No video

MAISHA YA ALIYE SILIMU | RIPOTI HORIZON | ONLY ON HORIZONTV KENYA

  Рет қаралды 25,818

HorizonTV Kenya

HorizonTV Kenya

Күн бұрын

Katika makala haya tunaangazia panda shuka za waliosilimu ,ikiwemo kutengwa na familia zao.Pia tunapiga darubini jinsi kikundi cha kina mama walivyokuja pamoja na kusaidiana kama waislamu wapya. #kurunziyataifa #horizontvnowclosertoyou
Catch the livestream on:
Facebook: / horizontvkenya
Ustream: www.ustream.tv/...
Follow us on:
FaceBook: / horizontvkenya
Twitter: / horizontv_kenya
Instagram: / horizontv.kenya
Horizon TV | Beacon For the Nation

Пікірлер: 211
@malikdodo5190
@malikdodo5190 2 жыл бұрын
Mashaa Allah may Allah ease your life in Islam. You are welcome sister in a true faith of worshiping one true God
@nadiakarata8984
@nadiakarata8984 2 жыл бұрын
Sapoti ni ndogo kwa watu wenye kusilimu, ki elimu na kiiuchumi hatuwapi msaada. Matokeo yake wengi hurudi katika dini zao au hukata tamaa.
@JB_media0001
@JB_media0001 2 жыл бұрын
I'm a revert. The journey is not easy but nina yaqini Allah ataniruzuku na kuwarahisishia wote.
@fatmashamlal7968
@fatmashamlal7968 2 жыл бұрын
Aameen may Allah make it easy for you and all the other reverts
@JB_media0001
@JB_media0001 2 жыл бұрын
@@fatmashamlal7968 Amin thuma Amin
@malikdodo5190
@malikdodo5190 2 жыл бұрын
Inshaaa Allah
@aminamalilo6605
@aminamalilo6605 11 ай бұрын
Aamin aamin
@babyzuchu3866
@babyzuchu3866 Жыл бұрын
Mashaallah
@rashidissa5887
@rashidissa5887 Жыл бұрын
Maashaallah ni sawa l. Lakini"support"ni muhimu. Oh God bless them,Amin
@shannunbash712
@shannunbash712 Жыл бұрын
Hongera sanaa mungu atawapa kila la kheri
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 Жыл бұрын
Manshallah
@thomasoloka3550
@thomasoloka3550 Жыл бұрын
Mashallah Allah awazidishia Noor
@teedullah5708
@teedullah5708 Жыл бұрын
Mashallah
@hassanwenger4590
@hassanwenger4590 4 жыл бұрын
Weka pay bill no.atleast mwenye anataka awape push
@babyzuchu3866
@babyzuchu3866 Жыл бұрын
ALLAH awaongoze inshaallah
@yassinmashautymashaury2734
@yassinmashautymashaury2734 4 жыл бұрын
Mashaalah Allah awalipe WOTE wanaowapokea na kuwapa maelekezo mazuri walioijua haki na kusilimu.
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko 2 жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir amiin yarabalialamiin,nakutakia kila lakheir amiin
@somoeismail9665
@somoeismail9665 4 жыл бұрын
Maashallah nimependa sana Inshaallah Allah awalipe khery zaidi mbeleni
@babamkude81
@babamkude81 Жыл бұрын
Safi sana
@yassirMohammed-jq7vg
@yassirMohammed-jq7vg Жыл бұрын
Masha Allah
@rayhanrashid3928
@rayhanrashid3928 3 жыл бұрын
Maashaa Allah Tabarakallah..
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 жыл бұрын
Manshallah ❤❤
@dullyvidully7798
@dullyvidully7798 5 жыл бұрын
Allah atawafanyia wepesi inshaallah
@mohammedmoshe6622
@mohammedmoshe6622 4 жыл бұрын
AMEEN!
@akhuumpweche.7935
@akhuumpweche.7935 3 жыл бұрын
Aameeeen rabill allahmeen 🤲
@josephmwakalobo7104
@josephmwakalobo7104 Жыл бұрын
Kama uisilama ndio njia ya mbinguni hio mbingu Mimi siitaka kabisa Yesu kristo ni njia kweli na Uzima Hilo tu
@akhuumpweche.7935
@akhuumpweche.7935 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah 🥰
@nasraissa4219
@nasraissa4219 3 жыл бұрын
Ma Sha Allah
@abdulkarimnzalalila7632
@abdulkarimnzalalila7632 2 жыл бұрын
Mimi namshukuru Allah swt niliposilimu mwaka 1987 sikutengwa na wazazi wangu wala ndugu zangu
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Жыл бұрын
Masha Allah
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 Жыл бұрын
Mashaalah
@babyzuchu3866
@babyzuchu3866 Жыл бұрын
Mashaallah
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 Жыл бұрын
Masha allah Allah atuongoze ktk njia ilionyooka hakika uislam ndio Dini ya kweli na ya hakki
@goodlucktobarakamolleto9432
@goodlucktobarakamolleto9432 3 жыл бұрын
MASAHA ALLAH ❤️❤️
@batulamusa8020
@batulamusa8020 5 жыл бұрын
mashaAllah
@ashagrace3333
@ashagrace3333 3 жыл бұрын
Mashaallah ni mependa,Allah Akbar.
@FatmaFatmA-qk3zl
@FatmaFatmA-qk3zl 2 жыл бұрын
Mashallah mashallah mashallah
@Issa-ud6sy
@Issa-ud6sy Жыл бұрын
Namshukuru mungu maana wengi wanao silimu wana sema uislam ni dini ya kweli ,ila wanao acha uislam wanasema wametokewa na yesu,lakin hata shetan hujitokeza kwa nuru.wakorintho2,11:14
@salumkaisi4907
@salumkaisi4907 4 жыл бұрын
Maka Jon tambua uislam auitaji watu Bali watu ndiyo wanaitaji uislam tambua usilolijua litakusumbua nandiyo Mana wengi ktk waliomdhiaki yesu nikwasababu ya kiburi Chao hawakutaka kusikiliza mafundisho yake na hata wewe nihivyohivyo hujui Kama yesu nimuislam hujui unadai kuwa unamfuata yesu hivi wewe na muislam nan anaefuata yesu
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Wallahi nehema kubwa,
@wambuasmartoutfits8010
@wambuasmartoutfits8010 4 жыл бұрын
Manshanllah mwenyezi mungu awalipe katika hilo kunakitu nimejifunza ila ndugu mtangazaji jitaidi kifisir wengi hawajui kingereza
@harounahaji7578
@harounahaji7578 3 жыл бұрын
Mwenyezimungu atawalipa musichoke
@eunicemureithi5804
@eunicemureithi5804 2 жыл бұрын
MashaAllah
@yassinmashautymashaury2734
@yassinmashautymashaury2734 4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu pia anajua upagani. Hana hasara kwa maamuzi ya yeyote. Tumia akili yako vizuri kiumbe MDOGO Tena mdhaifu unayetumia pumzi ya Allah. Mwz Mungu lazima atatuadhibu sisi na si Wadudu na Wanyama. Sababu ni moja tu. Nayo ni akili. Tumia akkli yako vizuri.
@mohamedishemtuhu8305
@mohamedishemtuhu8305 2 жыл бұрын
Huyo Alie slimy kwajili ya mumeo bado hajaslimu namshauri aslimu kwajili ya mwenyezmungu sio watt Wala mume
@ritanget9174
@ritanget9174 4 жыл бұрын
Yesu peke yake ndie njia kweli na uzima wa milele mtu hafiki Kwa mungu bila kupitia Kwa Yesu zingine zote ni rasha rasha
@saadkuziwa9323
@saadkuziwa9323 4 жыл бұрын
UMEKARIRISHWA,HUNA UJUALO WEWE JAAHIL,KWANZA UNATOKA HUKU.
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
HATA MUHAMMAD. SAW. NI NJIA.kila mtume ni njia. Msikilise Mtume.saw. kapata ufunuo anasema. QUR-ANI 43:61" NA KWAKWELI YEYE NABII ISSA NI ALAMA YA KIYAMA KINAANZA KUKARIBIA TUSIKIFANYIE SHAKKA NA NIFUATANI HII NDIO NJIA ILIONYOOKA " kwaio yesu ni alama ya kiama kinakaribia kisha Mtume.saw.. akasema. NIFUATENI HII NDIO NJIA ILIONYOOKA. kwaio tumfate Mtume Muhammad. SAW. Ndio njia ilionyooka ya kuelekea bustanini peponiii. Weye baki na ukafiri yesu njia. Nyie tatizo lenu hamjaambiwa kama saivi Rais wa Tanzania ni Magufuli sasa. Bado mnafkiri rais nyerere tu mpaka leo kumbe yupo mwengine saivi sio nyerere tenaa. Ndio yupo MTUME MUHAMMAD. SAW. Saivi hayupo Yesu acheni ulimbukeni huoo
@ritanget9174
@ritanget9174 4 жыл бұрын
@@hilalhilal8400 Muhammad ni njia ya kwenda wapi?mtu yuko kaburini ana ngoja Yesu aje kumfufua ndio una sema ni njia pengine ya kwenda makah lakini sio ya mbinguni.fungukeni macho waislamu Yesu anawapenda
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
@@ritanget9174 ukisikia njia ilionyooka maana yake. NI NJIA YA KUENDA PEPONI. HUKOO BUSTANINI PEPONI. Kwanza MTUME MUHAMMAD. SAW. Hasubiri kufufuliwa na yesu. Huo ni uongo tu. Yesu hawezi fanya neno mwenyewe anategemea. BIBLIA. YOHANA. 5:30. " MIMI SIWEZI KUFANYA NENO MWENYEWE KAMA NISIKIAVYO NDIO NIHUKUMUVYO " kwaio YESU mwenyewe kishasema hawezi kufanya jambo. Mpaka awezeshwe na asikie kwa MUNGU ndio afanye. Ni sawa tu na mitume mengine. Kwaio MTUME MUHAMMAD. SAW. Anamsubiri huyo anomuezesha YESU ndio anaemuezesha MTUME MUHAMMAD. SAW. Sasa nini cha ajabu? . Kwaio yeye yesu hawezi fanya jambo vipi umsubirie yeye?. Jengine nakupa posho usirejee tena kutuambia waislamu tuende mbinguni kwasababu. BIBLIA. ISAYA. 51:6. " INUENI MACHOYENU MBINGUNI MTIZAME MACHOYENU CHINI MAANA MBINGU ZITATOEKA KAMA MOSHI " kwaio mbingu mnotegemea kwenda mmedanganywa tu na kina paulo wanakuoneni nyie wakiristo ni wapumbavu hamna akili. KWAMAANA mbingu zitayayuko na hamtokua pa kwenda ila Jahannamu motoni huko mkaunguzwe. Rita nakuhusia silimu mtoto we. Acha chuki za kijinga. YESU sisi waislamu tunampenda na tunamuamini na nimuislamu mwenzetu. Huko humpati yesu mnadanganywa tu wa andiko halipo la yesu kumpata kanisani. Yesu na waislamu wenzake hutafutwa msikitini. Yesu ni Mtume wa Mungu tu ila silolote jengine. Unasemaje utasilimu
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
Hemu jiulize rita. YESU anasema. NA UZIMA WA MILELE NDIO HUU WAKUJUE WEWE MUNGU WA PEKEE NA YESU KRISTO ULIEMTUMA " jiulize tokea uwe mkiristilo unafundishwa UZIMA WA milele kwanza umjue MUNGU WA PEKEE . je mpaka kufikia leo huyo Mungu wa pekee ushawahi kujuilishwa ninani? . Kisha . YESU alietumwa na huyo Mungu wa pekee. Yaani. Yesu ni mtume wa uyo Mungu wa pekee. Sasa nyie mnanishangaza mnavomtegemea yesu kuliko huyo Mungu wa pekee alie muumba yesu ndio maana mnateseka kwa ujunga wala hamjitambui. SASA HUYO MUNGU WA PEKEE NDIO ANASUBIRIWA NA MUHAMMAD. SAW. NA SIE SOTE. AMBAE NI ALLAH.SW. NA PIA HUYO YESU NDIO ANAMTEGEMEA HUYU MUNGU WA PEKEE. SASA UZIMA WA MILELE KABLA HUJAMJUA YESU. LAKWANZA UMJUE MUNGU WA PEKEE. KAMA HUMJUI MUNGU WA PEKEE HUWEZI PATA UZIMA WA MILELE. NA YESU ALIETUMWA. NA WATU WAMUSA ILIKUA NA MUSA ALIETUMWA. WAKATI WA ADAM NA ADAM ALIE TUMWA WAKATI WA WA MUHAMMAD NA MUHAMMAD ALIETUMWA . KWASABABU MTUME MUHAMMAD. SAW. KAJA MWISHO NDIO SOTE SIE TUMUAMINI YEYE. NA TUFATE SHERIA ALIOFUNULIWA NA HUYO MUNGU WA PEKEE. YESU ALIKUA NI KWA WANA WA IZRAILI FUNUKA KICHWA HIKO. NA MTUME MUHAMMAD. SAW. NDIO KWA WATU WOTE NA UKITAKA MAANDIKO MBONA YOPO. AU WEYE HUFATI MAANDIKO UNAFATA SHETANI?. RITA silimu na amka maana naona umelala usingizi mziito.
@zayfahmi5130
@zayfahmi5130 3 жыл бұрын
Nyinyi mume kazana na yesu atarud hakuta rudi yesu mpaka kiama naipo siku mtatamani kusilim lakin naiwe na hiyo siku utatamanani upewe siku moja t yakutubu lakini haita patikana.Wewe endelea kuvaa min skert nakuunganisha manywele katika kichwa chako ipo siku utataman hayo yote usinge fanya wewe endelea kuwa kwa yesu naujue yesu hakuja nadin yakichristo achen kusema yesu ni mungu na ilihali yeye mwenyewe hayajui msitudanganye na kitab chauwongo.Uliona wap mtu anamuomba mungu bblia imetiywa kw kikwapa
@janetkahada5206
@janetkahada5206 3 жыл бұрын
Kwa kweli unasoma qur'una ama uwa unasikiza tu mafundisho kwa kweli mukisoma tu qur'una mbila kutengemia kusikia tu mutaokoka kwa bahati mbaya nyinyi ni wa kuambiwa tu poleni
@SobaMMuhu
@SobaMMuhu 2 жыл бұрын
Wamama wengi huslimu sababu ya marafiki au bwana zao ila c kwa hoja
@engineerjuma9876
@engineerjuma9876 3 ай бұрын
Cha msingi wamerudi kwa mola wao mlezi, mtu umeumbwa na umepewa pumzi lakini uhai wako wote hujawahi mshukuru muumba wako aliyekupa puumzi huo ni msiba mzito
@janetkahada5206
@janetkahada5206 4 жыл бұрын
I have never ever met with anyone who changed to be a Muslim kwa sababu roho ni kwa sababu ya vitu vya duniani kaa vile qur'una inavyo Sema. Sasa wao wanafwata, nguo vyakula, kwa sababu ya family only but come to a musilim who change to a christen they have a good testimony it gives you strength to be in Christian but musilam it things life but musilam to Christians there knew the truth. This is the difference.
@Lky589
@Lky589 3 жыл бұрын
Mbona wakoloni ulileta vyakula na wakavitoa kwa wale wanao BATIZWA TU.
@salimomary1922
@salimomary1922 2 жыл бұрын
Masha Allah Allah amesha zungumza muslim hatoacha kupigwa vita
@hamadimadisa9346
@hamadimadisa9346 2 жыл бұрын
Dada, Uslamu una mitihani mingi
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 2 жыл бұрын
Allah awepamoja nanyi naukupeni nguvu
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Ambao hamjabahatika kuwa Waislamu (Wapagani/Makafiri ktk Kivuli Cha Ukristo na Biblia)mtambue kuwa kuwalingania muwe Waislamu(muwache Ukafuri na Upagani) hiyo ni wajibu/lazima kwetu sisi Waislam, tukishawalingania mnahiyari Kusilimu (kuamini Mungu Allah ni mmoja na wakuabudiwa ni Allah pekee) au mnahiyari ya kubaki na huo Upagani na Ukafuri wenu. Siku ya Hukmu/Siku ya Kiama susu (Waislamu) tutakuwa hatuna lawama coz ujumbe tumeshawafikishia.
@jescalaurent6242
@jescalaurent6242 2 жыл бұрын
Wala hatuna haja na hiyo njia yenu YESU anatutosha
@abdiibra4264
@abdiibra4264 5 жыл бұрын
Mama jaribu kuwa na paybill
@mussafrancophonetours1356
@mussafrancophonetours1356 Жыл бұрын
Mfano wa Issa nikama nikama nabii adam
@khamissalum9285
@khamissalum9285 4 жыл бұрын
Uwisilamu ndio dini yahaki.ukiristo nisawa na kampuni.aw tasisi ya wabinafsi ila iko siku watasilimu wote
@mwakajohn1819
@mwakajohn1819 4 жыл бұрын
Ukijitenga na yesu kristo, hakuna ataekufatilia. Kila mtu anapotea mwenyewe atahukumiwà mwenyewe. Msukosuko unaupata ukimpokea yesu kristo. Adhabu yake ni kifo. Ndio yesu alisema sikuleta amani duniani. Wengi wamechinjwa na waislamu kwa kuwa tu wamempokea YESU KRISTO. UISLAMU NI CHINJA CHINJA.
@suleimanomar1096
@suleimanomar1096 4 жыл бұрын
We brother ni chuki ukonayo.
@mwakajohn1819
@mwakajohn1819 4 жыл бұрын
@@suleimanomar1096 chuki gani! Huo ndio ukweli wenyewe
@aliisse8422
@aliisse8422 4 жыл бұрын
Salaam aleikum can u play give us there phone number of the lady who is in charge
@mwakajohn1819
@mwakajohn1819 4 жыл бұрын
@@salumalriyamy huna lolote, umekaririshwa tu. Wenzako wanatafakari.
@lutulalihim1585
@lutulalihim1585 4 жыл бұрын
Mungu mzungu yesu wewe yesu ni mtu.
@mwakajohn1819
@mwakajohn1819 4 жыл бұрын
Bora kuwa mpagani nisie na dini kuliko kuwa muislamu.
@kijanahodari2080
@kijanahodari2080 4 жыл бұрын
Bibilia (Yeremia 50 : 6) Watu wangu wamekuwa kondoo walio potea wachungaji wao wamewapoteza Maneno ya kafiri hayawez mtia homa mwenye dini ya kweli(muislamu) Kuwa mkiristo na upangani hakuna tofauti nyote hamuna dini kazi kukata viuno tu,Paulo ashawapeleka motoni tulieni.
@saadkuziwa9323
@saadkuziwa9323 4 жыл бұрын
HATA UISLAM HAUMHITAJI MJINGA KAMA WEWE KUINGIA.
@khamissalum9285
@khamissalum9285 4 жыл бұрын
Nashkuru mimi nimwisilamu kuliko Kua kafiri wakikiristo
@rashidjuma3457
@rashidjuma3457 4 жыл бұрын
Ww mwaka kushalaaniwa ndio ukasema hivyo
@mwakajohn1819
@mwakajohn1819 4 жыл бұрын
@@rashidjuma3457 unaonaje kila siku unamtakia rehema mtume wako mara 5. Hiyo sio laana, badala ya mtume kuwatakia rehema ninyi. Ninyi ndio mnamuombea msamaha. Ni hatari!! Bora kuwa mpagani, kuliko kubeba zigo la kumuombea mtume.
@alhaddajmohammed4768
@alhaddajmohammed4768 3 жыл бұрын
Wakristo ni Makafiri na Wapagani (Wafuasi wa Shetani/Ibirisi), hawana Dini, ibada zao wamejitungia. Ibada halali hufuata maamrisho na makatazo ya Allah. Wakristo hawachinji (Wanakula Vibudu), Wanaua afu eti ndo wanachinja (hawana dua ya kuchinja)!
@neemamalaki8512
@neemamalaki8512 11 ай бұрын
Yesu naomba ufunguwe huyu kipofu macho na ufahamu kwa kuwa anatia huruma😭😭
@dullyvidully7798
@dullyvidully7798 5 жыл бұрын
Allah atawafanyia wepesi inshaallah
@HorizontvKenya
@HorizontvKenya 5 жыл бұрын
Ameen
@yassirMohammed-jq7vg
@yassirMohammed-jq7vg Жыл бұрын
Masha Allah
@universitylink
@universitylink Жыл бұрын
Mashaallah
@knifensharper2725
@knifensharper2725 4 жыл бұрын
Maashaallah
The Struggles of A Revert | Horizon Report
18:27
HorizonTV Kenya
Рет қаралды 4 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 9 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 12 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 1,8 МЛН
WAMASAI WALIO SILIMU WATEMBELEWA NA AL-WADOOD
10:31
AQ ONLINE TV
Рет қаралды 11 М.
"Step-by-Step Wudhu with Sheikh Jamaludin
6:44
HorizonTV Kenya
Рет қаралды 9 М.
KUTANA NA SIMULIZI  YA WALIO    SILIMU
12:49
Koech Abubakar Daawah Kenya
Рет қаралды 262
MBOSSO: Nina WATOTO Nchi mbili tofauti
4:21
Wasafi Media
Рет қаралды 1,4 МЛН
Mpenzi wako hakuachi kama ukiyajua haya,..Darasa la bure.
9:44
Reverts Fasting for the First Time
10:05
HorizonTV Lifestyle & Culture
Рет қаралды 2,3 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 9 МЛН