Nimejifunza sana tangu nilipookoka na kabla ya kuokoka Mbaga nimeanza kumfatilia kabla ya mm kuokoka ety Leo hii mm nimekuwa mfuasi wa kristo ase nikikumbuka maisha yangu ya zamani napiga goti kumshukuru god
Pastor mungu akubariki kwa mahubiri haya mazuri yanatujenga sana
@lydiamapenzi2152 Жыл бұрын
Nbrikiwa sana kwakweli MUNGU awabriki sana pr mm nko na shida ya Afya ygu naomba unikumbuke na mm muchungaji ukiomba
@dennisombati6035 Жыл бұрын
Nikumbuke na maombi pastor mm okari
@janetjannet3144 Жыл бұрын
Asante sana baba mchungaji nimesikia mahubiri yako tangu mwaka jana unanibariki moyo wangu kwa hivyo niombee niko mugonjwa kwa koo mugogo na miguu
@leashao2776 Жыл бұрын
Jaman Matangazo ni mengi sana
@asooraaasooraa4816 Жыл бұрын
Amina
@upendoeliudi5196 Жыл бұрын
God bless you father
@salimanathan1073 Жыл бұрын
Be blessed paster🙏
@jeannekatembe6396 Жыл бұрын
Amen
@SharonAron-t1j4 ай бұрын
Alafu utakuta mtu anasema kanisa limeharibika, Ivi hao watu wanawasikilizaga kina Mbaga? Yani kuna watumishi wanatumika na hawana majina makubwa 🙏🙏🙏 huwezi kusikia mafundisho ya kama haya alafu ukabaki kama ulivyo
@estherchege90744 ай бұрын
😂kufikia hapo acha nicomment Yesu alipewa pesa na WAnawake.. underline word WAnawake..sio wanaume😂