Asalaam aleikum sheikh ninashukuru sana kwa kazi uifanyayo ya kuhuwisha tarekh za mawalii wa mwenyezimungu, allah swt akulipe badali inshallah, pia ninaomba unifahamishe tarekh za masheikh hawa sheikh shauri bin haj al shiraz na sheikh abdul nuur bin mjanakheir pamoja sayyid abdul nuur al amawy wote wamezikwa huko zanzibar
Allahumma yarhamhu. Siku ya maziko yake jamaa mmoja kwa jina nimelihifadhi alisikikana akisema "tazama umma wa watu hawa.hata Karume akifa hatopata watu kama hawa". Aliitwa pembezoni na usalama na hajaonekana mpaka sasa
@MohamedMgwami-nw6bl Жыл бұрын
Hakika sheikh suleiman bin Muhammad bin suleiman al ba alawi huyu alikuwa ni mwanazuoni mkubwa na mchamungu mkubwa sana,alhamdulillah makarama yake bado yanaonekana hadi hivi Leo,allah swt awarahamu mabwana wakubwa hawa waliojitolea kuwaelimisha watu mbalimbali nje na ndani ya zanzibar amiin
@muthannajuma6896 Жыл бұрын
Masha Allah.
@SalmaMohd-u7l6 ай бұрын
Mashallwa Mashallwa
@bramolakat44425 жыл бұрын
jazaak Allah kher,,,Sheikh
@sleyumal-gheithy99565 жыл бұрын
Walekumu salamu nitafanya kuhusu masahaba inshalla uko wapi
@dhiabmohammed42385 жыл бұрын
Mashallah
@أمطارقالبحرية2 жыл бұрын
شكرا جزيلا و بارك الله فيك
@abamohamed70923 жыл бұрын
Hakika Al marhum sheikh Suleiman bin Muhammad bin Suleiman bin Muhammad Al alawy ,Mimi binafsi nimeyashuhudia makarama yke ,ikiwa tayari yeye ameshafariki Allah swt amrahamu sheikh wetu huyu amiin
@abdulazizal-mazroui33634 жыл бұрын
Allah awaheremu
@salmaomary21005 жыл бұрын
Mashaallah
@asiahaji50814 жыл бұрын
Mfalme wa Majini
@khamisrashid46465 жыл бұрын
endelea kutupa raha km hizo
@rajabungatanda37495 жыл бұрын
اللهم إغفرله ورحمه وسكنه في الجنة Jee nasi tunampango gani Wakunyenyekea kwa mola wetu Ili tupate daraja hizi ? Mana sheikh Leo tunamkumbuka Kwa kheri kutokana na kujipendekeza kwa mola wake