Рет қаралды 722,431
St Pauls Student Choir, Chuo Kikuu cha Nairobi tunawakaribisha kutazama wimbo huu unaotukumbusha kwamba Mungu ndiye chemchemi ya faraja na asili ya mema yote maishani mwetu.
Wimbo: Maji ya Uzima
Mtunzi: Fortune Shimanyi
Waimbaji: St Pauls Student Choir Uon
Audio and Video: Rajo Productions
Kindly share, like, comment, and subscribe