MAJAMBAZI WAVAMIA KANISA KATOLIKI MCHANA ARUSHA, WAKAMATWA WAKIMUIBIA PADRI, ASKOFU AMANI AONYA...

  Рет қаралды 53,012

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 111
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@sophialemmpalasu4133
@sophialemmpalasu4133 Жыл бұрын
Amina watu wa mungu tumsifu yesu kristu
@ronniebertin2598
@ronniebertin2598 Жыл бұрын
Wrong number try again later
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Mungu awaangamize mnaingia kuiba hadi eneo la kanisa mumelahaniwa na Mungu
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si Жыл бұрын
Kamata mwizi asante Mungu
@adelinamselle7374
@adelinamselle7374 Жыл бұрын
Mungu yupo kazini, yaani aliondoa ufahamu wa majambazi kabisa kwa 100% ... MUNGU NITALISIFU😂JINA LAKI DAIMA NINGALI HAI 🙏🏾
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Mitihani bora nipambane tu huku oman kulikoni kuiba au kuwa malaya kutafuta maradhi bass nipo napambana na warabu kuosha vyombo na kupika na nguo pass kulikoni kuiba mungu anisuru ishaalah anipe ujasiri zaidi wa kufanya kazi na afya bass na maisha marefu mungu anizidishiye ujasiri ishaalah
@josephkulija293
@josephkulija293 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa wema wako wa kunusuru uhalifu huo ambao unaonyesha binadamu wamekengeuka hawana hata hofu na watumishi wa Mungu.
@geitaco-operativeunionlimi3360
@geitaco-operativeunionlimi3360 Жыл бұрын
jamani hivi Rwanda wamewezaje kudhibiti uhalifu?
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 Жыл бұрын
Tunaamin sehem penye nyumba Mungu hapatakiwi ukatili au dhambi kwa kuweza kuuzuiya wasiuwawe mmefanya jambo jema sana mbele za Mungu na wataeleza vingi police na kusaidia ktk upelelezi
@peterkija8402
@peterkija8402 Жыл бұрын
Milele Amina kwahaya mambo tfnge naksali Sana tkimuomba mungu msada wake
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Жыл бұрын
Mungu yunusuru na vizazi vyetu Amin Amin amin
@fatumamaiga8496
@fatumamaiga8496 2 жыл бұрын
Hivi ni kweli au movi
@jacquelineeliasmollel5260
@jacquelineeliasmollel5260 2 жыл бұрын
Kweli
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 Жыл бұрын
Washindwe kwa jina la yesu hadi kanisa dha
@khamisrashid1819
@khamisrashid1819 Жыл бұрын
Hapo ndio kweny kipimo Cha Imani Bora ningewakata mikona kama dini isemavyo🏃🏃🏃🏃
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
HAO WEZI WAFUNGWE MAISHA NDY WANAOUA WATU. DUNIA IMEISHA UNAMWIBIA HATA MUNGU
@Zainab-sq1tc
@Zainab-sq1tc Жыл бұрын
Huy kaka wa pil kaeleza vzr nmeelew sasa
@mauajuma3762
@mauajuma3762 Жыл бұрын
Ni Hatari Sana kucheza sehemu takatifu,na huyu mwanamke jamani, mbona Kazi Ni nyingi za kufanya
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Жыл бұрын
Kweli ameshindwa hata kufanya biashara ya kujiuza?
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 Жыл бұрын
Kweli
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Жыл бұрын
wanawake wanaweza , hahahahaha haki sawa kwa wote ..
@deonatusyokta3579
@deonatusyokta3579 Жыл бұрын
Hatar sana mpaka kanisan
@gebrastemu5010
@gebrastemu5010 Жыл бұрын
Hata watu wa Mungu wanawindwa na kuporwa PESA, hata kina mama wanashirikiana na majambazi. Wafungwe miaka kumi na Tano jela.
@saramodest8519
@saramodest8519 Жыл бұрын
Tumshukuru Mungu kwa ulinzi wake hakujatokea mauwaji
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
Wale wale wakenya mnaosema pesa ya Tz haina thaman leo ndo mnakuja kuiiba tena mchana alafu kanisani kweli njaa ni mbaya🤣🤣🙈
@susannaikuni8595
@susannaikuni8595 Жыл бұрын
Cheikna muona tafadhali tumia umoja sio wingi uliwapata wakenya wangapi wakiiba tz sema mkenya not wakenya
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
@@susannaikuni8595 inauma ee??Nyie mnavyo tusemaga watz mnatumiaga umoja kwani??Si huwa mnajumuisha wote tu..🤣🤣🤣Leo mama yenu atafumuliwa dreadlocks hizo😂
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 Жыл бұрын
@@susannaikuni8595 WAKENYA MAJIZI NDIYO NA LIMWANAMKE LIPO BORA WANGEKUWA WANAUME😏😏
@hamiduhamisi2371
@hamiduhamisi2371 Жыл бұрын
@@susannaikuni8595 nyoooooo 😏😏😏😏😏😏😏😏 tulia ukweli uwaingie unapunguza wingi wa wakenya kivipi rabda? dora imesimama tanzania sasa kwendaaaaaa
@mrsferuzi7443
@mrsferuzi7443 Жыл бұрын
Tena atulie dawa ingie taratibu waizi wakenya
@josephremi2805
@josephremi2805 Жыл бұрын
Mnaiba mpaka kanisani mkono WA mungu umewanasa
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 Жыл бұрын
Bidada umetinga na kimini duuuh hatare na nusu
@nara-1-c4r
@nara-1-c4r Жыл бұрын
Jamii imara ni ile inayoweza kujilinda kutokana na uhalifu kama huu. Kila mtu awe na sense of security, hongereni wanakwaya kwa kuwa na sense of security. Mwananchi ni Askari namba mmoja na huo wajibu umetekelezwa vyema na raia hapo kanisani St. Theresia Arusha
@egidiusthadeo5573
@egidiusthadeo5573 Жыл бұрын
Arusha mnatisha
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
MNGEWAPIGA HADI WAFE KABISA MAANA WAO WAKIKUONA HAWAKUACHI
@lazarololusu4594
@lazarololusu4594 Жыл бұрын
Tukushukuru ee Mungu maadui kushindwa ktk maeneo Patakatifu.
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Kama maisha ya mjini yamewashinda kwani lazima unganganae mjini?kalime kijijini
@furahakalase5368
@furahakalase5368 Жыл бұрын
Mwandixh mxomi tunaomba utupe taarifa kuusu story ya mtoto wa mwanajeshi bayo upo kmy ctor haiendelei
@mnyengamromania4076
@mnyengamromania4076 Жыл бұрын
imefika wakati kuweka camera
@victorernest7702
@victorernest7702 Жыл бұрын
Yaan kama huyo Dada ni mrembo kabsaa
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Kachukua sura ya babu yake..wanawake wakenya hawana uzuri wowote
@saidmlemeta8083
@saidmlemeta8083 Жыл бұрын
Dunia imeisha kwli unaiba kanisani watu walivyo wapole unaweza sikia wanasamehe
@milley7185
@milley7185 Жыл бұрын
Aisee mbaya
@lewismpangala927
@lewismpangala927 Жыл бұрын
Usiombe kupigwa na waumini wanakupiga na mwimbieni bwana
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
😂😂😂
@calvinshirima2654
@calvinshirima2654 Жыл бұрын
😅😅😅
@angelsergius
@angelsergius Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
😆😆😆😆
@ambrosethomas5922
@ambrosethomas5922 Жыл бұрын
Mwanamke jambazi ase
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Ingekuwa DSM (panya road), hao watu wangetimua mbio kuwakimbia wezi, nao(majambazi) wangejiondokea na mali kiulaini..hongera Arusha. Hata uwezo wa kujieleza ni mzuri
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
JAMNI TUNAÒMBA HAO WASIACHIWE MAANA WAKITOLEWA WATARUDI TENA
@silviashayo298
@silviashayo298 Жыл бұрын
Mungu mkubwa baba paroko wetu hajadhurika kweli za mwizi ni 40
@leonialymo8286
@leonialymo8286 Жыл бұрын
Jamani hao wezi vipofu hawakuogopa ule umati wa wanakwaya. Mungu ni mwema
@kihanda2554
@kihanda2554 Жыл бұрын
Jamaa Anajua Kujieleza na Nimependa alivyosema nchi ya jirani pasipo kuitaja
@marcynhumbi3534
@marcynhumbi3534 Жыл бұрын
Wangewaua tu,kipigo chenyewe kidogo hata akijachangamka
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 Жыл бұрын
Na,mwanamke?😳
@rozina2161
@rozina2161 Жыл бұрын
Jamani wakenya wenzetu mwatuaibisha sana hivi kanisani kwaibiwa kweli au ni nn mlikosa nn ata muje tz kuiba shame on you thieves 🇰🇪
@johnzege209
@johnzege209 Жыл бұрын
Tumefika hukoo?
@barackmoses7003
@barackmoses7003 Жыл бұрын
Wanabahati sikuwepo mimi wangefia hapo hapo
@consomatogaudence136
@consomatogaudence136 Жыл бұрын
Jamn nlitamani xana wauawae majambazi ctamani waishi maana hat wao wakikukuta huponj
@deusdedit789
@deusdedit789 Жыл бұрын
Hee hii mambo imerudi tena Nakumbuka ili ishaga kipind cha mzee wetu dah Nakumbuka moshi walisumbua sana kipindi cha uwongozi flani ivi
@christinachazy8644
@christinachazy8644 Жыл бұрын
Sijui tunaelekea wap jamani Dunia hiiii
@daudpaulo2867
@daudpaulo2867 Жыл бұрын
Kanisa la senti teleza
@yasmeenaal4191
@yasmeenaal4191 Жыл бұрын
Bora nipambane omani huku na warabu kuliko hii kazi wallahi
@rahmamohamed6912
@rahmamohamed6912 Жыл бұрын
Tunapambana wote shogaangu
@ramlajuma2563
@ramlajuma2563 Жыл бұрын
NAMM nipoo Huku my friend
@ramlajuma2563
@ramlajuma2563 Жыл бұрын
Yasmeen Naomba namba zako
@bakarimohammed2796
@bakarimohammed2796 Жыл бұрын
Sahihi kabisa
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Жыл бұрын
Hakika Subhanallah 🤔
@betherbaziwan1222
@betherbaziwan1222 Жыл бұрын
Duuh Hadi kanisani jamani
@demicratia4071
@demicratia4071 2 жыл бұрын
Hawa wezi kwa nini hawasikiiiiii
@naturelle1097
@naturelle1097 Жыл бұрын
Yaani wakenya watoke kwao kuja kuiba kansani ? ..huo mchongo wa ndani ..kikulacho ki nguoni mwako.
@zakhiamsuya4922
@zakhiamsuya4922 Жыл бұрын
Mmama mtu mzima duh
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 Жыл бұрын
Wanachezea tz hawa kazi wanayo watasema tu nani kawatuma.
@magdalenadeusi760
@magdalenadeusi760 Жыл бұрын
Poreni. Wakirisitu. Wezagu.
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Жыл бұрын
NAWEWE BINTI HUONI AIBU UNAWAFUNDISHA NN WANAO? WE MJINGA KABISA TENA MUUAJI KABISA. USICHEZE NA MUNGU
@coolruler6820
@coolruler6820 Жыл бұрын
Wewe badala ya kusali unaiba
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Жыл бұрын
Minene kwa pesa za wizi pumbafu leo wameaibika
@mdzainb3722
@mdzainb3722 Жыл бұрын
Munge wakanyaga na gari mamae
@dativafidelis388
@dativafidelis388 Жыл бұрын
Hadi Ray ni shuhuda🤭 ,kaka uneupuga mwingi
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
Wezi jamani siyo waoga. Sijuiwanajiamini nini.. Nawanabahati sikuza bado wangeuliwatu hapo hapo
@masatumtani1588
@masatumtani1588 Жыл бұрын
Afu ni wakenya
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Жыл бұрын
@@masatumtani1588 yani wakiona wachetu maana wamepotea chupuchupu. . Tenawametoka Kenya Kuja kuiba Tz Hao majambazi sugu
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si Жыл бұрын
Hadi mwanamke yanikumbusha mwaka 2005 makumbusho sokoni
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
Kher huyo jimama nae anacha kulea watt akafanya biashara anataka pesa za mkupuo wasitoke hao wafungwe mijibaba kabisa hiyo na family zao jamani
@akimuwaziri4089
@akimuwaziri4089 Жыл бұрын
mkiwafunga watatoka. Dawayao selikali pigeni chuma hao wote
@deusdedit789
@deusdedit789 Жыл бұрын
Mimi nacho ona hao wezi walitoka kwa mganga wakaambiwa atawakienda kuiba mchana hawataonekana. Alaf sindio wakajichanganya kwenye nyumba ya MUNGU
@vero57
@vero57 Жыл бұрын
Walijuaje padri kabeba pesa kutoka benki kwenye gari??
@njuka3515
@njuka3515 Жыл бұрын
Walitoka naye bank
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Padri aliwatumia message
@marcellyimo283
@marcellyimo283 Жыл бұрын
Wanaiba karibu na central ndo ilikua pona yao wangeiba kule moyo safi, sasa hivi wangepambana na moshi puani wa jehanam
@consomatogaudence136
@consomatogaudence136 Жыл бұрын
Kabisa
@nasibugunda7927
@nasibugunda7927 Жыл бұрын
Hao ni vibaka tu
@avitusmichael5
@avitusmichael5 Жыл бұрын
Ningekuwepo huyo dem ningemtomba kabla hajapelekwa polisi maana hilo paja asee hadi kiu
@eliasifiwekileo8150
@eliasifiwekileo8150 Жыл бұрын
Shindwaa unawaza uovu tu paja lenyewe limekomaa Kama nn halafu mazingira yenyewe hayooo!!
@zainabukivale9571
@zainabukivale9571 Жыл бұрын
Watu bana wezi lakini MTU analekod
@zehrahaji1566
@zehrahaji1566 Жыл бұрын
Bora walivyokamatwa ingewa wangehisi Dini zingine wamefanya hivyo
@felisterligwa
@felisterligwa Жыл бұрын
Acha mawazo ya udini
@pungopungo411
@pungopungo411 Жыл бұрын
Wafugwe kisha tuwalishe wakatwe mikono kisha wapelekwe kwao
@francolazaro8646
@francolazaro8646 Жыл бұрын
Hawa watu juzi waliiba dodoma ivo ivo 15.5ml kwenye Gari tena mchana.. Tulikuja gundua kwa cctv sura Ndio hizo .. Mwenye aliibiwa alivyoenda Polisi ikajulkana Gari Yao imeenda arusha...... Ngoja nimuoneshe hii vdeo aliibiwa aje atoe ushuhuda
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 Жыл бұрын
Kwa kweli msaidie aje wamlipe
@msowamhokole7714
@msowamhokole7714 Жыл бұрын
Askofu Kama kanywa wine vile ama
@joycekaguo8476
@joycekaguo8476 Жыл бұрын
wamekosa teckin mpaka wavunje
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
Walitaka chapchap imewatokea puani ,usikute wanadeal na watu wa Bank itakuwa wamepewa deal Mchungaji kaenda kutoa Fedha nyingi ndio maana wakamfuata hawawezi kumfuata na gari kama ni fedha ndogo hawa ni majambazi stadi tena inaonyesha wakimkuta mtu siti mbaya wanampiga risasi hawa sio wa utani utani.Mbona hamkuonyesha na sura za hao wanaumme?hawa ni hatari wanagari la nguvu simu za nguvu zichunguzwe nani kawapa information ya Mchungaji?
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
Walikosea sana hawakukushirikisha jambazi mwenzao
@leokamil6284
@leokamil6284 Жыл бұрын
@@mcback4384 Your so stupid as you are !pumbavu kabisa
@rozaliastanslausraphael7884
@rozaliastanslausraphael7884 Жыл бұрын
Na wakomee wanajua watu ni wajinga
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 47 МЛН
didn't manage to catch the ball #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 33 МЛН
VAMPIRE DESTROYED GIRL???? 😱
00:56
INO
Рет қаралды 8 МЛН
Impeached DP Gachagua speaks after leaving Hospital
14:16
KTN News Kenya
Рет қаралды 243 М.
Ziara ya Mheshimiwa Mrisho Gambo katika Shule ya St Jude
5:59
SchoolOfStJude
Рет қаралды 145 М.
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 11 МЛН