Рет қаралды 14,890
Muungano Tawala wa Kenya Kwanza sio mrengo wa walio Wengi Bungeni. Haya ni kwa mujibu wa uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ambao umetupilia mbali uamuzi wa spika wa bunge la kitaifa ulioashiria kuwa Kenya Kwanza ndiyo muungano wa wengi bungeni. Aidha, Mahakama Kuu imesema kwamba spika Wetangula hawezi kuwa kiongozi wa chama chake cha Ford Kenya, ilhali yeye ni Spika wa Bunge la Taifa