Nimefurahi sana mjumbe yupo vizuri na majirani muendelee kukaza buti kuhakikisha watoto hawakosi haki zao,nimewapenda sana hao majirani hiyo ndio maana ya ujirani.
@roseamos28124 жыл бұрын
Da yaani ndugu jamani sometime mtu unatamani kuandika wosia ukifa uzikwe dinning ndani kwako sababu ya ndugu😂😂😂😂
@rachelmsekena6034 жыл бұрын
Rose Amos yani we acha tu wanadamu tumekua na roho mbaya kuliko wanyama yani kaka mtu anachoangalia yeye ni nyumba lakini sio watoto hata alipoulizwa kuhusu mtoto alieachwa hosp alikua na kigugumizi inaonekana hata hajafatilia kuona mtoto yupo kwenye mazingira gani nilitamani niingie kwenye cm nimkate makofi.
@asmajamani29674 жыл бұрын
@@rachelmsekena603 umeona Yan
@joycepaul88484 жыл бұрын
Umoja ni nguvu
@pendomoshaalecy63564 жыл бұрын
@@roseamos2812 kwa kwel
@chunanachu25294 жыл бұрын
Naingia uwoga sana nikiwangalia watoto wangu eee mungu nipe umri mrefu ni walee wanangu mpaka watakapo kuwa wakubwa wanajitambua.... Ndugu hawa
@AdoAshu804 жыл бұрын
Amiin yarrabil allamiin 🤲🏽 hata mimi ndiyo dua yangu kila siku 🤲🏽 Amiin yarrabil allamiin 🤲🏽
@joharhamisi91404 жыл бұрын
@@AdoAshu80 Amiina yalabi amiina
@jaklinifaustini42594 жыл бұрын
AMEN
@ibrabofubofu87634 жыл бұрын
Amin Allahumma Amin
@khadijahomankweliyamjahaya74214 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@mariamufungo96194 жыл бұрын
Jamani huyu mjumbe yuko makini sana,yaani kama wajumbe wote wangekuwa kama huyu ingekuwa Tz yetu kama ulaya
@aliarkam95484 жыл бұрын
Kwel
@kadhiaally79844 жыл бұрын
Mariamu Fungo Alhamdulilah
@esterburuna29374 жыл бұрын
huyo mjumbe nimkulya hajawahi kufeli
@palomabaraka39914 жыл бұрын
Mariamu Fungo sana nimempenda mnoo jamani uyo kaka mtu anataka mali tu pumbavu uyo
@getrudepius12024 жыл бұрын
Haswa yaani viongoz wetu wangekuwa kama huyu mjumbe da tungekuwa mbali
@spreadlove21194 жыл бұрын
Jaamaani Mungu awabariki Gea, majirani na mjumbe, kwa kusimama kidete 💕
@kessynurutajiri49404 жыл бұрын
Mjumbe na Majirani mko vizuri. Piganieni Haki za Watoto. Hao ndugu wana tamaa kwa Mali wasiyochuma.
@ooredooooredoo74264 жыл бұрын
Yani mjumbe uko vizuri na kazi yako ningekuwa karibu ningekupa hata soda upoze kiu bila kumsahau dada gear shukrani kwa. Kutujuza
@Zuribotanicals4 жыл бұрын
Hongereni mno majirani,, hongereni sanaaa, hivi ndio inavyotakiwa nimewapenda sana. Watoto wana baba hao ndugu waondokeee
@doramkolo17454 жыл бұрын
Yani geah nataman nimchape fimbo huyo mjomba mpenda mali...Yani hili linaonekana lidhulumati kabisa....geah plz plz fuatilia hili sakata...mbunge wetu ajae na mwenyezi Mungu akubariki kwa kazi hii nzuri ya jamii
@leilasadick54774 жыл бұрын
😢😢😢😢Jaman kama walikua Wana muombea ndugu Yao kufa 😔😔😔wawe na aibu jaman duuhh
@lightnessmungaya32804 жыл бұрын
Yaani ndiyo ivyo Mimi niliwah shuhudia kwamba hii kitu ndugu wengi wako ivyo ivyo
@veronicahaule74354 жыл бұрын
Muongo aondokeeeeee zuruma hao Mali za watoto
@mozaummy3274 жыл бұрын
Majirani wazuri sana mashallah
@salehaltooq58294 жыл бұрын
Ndio tunavyotakiwa kuishi kwa upendo na majirani zutu
@lilianfeisar88224 жыл бұрын
Safi sana mjumbe na majirani mko vizur sana ndo inavotakiwa mungu awabariki sana
@allysufian71974 жыл бұрын
Kufa kufaa na hata wiki bado jamaa anataka kujiongeza
@abdulhalimhumud19174 жыл бұрын
Kwanini watu wanapenda kung,ang,ania Mali Sio zao watafute chao watoto Ndio wana haki ya iyo nyumba Basi serikali isimamie
@leokamil62844 жыл бұрын
Yaani wanyanganyi
@shammoha52974 жыл бұрын
@Abdulhalim Humud, umesema sawa kabisa!
@abdulhalimhumud19174 жыл бұрын
Kwa Kweli nashindwa kuelewa binadamu Wengine tafuta tu chako muombe Mungu atakujalia kdg kdg Mpka utafika
@khadijahomankweliyamjahaya74214 жыл бұрын
Yaaan nawachikiwa sana watu wa namna hii
@waukweelinikkon65554 жыл бұрын
Mjumbe mi nimekupenda sana,upo makini na majirani zako,msaidieni mcongo na watoto wake asidhulumiwe jamaniii,watu wanatamaa na mali ambazo hawajazitolea hata mali daah
@bihalimabihalima67014 жыл бұрын
Wamsubili mkongo jaman mbona aibu
@emanuelandedela27714 жыл бұрын
Nimewapenda majirani. Tuishi vizuri na watu
@mariyammariyam88454 жыл бұрын
Asante MUNGU nipo kwa kunipa pumzi nikalewa wanangu Alhamdulilah
@latriciah01augustino674 жыл бұрын
Wiki moja tu 😀 ina maana siku zote alikuwa anakaa wapi na familia yake🙌🏽 Kwenye haya maisha usimuamini mtu maana hata ndugu yako anaweza kukuombea mabaya sababu una kitu kuliko yeye🙌🏽
@lisajackson58674 жыл бұрын
kabisa mu
@lisajackson58674 жыл бұрын
kabisa my
@gracejohn8534 жыл бұрын
Kweli kabisa
@desiremfaume60924 жыл бұрын
Aijalishi ni mkongo anahaki sawa sawa na watanzania wengine , mpeni mali zake
@josephgomalo414 жыл бұрын
Kisheria mkongo hana haki ya umiliki wa ardhi kama hajawa raia! Haki aliyonayo ya kuishi ktk nyumba hiyo ni kupitia kwa watoto pale vibali vya kuishi nchini vinapomruhusu! Hiyo ni sawa na kumjengea mwanamke nyumba kwa jina lake halafu udai ni ya kwako mnapoachana! Fuateni sheria!
@Mpakauseme2 жыл бұрын
@@josephgomalo41 Sasa je hao watoto wewe ndiye utakaye walea?
@robbykihengu62514 жыл бұрын
Huyu kiongozi kanifanya niwaze Mengi sana Dunia hii hawa hawapo!!,Magu anawataka Viongozi kama hawa anauelewa mkubwa kuliko Cheo chake.Rai yangu mpeni Ubunge hapo atawasaidia sana
@zahramsabah50892 жыл бұрын
Wallahi na mm nimempenda mjumbe anaupeo wa kuongea na anaongea kwaa akili sana
@naomimabula26604 жыл бұрын
Mjumbe nimekupenda kwa kujiamini kwako, keep it up.
@lilymammpayo80724 жыл бұрын
Ndugu bhana, aje awalipie wtto wawe wake halali, ck zote alivyokuwa akiishi nae hamkuliona hilo, acheni tamaa, ndugu yenu alikuwa analelewa na huyo mkongo kw haki zote, leo mnataka kumtoza gharama za ajabu, ana kazi gani ndugu yenu ya kujenga, acheni hizo muogopeni mungu,
@lulumushi12352 жыл бұрын
Wasicheze na wakongo watapotezwa kwa tamaa zao za kisenge uchawi umelala kwao
@simphoslyvia25704 жыл бұрын
Aibu kabila gani hili ,mjumbe Mungu akulinde,.majirani Pia nawapenda Sana jamani nife mlithi dada alijua kifo chake kawakomesha nimependa sina ndugu vyote vya wanangu . Mungu wanusulu watoto 😭 hawa wakue na Baba Yao salama.
@Mpakauseme2 жыл бұрын
mbwa tu hao
@venerandamwalimu164 жыл бұрын
Hongereni Majirani na Mjumbe kwa kuwa Makini.
@allysaidy42804 жыл бұрын
Mwanaume mzm anaenda kuganda nyumba ya mwanaume mwenzake Duuuh pengine anataka kuolewa na mcongo siajenge ya kwake mamayooooo
@aishachambo32934 жыл бұрын
Unacheka tu kwa furaha ya nyumba inabidi uolewe na mkongo sasa uchukue zamu ya dadaako
@lovvy8544 жыл бұрын
Ausio akitaka arithi bas awe mke wenza
@rahmamusa96274 жыл бұрын
Humtihani mkubwasana
@aliarkam95484 жыл бұрын
Huu mtihan mkubwa
@kadhiaally79844 жыл бұрын
Aisha Chambo 😂
@praisesteven77744 жыл бұрын
😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@hadijamuddy32984 жыл бұрын
Uyu kaka naona alikuwa anakaa nyumba ya kupanga na kodi yake iliisha ndomana kakimbilia hapo haraka binadamu sisi khaa kweli mchawi nduguyo
@ziadasalim14594 жыл бұрын
Mchawi ndugu
@lovvy8544 жыл бұрын
Mungu ailaze rohoyake Mahali pema kwenye wema niaibu kubwa ndugu mtu waanze kukinbilia maliake wakati amekufa inaskitisha mungu awalinde hao watoto
@azizahassan36734 жыл бұрын
Safi sana majiran mpo vzr simamien watoto wapate haki zao
@neemapeter26154 жыл бұрын
Wao ndugu ndo walihusika na kifo cha dadayao haiwezekan mtu kuafariki hata mwezi bado munakimbilia mali😏😏😏
@asiamwarabu75104 жыл бұрын
Huyu dada mtangazaj nampenda hanaga uwongo na Kaz yake nzur Sana
@antybabybintrashid23334 жыл бұрын
True
@namsifumihungo864 жыл бұрын
Mjumbe simama na nafasi yako,hongera kwa kumbukumbu
@nikyhassan78294 жыл бұрын
Hongera mama kwa kutujuza yanayo jiri,kwa huakika tunajifunza vingi na kuelimika kupitia kipindi chako....
@queenbaddestcuteemmy54304 жыл бұрын
Mujumbe yuko makini sana nimemupenda Dada gea twaomba part2
@asiakibonge46994 жыл бұрын
Familia nyingine zinatia aibu jamani
@hjhj62304 жыл бұрын
Sanaa
@aliarkam95484 жыл бұрын
Kubwa wala sio ndogo
@sallyhassani81754 жыл бұрын
Jaman janaume zima, halina haya...
@sallyhassani81754 жыл бұрын
Eti mtoto akae hospital miez mitatu, wee umeamua kulea watoto sasaa kwann msimchukue huyo mtoto mchanga? swala la nyumba kumilikiwa ni nani si lako ni la serikari na msimamiz wa mali yupo ni baba
@asiakibonge46994 жыл бұрын
@@sallyhassani8175 ajielewi
@roseallan60164 жыл бұрын
Mbona hata kwa macho tu anaonekana huyu mwongo tamaa mbelee, ajielewi
@lovvy8544 жыл бұрын
Hanaata haya ati kahamia kwa dadaake na mume wa dadake yupo haii duhh laana hizi
@nurafedrick3784 жыл бұрын
Tena Muongo kweli kwann kahamia namkewake kama Siolaana wanayotafuta tena hata maid akae nawatoto eti yy ako hapo
@leokamil62844 жыл бұрын
Huyo Kaka mrushi tu Serekali na majirani kazeni buti wtt watateswa
@ruthimwaikuju42884 жыл бұрын
Dume zima halina akili kabisa!! Mwanaume unaenda kugombea mali ya dadayako ilihali shemeji yako yupo!!! Bro umejidharirisha sana na kuidharirisha familia yako. Huna maaana kabisa ww. Hata mkeo hajui kukishauri?? Hata mamaako tu?? Ukisikia mwanaume bwege ndo ww😏😏😏
@ayshamahariq66654 жыл бұрын
Nlidhan n jiran kumbe n mujumbe
@rukiamshihiri49114 жыл бұрын
Mungu atamsaidia mkongo maskini apate haki yake lnshaallah
@angelgaly20474 жыл бұрын
YA ALLAH nijaliye niwenamajirani kama hawa
@shisabryton81244 жыл бұрын
Kuishi tu vizur na watu ndug
@Quilant7494 жыл бұрын
Wajaluo Kenya hatuwezi kulala kwa nyumba moja na dada yetu nimwiko, nyumba hiyo unalala na bwana alafu ndugu tena aje alale na mke wake tufiaakwa
@Mimi-wf7mb4 жыл бұрын
Halina hata uchungu na msiba. Ananogewa na nyumba. Tuombe Mungu tu asiwadhuru watoto
@leylahley35424 жыл бұрын
Nimempenda mjumbe..yupo kikazi zaidi
@asmanicolaus13284 жыл бұрын
Me mwenyewe nimemuelewa
@AminaLibisa Жыл бұрын
😂😂😂😂kwapa linejaa maji kwa roho mbaya dada yako amefariki hata uzuni huna fyuuuuuu 🤫
@marymary83134 жыл бұрын
Wee ndugu ya marehemu rudi kwako mcongo atafute mtu akae na watoto mpaka arudi ajipange,akuna kitu kizuri kama mzazi, mimi ni kutoka Saud
@annakasala41514 жыл бұрын
Haya mambo yapo hata mimi ninandugu wa mume wangu dhahili hua wanaonesha nakifa leo hata shuka watalitaka. Lakini namimi nimejipanga
@khaithamrubea51094 жыл бұрын
Umejipanga wakat utakua ushatiwa dongo uko kaburin
@ismailyusuph7404 жыл бұрын
Kaka wa Marehemu anasema’ Eti huyu MCONGO Mwenyewe nimemuona mara moja tu’ mwaka 2000 na ngapi sijui ‘ Sasa unajuaje ujenzi wa hapo...? Acha ubwege ww ‘ Tafuta chako Sio kubeba bango kwenye nyumba aliyojengewa dada yako na mwanaume kama ww...! ...NYIE ROHO IMEWATOKA KWA HIYO NYUMBA....!
@tahyajamali62334 жыл бұрын
I like that👌👌
@nyokamdudu98984 жыл бұрын
Mm
@salmaabdallah92714 жыл бұрын
Awa wanawaume wavivu ndio akili zao wanawaza kutumia vya wanaume wenzao tu
@pauloshio75244 жыл бұрын
Ataolewa yeye Sasa
@pauloshio75244 жыл бұрын
@@zuwenahussein4241 halafu limekaa Raha mustarehe kwenye kiti punguani kweli
@zuenakhalfa23864 жыл бұрын
zuwena hussein haoni hata haya
@giftnyakipande12534 жыл бұрын
Mjumbe yupo makini sanaaaa big up.....na majirani safi sanaaaaa
@aishasaid57024 жыл бұрын
Hongereni sana kwa kuwatetea watoto
@angelholsey24844 жыл бұрын
🤣🤣 mjumbe umenichekesha sana et akaanza kufyatuka maneno 🤣🤣
@joycemlwale71214 жыл бұрын
Uwanga sio lazima uwange usiku au umiliki Tunguri..hao wanania mbaya na hao watoto Wa marehemu.inawezekana kabisaaa wamemtoa roho looh wajenge ya kwao.
@osamaalharthy41504 жыл бұрын
Mjumbe hongera upo vizuri.
@sadiaabed66874 жыл бұрын
Huyu jamaa aonekana atawatesa hao watoto nakwanini akae kwa nyumba ya mwanaume mwenziwe wakati asitafute vyake
@khadijahomankweliyamjahaya74214 жыл бұрын
Watapata shida kweli watoto jmn
@verohmchihiyo50294 жыл бұрын
huyo mwanaume anaejifanya kaka wa marehemu hana point mjinga sana, anatakiwa atafute vyake.. Ningemuona anaakili angechukua watoto wa marehemu na kwenda nao kwake kusubir mume wa marehemu atoke karantini.. Serekali hii hakuna kinachodhurumiwa.. Na mke wa huyo kaka ajue kabisa mume wake hana akili yakutafuta vyake, umasikini unawanyemelea.. Mwanaume mzima tafuta chako baba vyakurthi huoni thamani yake, hujui kutafuta vyako mwanaume utaja olewa.. looooh
@khumayraabdulla964 жыл бұрын
Nyie mmezoea wizi tuu hamnaga maleze ya watoto wa wenzenu,
@fatmayusuph64904 жыл бұрын
Uko vzuri mjumbe big up sana
@veronicatweve47864 жыл бұрын
Part "2" Geah tuone mwisho wa hao wanaodai ni ndugu wa marehemu
@mariammadad68044 жыл бұрын
Sasa huko kote nikuogopa matumizi yakujenga au
@ashaali71544 жыл бұрын
@@mariammadad6804 Kuogopa kulipa Kodi ya nyumba Kwa sababu hawa wanaonyesha hawana hata pa kuishi wasingeondoka waliokuwa kwa haraka kiasi hicho. Ni washenzi tu.
@tunkuh6614 жыл бұрын
Ili kuthibitisha km huyu kaka ni tegemezi na nia yake ilijulikana mapema na wanandoa hao ebu tutizame matukio haya; 1. Hana ushirikiano na shemeji yake coz amekiri kuwa amemuona siku moja tu hivyo tuseme hata kujua nani kajenga hapo itakuwa ngumu kwake na km anajua mkongo ndie aliyejenga basi alimchukulia km buzi la dadake, na ndio maana anadai mali ya kumkombolea mtoto kwa sasa... shame on u bro 😏 2. Wakati dadaake hakiwahitaji hospital hata kumuwekea sign ktk docs hawakuwepo alikuwepo msamaria kumuhudumia dadake na hii ni baada ya dadake kukiri kuwa hana ndugu. 3. Baada ya dadake kufariki mumewe akaelekeza nani apewe funguo na si yeye hii inaonesha ni jinsi gani ahaminiki na hakujulikana kwa wanandoa hao. 4. Kabla ya kukubaliana suala la mazishi na kufuatilia maiti hospital kawahi msibani kuomba funguo na kudai hati ... labda akiamini ukongo wa shemejie utamnyima haki ya umiliki coz ya kukosa vibali vya kudumu labda. Amesahau kuwa watu wana akaunti na Mali nje ya nchi zao. 5. Msiba wa ndugu yao ukoo mzima wameshiriki kwa Tsh 120,000/= mengine yote wamewaachia majirani hii inaonyesha hawa ni wahitaji. 6. Bila aibu wameiachia serikali kutunza kichanga cha dada yao kwa kodi zetu eti kifike miezi 3 wakichukue 😏 wanawaterekezaga nani hajui....? wamehamia nyumbani kwa mrithi aliyemuacha hospital bila maziwa🤣🤣🤣🤭 7. Amekiri yeye nae anajenga nyumba yake kwa maana hiyo sasa atakuwa kapanga thus y anang'ang'ania pa dadake😁 ili kukwepa mzigo wa kodi. NB: Duh jamaani tupige kazi Mali za dhuluma huisha bila hbr na kuleta laana kwa vizazi vya mdhulumaji.... watu wanaishi maisha magumu kisa laana za wazazi wao kwa kuendekeza tamaa.
@joynko44504 жыл бұрын
Ee Mungu tuepushe na hv vifo vya uzaz😢😢😢
@evachriss59064 жыл бұрын
Ameen mama weeh maana tunaogop at a kushika mimba
@salmaabdallah92714 жыл бұрын
Aamiin
@lovvy8544 жыл бұрын
Ameen
@lovvy8544 жыл бұрын
@@evachriss5906 usiogope kifo ni njia yetu sote twapita kwaio mungu akuhifadhi
@deboramwaki87724 жыл бұрын
Joy Nko Amen
@mamawawili40694 жыл бұрын
Wallah kunawat wanawekag nadhili mt af wafany yao khaaaaa mung atawallaan
@lizyrobart25562 жыл бұрын
Mjumbe kama mjumbe ❤️🤗
@khdijaahmed84584 жыл бұрын
Ujumbee upo vzuri mashaallh
@gililwise4 жыл бұрын
Waondoke hapo.Wasipoondoka Mungu atawashushia pigo ambalo hawatalisahau maana jasho la mtu haliliwi.
@abdonpius74343 жыл бұрын
Daaaaah!!! Dunia simama nishuke!
@ZabibuMwendaАй бұрын
Eti watoto wake wamezoweana na watoto wangu laanakum ww Mungu akulaani
@ziadaalute68364 жыл бұрын
Hataree hataree,tamaaa mbaya
@marykibwana94134 жыл бұрын
Gear watu wanadhuluma sana,hasa inapofika kuhudumia watoto. Watoto na Mkongo wapate haki yao.Wanataka dezo wakafanye kazi hao watafute vya kwao.
@hemedisalim55224 жыл бұрын
Kwann wang'ang'anie akati nyumba sio Yao si wakajenge yao
@kadhiaally79844 жыл бұрын
Hemedi Salim wapo wengii hao wa dizain iyo
@nellyrhn43494 жыл бұрын
Jamani ata musiangaiki apana iyo anti yanyumba njo kila kitu inayo takiwa kulindwa apo ni anti yanyumba tu ndio kila kitu apo maana watafukuzwa tu ati ndio kila kitu majerani hongereni sana uo ndio ujerani kabisa
@lightnessmungaya32804 жыл бұрын
Yaaani Mambo nimengi nimengi jamani du uuuuh Ila watu tutafute chetu , mtu tafuta chako usitegemee chandugu , yaaani mtu afe ukabebe gondoro uamie kwa dada , mungu awasaidie watoto tu
@mwanahalimamwachili96794 жыл бұрын
Duuh Kizaazaa Jamani, Week 1 Tangu Mumsitiri dada,Leo Mwatawala Kwake.Mlikuwa Mwaomba iwe hivyo .lnna lillahy wa inna illayhi Rajioun.
@al-mamarial-mamari54574 жыл бұрын
Mungu akubariki mjumbe.
@juliethhouseofdesigns1474 жыл бұрын
Yaani ao ndugu wakipewa hati walivyo na roho mbaya wanaweza uza iyo nyumba, ili mradi watoto wa marehemu na mumewe wakose wote. Majirani na wajumbe mbarikiwe na Bwana endelea kuwawekea mkazo uku mkiomba maana ao sio watu
Washsmbaaa sana. Wsondoke wachawii wakubwa. Sheria mkononi
@alhamdulillah57964 жыл бұрын
Ningependa kuona watoto wanakuzwa na bibi yao na dada wa kazi arudi. Lkn dada wa kazi peke yake baba anaeza kukimbia nao wakapoteza upende wa mama mzima.
@kwezifundikira20724 жыл бұрын
Aibuuuuu jaman loooh baba jitu zimaa eti alitakiwa mama kukaa hapa chefuuuu hii ni nyumba ya mkongo na yupo kwann msiifunge
@rukiamohammed50314 жыл бұрын
Natamani huyo marehemu aamke aje aone hili tatizo 😭😭😭
@naomimabula26604 жыл бұрын
Unawezaje kuhama kwa haraka kiasi hicho, na familia yako?????, kwa Nini hukuwachukua hao watoto ukaenda kukaanao kwako
@mozasaid38694 жыл бұрын
Mh!! Mazito! Kufa kupotea jamani!! Marehemu alisema hana ndugu!! Baada ya kufa ndugu wamekuja kuhamia!! Hatari! Wanapenda kitu sio udugu!!!
@annamahenge51624 жыл бұрын
Moza Said kutakua kuna kitu cha siri apo na hao ndugu zake ukute ndio wamempoteza
@sandraasafisana8114 жыл бұрын
Katafute vyakowanamme mwenzio anahangaika naagari kutafuta pesa ww uje uvamie ki ulaini tu jata haya huna.
@marymary83134 жыл бұрын
AMA dada ya marehemu ajukue watoto mpaka mcongo arudi,rakini ndugu pamoja familia yake warudi kwao tafadhali
@fatytz5854 жыл бұрын
Yan huyu ni nyoko anaongea pumba wallah Yan huyu anaonekana anapelekwa kama gar bovu na mkeo Yan serikali ichukuwe hatuwa
@ashasalim45184 жыл бұрын
Umeonaeeehhh!!!!!!!
@rebeccampeta66504 жыл бұрын
natamani kupata majirani kama hawa
@hadijaangura65724 жыл бұрын
ujenge nyumba peke ukifa watu wangangania urithi😢😢yauma sana
@aminakadala59544 жыл бұрын
Duh! Marehemu mngoni mwenzangu
@aishandayishimiye51274 жыл бұрын
Mtihani kunawatu wanafikiri hawatakufaga tamaa tu akilifinyu na kushindwa kutafuta vyakwao uyo wote wizi tu
@morristendwa55004 жыл бұрын
Khaaa anaonekana ana njaaa sana hiyo eti watoto wa marehemu wamemzoea yeye tuufyuu
@tinertv13824 жыл бұрын
Tafuta nyumba yako!unakaa hapo kwako hamuoni aibu
@mamawa3mamawa3214 жыл бұрын
Mungu atuepushe na tamaa
@朱金峰-b1w3 жыл бұрын
Yaani Mwaume unatikisa mguuu kwenye Nyumba ya Mwanaume mwenzio
@farajagordon47244 жыл бұрын
Jamani Mungu nijalie nijenipate majiran wema
@tausingomeni25684 жыл бұрын
Baba mwenye nyumba hayupo mngechukua watt, nyumba ifungwe mpk muhusik aje ndio aje afungue kwake, kila mtu ajitahid atafute vyke, hata roho haziwaum ndugu yao kafa kha
@lubatikoseme66134 жыл бұрын
Usikute wamemuua ndugu yao hili warithi nyumba. Huyo kaka ni mwanga
@selinamruma72303 жыл бұрын
I wish ningefahamu imeishaje hii n watoto wanaendeleaje
@AaAa-kr9nb4 жыл бұрын
sasa nyinyi.ndugu aina gani.jamani.shenzi sana tamaa ndio muko.nayo mungu awalani yani wala hamna huzuni.na marehem wala amuulizi mtoto.alieachwa waama vipi na familia yako dadaako alikua na kazi gani dada enu.mwataka kumdhulumu mkongo tu.kutoka hapo mlikua wapi na uyo mama ambae mwasema ni mama wa marehem ni.mama aina gani.mtoto wake afariki.ghafla alafu.ushike.njia subhanallah wallah hii sio famili kabisa yani awana haya wala vibaya awaoni.waweza vipi uame kwako uje nyumba ya dadaako na bwanaake yuko.hai ata kama akuja kwenu.je nyinyi mlikua mkimtembelea marehem ww mwanaume masuruale mpenda vya bure chunga utaffanywa vibaya mwacheni mkongo na nyumba yake mumepanga kumdhulumu.na mungu ataealanj iyo nyumba mkimdhulumu.itawatoka na.puani pumbavu sana nyinyi msio na haya
@mariamothman74044 жыл бұрын
Daa Geah roho ziliungua na chai yaan kweli wiki 1 tu mushakinukisha
@nelsabugo36134 жыл бұрын
Mali inamfata mwenyemali ... Mungu atawaaibisha wanaodhurum
@bensonmusikoyo49994 жыл бұрын
Don't reap were you didn't sow
@scolasticamwete7544 жыл бұрын
Mjumbe yupo vzr saana
@aminahassan35884 жыл бұрын
Maskini ndugu wanataka kumzulumu mkongo kisa sio mtanzania mungu amsimamie ata km hakutambulishwa mashahidi wapo
@masharubundevu37654 жыл бұрын
Serikali lzm iwasimamie wtt ww unajidai kajenga na dada ako mnafiki wkt majirani wanajuwa alojenga nyumba
@dazuujuma12114 жыл бұрын
Nilikuwa nayaona kwenye runinga tu looooo hasbiya llah
@kadhiaally79844 жыл бұрын
Lo huna haya baba tafuta naww achen dhurma mashetan wakubwa nyie
@kadhiaally79844 жыл бұрын
Mpk anaona aibu kuongea pengn walimuua ndugu yao kisa waamie
@kadhiaally79844 жыл бұрын
Inasikitisha sn wallah dd gea ila dd waokoe hao wtt hao dhurma tu