Ahsante sana May umeongea Ukweli kabisa kabisa. Wamuache Nifer aendelee na upambanaji wao. They are still young.
@agbordorothy49014 күн бұрын
Please tell us what she said. We don't understand their language 😒
@RehemaKatana-m6l4 күн бұрын
Asante mama umeongea ukwel mam🥰🥰
@TopTop-vo6pe2 күн бұрын
Asante sana dada unaongea ukweli kabisa nimekupenda sana❤❤❤
@starlily074 күн бұрын
I love you Maimatha 😀 mwenyewe anavyoongea kama hataki vile😂
@Sarah-e1o9k3 күн бұрын
Dr wa umbea😂❤❤❤❤❤ hana haraka kama watu wa mombasa
@SaphiathDauda3 күн бұрын
Good speak ❤
@lucymtuka31993 күн бұрын
Ñakupenda muno maimatha huwa unawakomesha wambea
@omranalbarwani71904 күн бұрын
Nimekupnda dada unaongea ukweli ❤❤❤youdada
@Sara-iz2nr4 күн бұрын
Nakupend sana maman unasema ukwer from Burundi 🇧🇮
@kabemuabdu44494 күн бұрын
Nakupendaaaa kutoka 🇹🇿🇿🇦
@omarmakamejumajuma42762 күн бұрын
Nyie waandishi wa habari wa mtandaoni non sense kabisa kila Kitu eti mange kasema,kwani mange ndio nani?
@Sarah-e1o9k3 күн бұрын
Kabsa mwamaume atakuwa mwanaume adi dunia inaisha❤😂
@RabiaWahadh4 күн бұрын
❤❤❤❤
@farhannahkulishwaburekunam53607 сағат бұрын
Usijadai kama hao wengine kama wanapenda kudanga hana pesa za kuendesha biashara wewe pesa unapata kwenye kazi zako au pesa kw bwana wako sasa hao wezako hawana kazi wala bwana sasa ataendesha vipi biashara
@Lizawansima3 күн бұрын
Zuchu ni mke wakuowa ana mambo ya umalaya kama wale wengine zuchu ana tulia saaana❤❤❤❤❤
@MauaMkundiya3 күн бұрын
Maimatha ni mzazi Leo umedhihirisha Hauna choyo kwa watoto WA wenzio kama akina rose muhando wanao msakama zuchu ipi ingekua watoto wao wamefanikiwa kama zuchu wangesema
@RabiaWahadh4 күн бұрын
❤❤❤❤ Zuch Fire
@فاطمة-ح8ث4ن3 күн бұрын
Nakuped maimasa❤
@saidmasika87384 күн бұрын
umekuwa unaongea kwa utu Sana kama mama
@MauaMkundiya3 күн бұрын
Maimatha mpe ukweli lokole aache wivu IFIKE mahala ajue mipaka yake amuache diamond na maisha yake tumemchoka
@ashaali71543 күн бұрын
Pesa ya halali ni kudhalilisha wenzio kila siku? Mungu anakuona na atakuhukumu tu wewe kama unavyowaadhiri wenzio na wewe utaadhirika tu
@merinakassembe1184 күн бұрын
Hakuna mapenzi kinganga anatumika mno
@JanetAhmad-v3h4 күн бұрын
muache atumike nyie munapenda mtu wa lukaluka na wanaume😊😊
@humbleshoal4 күн бұрын
@@JanetAhmad-v3h Usisahau pia mwanamke anatakiwa aheshimiwe, zuchu anadhalilika jamani, hatufurahi waachane ila diamond ajirekebishe
@Lizawansima3 күн бұрын
Nyinyi.muna taka awe malaya yakuliwa nakila mwanaume mumu.wache angangamie kwaule umoja ila mujuwe na simba ana mungangamia pia awezi kubali kumu wacha ❤❤❤❤❤