MAISHA YA MWIMBAJI SIFAELI MWABUKA ALIKOTOKA ASIMULIA UHAI WAKE NI NEEMA TU. (TRUE STORY) PART ONE

  Рет қаралды 183,160

SIFAELI MWABUKA OFFICIAL

SIFAELI MWABUKA OFFICIAL

Күн бұрын

#calloffice255625444704#254799200738
SIFAELI MWABUKA-mwabuka media& Digital
Stream/download:SIFAELI MWABUKA-mwabuka media& Digital
Stream/ / sifaelimwabukaofficial...
Digital Distribution & Marketing by MKONONI LTD
Subscribe for more official content from Sifaeli:
/ sifaelimwabukaofficial...
Follow Sifaeli Mwabuka
Instagram: sifaeli mwabuka
Twitter:
Facebook: sifaeli mwabuka
Tiktok: sifaeli mwabuka
Listen to Sifaeli mwabuka
KZbin: / sifaelimwabukaofficial...
Audiomack: sifaeli mwabuka
Apple Music: sifaeli mwabuka
Spotify: sifaeli mwabuka
Boomplay: sifaeli mwabuka
The official youtube channel of Sifaeli Mwabuka.Subscribe for the latest music videos, performance,and more
For booking & more
Email.mwabukamedia@gmail.com
contact:+255625444704 Tanzania
Digital Distribution & Marketing by MKONONI LTD
Subscribe for more official content from Sifaeli:
/ sifaelimwabukaofficial...
Follow Sifaeli Mwabuka
Instagram: sifaeli mwabuka
Twitter:
Facebook: sifaeli mwabuka
Tiktok: sifaeli mwabuka
Listen to Sifaeli mwabuka
KZbin: / sifaelimwabukaofficial...
Audiomack: sifaeli mwabuka
Apple Music: sifaeli mwabuka
Spotify: sifaeli mwabuka
Boomplay: sifaeli mwabuka
The official youtube channel of Sifaeli Mwabuka.Subscribe for the latest music videos, performance,and more
For booking & more
Email.mwabukamedia@gmail.com
contact:+255625444704 call
+255719482223 whatsapp

Пікірлер: 407
@euniceolali611
@euniceolali611 3 жыл бұрын
I came a cross your songs last week in you tube and i feel blessed. Naskiza nyimbo zako kila siku ninapoenda kulala.May God bless you
@penanauae316
@penanauae316 3 жыл бұрын
Mungu anajuwa maisha ya kila mmoja wetu hapa dunia ""mungu awe nawe kila wakati nyimbo zako huwa nabarikiwa sana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amina my love dada
@winfredwayua1380
@winfredwayua1380 3 жыл бұрын
Ninapo tazama ushuhuda wako, unaniakikishia kwamba nimapito ninayo yapitia na Mungu ana mpango na maisha yangu, God bless you so much,I love your songs I always listen to them everyday
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amen
@annesilengo2717
@annesilengo2717 3 жыл бұрын
Kwa kweli Mungu akiwa upande wetu ni nani aliye juu yetu. Kaka kweli wewe ni wa Mbinguni kabisa, more Grace bro, Glory n honor to the Lord Almighty Amen
@moureenblessings8463
@moureenblessings8463 3 жыл бұрын
I can't wait for part two of your story When God speaks anointing to someone life no one can stand against 🙏🙏🙏 May u fulfill God's work in this world
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amen thanks
@samuelndungu4484
@samuelndungu4484 3 жыл бұрын
Nakufuata rafiki yangu Sifaeli...nangojea pia, kwa hamu sana pt2
@philipnyulu3602
@philipnyulu3602 3 жыл бұрын
Mungu akubariki Tena akuinue zaidi napenda jinsi umetoa shuhuda yako ,nimebarikiwa sana
@gladysnyachae8816
@gladysnyachae8816 3 жыл бұрын
God bless you Sifael when you face problems the blessings follow im worried about your story but God is God a king of kings who clean tears 🙏🙏
@TurkanaMedia
@TurkanaMedia 3 жыл бұрын
Amen mtumishi Wa mungu nakubali nyimbo zako ni ujumbe wakutia moyo mungu akubariki sana natamani sana siku Moja
@andrewmegan1454
@andrewmegan1454 3 жыл бұрын
When Jesus says yes no one can say no be blessed my Brother
@euniceotuch741
@euniceotuch741 2 жыл бұрын
Haki Mungu apewe sifa na utukufu wote🙏 nimekutana na huu ushuhuda imeniguza sana, Mungu alikuwa na sababu na wewe, mwenyenzi Mungu ni mkuu na ni mwaminifu wakati wote, mkono wake sio mfupi kufikia yeyote akiwa kwenye masingira tatanishi,haijalishi hata kama ni kwa shimo kirefu aje yeye ni mwenye uwezo wote, asante kaka yangu ubarikiwe sana na nyingi uzidishiwe katika siku zote za Maisha yako,aheshimiwe Mungu 🙏 hallelujah 🙌 Amen 💖
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amina asante barikiwa
@frankdaudi4757
@frankdaudi4757 Жыл бұрын
MUNGUANAWEZA
@BeatriceNabiryo-sh9bx
@BeatriceNabiryo-sh9bx Жыл бұрын
Wow wow i can't believe what i had it's a sad story but with God every thing is possible may God bless you Amen
@eunicewavinya244
@eunicewavinya244 3 жыл бұрын
Nilipata kukujua na huu wimbo...heri lawama....Mungu akuzidie katika huduma yako
@gabrielnamisimangichorie9648
@gabrielnamisimangichorie9648 3 жыл бұрын
What a touching testimony. May God continue uplifting you to greater heights bro. Your songs are a big blessing to me and my family. Be blessed kaka Sifael.
@kundualex4189
@kundualex4189 3 жыл бұрын
Nakupenda sanasana nduku mwabuka, niko Somalia na nasikiriza nyimbo zako. Niko mutumishi ya mungu kwenye office ya utume, salamia sana dada yangu namanyisha nuke wako, mungu Akubariki sanasana nduku.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Asante sana
@davidsoza3982
@davidsoza3982 Жыл бұрын
Asante sana kwa story yako..asikiliza nyimbo zako kutoka zambia.Kwa sababu yako sasa naelewa kiswahili
@andrewmegan1454
@andrewmegan1454 3 жыл бұрын
Wow powerful testimony Indeed God is faithful glory be to him 🙏🙏
@janiferkerubo3552
@janiferkerubo3552 3 жыл бұрын
Am your big fan from Kenya, your song mim ni nani unanifanya nilie sana, sababu ya maisha niliyo yapitia 😭😭😭😭 mungu akubariki mtumishi
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amina asante Mungu akubariki akumbuke haja ya moyo wako
@pascalinamukui8400
@pascalinamukui8400 3 жыл бұрын
Uliyapitia magumu haki lakini mungu ni muaminifu akakuokoa kwa hayo yote, barikiwa sana ndugu🙏
@donardmsomi8451
@donardmsomi8451 3 жыл бұрын
Maisha uliyo pitia yanaendana kabisa na maisha yangu ingawaje Mimi niya sitaili tofauti... Mpaka hapa nilipo huwa namshangaa sana Mungu, naishia kusema Mungu ni Muweza wa yote...
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amina
@juliashimaka7547
@juliashimaka7547 2 жыл бұрын
Mungu anaweza kila kitu God bless you and ilove your songs
@ansilaburra7528
@ansilaburra7528 3 жыл бұрын
Nyimbo zako zinabariki nyumba yangu na mimi🇨🇦. Blessings to your way brother in Christ.
@samwelsiageni4269
@samwelsiageni4269 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa nyimbo zako zenye uwepo mkuu ni tamanio langu kufanya nawe kazi nawe pia ni mwimbaji wa injili Nairobi Kenya barikiwa sana🙏🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana kwa support yako kwenye huduma yangu ya uimbaji please subscribe my channel and share to others and be blessed
@daudjames8999
@daudjames8999 13 сағат бұрын
Dah machoz yanatoka ila MUNGU anajua kesho ya mtu Leo mtumish wa MUNGU tena mkubwa taifa linakutegemea mtumish wa MUNGU
@JohnChilamo-g1k
@JohnChilamo-g1k Жыл бұрын
You are blessed my brother, you are lifting the word of God well done bro am happy for you, God bless you and your family amen
@frankboma4530
@frankboma4530 Жыл бұрын
Ama kweli Mungu yupo, nimejifunza mengi kutokana na historia yako, Mungu ametembea na wewe kila hatua hadi mahali umefika....Mungu atukuzwe milele
@brianmurefu5287
@brianmurefu5287 2 жыл бұрын
I heard your testimony over one kenyan radio station.....na nmekutafuta uku....nyimbo zako ni za baraka .....uinuliwe zaidi kwa kutubariki .. Sifael
@susangatakaa6606
@susangatakaa6606 2 жыл бұрын
God is faithful sifaeli,hakuna jambo ngumu Kwa mungu, he has been faithful and he's faithful, continue praising him,najua tunaye mungu anayejibu maombi yetu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante sana be blessed more please subscribe and share to others
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante sana be blessed more please subscribe and share to others
@janejenipher5142
@janejenipher5142 3 жыл бұрын
Napendezwa na nyimbo zako ndio sababu nachukwa muda wangu kukusikiliza Amen 🙏
@janejenipher5142
@janejenipher5142 3 жыл бұрын
Natamani kukutana na wewe na juwa iposiku Mungu atatengeneza hiyo nafasi Mungu azidi kukuinua
@andrewkibunja2629
@andrewkibunja2629 2 жыл бұрын
Nyimbo zako unitia nguvu I nguvu sana,mungu akubariki sana
@sarunisulunye8210
@sarunisulunye8210 3 жыл бұрын
from maasai land Kenya following each and every time your songs,,, you keep inspiring be blessed always
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
@marymukeli5695
@marymukeli5695 3 жыл бұрын
Hakika mtumishi sifaeli aiseee thanks mtumishi mungu azidi kukuinua sifaeli hakika heri lawama do maisha yako ulikotoka Asante,,,,,,,,,,,,,,,na nikona ujumbe nilio onyeshwa ya kwako nitafute plx merry mike from Kenya nitashukuru
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Asante
@lovinakituyi8511
@lovinakituyi8511 Жыл бұрын
Asanti sana kwa story yako nimepata ngufu yoyote ninapitia Mungu akubaliki tena na tena thank you bro
@carolinenduku6722
@carolinenduku6722 3 жыл бұрын
Mungu apewe sifa kwa umbali amekutoa,mm ni caro niko qatar bt am from kenya,hua nisikiliza nyimbo zako sana na hua zanibariki sana,mungu azidi kukuinua na utakua mtumishi mkubwa sana na wabaraka kwa wengi
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amina asante
@samuelndungu4484
@samuelndungu4484 3 жыл бұрын
Asante sana bwana Sifaeli
@munyokikivivya2006
@munyokikivivya2006 3 жыл бұрын
Im watching from Kenya I always listen your songs be blessed waiting part two testimony
@emmymao1303
@emmymao1303 3 жыл бұрын
Ubarikiwe katk kz yako
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you
@komenjnr.5348
@komenjnr.5348 3 жыл бұрын
Immediately after watching this ,I have subscribe.i love Sifaeli for sure.BIG LOVE FROM KENYA
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@janewanjiku1829
@janewanjiku1829 2 жыл бұрын
Kweli Mungu wetu ni Mungu Mkuu.Sifa na Utukufu ni kwake. Barikiwa sana sana .Kweli Neema ya Mungu ni Kubwa kwa wanawe.. Nyimbo zako zote sinaponya moyo..Yes it's a painful testimony n very strengthening to all Christians. Kenya
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subuscribe my channel and share to others and God bless you
@jemimahmoto4385
@jemimahmoto4385 3 жыл бұрын
God bless you man of God, unanibariki sana Kwa nyimbo zako...
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@annnafula7476
@annnafula7476 2 ай бұрын
God a bove everything and thanks for sharing testimony with us❤❤🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@everfavoured4076
@everfavoured4076 3 жыл бұрын
Waaah great , able God,natamani siku ualikwe@ mwangaza TV utukufu show
@mercypaul7478
@mercypaul7478 3 жыл бұрын
Very encouraging story...be blessed from Kenya.
@mariammbaraq1523
@mariammbaraq1523 3 жыл бұрын
Mungu akuinue Mimi no muislam ila no shabik wako mlubwa napenda msg zako big up mungu akupiganie
@jameskenzedex
@jameskenzedex 3 жыл бұрын
Watching from 245 Kenya 🇰🇪 I love your inspiration songs..... I need to know more about how God changes his people
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amen next part 2
@naomie1406
@naomie1406 3 жыл бұрын
Mom
@veronicahkwamboka4849
@veronicahkwamboka4849 3 жыл бұрын
Bro, when God is on your side, it doesn't matter who is against u. 🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amen
@dayokhadija1389
@dayokhadija1389 3 жыл бұрын
mtumish nyimbo zako zanifariji sana.ubarikiwe
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed
@brianokoyo
@brianokoyo Жыл бұрын
Am very blessed with your songs, may God uplift you more than this
@The2Boysss
@The2Boysss 2 жыл бұрын
You blessed us all so much brother with your songs. We (my husband and I) love your songs they’re so powerful and speak the reality of things people go through. Jesus bless you and your family. I’m a born again South Sudanese woman in Australia.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
@luhekelondelwa9714
@luhekelondelwa9714 3 жыл бұрын
Pole kwa uliyopitia Tunamshukuru Mungu kukulinda
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
Naelewa sana kaka sifael mwabuka twakupenda sana na Mungu akupee umri mrefu wewe na familia yako ahsante
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amina
@jackyluns8224
@jackyluns8224 3 жыл бұрын
@@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Amin
@faithe4063
@faithe4063 2 жыл бұрын
Faith from Kenya but now niko saudi, nyimbo zako zote zinanibariki sana kwansa nikiwa na stress ya waraabu Yani kwa kweli inanitia nguvu, ubarikiwe sana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen thanks be blessed thanks for your support please subscribe my channel and share to others asante sana kwa kutazama nyimbo zangu
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana,ana mpango na maisha uliyonayo endelea kumtukuza Mungu mtumishi historia yako inanisisimua sana
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Nakushukuru mno kunitia moyo kwa kutazama kazi zangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA 🙏🏼
@douglaswanyonyi60
@douglaswanyonyi60 3 жыл бұрын
Mungu asidi kukuinua katika Maisha yako
@missti1612
@missti1612 3 жыл бұрын
Praise God. Our Almighty Father in Heaven is awesome 👏 indeed all the time 🙏. @Sifaeli thank you for sharing your testimony though it’s brief. Please take time & record them in sections we are eagerly awaiting for them. Like I commented once the songs you sing to praise God, they minister to our souls🙏 I love to listen to them very often, God bless you & hope one day you’ll Come to do a live performance here in Nairobi. We love you from 🇰🇪🙌🙌🙌🙌🙌
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amen I have get you well thanks for all
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 2 жыл бұрын
Pole sana Sifaeli kwa mapito uliyopitia Mungu ni mwema tumwamini yeye siku zote
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Nakushukuru mno kunitia moyo kwa kutazama kazi zangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA 🙏🏼
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 3 жыл бұрын
Umeniguza sana mungu anapenda watu wake🙏🙏🙏🇰🇪
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana kwa support yako kwenye huduma yangu ya uimbaji please subscribe my channel and share to others and be blessed
@ellizabethwayongo844
@ellizabethwayongo844 3 жыл бұрын
More grace man of God watching you from Gulf be blessed as you continue being a blessing to Gods people.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amen
@davidwanyama1454
@davidwanyama1454 2 жыл бұрын
God bless you brother, whatever you went through it was the devil trying to stop God's purpose...it also made you mature spiritually and now nothing can scare you, your ministry is a blessing to the world, just as God planned
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen thanks for your support my works Mungu akubariki sana share na wengine kazi zangu nao wabarikiwe asante sana kwa like,comments,na subscribe
@buralebeatrice8006
@buralebeatrice8006 3 жыл бұрын
Asante sana kaka, nyimbo zako zatubariki sana. Mungu azidi kukubariki.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed
@beatriceyustomwakabanje5789
@beatriceyustomwakabanje5789 3 жыл бұрын
Dah hakika simuliz zako ama story zinafundisha na kumjenga Mt kiimani ,hata mm nimewah pona kuchunwa ngozi kyela_mbeya nashukuru Mungu alinitetea mpk dkk hii Niko hiii .
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana kwa support yako kwenye huduma yangu ya uimbaji please subscribe my channel and share to others and God bless you
@christinembwashie6845
@christinembwashie6845 2 жыл бұрын
Napenda nyimbo zako sifaeli ,mie in fan wako na nina amini siku moja nitakuona
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Asante sana na Mungu akubariki sana,thanks for your support and be blessed more!
@sabrinajuma3253
@sabrinajuma3253 3 жыл бұрын
Kaka na kukubal sana Mungu akubariki san
@naomyruttoh2789
@naomyruttoh2789 3 жыл бұрын
No wonder your songs are touching. It really inspires me.may God bless you and lift you higher than before
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@juleey7867
@juleey7867 3 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 touching touching story I love your songs too much I am blessed because of your songs touch my heart of God
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 3 жыл бұрын
Amen
@estherchesumei1666
@estherchesumei1666 3 жыл бұрын
Pole sana kila kitu iko na mwisho
@umemefundidecodesign
@umemefundidecodesign Жыл бұрын
nabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi wa MUNGU
@zoomzoom5676
@zoomzoom5676 3 жыл бұрын
Amen Amen. Sifaeli mungu abariki kizazi chako napenda sana nyimbo zako sana brother natamani nikuone face to face
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
@phanestandabila3490
@phanestandabila3490 2 жыл бұрын
nikikumbuka Mungu amenipendelea napata nguvu ya kuendelea mbele much blessing to you brother 🥰
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen be blessed more thanks for watching and subscribe my channe
@MetrineJuma-qz2xe
@MetrineJuma-qz2xe Жыл бұрын
Zaburi 23:1 ▪5 na mungu apewe utukufu maana ako pamoja na wamchao katika zaburi
@dcwamovat8196
@dcwamovat8196 3 жыл бұрын
Ameni kaka history zuli sana mungu akubaliki hivyo hivyo ndo maana unaimba utukufu wake mngu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana kwa support yako kwenye huduma yangu ya uimbaji please subscribe my channel and share to others and be blessed
@irenekabata5189
@irenekabata5189 2 жыл бұрын
Amina Amina ndugu mwabuka..mimi umenibariki kwa nyimbo zako na ushuhuda umeniongelelea mwenyewe nalilia mungu wangu ninaposikiza nyimbo zako😭😭😭 na ngombe aliyekuokoa ulimpata ama walimua?
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
@bowmanashton_9980
@bowmanashton_9980 Ай бұрын
Historia Yako inanifanya nilie and that way mtu akinikosea nakumbuka nyimbo zako coz nizakufariji as Kenyan we love ua songs
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 сағат бұрын
Amen naizidi kuwa baraka kwenye maisha yako
@mteulehumblej6820
@mteulehumblej6820 3 жыл бұрын
Jina la Kristo lipate kuinuliwa kwa yote brother Mbarikiwa 🙏🙏🙏🙏
@carokanana8381
@carokanana8381 3 жыл бұрын
Kweli mungu atabaki kuwa mungu...wwe ni mfano wa maajabu ya mungu ulio hai.Ashukuriwe Messiah 🙏🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante kwa support yako please sabuscribe my chanel and share to others
@petraalupo1859
@petraalupo1859 3 жыл бұрын
When God open the door no man can close it, we thank God for the far he has brought you, I will continue asking the Holly spirit to translate for me, 🙌🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@aristotejoelbinkaolas
@aristotejoelbinkaolas Жыл бұрын
Nakupenda saana ❤
@risperombui4053
@risperombui4053 3 жыл бұрын
Wacha mungu apewe Sifa🙏🙏
@tausihasheem5169
@tausihasheem5169 2 жыл бұрын
Naipenda sana nyimbo yko ya MTUKUZE MUNGU TU🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen thanks for your support be blessed,asante kwa kutazama nyimbo zangu nakushukuru sana share na wengine
@vailethmkoma8377
@vailethmkoma8377 3 жыл бұрын
Hakika mungu ni mwema maishani mwetu,
@PapaTheKingKenya
@PapaTheKingKenya 3 жыл бұрын
Pole mtumishi WA mungu miye kama yatima hii habari umetoa imeniguza
@bettykimetto4291
@bettykimetto4291 3 жыл бұрын
More blessings to come my favourite
@rhodatitus9140
@rhodatitus9140 2 жыл бұрын
😪😪😪 kweli wewe uliitwa na Mungu. Mtumikie huyu Mungu ndugu yangu👏👏👏. Umenitia moyo Sana .
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@erickmushila7833
@erickmushila7833 3 жыл бұрын
Pole Sana dugu bt mungu ndio kila ki2 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and be blessed
@rebeccakalimi2324
@rebeccakalimi2324 3 жыл бұрын
Napenda Sana nyimbo zako....zinanibariki sana
@euniceshibanda1019
@euniceshibanda1019 2 жыл бұрын
My brother sifael , your songs are total blessings to me .may the almighty God lift you high and higher .
@esthersissamo1120
@esthersissamo1120 2 жыл бұрын
Amen Sifaeli Mwabuka mtumishi barikiwa
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Nakushukuru mno kunitia moyo kwa kutazama kazi zangu be blessed more thanks for your support and subscribe my channel SIFAELI MWABUKA 🙏🏼
@wenslausouma8444
@wenslausouma8444 2 жыл бұрын
Am really blessed with your songs may God 🙏 to keep you and give you more revelations,am from Kenya.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen thanks i really love you wherever you are AKUPE USHUHUDA WASHUHUDIE,new song still trending on youtube if you didnt watch try to watch again and dont forget like,commment,subscribe and share to others,and God bless you more.Its my prayers God to give you testmony say amen,,,,,by SIFAELI MWABUKA
@issayalomnek1899
@issayalomnek1899 Жыл бұрын
Vbnfdu
@chocolatevivian830
@chocolatevivian830 3 жыл бұрын
Wooow unatia moyo kweli brother
@elizaelizabeth8988
@elizaelizabeth8988 3 жыл бұрын
I love your songs indeed 👍. Barikiwa mtumishi
@anastasienyiramatugo559
@anastasienyiramatugo559 3 жыл бұрын
Amen Amen mungu anaweza
@Lucy-nr2sm
@Lucy-nr2sm 3 жыл бұрын
Wow Awesome 🙏 🙏 🙏 🙏 That's great to hear,,,,GOD'S Miracle 🙏 be bless you Man of GOD 🙌 🙌 🙌 🙌 👏 👏 👏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante sana kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@dirin6761
@dirin6761 3 жыл бұрын
Amen 🙏 Mungu ni mungu simwonatamu munabwio pikiriya
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen asante sana kwa kuendelea kutazama kazi zangu,please subscribe,like,comment my video and share to others and be blessed
@celestinealimasi4866
@celestinealimasi4866 3 жыл бұрын
Amina barikiwa kwa kweli mungu ni waajabu
@samnabwela
@samnabwela 3 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua sana
@lizzykay1321
@lizzykay1321 2 жыл бұрын
Powerful testimony Ubarikiwe Sana kaka yetu
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@mudasumbwabahati1496
@mudasumbwabahati1496 3 жыл бұрын
Kila siku na barikiwa na nyimbo zako mutumishi wa bwana kweli ubarikiwe saaana na uzidi kusonga mbele 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,please subscribe my channel and share to others and God bless you
@julietliru835
@julietliru835 3 жыл бұрын
Umeniliza jamani , kwa kweli Mungu akitia sahihi hakuna wakuivuta😭😭😭daaa
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa kuwa pamoja nami kwenye huduma yangu ya uimbaji,Thanks for your support subscribe my channel and share to others and God bless you
@sharonchepkoech8120
@sharonchepkoech8120 2 жыл бұрын
Powerful testimony touching, glory be to God
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen amen ninakushukuru kwa kufuatilia kazi zangu Mungu akubariki usiache kushare na wengine, Amen thanks for watching my video God bless you more end don't forget subscribe my channel
@abcdg1995
@abcdg1995 3 жыл бұрын
The Bible says you will know them by their fruits Action speak louder than words
@nyambabazichantal3231
@nyambabazichantal3231 3 жыл бұрын
Amen mungu ni mwema
@immaculatenabwire789
@immaculatenabwire789 3 жыл бұрын
Kusema kweli mungu Ni mwaminifu, mungu anakusudi nawe, utafika mbali wewe ni ushuhuda kwa mataifa yote ulimwenguni🙏🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@valenakomba9218
@valenakomba9218 3 жыл бұрын
Ameni.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
amen nashukuru sana kwa support yako ,please subuscribe my channel and share to others and God bless you
@gracekivolwe3037
@gracekivolwe3037 2 жыл бұрын
Nyimbo zako za nipa tumaini ya kuendelea,ubarikiwe sana uinulie sifael.
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
asante sana kwa kutazama kazi zangu be blessed more thanks for your support
@RobertMulati
@RobertMulati Ай бұрын
Pole sana
@deborananyaro5725
@deborananyaro5725 3 жыл бұрын
Duuuuuuuu so painfull kak ila Mungu mkubwa jmn kak na una kipaji kizuri saaan unaimb vzuri mno Mungu abless neema zake nyingi kwako
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana nakushukuru kwa support yako please subscribe my channel and share to others and God bless you
@annetk5133
@annetk5133 3 жыл бұрын
May God's favour allocate you wherever you go your song's inspires me alot be blessed 🙌🙏
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
@SIFAELIMWABUKAOFFICIAL 2 жыл бұрын
Amen asante sana kwa support yako kwenye huduma yangu ya uimbaji please subscribe my channel and share to others and be blessed
@MorenaFlex-i6r
@MorenaFlex-i6r Жыл бұрын
Dios bendiga sifaeli buen trabajo
@FrancisWasike-c6o
@FrancisWasike-c6o 7 ай бұрын
Hi mtumishi wa mungu naomba Mungu azidi kukubariki
YALE NISIYOWEZA BWANA ANAWEZA-SIFAELI MWABUKA Skiza sms 9519657 send to 811
9:26
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 2,1 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 1,7 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 17 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 52 МЛН
SIFAELI MWABUKA-NYUMBANI NI NYUMBANI with his family!!
6:31
SIFAELI MWABUKA OFFICIAL
Рет қаралды 33 М.
How Kikuyus Rejected Ruto's Jamuhuri Speech
11:11
KimathiTV
Рет қаралды 14 М.
RUTO NI NG©MA😱MUTUMIA URIA ARATREND KWARIA NA RUO NA MARAKARA
49:59
Life of Mbosso (Historia ya Maisha ya Mbosso)
14:28
Mbosso
Рет қаралды 4,4 МЛН
FANYA JAMBO BY PASTOR  MUSEMBI FT SIFAELI MWABUKA  SMS  SKIZA 6983057  TO 811
6:48
Pastor Anthony Musembi Official
Рет қаралды 951 М.