EDNA INAKUJA LEO... KUNA EMERGENCY IMETOKEA HIVYO NIKAONA SIO VYEMA KUWE KIMYA.. HATA HVYO HII SIMULIZI YA MAI NI NZURI SANA, NA KUHUSU SAUTI HUKO MBELE MUENDELEZO WAKE UTAKUJA, (INA MASAA MAWILI)
@Fathum7634 ай бұрын
Vzur mana sina amani bila kuskiza Edina
@NeemaAkashaly4 ай бұрын
❤❤❤
@FloraManeno4 ай бұрын
Hapo umenena kaka Lucas Lumbas Roma Ramon a.k.a Hades au mfalme Pluto🎉🎉🎉🎉🎉
@elizabethkatoko88674 ай бұрын
Swafi kaka lumbas❤❤❤
@michaelmbilinyi74424 ай бұрын
Apo sawa
@Sss-b9w6f4 ай бұрын
Waooo Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi 10
😂😂😂😂😂duuuu Shangaxi nomaaaaa mpaka aonyweshwee pad loooo huyo kweli hataki mchezo
@FatumaIddy-h4r4 ай бұрын
🤓🤓🤓🤓 Huyu shangz km mama angu alivyo nipima mimb jmn duh an akiona aujaingia tyu ni hosp ii simulz imenikumbush mbali jmn dah aya 😂😂😂😂😂😂 wow
@zenaathumani81444 ай бұрын
Jamani tuseme ukweli tu wazazi sasahivi lazima wanaishi kwa wasiwasi Sio Kama wazazi wa enzi za miaka ya 80 anaeniunga mkono gonga likes 🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@TeklaNdekeja4 ай бұрын
🤜
@FatimaRamadan-s4f4 ай бұрын
Kwanza sisi tulioko mbali ni mungu tu atusaidie roho juu juu maana hata watoto wakiume pia huaribika
@ElizaSada4 ай бұрын
❤❤❤❤❤🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NaimaHamad-dv1ji4 ай бұрын
Mbona hii mwisho haina sauti
@nyamvulafatuma53834 ай бұрын
Tunaomba ya Edina wa roma🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@avelinabaluhya28044 ай бұрын
Khaaa,ila Mai nae kazidi,kwa maamuzi ya kukurupuka kila wakati
@FatimaRamadan-s4f4 ай бұрын
Kaka Lukas naona watu wamelia sawa na walioko msibani lakufanya hiyo Edina utuuzie tu naamin sote tutakua v I p inshallah tuktuk promot
@TeklaNdekeja4 ай бұрын
❤❤ Mai kitu kipyaaaa Lucas shika🌹🌹 maana umejua kutupoza na maumivu yajana alievurugwa nakuachangayikiwa tupia like tuendelee hukutukimusubili Roma upyaa, hatukati tamaa naroma japo,💔sn,🌷🌷🏃
@Kellyperry9474 ай бұрын
ᴺᵈⁱᵒ ⁿᵃᵐᵘᵏᵃ kulikoni😅😅😅
@TeklaNdekeja4 ай бұрын
@@Kellyperry947 weee
@FaithPeter-j4w4 ай бұрын
Kila wanachama achukue maua🎉🎉🎉🎉🎉
@TeklaNdekeja4 ай бұрын
Asante nayako hayooo🌷🌷
@Holiness-to3wp4 ай бұрын
Mbona sauti hamna huko mbele bro lucas
@mariamathman35724 ай бұрын
Bro bana sio utubabaishe ungetutell tu Mara hakuna stima mara waikatiza 😢yaonesha ni ndefu Edina SIO KWAMBA TWAKUFUNDISHA KAZI YAKO LAKINI WATUVUNJA MOYO 😅
@FurahaMasha-q2o4 ай бұрын
Edina please
@scollamwanisisi27394 ай бұрын
Duh nimechoka kabsaaa yaan😢😢😢❤❤ kwangu inagoma mbona kumaliza inakata kufika masaa mawili tu Inasoma bila kuongea au ume apload vibaya jamn
@rehemahinjo80814 ай бұрын
Tunaomba na Edina please
@avelinabaluhya28044 ай бұрын
Du,unaenda msibani umefiwa na baba mdogo bado unakata kiu njiani, khaaa jamani tamaa za mwli shenzi kabisa 😔
@TeklaNdekeja4 ай бұрын
Hakufiwa adanganyatu, ila mbaya zaid, umenyofoa mimba. ata maumivu bado unanyanduliwa hee!😂 Wazazi wazaee ila tulikofikia nikulia na watoto😭😭😮
@priscillahsirya65444 ай бұрын
😂😂😂😂
@Shadia5444 ай бұрын
Lucas tunamtaka EDNA JAMANIII ROMA wetu 😂😂😂😂haya tunasikiliza hapa hiyo story ya kweli 😢
Wuwiii,Yona ameshatakiwa kifo cha bodaboda na Mai 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ila ni kweli amekufa maana amemkataa mtoto wake 😂😂
@TeklaNdekeja4 ай бұрын
Huyu Mai niktuko, eti mtoto muweke huko😂😂
@lareineminah13534 ай бұрын
Eeeh Mai hadi kwenye bus umepeyana 😂😂😂😂 umeshindikana Mai
@fetreshazKhamisi4 ай бұрын
Mmh Aisha ww unajitafutia makubwa😂😂🇴🇲🇴🇲
@fetreshazKhamisi4 ай бұрын
Anko Lucasi plz miendelzo wa Edna isitusau
@NademaHasani4 ай бұрын
Lukas lumbas samahan simulizi ya mai inagoma kuendelea tusaidie
@nurafedrick3784 ай бұрын
Unachukia mtoto wakati ulipanua mapaja mwenyewee wewe mtoto lea mtoto japo hapo mbele haina sauti wew mlaani yoan na amexwee nasamaki naatafunwee round hii asinusirike
@jasminmohagthari37304 ай бұрын
Jaman lucas hawa wapeleke kule 😢😢😢uku tunamtaka edna tuu😔😔
@SonsShop-o1j4 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉❤
@MeinnahAlly4 ай бұрын
Anko unatukumbusha vzur kwakwel simulizi hii inaniaumiza sàan
@زينزوادي4 ай бұрын
Sasa bonainajikata
@ramazan16284 ай бұрын
Jamanii mbona hii simulizi sauti aisikiki au sim yangu to 😢😢
@TeklaNdekeja4 ай бұрын
Lucas mbona inagoma, au huko kwenu wadau pakoje?
@aishasalim-90364 ай бұрын
Thought imegoma kwangu thu😅hadi nikavua Bluetooth 😂😂
@TeklaNdekeja4 ай бұрын
@@aishasalim-9036 nzuri ilainagoma san
@cyinesteve-qp1qb4 ай бұрын
Mbna mai imeishia njian
@FaithNdenge-k9i4 ай бұрын
Vip kk Lukas mbona simuliz Haina sauti pka mwisho
@annakinyi2184 ай бұрын
Hakuna sauti mwisho kuna nn lucad Ebu Siskia ww kwanza
@avelinabaluhya28044 ай бұрын
Ni kweli hakuna sauti mwisho
@binthassan91914 ай бұрын
Laiti Ingekua mtu anaweza kurudisha siku nyuma basi sote tungeyarudi matendo yetu
@avelinabaluhya28044 ай бұрын
Ni kweli kabisa
@ReginaJumanne4 ай бұрын
Mmmmh nilifikil wenzang hum ni malaika jaman duuuh 😮😮😮😮
@avelinabaluhya28044 ай бұрын
@@ReginaJumanne mh,kwani unafikiri kuna binadamu mkamilifu?hakuna,ila ni Mungu peke yake ndiye mkamilifu
@ReginaJumanne4 ай бұрын
@@avelinabaluhya2804 weee acha2 hat hivy Mungu anatupenda San Hun anatup nafsi nyingn ya kulekebish makos yetu 🙏🙏🙏
@@ChristinesifaRuwa-jx4qw 🤣🤣🤣🤣🤣 eb usinichekesh me na mapenz ukiambiw Yamaha dar huwez kuamin kabix utaxem wananionea wivu2
@avelinabaluhya28044 ай бұрын
@@Mamakewaynewesleyhongera sana
@alnoorkermali73294 ай бұрын
Kaka habari za kazi pole na majukumu kaka Lucas mbona edna haipatikani baada ya toleo la 35
@EdinaEdina-tn4go4 ай бұрын
Edna inatoka saangapi?
@Rehema-co4xi4 ай бұрын
Edna plz kaka lucas
@fadhaluhembwe4 ай бұрын
Mbona inabakiya njiyaniya
@jawahirkahinmadar14594 ай бұрын
Bora ujiuwe kwanihuyo mtoto hana hatia na unvyo mchukia huyo mtoto ndiyo mana laana haita kuachia
@rehemahinjo80814 ай бұрын
Jaman mbona Edna haij😢
@priscillahsirya65444 ай бұрын
Maimuna banaa unajiskia wivu na mume siwako😂😂😂
@ANKOZUBERI8814 ай бұрын
Nimemiss simulizi zako kaka lumbasi
@dianandabirorere63654 ай бұрын
🎉🎉🎉❤❤❤❤
@GULAINEHelena4 ай бұрын
Asante kaka lucas .jamani chioma vipi
@khadijaali54323 ай бұрын
Brother Lukas achia Salma sehemu ya mwisho
@marthasonia50054 ай бұрын
😅😅🤔🇨🇩🇧🇮
@خديجه-و1خ4 ай бұрын
❤❤❤❤
@TeklaNdekeja4 ай бұрын
❤❤👏
@Evelynmoreen36554 ай бұрын
Ila Mai hakili hana kwani mtoto amekuja bila kumutafuta, ukichaguwa Raha Jipange kwa matokeyo yatakayo kuja mtoto hausiki na tamaa zako za kimwili ila wasichana wengine bwana mnatia hasira mtu uko kidato cha 4 na unajuwa hari yanyumbani kwenu sasa umepata ulicho kuwa unakitafuta mwisho wa siku unaweka hasira zako kwa mtoto upuuzi mtupu, mwanaume mwenyewe hajakubaka mumeelewana sasa shutumu zote zinageukia upande mumoja sio powa asieeeeee.😔😔😔😔😔😔😔😔 yani ungekuwa karibu yangu ningekunasa vibao
@BryterJulius4 ай бұрын
Mbn edna haiji ad saizi 😢
@candidekaneza85874 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@gladyssamba83704 ай бұрын
Bro Lucas mbona hii simulizi ya mai nimefika katikati haina sauti ama ni simu yangu iko na shida
@MwanaMpole-mo5di4 ай бұрын
Tumalizie simulizi ya Edina ndio utulete nyingine Boss
@avelinabaluhya28044 ай бұрын
😮♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💃
@neemakaluta99874 ай бұрын
kwa nimi ina stop at 2hours and 3 minutes .?
@evelynlyimo15574 ай бұрын
Lucas hapo kwa 2:02 :27 na kuenda hadi mwisho hatujaweza kutamatisha sauti hakuna..kindly re do the entire story,,,shemuu😊😊letuu😊
@medinahsamita39814 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@linnerphilip42604 ай бұрын
Mchuma janga hula na wakwao ila wanaume nyie ni m*******
@avelinabaluhya28044 ай бұрын
Wanaume siyo wakulaumiwa labda wakibaka,sema tu hatujuani tofauti kati yao na wanawake,siku tukijua tofauti zetu mambo yatakuwa mazuri
@speciozamikole21944 ай бұрын
Mbona sauti hadi mwisho imegoma ghafla?
@kingbtz.87524 ай бұрын
ila unaniwezea nikajuwa edna yani nilivyo kimbilia jamn