Maandamano Ya Vijana Wa Gen Z Yaliyofanyika Mwezi Juni Mwaka Jana Hayakuwa Haramu. Haya Ni Kwa Mujibu Wa Jaji Bahati Mwamuye Ambaye Kw Auamuzi Wake Amesema Kuwa Kuzuiwa Kwa Kwa Maandamano Hayo Kulikiuka Katiba.
Пікірлер: 7
@Nicholas-yr2sqСағат бұрын
Very good tunarudi kwa barabara soon🔥
@tubedynasty20242 сағат бұрын
Gen Zb comrades must fight on until justice and democracy thrives in Kenya........ abductions and extra judicial killings must stop and the killer squad sent to prison
@DjHashtag_2542 сағат бұрын
V.IV.A. 💯
@runonyakairu364144 минут бұрын
It was not kanja buy that time it was masengeri
@dolphineafundi1833 сағат бұрын
Hii maandamano hunishtua😢
@eddiepicaso2 сағат бұрын
Government at itishwe na Judiciary since when?
@YSEclips2 сағат бұрын
Kwa hivyo tulipigwa teargas bure? Kama kuna law firm iko na kichwa kenya, mgeanza class law suit tupate reparation juu ya hii story.