#LIVE

  Рет қаралды 14,581

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 35
@shedracksteven6096
@shedracksteven6096 3 жыл бұрын
Pastor Mmbaga! Ubarikiwe! Kiiila siku unajambo kwa ajili yangu, nafuatilia saaana mafundisho yako, Ni heri niweke bando nikusikilize. Ninamiaka 4 sijawahi kulipia king'amuzi, ni heri ninunuwe bando,nisikie jambo kutoka kwako! Umeniokoa sana sana sana! Mungu akutumie hadi umalize kazi yake. Barikiwa na jamii yako.
@fatemajohn3195
@fatemajohn3195 Жыл бұрын
Ameen mtumishi hata mm pia hiyo waga inanitokea sana
@ruthkiboko3844
@ruthkiboko3844 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Pastor Mmbaga tunabarikiwa na mahubiri sana... sana injili hii inatukuza kiroho kadiri tunavyofuatilia mahubiri
@jessikaakinyi8445
@jessikaakinyi8445 3 жыл бұрын
Ameeeeen Mungu anastaili zake naomba anipiganie ktk hili langu
@roselineombati670
@roselineombati670 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂,aki ukweli Kuna wkt nilifunga na kuweka nadhili kabla sijamaliza mfungo wa wiki tatu siku Moja asubui nikaota verse kwa biblia nikasoma but sikutilia manani kumbe mungu alinipa jibu na sikumwelewa,Hadi nikaanza kuchanganyikiwa mpaka nikauliza swali Mahubiri TV tho sikujibiwa nikaacha,ajabu ni kua mungu alirudia kunionyesha zaidi kua ninavyotaka kufanya sivyo,tena Jana nikarudia lakini mwishowe ni vile vile tu,ulipokua kwa stewardship juzi tu ikafundisha kua mungu anaagiza ukwame Ili Yale yangekukuta yapite kwanza ndipo aruhusu upite.hilo lilinisaidia mawazo nikatulia mpaka wkt mungu ataniruhusu.barikiwa sana
@heppy8968
@heppy8968 Жыл бұрын
Amina 🙏
@roselineombati670
@roselineombati670 Жыл бұрын
Amina,ndio maana napenda kurudia mara nyingi kuwatch hii video inafariji kweli kweli
@jasminishabani1541
@jasminishabani1541 5 ай бұрын
Kwa kweli
@roselineombati670
@roselineombati670 Жыл бұрын
Nilijua kua maombi ya kufunga na isitoshe kutoa nadhili maombi yote mungu anajibu vile tunataka kumbe sio,nimemuelewa Sasa,
@isaacmogambi6672
@isaacmogambi6672 3 жыл бұрын
Thank you pastor David for good preaching God bless you so much..🙏 🙏🙏🙏🙏
@MarylilianMogore
@MarylilianMogore 7 ай бұрын
Pastor unasema shetani sio mtu, shetani ni nini?
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 3 жыл бұрын
Bwana akubariki na watumishi wa mungu
@heppy8968
@heppy8968 Жыл бұрын
Amina nabarikiwa Sana na somo hili 🙏
@esthermsely3537
@esthermsely3537 3 жыл бұрын
Amen🙏
@wadyanali900
@wadyanali900 3 жыл бұрын
Nimeokolewa kwa neeema
@j4gchannel345
@j4gchannel345 3 жыл бұрын
Barikiwa sana
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 3 жыл бұрын
Mbweha wakamuunga mkono Samson
@azaransari7307
@azaransari7307 3 жыл бұрын
Napenda unavyofundisha kwa uhalisia. GLORY TO GOD. greeting from German 🇧🇪
@rosepeter8996
@rosepeter8996 3 жыл бұрын
Amen 🙏mchungaji barikiwa sana.ama kweli nikiwa sijasikiza clip yako kwa siku nahisi kuna kitu nimekosa rohoni mwangu.mahubiri yako yananifariji sana.mungu na akubariki.🙏
@dukemayo785
@dukemayo785 3 жыл бұрын
Na neema yake bwana itufuate milele a “Kenyan”I can’t miss your teachings any invitation to America visit Texas mostly Arlington area
@timothywandera1681
@timothywandera1681 3 жыл бұрын
Kwa mda wote nimekufuatilia sana, ila swali langu ni, kila mchungaji akiniombea na nimualike kwangu nyumbani atakuja mara ya kwanza bali hawezi rudi tena na pia hata mawasiliano hupotozea kabiza, zaidi ya mara sita hivi je kuna shida gani kati yangu na hawa watumishi?
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 3 жыл бұрын
Mafundisho mazuri napenda sana Mchungaji Mungu akubariki.
@jeconiajosia1999
@jeconiajosia1999 3 жыл бұрын
Yaani pastor mahubiri yako huwa yananibariki sana sikosi kufatilia nini leo umekizungumzia twabarikiwa zaidi ya unavyofikiria
@priscillaheri6823
@priscillaheri6823 3 жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu. Kwa Neema tunaishi na kujifunza mengi. Kupenda neno kama hili ni Neema na kulifanyia kazi ni Neema. Mungu atuhurumie kwa rehema zake azidi kujitwalia utukufu!👏👏
@elizafanzabron592
@elizafanzabron592 2 жыл бұрын
Ninavokupenda wew bas tu, nampenda Mungu aliye ndani yako na ninakupenda wew ambae Mungu anakutumia
@seiframadhan3387
@seiframadhan3387 2 жыл бұрын
Nakupenda pastor kwa sababu unahubiri uhalisia wa maisha yetu ya kila siku na ndy maana tunakuelewa sana na unabadirisha maisha yetu kwa kiasi kikubwa
@lutemahindiakaje5046
@lutemahindiakaje5046 3 жыл бұрын
Mungu atukuzwe Kwa ajili Yako Pr Mmbaga
@peninadunda6348
@peninadunda6348 3 жыл бұрын
Amina mungu azidi kuwabariki na kuwatia nguvu kila kukicha
@perisbosibori8524
@perisbosibori8524 3 жыл бұрын
Thank you pastor Mmbaga for the wonderful teachings. It has been an awesome week of great blessings for me. Barikiwa sana pastor na familia yako.
@rahimajuma5306
@rahimajuma5306 3 жыл бұрын
Mungu akulinde na kukujaza baraka mara dufu
@verdianajohn7634
@verdianajohn7634 3 жыл бұрын
Mungu. Akubariki kila mara maana unatusogeza karibu na Yesu kila wakati
@dilurai4204
@dilurai4204 3 жыл бұрын
Amina Ubarikiwe nawe pia
@MN-hi8ll
@MN-hi8ll 3 жыл бұрын
Mungu ananisahaulisha
@johnedwardy7254
@johnedwardy7254 3 жыл бұрын
Amina
@jamusmwaniki3818
@jamusmwaniki3818 3 жыл бұрын
Muchungaji nakufuatilia xn na unanibariki
(OFFICIAL VIDEO) PATA MUDA NA MUNGU | PR. DAVID MMBAGA
47:46
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 8 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 26 МЛН
#1# VITA YA KIROHO NA SILAHA ZAKE SEHE 1 (OFFICIAL VIDEO)
32:34
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 11 М.
ELIMU JUU YA MAOMBI YA KUFUNGA-PR.DAVID MMBAGA
37:08
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 436
namna gani nitashinda vita vya kiroho
59:16
Gabriel tikiko
Рет қаралды 19 М.
MIIBA YA MAISHA NA MAJIBU YAKE || PR DAVID MMBAGA
1:07:31
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 31 М.
Mch Moses Magembe - MAOMBI YENYE MATOKEO
1:43:42
Rev Moses MagembeTv
Рет қаралды 29 М.
NCHI YA AJABU MWANAMUME MMOJA TU | PR. DAVID MMBAGA
1:04:47
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 4,3 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17