Makange ya kuku | Jinsi yakupika makange ya kuku matamu sana | Rosti la kuku.

  Рет қаралды 134,869

Rukia Laltia

Rukia Laltia

Күн бұрын

Пікірлер: 85
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 5 жыл бұрын
If you would like to watch this video in English press the link ➡️ Chicken stew | How to cook a tasty and thick chicken stew | Kenyan chicken stew . kzbin.info/www/bejne/aam3qHePfLh1g7s
@munahamis1479
@munahamis1479 4 жыл бұрын
Hello sister mm nataka kupika mapange ya kuku mzima wa kisasa Recipes please
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Kwenye picha kuku anaonekana mkubwa kumbe wa kiasi vipande
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Asante 😋
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Tunapenda
@salmasaidi2875
@salmasaidi2875 5 жыл бұрын
Mashaa ALLAH Napia wajua kueleza step by step Hongera yammy.,
@hermandemello2200
@hermandemello2200 3 жыл бұрын
Ty Rukiya for the awesome n lovely chicken Makange I'm pleased and happy watching ur post from Tanga Tanzania Wow.
@emk6360
@emk6360 5 жыл бұрын
Thank you dear. You are such an amazing chef
@PriscsJohn
@PriscsJohn Ай бұрын
Jaman ahsante kwa darasa kipenzi
@allymamu9219
@allymamu9219 5 жыл бұрын
Mimi naipend San saut yk pia so yum😋😋
@kuimwangi3198
@kuimwangi3198 4 жыл бұрын
Asante sana nimesoma jinsi ya kutayarisha kuku leo
@vero57
@vero57 4 жыл бұрын
Sauti yenyewe mashalla , nice one
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 жыл бұрын
Aiiiiiii wedada unaniuwa mwenzio kwa mapishi yako mazuri,
@flora.damaryamila7313
@flora.damaryamila7313 5 жыл бұрын
Asante sana kwa maelezo ya upishi mzuri.
@faazatiali
@faazatiali 5 жыл бұрын
Mashallah mashallah habibty 😍 😋 😋 😋 looks so yummy jamani, must try hun ❤️❤️
@shayograce7193
@shayograce7193 4 жыл бұрын
Nimependa sauti yako dear unaelekeza vizur hongera
@marymathew6529
@marymathew6529 5 жыл бұрын
Your my favorite chef,I love how you cook.
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 5 жыл бұрын
Mary Mathew aww thank you so much ❤️
@joelndowo
@joelndowo 4 жыл бұрын
tatizo hivo viungo vengine ntavitoa wapi sie wa mbeya huku....daah sema unaelekeza vizuri sana dada
@edinayinza1829
@edinayinza1829 3 жыл бұрын
😁😁😁
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 mahiii umegusaaa penyew 😂 ... hata uyolee havipo hivyo viungo
@reinfridalegnard1021
@reinfridalegnard1021 4 ай бұрын
@@esterstaphord5184mbona vipo
@calvinchonjo
@calvinchonjo 9 ай бұрын
I love u Rukia...God bless u
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 9 ай бұрын
🥰🥰🥰Ameen
@mohdhamad6415
@mohdhamad6415 23 күн бұрын
Jamani hvo viungo mtuambie kwa kiswahil
@SuzanNgassa
@SuzanNgassa 10 ай бұрын
Nimeelewa dada nilitamani sana kujua hapo sawa
@azzaalmaamry76
@azzaalmaamry76 5 жыл бұрын
MaashaaAllah habibty
@taucrasheed4942
@taucrasheed4942 5 жыл бұрын
Ma sha Allah yummy yummy
@RAMADHANKHAMIS
@RAMADHANKHAMIS 5 жыл бұрын
Mapishi mazuri ila Royco, Jumbo na Tomatoe ya mkebe ni bidhaa vya kemikali nyingi - vinachangia pakubwa katika kuenea kwa mangonjwa kama vile kansa.
@missykayla2460
@missykayla2460 5 жыл бұрын
how about curry powder?
@RAMADHANKHAMIS
@RAMADHANKHAMIS 5 жыл бұрын
@@missykayla2460 Ideally Curry Powder is a mix of natural herbs
@RAMADHANKHAMIS
@RAMADHANKHAMIS 5 жыл бұрын
@@missykayla2460 Ideally Curry Powder is an assortment of herbs originally from , very good ...
@leaherasto929
@leaherasto929 8 ай бұрын
Point kubwa sana
@judithbujiku3921
@judithbujiku3921 Ай бұрын
Kumbe...je tutumie Nini kama mbadala?
@aishaaisha7032
@aishaaisha7032 5 жыл бұрын
Masha Allah nice
@neelam507
@neelam507 5 жыл бұрын
👌👌👌👌👌what is Royco?
@athmankambi937
@athmankambi937 5 жыл бұрын
Safi sana kazi nzuli
@jacintawanza5007
@jacintawanza5007 Жыл бұрын
Asante sana
@AliyeTwaha
@AliyeTwaha 4 ай бұрын
Mm nimepnd saut 😂😂😂😂😂
@rukayasalafiyat5230
@rukayasalafiyat5230 5 жыл бұрын
MAA SHAA ALLAH
@masoudkhamis9580
@masoudkhamis9580 5 жыл бұрын
Shukran habbty
@MWALIMUMBUNIFU89
@MWALIMUMBUNIFU89 4 жыл бұрын
Ukipika kwa muda mrefu hizo vegetables, vitamins na enzymes zilizomo humo ndani yake si zinaharibika?
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
Looks delish😋😋😋
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 5 жыл бұрын
B's Magic Kitchen thank you so much ❤️
@MsBupe
@MsBupe 5 жыл бұрын
@@RukiaLaltia you're welcome dear😘❤
@kundigobo7266
@kundigobo7266 3 жыл бұрын
Hayo siyo makange bana,ni rosti
@elizabethejohn8127
@elizabethejohn8127 4 жыл бұрын
Nimependa hingeraa
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 5 жыл бұрын
Sauti yako nzuri Mungu amekujalia, je unaweza kuimba kufanya muzik ?
@leilamohamed7445
@leilamohamed7445 5 жыл бұрын
Mashallah. Bado tanduri
@akinyiokeyo4618
@akinyiokeyo4618 4 жыл бұрын
Mbona hajatumia tomato fresh?
@neema_mollel
@neema_mollel 5 жыл бұрын
Asante dear
@alvismumkaranja3360
@alvismumkaranja3360 5 жыл бұрын
Soo yummy
@AshuraMeshak
@AshuraMeshak 4 ай бұрын
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 жыл бұрын
Sauti tu mie
@aimeebanza9893
@aimeebanza9893 5 жыл бұрын
Nice
@Misskinyua.
@Misskinyua. 5 жыл бұрын
Yummy
@pendondossy2158
@pendondossy2158 4 жыл бұрын
Makinika nami mpk mwisho napenda
@rukiabaybe8594
@rukiabaybe8594 4 жыл бұрын
Mi kila siku najiuliza makange nini jaman kumbe nii ivyo
@fetlisheshenry2510
@fetlisheshenry2510 3 жыл бұрын
Jumbo ni nini
@happysamweli4438
@happysamweli4438 4 жыл бұрын
Naweza changanya ndiz zilizokatwa kma chips na kuacha dk 1au nitapoteza ladha my
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Ndio waeza
@happysamweli4438
@happysamweli4438 4 жыл бұрын
@@RukiaLaltia asante dear
@foztz2249
@foztz2249 4 жыл бұрын
Naweza kutumia nyanya fresh instead of nyanya ya kopo katika hiyo recipe yako?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 4 жыл бұрын
Waeza
@marymathew6529
@marymathew6529 5 жыл бұрын
Je siwezi tumia nyanya ya kawaida tofauti na nyanya ya mkebe?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 5 жыл бұрын
Unaweza dear isage kwa blender ndio uxuri
@mwendwabbc9183
@mwendwabbc9183 2 жыл бұрын
Pilipili manga yaitwa aje na kizungu
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 2 жыл бұрын
Black peper...
@marryyohana89
@marryyohana89 4 жыл бұрын
Nimeipenda bule
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 4 жыл бұрын
Zaman nilikuwa napenda viive Sana kalot hila wanasema za makange Ata za kawaida hazitakiw kuiva Sana
@loreenodongo9930
@loreenodongo9930 5 жыл бұрын
Where can i buy the greated ginger plus garlic?
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 5 жыл бұрын
Supermarkt
@konsolatatutu423
@konsolatatutu423 5 жыл бұрын
😋😋👍
@glorylema5652
@glorylema5652 5 жыл бұрын
Dada naomba niwe muonjaj
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 5 жыл бұрын
Glory Lema karibu sana 😂😂 dada sema uko mbali
@glorylema5652
@glorylema5652 5 жыл бұрын
@@RukiaLaltia ntakuja tu mbali ni mbinguni jaman
@leonialymo8286
@leonialymo8286 5 жыл бұрын
Dada mambo gani hayo yakunitoa mate kwenye mtandao. You are great my dear.
@AmonAlbert-jk7gu
@AmonAlbert-jk7gu Жыл бұрын
Y
@TeamKRX
@TeamKRX 5 жыл бұрын
Si nimchuzi tu
@ashuramrisho9828
@ashuramrisho9828 5 жыл бұрын
Naomba namba yako ya wasap
@faazatiali
@faazatiali 5 жыл бұрын
Mashallah mashallah habibty 😍 😋 😋 😋 looks so yummy jamani, must try hun ❤️❤️
@RukiaLaltia
@RukiaLaltia 5 жыл бұрын
Omg it’s really really tasty love 😋😋😋👌 im just making u to salivate 🙈🙈
@Amneamne-qi2du
@Amneamne-qi2du 4 жыл бұрын
Masha'allah
@al-nnisaamuhaajiriin2101
@al-nnisaamuhaajiriin2101 4 жыл бұрын
Nice
makange ya samaki (sato) ni mazuri sana😋
4:56
homecookingTz
Рет қаралды 9 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
JINSI YA KUPIKA MAKANGE YA KUKU WA KISASA
7:52
MAPISHI FOOD LIFE
Рет қаралды 18 М.
Makange ya nyama | Jinsi yakupika nyama yakukaanga.
5:24
Rukia Laltia
Рет қаралды 251 М.
MIMI NI MGONJWA NAISHI KWA MASHARTI MAGUMU SANA   - MBOSSO
6:18
Wasafi Media
Рет қаралды 165 М.
Jinsi ya kupika makange ya kuku matamu sana
4:45
farwat's kitchen
Рет қаралды 151 М.
Upishi wa changamoto ya kuku.
11:53
ITV Tanzania
Рет қаралды 5 М.
JINSI YA KUPIKA MAKANGE YA KUKU WA KIENYEJI MATAMU
5:16
Kungwi Mama Mjengo
Рет қаралды 2,3 М.
Kuku Makange.
4:34
Malkia Foods
Рет қаралды 13 М.
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН