Mahojiano na Mtanzania Mwanajeshi wa USA na muendesha Trucks, Andrew Urassa

  Рет қаралды 69,492

EBM SWAHILI

EBM SWAHILI

Күн бұрын

Пікірлер: 84
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Andrew anatumia Instagram instagram.com/bongo_youngstar/ na KZbin kzbin.info/door/23G7Cpf17VhI6WhzRdQ0Ig
@Travelwithfred
@Travelwithfred Жыл бұрын
Wenzangu pitia kwangu tujengane please
@abelgermanicus3055
@abelgermanicus3055 Жыл бұрын
@@Travelwithfred hello
@omamomanhelena9433
@omamomanhelena9433 Жыл бұрын
Habari kaka bm naomba no yako kwajili ya mawasiliano Zaid please
@Travelwithfred
@Travelwithfred Жыл бұрын
@@omamomanhelena9433 yangu?
@eliasmagasha9019
@eliasmagasha9019 Жыл бұрын
Nimefurahi sana nataman one day kua dereva wa hizo truck
@Bongoyoungstar
@Bongoyoungstar Жыл бұрын
It was nice meeting you boss. Tutaongea zaidi!!
@Jeff_Tz
@Jeff_Tz Жыл бұрын
Unaonekana Babilon au Blazaman🤣🤣🤣 (jokes)
@Bongoyoungstar
@Bongoyoungstar Жыл бұрын
@@Jeff_Tz nah man hapana kabisa 😅
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 Жыл бұрын
Keep inspiring bro, tunawasikiliza sanaa aiseee
@Travelwithfred
@Travelwithfred Жыл бұрын
Young star I'm from Kenya pitia kwangu tujengane hapa Niko Texas
@officialfadhilomar5249
@officialfadhilomar5249 Жыл бұрын
Good interviews Jitahid ku calm down ,relax and speak smoothly.. una shout sna ni kama unafoka
@gidesbalunguza7152
@gidesbalunguza7152 Жыл бұрын
Helow EBM, naomba angalau sehem ya alikwendaje marekani uipe muda mrefu zaid kuizungumzia, mfano hpo alisema ni kwanjia ya shule angetueleza aliptaje shule au aliombaje na je ni scholarship au la angtueleza zaid ili na sisi tupte kujua na kujarbu njia hiyoo. Asante kwa kuendlea kutumovitave EBM
@Hitimanahemedi
@Hitimanahemedi Жыл бұрын
Asante kwa mahojiano mazuri nawa fata kutoka kansas USA
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
Kuna Scandinavia na Nordic countries Scandinavian countries are Denmark , Norway and Sweden. Nordic countries are Denmark, Norway, Sweden, Finland, and Iceland, as well as the Faroe Islands, Greenland, and Åland. Anyway Welcome to Denmark. I live in Denmark and it's beautful country with the best social walfare in the world Pia Denmark hawajali kwenye mavazi . Wana vas kawaida sana. Wabongo ndio wana pishana kwenye brands wapost insta😢
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 Жыл бұрын
Nipe mchongo wa Denmark plz
@Witnessvlog
@Witnessvlog Жыл бұрын
@@jovovichmedia9424 Tembelea channel yangu ya youtube inaitwa WITNESS VLOG Ina fursa kadhaa
@nicholausludayila
@nicholausludayila 3 ай бұрын
@@Witnessvlog
@Bagenzi4life
@Bagenzi4life Жыл бұрын
Ahsante sana kaka #EBM kwa haya mahojiano
@tegemeajaspermagayane1577
@tegemeajaspermagayane1577 Жыл бұрын
Thanx for the insight guys.
@raychipanha1919
@raychipanha1919 Жыл бұрын
Asante EBM Ila huyo jamaa mbona anaonekana Kama hajui kiswahili wakati no m'bongo
@abdulnaseermrisho4342
@abdulnaseermrisho4342 Жыл бұрын
Team Ronaldo,woyooooooooo 😁😁😁 Ahsante kaka kwa video
@hajimagambo8146
@hajimagambo8146 Жыл бұрын
Kak #EBM Naomba mawasiliano yako please
@johnstonemuhindi6574
@johnstonemuhindi6574 Жыл бұрын
@50 yrs and you happen to come to the US with green card are you able to join the army training then act as a reserve while you do other job or this far away the maximum intake.
@bebick3724
@bebick3724 Жыл бұрын
Kazi nzuri... Mkuu Watu wa 255
@patomoe3950
@patomoe3950 Жыл бұрын
Good brother EBM 👍🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@Alamaria-km3yc
@Alamaria-km3yc Жыл бұрын
Vipi mkuu uko fati Sana bor 🤲 🤝
@zephaniamwangu9857
@zephaniamwangu9857 Жыл бұрын
Very humble guy❤❤❤
@phares_anania
@phares_anania Жыл бұрын
So ukiwa reserve officer Huwa unalipwa kila mwezi???
@omamomanhelena9433
@omamomanhelena9433 Жыл бұрын
Naomba namba yako broo please
@informationmwambela6065
@informationmwambela6065 Жыл бұрын
Mwaka ujao application ya Greencard lazima!!!!
@kephadonald3299
@kephadonald3299 Жыл бұрын
We mtangazaji acha ujuaje uliza swali acha ujibiwee
@johnwaweru2839
@johnwaweru2839 Жыл бұрын
Can someone help me how i can reach Ebm
@omamomanhelena9433
@omamomanhelena9433 Жыл бұрын
Na mm nataka niombe green card broo
@yakubuokoky4092
@yakubuokoky4092 4 ай бұрын
Good interview, but dont own up the interview. Also give time for the interviewee to explain himself.
@mrlongrichlongrichagent1929
@mrlongrichlongrichagent1929 Жыл бұрын
EBM bhana, Ronaldo sasa hv yuko wapi😅😅😅
@Muksini-h1v
@Muksini-h1v 6 ай бұрын
Kaka Habari za kwema
@innocentmwangosi1997
@innocentmwangosi1997 Жыл бұрын
Mwana habari unacheka cheka sana bila sababu unauliza swali hujajibiwa unacheka cheka tuu nna mashaka na taaluma yako
@goromamussatvonline
@goromamussatvonline Ай бұрын
kumbe wengi tumekuona I'll...jamaa itakua amerewa😂😂😂
@phares_anania
@phares_anania Жыл бұрын
Leo umeleta topic ambayo ndio mipango yangu nikiwin greencard
@petermgaya3812
@petermgaya3812 Жыл бұрын
EBM si umuache yy aelezee mbona unajieleza ww, hujui hata kufanya interview, interview nyingi unajieleza ww na maisha unayoishi. Ushamba huo
@drmedard
@drmedard 9 ай бұрын
EBM unaongea sana,hii sio interview unaleta ujuaji sana halafu we mbishi balaaa. unauliza kabla hujajibiwa ushaanza kujijibu mwenyewe.kwanini usiulize maswali ukaacha mhusika ajibu.halafu pangilia maswali yako...unauliza randomly mpaka interview inaisha wasikilizaji hatupati kitu.jirekebishe bro unafanya vizuri kutuhabarisha lakini poker huy Ushauri ......"punguza maneno,punguza kelele,be systematic"😵
@charlesvicent113
@charlesvicent113 Жыл бұрын
Mtanzania ni mtanzania tu kenge chukua point pita hivii kelee za nn
@geofreymfalamagoha7374
@geofreymfalamagoha7374 Жыл бұрын
Mtangazajo umekuwa unaongea sana kuliko unayemhoji unaonesha unajua haikuwa na haja ya kumuhoji
@daimothman1045
@daimothman1045 Жыл бұрын
Kuna kitu jarib kurekebisha km hii video anaonekan mtu mmoja na the way ulivyomzoom haiko poa
@issakitundu617
@issakitundu617 Жыл бұрын
Hiv akirud bongo atapewa tena uraia wa bongo au watamzingua
@samweljoel6128
@samweljoel6128 Жыл бұрын
Yaaani hatakama uko wapi hutosahau mbwembwe za kijiweni nimewakubari
@EastOneDiamante
@EastOneDiamante Жыл бұрын
Nimependa mkuu
@RaphaelKapesa-x6g
@RaphaelKapesa-x6g 18 күн бұрын
Mkuu unanisaidiaje mkuu na mimi
@mo_8712
@mo_8712 Жыл бұрын
Mkuu Makulilo inabidi uandike maswali ili interview iwe na maana. Ungemuuliza vizuri mfano alienda kusoma katika level gani, mwaka gani, alipata scholarship au vp....pia mpe muda wa kujieleza....
@goromamussatvonline
@goromamussatvonline Ай бұрын
MTANGAZAJI anacheka mpka anaboa ... mpk kero
@viunahobisa3587
@viunahobisa3587 Жыл бұрын
How sure EBM is sure that next world cup Portugal will qualify?
@Bongoyoungstar
@Bongoyoungstar Жыл бұрын
😂😂
@Officialrodhium
@Officialrodhium Жыл бұрын
Kenya 🇰🇪 na Nigeria 🇳🇬 wanaongoza kwenye jeshi la marekani na hawana huu ushamba mlio nao watanzania
@nsanyarasheeed8693
@nsanyarasheeed8693 Жыл бұрын
Acha wivu shoga ww
@kelvinlogan839
@kelvinlogan839 Жыл бұрын
Wakenya mda mwingine mnashida kaa wasenge mda wote mnataka ushindani na ulinganishahi msenge nn
@magorymara5515
@magorymara5515 Жыл бұрын
Kuna watanzania wapo NASA na wanafanya kazi kubwa unalijua hilo
@neemamarenga1448
@neemamarenga1448 Жыл бұрын
Wewe unanini au unatafuta kiki 😂😂😂
@richardmathias516
@richardmathias516 Жыл бұрын
So explain in detail which kinda of habit you talk about
@abdulrisassy2488
@abdulrisassy2488 Жыл бұрын
Andrew unabishana MUHA mtakesha😊😁😁
@niyomugabojohn8329
@niyomugabojohn8329 Жыл бұрын
Atupatie number zake jamaani
@emanuelsagenge2418
@emanuelsagenge2418 Жыл бұрын
Jamaa unaongea sanaaaa aisee umeiharibu interview
@lazarojoseph7541
@lazarojoseph7541 11 күн бұрын
Ndio mshika mpini wa ebm scholar
@faridyshaame4705
@faridyshaame4705 11 ай бұрын
Andrew urasa sound like mbwana ali samata
@clarasimon7830
@clarasimon7830 Жыл бұрын
He look like sadio mane
@floriansimwinga3037
@floriansimwinga3037 Жыл бұрын
Nimeomba Green Card ni matumaini yangu kuwa nitashinda Mungu nisaidie
@Travelwithfred
@Travelwithfred Жыл бұрын
Nakuombea pia. Pitia kwangu tujengane
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Ukishinda sy mtanzania tena
@Hancymtembo
@Hancymtembo Жыл бұрын
Tunakupataje
@salumhassan2204
@salumhassan2204 Жыл бұрын
Wa kwanza
@EBMSWAHILI
@EBMSWAHILI Жыл бұрын
Karibu sana
@hildapaul5422
@hildapaul5422 Жыл бұрын
@@EBMSWAHILI Poland yenyewe ipo nchi za Scandinavian?
@connectiontv3692
@connectiontv3692 Жыл бұрын
Bro nisaidie nipate chance ya kufanya kazi ulaya
@jacksonharry3460
@jacksonharry3460 Жыл бұрын
Unaongea kam shoga jikaze
@sadicdizae_tiba_Asilia
@sadicdizae_tiba_Asilia Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@bazilmatilya
@bazilmatilya Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Жыл бұрын
Huyu siyo mtz sasa,hatuna uraia pacha sisi
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 Жыл бұрын
Unaweza ukawa na green card na ukatumia Tanzanian 🇹🇿Passport
@jayp5871
@jayp5871 Жыл бұрын
Ebm unamaswali ya hovyo sana, yasio na maana 🤮🤮
@ayoubmiraji3916
@ayoubmiraji3916 Жыл бұрын
Host una foka sana!!
@Bagenzi4life
@Bagenzi4life Жыл бұрын
Ahsante sana kaka #EBM kwa haya mahojiano
SALIM KIKEKE NDIO  MMILIKI WA CROWN FM
18:28
Dizzim Online
Рет қаралды 165 М.
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 42 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
Yay, My Dad Is a Vending Machine! 🛍️😆 #funny #prank #comedy
00:17
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 57 М.
Kujiunga na jeshi Jeshi la Marekani | Taratibu na faida zake
12:29
Maisha yangu Basic combat training [US.Army]
43:50
Mshana The Blacksmith
Рет қаралды 19 М.
JAMES AELEZEA NANNA ALIVYOPATA VISA YA CANADA
34:06
SHIJA tv
Рет қаралды 4,6 М.
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 42 МЛН