanategemea Yanga. Kukosa nafasi ile imemtia kichaa na kuwa tayari jushirikiana na wahuni wasioitakia mema timu ya Yanga. Hata kama ni kweli katiba imekiukwa bado hatua alizochukua hazifanani kabisa na mtu mwenye kuipenda timu yake kwa jinsi alivyokosa hekima, busara na uvumilivulicha ya umri wake, hasa ktk. kipindi ambacho hoja yake aliileta hadharani kwani Yanga ilikuwa na majukumu muhimu ya kutekeleza. Katiba ya Yanga haizuii mtu yeyote kusema hoja yake kwenye vikao halali vya wanachama halali. Unajiuliza alikimbilia kwenda mahakamani kwa sababu zipi , halafu leo anasema yuko tayari kukaa mezani kwani hiyo meza ilikuwa haipo pale alipoamua kwenda mahakamani? Huyu lazima awe ni mfano kwa watu wenye roho za kibinafsi kama huyu. Huyu alipe hizo pesa watu wakapate supu pale Jangwani.
@LinusKyando
@LinusKyando 2 ай бұрын
TARATIBU ZILIFUATWA NDIO MAANA KATIBA ILIBADILISHWA NA WALIOWENGI
@IssaMatandi
@IssaMatandi 2 ай бұрын
Magoma ni kichaa.
@mussammanga7791
@mussammanga7791 2 ай бұрын
Kizungumzwe nini, katiba imeshapitishwa na walio wengi.
@kibiritizuberi9361
@kibiritizuberi9361 2 ай бұрын
Njaaaa hiyo TU hamna chochote
@deusdeditkullwah5586
@deusdeditkullwah5586 2 ай бұрын
Anaweza akakubari yaishe lakini kumbe snakwrpa kesi ya kugushi mbeleni skakianzisha Tena hamulioni hilo?
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 2 ай бұрын
Umewaza kama mimi
@jeremiahcharles6027
@jeremiahcharles6027 2 ай бұрын
Waandishi nao wana ushabiki sana
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 ай бұрын
Watu wote hawajui kuwa katiba imekiukwa ama laa ajue yeye magoma tu peke yake!!!! aaaaaa wewe mzee mimi naona upelekwe mirembe ukapimwe akili, maana ktk taasisi yenye wanachama zaidi ya milioni 2 akatokea mmoja akawaona wote hao hawana akili ila yeye ndio ana akili basi ujue yeye ndio hamna kitu ni box tupu, apelekwe mirembe akapimwe akili
@kimwerihamza4152
@kimwerihamza4152 2 ай бұрын
Sasa kila mwanachama wa yanga nae atake kuongea na uongozi wa timu hapo patakuweje sbb yanga ni taasisi kubwa ndani na nje ya nchi na kote kuna wanachama,kifusi wazee kama hawa aidha hawako vzr kiakili ila walipata viongozi wa kuwalea kipindi chao,atupishe tu kila zama zina nyakati zake,hiki ni kipindi cha GEN Z
@majaliwabwitonde6900
@majaliwabwitonde6900 2 ай бұрын
Asubiri kwenda jela
@abdulkheri7322
@abdulkheri7322 2 ай бұрын
Magoma moto alishazoea posho enzi za manji, saiv mambo hayo hayapo 😂
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 2 ай бұрын
Kaka yangu huyo Magoma na mwenzake ni wapigaji mwanzo waliwahi kumpiga marehem Manji walivuna maganda lakini sasa hivi wamekutana na watoto wa mjini imekuwa ng`adu kwa ng`adu
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 ай бұрын
😂😂😂 ng'adu kwa ng'adu 😂😂😂
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 2 ай бұрын
UYO MAGOMA ATUMTAMBUI SS KAMA YANGA
@LinusKyando
@LinusKyando 2 ай бұрын
MEZA YA NINI WE WAKILI
@IssaMatandi
@IssaMatandi 2 ай бұрын
Huyo chizi afugwe tu.Nani aongee nae na wewe mwanasheria wake ni kichaa pia.
@RabsonSalmon-ys7bf
@RabsonSalmon-ys7bf 2 ай бұрын
Uyo madramsi"😂 ana sumbuliwa na njaa afu kwani yy ninani pale yanga!?
@reginaldmapunda6702
@reginaldmapunda6702 2 ай бұрын
Magoma ni katika wazee wanaoishi kwa figusu hapo bongo lakini safari hii imebuma. Wacha safari hii aliwe yeye. Hakuna kumhurumia mshenzi huyo.
@happinessmwisse1152
@happinessmwisse1152 2 ай бұрын
Wewe mwanasheria unamlia pesa tu huyo mzeee una lolote
@IssaMatandi
@IssaMatandi 2 ай бұрын
Ni vitu gani? Hana akili timamu.
@elipidiusgerazi1924
@elipidiusgerazi1924 2 ай бұрын
Meza ya nini aende mahakamani
@GabrielSky64
@GabrielSky64 2 ай бұрын
Kwani Nini faida ya mashabiki wa timu si furah tu kikubwa Timu yake ifanye vizuri au labda si wengine hatujui faida Nyingine
@kanyeshahigirimana5686
@kanyeshahigirimana5686 2 ай бұрын
Ndo hapo sasa 😊😅
@checkchannel3876
@checkchannel3876 2 ай бұрын
Yaani yeye huyo kidampa ndio mwenye nia njema sana na Yanga kiasi kwamba anafikia hatua ya kufoji sahihi za akina Mama Fatma Karume?
@TalibaliMuhajir
@TalibaliMuhajir 2 ай бұрын
Yetu machotu wachainyeshe tutaona panapovuja
@peterstewart9935
@peterstewart9935 2 ай бұрын
Azungumze na Yanga nini?wakat siyo mwanachama...anajipaje umuhimu sana katika mambo ya watu?na nyie wanasheria mna wajibu wakumshauri kuwa aheshimu maamuzi ya wengi,wanachama wa Yanga wengi wameamua kuendesha club yao kwa namna hiyo anayopingana nayo yeye,hata kama wanakosea ila ni wao wameamua..yeye alishajitoa kuwa Yanga,haimuhusu tena hiyo.
@stanastana3199
@stanastana3199 2 ай бұрын
Magoma apewe timu
@babaharunakipindula3895
@babaharunakipindula3895 2 ай бұрын
Wazungumze naye kuhusu nini unajua kuna vitu vingine vya kijinga sana
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 43 МЛН
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 113 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
MBWADUKE: SIMBA, YANGA MTIFUANO MKALI CAF
11:49
Mbwaduke Stats
Рет қаралды 1,8 М.
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
0:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,9 МЛН
Небула не может открыть дверь🤣 #стражигалактики
0:23
Любитель Кинематографа
Рет қаралды 2,9 МЛН
Лайк бас | Тіркел
0:34
АКУЛЕКА ТВ
Рет қаралды 317 М.