Jamaa kaona hela na suati imetoka. Jamani hela iache tu. Sema huyu jamaa kikofia namkubali sana. Wanaomkubali kikofia gongeni likes kama 20 hivi. Bravo sana Dubu kaka.
@OfficialDubu_tz10 ай бұрын
🤝🤝🤝
@Sommeboy10 ай бұрын
Leo sijuwi kamanime chelewa nipe ata ku10 from Zambia
@Spagles10 ай бұрын
Kiparaaaa aongezeewe ela so kwa makofi haya😂😂😂😂😂
@Jaydannychawaboy.10 ай бұрын
Dubu nimekuwa wa kwanza jamani nipeni like zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤
@janetnasimiyu864610 ай бұрын
Me huyu mwakatobe anipo sana
@sadcome3213mapenzi9 ай бұрын
Ukonashida ww huu😂😂
@FarajaJuliana10 ай бұрын
Sijachelewa from south africa mwakatobe na wigi lake😁😁😁😁😁😁😁 ng'ombe wa mayai wewe
@husnabilali30999 ай бұрын
Nakubali San dubu umeweza wote uliowashirikisha wanaplay part zao vzr San mpk raha 🎉🎉🎉❤❤❤❤ tuko pamoja San mpk tamati 🎉🎉❤❤ wigi la mwakatobe jmn uwiiiiii😂😂😂😂😂😂😂 mbavu zangu mie
@Brenda-iw2zh10 ай бұрын
Wakwanza from Kenya naomba likes zangu Leo 🥰🥰
@ibrahjokes50559 ай бұрын
Man from no where am in Anymore : huyu kipara kweny mistake anamuoshea sana mwakatobe ila huku anaoshewa yeye love it❤
Daaah ila mwakatobe mnyama sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅
@حليمهالبلوشي-ز5ث10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤mtu mishi moto ww umenichekesha ongereni sana wapenz kwazi yen zuri sana mubarikiwe wote
@OfficialDubu_tz10 ай бұрын
Tunashukuru sana 🙏
@Membauboysband10 ай бұрын
This is lit Much love from kenya 🇰🇪
@zainaburamadhani965010 ай бұрын
Mmmmh jaman Leo mnanifanyia nilie Tena kwann iyo mikofi ya upala kwa kipala😂😂😂😂😂😂
@simonjosephsimonjoseph10 ай бұрын
Nakubali mwamba hapo kwenye dakka umeupiga mwingi ila mjitahid muwahishe kidogo msicheleweshe
@bramwelsituma637510 ай бұрын
Hongera brother dubu , you are doing great job,,from kenya we love you ❤
@kingcicero170810 ай бұрын
Wakwanza mimi leo from mozambique 🇲🇿🇲🇿🔥🔥🔥🔥
@tarikiramadhan60399 ай бұрын
Ila uyu father mtumishi moto ana mbwembwe kwel kwel duuuh😅😅
@EmmyMo10 ай бұрын
Dubu mtu kati dadeq chakufia nn😂😂😂aaweee🎉🎉🎉
@ElizabethJoseph-s1n9 ай бұрын
Jini hajra anakupenda lakini hanizidi mimi... nwapenda gud work❤🎉
@OfficialDubu_tz9 ай бұрын
🙏🥰
@charlesmillinga99210 ай бұрын
Mwakatobe, 😂😂😂😂😂 Ng'ombe wa mayai, 😂😂😂😂. Bando langu unanipangia cha kupost. 😂😂😂. Mwakatobe tumbo lililokuzaa libarikiwe manake ungebaki tumboni Mama angepata shida sana. Manake wewe Mwakatobe mtani wangu shidaaa sana. 😂😂😂😂😂. Mwanafyale.
@LubuguMaryam10 ай бұрын
Mtumishi Moto 😂😂si Kwa zoez hilo😅😅
@rizikisam648110 ай бұрын
Akuna mtu ananichekesha kama mtumishi moto 😂😂😂
@MwaishambaKipanga-bu9sz9 ай бұрын
Daaah limekuwa ya moto lla kipara & big profesa mwakatobe atawaponza haikawii kumuita mama😂😂😂
@hamidumpande550910 ай бұрын
Mitaa imetulea nyumban kabisa 💪
@OfficialDubu_tz10 ай бұрын
💪💪💪
@King_damizo10 ай бұрын
Sema nyani ngwengwe jau sana 😂😂
@hamidumpande550910 ай бұрын
Dubu kama dubu chaliiii unyama ni mwingi sana mdg wng🙏🙏
@FattyDapetty-tj9vr10 ай бұрын
Sjachelewa nawapenda Sana snaa sana❤❤❤
@petervicky7749 ай бұрын
Leo imenipita samahani sanaaa wadau naombeni like hata 2 ilove you dubu
@StewardMsigwa10 ай бұрын
All the best mwakatobe dubu kipala hajila all
@OfficialDubu_tz10 ай бұрын
🤝🤝
@zakiadua6269 ай бұрын
Yaan huyo Mzee mm ananifurahisha kwel❤😂
@ahmedmohammed939410 ай бұрын
Dubu tz is on 🔥🔥🔥🙏👍.
@protusmakokha10289 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉 congratulations team makotobee
@luckyshumeofficial10 ай бұрын
Mtumishi moto jini wa mchongo yani kala push ups dahhh 😂😅😂😅😂
@shiraz-tv10 ай бұрын
nimecheka Sana hapo mwakatobe aliposema atampangusa dubu manyonyo
@RizikiBakari10 ай бұрын
Hizo abaya walzo vaa hao watat niza hajira 😂😂
@AnnahLusia-bz3lc9 ай бұрын
😂😂😂😂
@GAUDENCIA00910 ай бұрын
Wow kaz saf sana❤❤❤❤❤nawapenda wote mko vzur🎉🎉
@calvinmathiace951210 ай бұрын
Hajira na Dubu nawaona mnapoelekea 😅😅😅🏃
@SalmaMohd-n7l6 ай бұрын
Hta mm nawaon 😅😅
@charodaniel-s6v10 ай бұрын
😂😂😂😂 Shobo tu....likes za Wakenya zikuje 🇰🇪🇰🇪🇰🇪....sikujua kwamba Mtumishi Moto ni master wa karate
@Shederckibaraka8 ай бұрын
❤
@moddysaid951524 күн бұрын
Mwaka Tobe ana jaribu scenarios za mchezo. Nadhani aondoe hizi mbwembwe zake.
@joycesamwely789610 ай бұрын
Ila mwakatobe 😂😂😂😂😂😂 anakionea kipara jamaaaniii😂😂😂😂
@NshomaSayi9 ай бұрын
kazi nzuri dubu uyo maviatu anachekesha hatari
@Miriamerasmas-rk7nz10 ай бұрын
Japo nimechelewa dubu kazi nzuri sana kakang
@aishaomar228710 ай бұрын
Mtumishi moto pressups na miwani😂😂😂...kaa! Mdomo koma 🙌 🙌
@IrfanAlly-wu3ij9 ай бұрын
Ya🔥🔥🔥sana Allah azid kuwapa nguvu na maarifa ili mambo yazid kuwa mazur inshallah ❤❤❤
@OfficialDubu_tz9 ай бұрын
Amiin Inshaallah 🤲
@RajabSufian10 ай бұрын
Bando langu unanipangia cha kuposti😂😂😂😂acha shobo🎉🎉🎉🎉 Mwakatobe kipara hicho...mmmhhh mdomo koma😂😂😂😂😂🎉🎉🎉samahani mkuu😂😂😂
@evelynoscar510410 ай бұрын
Jmn hela iachen t😂😂😂😂mtu mpaka kaongea ghafla hela n helaaa
@Kim.Bashir10 ай бұрын
Kalii sana 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥ila mnakawiza sana daaah hadi tunasahau heee😮
@AshuraAmisi-ey4mj10 ай бұрын
Kazi nzuri sana nawapenda sana ❤️
@lizchepkorir20009 ай бұрын
Dubu is actually on another level I just started watching today from episode one hadi hapa big up guys mungu akuwezeshe na akuzidishie uzidi kutuletea vitu moto moto 🔥🔥Big Up Dubu and the crew❤️❤️🔥🔥mdomo komaa😹😹
@OfficialDubu_tz9 ай бұрын
Amiin Inshaallah 🤲. Shukrani sana 🥰
@abuujabir691110 ай бұрын
Mtumishi🔥🔥🔥🔥
@fatumasaidmajero205010 ай бұрын
Big up much love from Saudi Arabia ❤
@SurprisedDrumKit-iu6rt9 ай бұрын
Dubu man vp mpaka Sasa mganga amapiano haja Fanya mambo yake ya kakako kupona ama kashakufa kwa filamu😂 kazi nzuri kwa wote ,sio tu dubu team mpaka mafuns nipe likes zangu❤
@OfficialDubu_tz9 ай бұрын
🥰🥰
@SurprisedDrumKit-iu6rt9 ай бұрын
Basi usicheleweshe kazi mpaka clam kashatoa mistake 5
@Ushindipeter9 ай бұрын
Wewe nijini acha shobo😂😂😂😂
@batuli866510 ай бұрын
Mtu mishi 🔥🔥 😅
@alfredtebeka249710 ай бұрын
Kazi nzuri ❤ ila mtumishi moto😂😂😂😂 anafanyia nani mazoezi😅😅
@AbiaGervas9 ай бұрын
Jaman mnaweza Sana, hongeren an ila mnachelewesha kutoa move
@OfficialDubu_tz9 ай бұрын
Kuna changamo kidogo ila Inshaallah tutatoa soon
@DaudAshery-ie2pf10 ай бұрын
Hahhaha ila mwakatombe ni fundi bana
@abdulrazaqkatoma564810 ай бұрын
Mtumishi moto
@HalimasaidHalimasaid-d8n10 ай бұрын
Mwaka tobe mbona wamuonea huyo kipara wee😂😂😂❤
@charlesmillinga99210 ай бұрын
KKa dubu naomba kuuliza. Huyu mtumishi moto ni mjapani eeeee?😂😂😂😂😂. Anatokea mji unaitwa Yamamoto uko Japan.
Dubu jamn. Sawa ni let ku watch bt nilikua najua nitafurai, good job continue
@OfficialDubu_tz9 ай бұрын
🤝🤝
@charlesmillinga99210 ай бұрын
Mtumishi moto anagonga Push ups. Kama Shouline Monks vile. Duuuh hii series kila mtu ni shidaaaaa. Aisee Dubu selection ya Characters hawa umeitendea haki kakangu.😂😂😂😂😂
@Membauboysband10 ай бұрын
Mbona mwakatobe husubua kipara hiv😅oo😂😂
@NeemaKombe10 ай бұрын
Umeonaee
@Membauboysband10 ай бұрын
@@NeemaKombe ukweli 😁😁😁
@SalimSalim-m9w4o9 ай бұрын
❤@@NeemaKombemashallah mashallah umejaliwa umeumbika mashallah neema mambo
@MwanamisimungalugoMungal-vw9mo10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂dubu utapanguswa manyonyo aaaah taniuwa
@ukhtysasha10 ай бұрын
eti upara kama kalio😂😂😂😂
@Gaddaf9810 ай бұрын
Nakubal sana na uyo nyani ngwengwe😅😅😅
@aligodah362210 ай бұрын
the more you watch the episodes the more interestingly it gets,well done dubu great work broo,always keep in mind that,great minds always have great ideas n positive thoughts.hii series naomba iendele nakuendelea3 kma huba vile,mungu azidi kkupa maalifa na fikra uweze kubuni zaid ya hpo na akupe na upeo wa maalifa.mch ❤❤❤❤ 4rm 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 big up xaaaaaaaa.....na tu!!!!!
@OfficialDubu_tz10 ай бұрын
Amiin 🤲 Nashukuru sana 🙏🙏 Mungu akuzidishie na wewe maarifa zaidi kwenye kazi yako Inshaallah ❤️
@aligodah362210 ай бұрын
@@OfficialDubu_tz Aaamin thumma Aaamin brooo kazi nzuli xana ilio kwenda shule na ilio pangwa ikapngka in shaa Allah mngu atakuenua zaid ya hpo ulipo fkia na kutimiza malengo yko bi idhnih🤲🤲🤲!!!
@OfficialDubu_tz10 ай бұрын
🤲🤲🤲❤️❤️❤️
@KizitoKasereka-sh1bp9 ай бұрын
Kutoka kongo nipeni like mubarikiwe
@grace-lg7xh9 ай бұрын
❤❤ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@scompanyswahili30249 ай бұрын
Hongereni ndugu zangu kazi nzuri
@BahathSanga9 ай бұрын
Jaman nani kaona jini anapiga push up
@davidmwambona584210 ай бұрын
Ila bongo movies noma eti jini linapiga pushapu😂
@AngeljosephJoseph10 ай бұрын
Mwakatobe utaniuwa jmn khaaaa😂😂😂😂😂
@StanleyEmmajose-fs8th10 ай бұрын
Hahaha kazee kankula pushapp😅😅😅😅
@rahimaallysaid821510 ай бұрын
Haki mtumishi Moto wanikosha😂😂😂😂
@luckynoah10 ай бұрын
😂😂😂huyu kipara kweli ananikosha sana mchawi wakwanza Hendsome😂😂😂😂😂😂
@umulisaclarisse194910 ай бұрын
Lve From Rwanda ❤😘
@Fatma-d1o4t10 ай бұрын
😂😂😂😂M̈üẗüm̈ïs̈ḧï m̈öẗöö bala
@swalehomari20199 ай бұрын
Wasema mtumishi Moto yuwapasha misuli nakipara chake
@fatumakidoa400610 ай бұрын
Dubu nakupenda bure hii filamu nzuri sana ❤❤❤
@OfficialDubu_tz10 ай бұрын
🙏🥰
@kamilgadoking230410 ай бұрын
Mtumishi moto mupeni sehemu yakuongea jamani
@Neshjune10 ай бұрын
Aki leo nimekua wa mwisho much love from kenya nice movie ❤❤❤❤
@ScholaMalale9 ай бұрын
Hahahahahaha mtumishi moto kiboko
@issajuma194810 ай бұрын
Kazi nzuri ila jitaidi kutuwaishia
@OfficialDubu_tz10 ай бұрын
🙏🤝
@LilianMwaijibe10 ай бұрын
❤❤❤❤❤ ila kanakua kafupi mweeeeee 💪💪💪
@MoTalentTz10 ай бұрын
Mwakatobe the best 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Mnjugar10 ай бұрын
Hapa unyama mwingi
@Wardat-o3l10 ай бұрын
Na wapendraaaa❤❤❤
@stevenkomba462110 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉 Dubu Tz One 🔥🔥🔥
@samsonikomba7779 ай бұрын
mtumishi moto sasa
@AndereanyauNyau10 ай бұрын
Wakwanza Leo nipeni lik zangu
@KadabraGadna-xu5ez9 ай бұрын
Mwakatobe, mwakatobe unazingua ongea sauti yk, hii sauti unayo ongea unazingua sauti hii ni yamichizo ya kule Azam two Azam extra usiige baba unaharibu
@kibibimlaula252610 ай бұрын
😂😂😂 nyani gwengwe kawa bubu leo wee niue kabisa😂big up kaka dubu una kazi nzuri mashallah 🎉❤
@OfficialDubu_tz10 ай бұрын
🙏🥰🥰
@danielsostenes164010 ай бұрын
Wa kwanza from TZ
@OfficialDubu_tz10 ай бұрын
🤝🤝
@emanuelmoshama38999 ай бұрын
Hahaha mmarekani kanichekesha sana 😂😂😂
@lulupeter-xf9gs10 ай бұрын
Dubu hongera Kwa kazi nzuri mambo ni 🔥🔥🔥sitoacha kuangalia series ya maiti yangu.