ANAHUKUMIWA NA MUNGU BAADA YA KUWATESA MASIKINI | MOVIE KWA KISWAHILI

  Рет қаралды 34,485

GENIUS SWAHILI MOVIES

GENIUS SWAHILI MOVIES

Күн бұрын

Пікірлер
@geniusswahilimovies
@geniusswahilimovies 4 ай бұрын
TAZAMA MPAKA MWISHO UJIFUNZE KITU
@omaryiddy-v9b
@omaryiddy-v9b 4 ай бұрын
Acha mzaa kazi nzuri achana na kuweka comedy aina maana
@FatmaSaid-mg6cb
@FatmaSaid-mg6cb 4 ай бұрын
Yaan hadi anakera sijui anaongea vipi move nzur ila inakuwa inaboa
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 4 ай бұрын
Kweli brother matajiri wanajisahau sana kutesa watu wahali ya chini story inafundisha sana godbless you
@pascalvitalis
@pascalvitalis 4 ай бұрын
Movie kali, umetafsir vizuri.🎉🎉🎉
@Latefa-z7m
@Latefa-z7m 4 ай бұрын
Bora wewe dj.wasageeeeena unatuma movies nzima sio nusu,nusu❤
@geniusswahilimovies
@geniusswahilimovies 4 ай бұрын
Nawajari Watu wangu
@AbduliIblahim-i8h
@AbduliIblahim-i8h 4 ай бұрын
Alafu wewe unatafusili God bless you mungu akupe masha malefu
@geniusswahilimovies
@geniusswahilimovies 4 ай бұрын
Amina Amin🙏
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 4 ай бұрын
Yarab nakuomb unifanyie wepes katik kaz yang nitacho kipat nisaidie wenzang yarab nip umri mref mm na familia yang nisiwe naroh mbay iimov ina mafunzo kwel kwel
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 4 ай бұрын
Amen yarabilAlmin ❤🎉
@mawiaman5527
@mawiaman5527 4 ай бұрын
Naomba hata unipe kazi boss
@ZakiahassanMbotoni
@ZakiahassanMbotoni 2 ай бұрын
Amiin yaraabiiiiii kwa sote
@MlondaniKaskile
@MlondaniKaskile 3 ай бұрын
Jamani ongereni sana kwakazi nzuri ninazo fanya
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 4 ай бұрын
Kazi nzuri ila kua serious kidogo
@masikasalim5254
@masikasalim5254 4 ай бұрын
Wow ili dude ni noma.❤sana dj wetsu
@faridabikwa9998
@faridabikwa9998 4 ай бұрын
Umeua atali❤
@JoselineJuma-r7o
@JoselineJuma-r7o 4 ай бұрын
Uko vizuri sana maana unaleta movie ikiwa mzima sio kipande kimoja
@saudamwakunemwa3856
@saudamwakunemwa3856 4 ай бұрын
Vzr sna dj🎉🎉
@RamadhanRamadhan-qs2qd
@RamadhanRamadhan-qs2qd 4 ай бұрын
Uko vizur ila unaweka mbwembwe sana mpka unaboa sometyme
@Katuni862
@Katuni862 4 ай бұрын
Kweli
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 4 ай бұрын
❤❤kazi nzuri
@Kingmasai-p9t
@Kingmasai-p9t 4 ай бұрын
Nimejifunza vitu vingi sana kwenye hii movie 💖💖💖💖💖💖💚💚💚💛💛💛💓💓💕💕💕💓💚💛
@IntitharSuleiman
@IntitharSuleiman 4 ай бұрын
Nimeipenda mnoo🎉🎉❤❤❤❤❤
@VairethJexefu
@VairethJexefu 4 ай бұрын
Duuuu umetisha San dj tunaomba mwenderez
@KhamisYunus-jw1hi
@KhamisYunus-jw1hi 4 ай бұрын
Dj mungu akusaidie sana
@geniusswahilimovies
@geniusswahilimovies 4 ай бұрын
Asante sana kaka
@عائشهعبدالله-ي7ب
@عائشهعبدالله-ي7ب 4 ай бұрын
Yafunza sana pia hii movie ❤❤❤❤❤❤❤
@FurahaVeronique
@FurahaVeronique 4 ай бұрын
Pole sana😂😂😂😂😂
@MwanaidothumanOthuman-te5nb
@MwanaidothumanOthuman-te5nb 4 ай бұрын
Hapa niwapi mwalim wa math hapa niwapiiiiii😂😂😂 Hongeraa🎉🎉🎉🎉wamba dah tuna Enjoy sanaaa
@saadaperec2706
@saadaperec2706 4 ай бұрын
movie nzur una saut nzur kusiliza lkn punguza mzaha unapunguza uhondo wa movie
@LovenessJames-j9o
@LovenessJames-j9o 4 ай бұрын
Wasagena❤🎉
@MahaSaeed-hf3gs
@MahaSaeed-hf3gs 4 ай бұрын
Good job
@AbduliIblahim-i8h
@AbduliIblahim-i8h 4 ай бұрын
Nipenda Sana iyi movies one like for everyone 👏😍❤️‍🩹
@Khasimzwane
@Khasimzwane 4 ай бұрын
Mzee izoo njonjo achana nazo nenda straight tuuu
@JohWilly-x4n
@JohWilly-x4n 4 ай бұрын
Usiwekage mbwebwe huziwez dear
@estertabu388
@estertabu388 4 ай бұрын
Movie nzuri bro
@leylashaban-f9b
@leylashaban-f9b 3 ай бұрын
Kuwa serious bhana mpk story hainogi
@عائشهعبدالله-ي7ب
@عائشهعبدالله-ي7ب 4 ай бұрын
Hii movie yasikotisha sana lkn malipo ni hapa hapa 😢😢😢😢😢yani watu wengine 😢😢😢😢
@Latefa-z7m
@Latefa-z7m 4 ай бұрын
Aise kila mtu na mtazamo wake😂 sasa dj asipofanya majonjo movies haiwezi kunoga sawa na mboga bila chumvi utakula2 ili ushibe ila huto Enjoy mm napenda mbwebww za dj.wetu ❤
@geniusswahilimovies
@geniusswahilimovies 4 ай бұрын
Ewaaa🙌🙌🙌🫡
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 4 ай бұрын
Manjonjo yana ruhusiwa ila haya yake yamezidi apunguze kidogo mshkaji yupo vizuri ila hayo ni maoni tu ya baadhi ya watu.
@louisejeanne8306
@louisejeanne8306 Ай бұрын
@@janerouhassanjanerou7933Dj yuko vizuri sana bro 😂😂wasegeeeeeeen! Hapa ni wapa mwalimu wa math😂haaa! Acha wewe! Dj kaza apo apo kwenye manjonjo manjonjo sisi wamoja ndo tunapokupendea apo😂😂
@Latefa-z7m
@Latefa-z7m 4 ай бұрын
@PhantomGhost-mt7pe
@PhantomGhost-mt7pe 4 ай бұрын
🔥🔥🔥
@elinakithi6978
@elinakithi6978 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@OmanA-lx2ib
@OmanA-lx2ib 4 ай бұрын
Mm jin lang shuwekh said na kaa pemb konde ila nimejifuza mege tu yani hii kali san ila nipo omni saiv
@ratifahassan6501
@ratifahassan6501 4 ай бұрын
❤❤❤❤
@mbukhebakari
@mbukhebakari 4 ай бұрын
Wa15 leo nimewah
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 4 ай бұрын
Upunguze mbwembwe na njonjo ukiadithia mn aunogeshi bali unaboa, ni ushauri tu...!
@ivyaguas2171
@ivyaguas2171 4 ай бұрын
Usiangalie 😢😢 na adisia vizuri tu makasiriko ya nn
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 4 ай бұрын
@@ivyaguas2171 Acha shobo . HESHIMU maoni ya mtu!
@AnnaJeremia-s1k
@AnnaJeremia-s1k 4 ай бұрын
Stor nyingi had move hainogi
@RahmaAbdul-iq4vn
@RahmaAbdul-iq4vn 4 ай бұрын
😂😂😂😂 hapa niwap mwalim wa math hapa ni wapi dah sio powwa😊
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 4 ай бұрын
Oooo nimekua wa2 wat awaj amka itakua 😂😂😂😂
@agnesmwema6396
@agnesmwema6396 4 ай бұрын
Dj mbona unaharibu movie kwakuongea fanya kuongea vizuritu
@FurahaVeronique
@FurahaVeronique 4 ай бұрын
Pore sanq
@Jamaawajaa-gp4rk
@Jamaawajaa-gp4rk 4 ай бұрын
Kalii ❤❤
@chantalmariesony2996
@chantalmariesony2996 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 uyo kaka mtoto fake kweli hana presha 😂😂😂
@NOVATISIYAME-iz9qw
@NOVATISIYAME-iz9qw 4 ай бұрын
Unatagaza vema ilaaaa unaanza kama demu
@marryofficial9143
@marryofficial9143 4 ай бұрын
Mm naupenda huo mziki wa kelvin jmn😂😂
@geniusswahilimovies
@geniusswahilimovies 4 ай бұрын
Search @Kamba TheDon Hapa ni wa utauona upoo KZbin tyr
@marryofficial9143
@marryofficial9143 4 ай бұрын
@@geniusswahilimovies asantee
@Eddiedrawing
@Eddiedrawing 4 ай бұрын
Wengine atupendi uo ufala wko wa kujishaua
@irenedaniel8702
@irenedaniel8702 4 ай бұрын
Bro niko na inshu nataka tushare kama hutojali nijibu
@nickbrown8350
@nickbrown8350 4 ай бұрын
Punguza comedy inaboa
@Eddiedrawing
@Eddiedrawing 4 ай бұрын
Tuachie mbwembwe zko za kiboya hzo unaboa
@wanujuma1448
@wanujuma1448 4 ай бұрын
Nasubir
@PhynolThinker
@PhynolThinker 4 ай бұрын
Punguza commedy
@TeresiaDanda
@TeresiaDanda 4 ай бұрын
Usimzalau mtu usiye mjua
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 4 ай бұрын
Kwajin naitwa amin nip oman
@tatuiddy226
@tatuiddy226 4 ай бұрын
Kwaiyo tukufanyeje my wangu kama uko Oman 😂😂😂
@AkiliDogoRama-k6v
@AkiliDogoRama-k6v 4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@TeresiaDanda
@TeresiaDanda 4 ай бұрын
Usimzalau mtu usiye mjua
DUNIA (Ep 38)
19:34
ASMA FILMS
Рет қаралды 141 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
MISSION IMPOSSIBLE [33] SEASON 2
26:02
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 159 М.
ANAAMUA KUWA MWIZI ILI KUOKOA MAISHA YA MAMAAKE HOSPITAL | MOVIE KWA KISWAHILI
31:56
DADA MLOKOLE AMEYATIMBA KWA MUHUNI | FULL MOVIE
57:00
Chapa Media Plus
Рет қаралды 121 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН