#majitaglobal

  Рет қаралды 8,017

Majita Global Cleaning And  Beauty Solution

Majita Global Cleaning And Beauty Solution

Күн бұрын

JIFUNZE JINSI YA KUFUA NGUO ZENYE UCHAFU SUGU KWA KUTUMIA SABUNI ZA MAJITA GLOBAL CLEANING AND BEAUTY SOLUTION.
Sabuni za kufua nguo zenye nguo sugu:-
1.LAUNDRY BLEACH:-
MATUMIZI YAKE
√ Laundry bleach (JIK)-imetengenezwa kwa ajili ya kufulia nyuo nyeupe,kuondoa madoa sugu,kuua vidudu na kuacha nguo zako safi.
Laundry bleach ya Majita inaweza kuondoa aina zote za uchafu sugu Kama vile damu,uchafu wa chakula, uchafu wa wino bila kufikicha wala kutumia nguo ni kuloweka nguo yako chafu kwenye kifaa husika Kama Vile Ndoa au beseni ikiwa imewekwa Jik bill kuchanganya na maji au sabuni.acha nguo iyo ndani ya Dakika 15 au zaidi kulingana na uzito wa nguo yako baada ya muda huo toa nguo yako kwenye Jik.
.
.
.
2 LIQUID SOAP (MULTCLEANER)
√ Multclean ni sabuni ya maji iliyotengenezwa kwa ajili ya kufulia nguo,kuoshea vyombo vya nyumbani na kusafisha usafiri mfano Gari, pikipiki N.K
.
.
3 FABRIC SOFTENER ni sabuni ya maji iliyotengenezwa kwa ajili yakusuzia nguo za aina zote na kuzipa nguo zako kuwa na harufu nzuri na kuacha nguo zako Katika muonekano wa asili na kwa watumiaji wa mashine ya kufulia hutumika kwa ajili ya kutoa kutu kwenye mashine za aina zote.
.
TIKISA KABLA YA KUTUMIA / WEKA MBALI NA WATOTO
.
.
.
.
MOROGORO KIHONDA KILIMANJARO
+ 255 677 072 813
+ 255 785 807 987
+255 759 449 277
Instagram: ...
Facebook page: / majita-global-cleaning...
Twitter:"Home / Twitter" mobile.twitter...
E-mail :majitaglobal@gmail.com

Пікірлер: 5
@jumandutu2275
@jumandutu2275 4 жыл бұрын
Huyu mkaka anaetoa maelezo yuko vizur' sanaaaa Yan angekua mwalimu wanafunzi wake wangekua vizur' sanaaa
@jumandutu2275
@jumandutu2275 4 жыл бұрын
Naomben namba zetu ili tuwacliane kuhusu kupata bidhaa zenu
@majitaglobalcleaningandbea4197
@majitaglobalcleaningandbea4197 4 жыл бұрын
Tupigie au tutumie ujumbe kwa no. +255759449277 +255785807967 +255677072813 Karibu sana.
HII HAPA! Dawa KIBOKO Ya Kusafisha MASINKI NA MABOMBA
11:44
Global TV Online
Рет қаралды 12 М.
SABUNI KIBOKO ZA KUFULIA NGUO CHAFU,SUGU
25:46
Majita Global Cleaning And Beauty Solution
Рет қаралды 394
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 49 МЛН
CHUO CHA VETA DAR ES SALAAM UBUNIFU WA MASHINE YA KUFULIA NGUO
2:36
Sabuni ya Kusafisha Masinki Sugu#STAINREMOVER#KIBOKOYAUCHAFUSUGU
4:31
Majita Global Cleaning And Beauty Solution
Рет қаралды 294
#majitaStainremover                                      SAFISHA  SINKI SUGU,TILES  NA STAIN REMOVER
13:06
Majita Global Cleaning And Beauty Solution
Рет қаралды 1,7 М.
SILKY, SMOOTH & CHEAP SHOWER GEL to make at home
32:17
Yummy Life with Irene
Рет қаралды 64 М.
Unaweza Kufua NGUO ngapi ? "Washing Machine" ya 6 KG
3:46
Snashtz
Рет қаралды 2,4 М.