mungu bariki askari wetu kwani mengi yanawakumba pia huu UKUTA utakao fanyika Alhamic wapo watu watafanya vitu vicyo na maana
@janewacera78128 жыл бұрын
Sasa nyinyi police mkiuwawa na majambazi Sisi raiya tufanye nini? Naomba serikari iongeze Police kwa wingi, ubaya police Wa Leo hula hongo Sasa hatuwezi tuka jua kama ni wenyewe kwa wenyewe Wamefanyiana unyama, hiyo sasa yakuvamiwa wakibadilishana Shift inaonekana ni wenyewe kwa wenyewe hata wao wanafaa wachungane Sio raiya peke yake poleni kwa msiba ni huzuni sana, Maoni yangu ni hicho kisa Ati walivamiwa waki badilishana shift kwani wanakuja kazi bila silaha yoyote Na kituoni hakuna police wengi kwa Nini. Nimebaki na maswali Mengi sana
@adageimalenge83948 жыл бұрын
S
@ashahaji49368 жыл бұрын
mnafanyaje sasa na hvyo watu wanakuja kwa kujiamin kwahyo hamujaamka si ndiyo na eneo mnasema hatar
@johnsonmaro38198 жыл бұрын
wamezidi kukamata na kuonea raia wema wafe 2
@mottofoundationinc.34928 жыл бұрын
mwanangu unahatari...ww
@saulimwakyusa1498 жыл бұрын
mh jamaangu angalia
@joelndunguru66158 жыл бұрын
wewe ujitambui kabisa yani unacho kitaka utakipata
@saulimwakyusa1498 жыл бұрын
+Joel Ndunguru kipi sasa kwa mfano
@oyay28218 жыл бұрын
poleni sana
@ashahaji49368 жыл бұрын
mkuu watu wanakuja na silaha za vita shirikishi itafanyaje mkuu
Magufulis doing,if only the economy wasnt this hard😩🤔
@abdulmalickupete90157 жыл бұрын
police angalieni comments za wauaji zimo humu ajabu sana
@sadickabdallah44598 жыл бұрын
aaaaaah aya mi napita
@ajuxman93827 жыл бұрын
wacha wauliwe wanavo uwa wenzao kumbe mkuki kwa nguruwe tu kwa binadamu mchungu
@jenyyusuph49737 жыл бұрын
Ajux Man polce kamata ajux man haraka iezekanavyo hii nchi inakwenda ndivyo sivya inamaana majamba z walambe?
@joshuawwalwa35337 жыл бұрын
Ajux Man wewe sio mtanzania eti poa
@joshuawwalwa35337 жыл бұрын
Ajux Man kaka Pole sana sina chakusema juu yako ila mwongoni wawahalifu nawewe umo kabisa
@adelinemizengo50198 жыл бұрын
no researcj no right to say sio mnawabebesha tuhuma ukawa mnauhakika gan kama ndo wamejihusisha na mauaji hayo hii n tz yetu wote na watz ndo cc.wenyewe kwann tunapandikizana chuki zisizo na maana hapo fanyen utafit police hao hao ndo wanajuana haiwezekan kirahc hvo kwa raia