Poleni sana wana familia kwa kumpoteza mpendwa wenu, Mungu awatie nguvu kwenye kipindi hiki kigumu kwenu na Mungu akampe makazi mema marehemu, pole sana sana makhoha na wana vioja mahakani ,mmeonesha ushirikiano sana kumfariji mwenzenu alieondokewa na kipenzi mke wake.mimi ni shabiki sana wa vioja.nikiwa Switzerland. 13.06.24.
@stellahokworo39474 ай бұрын
Wana vioja mahakamani asante sana kwa kusimama na ndugu yetu makhoha wakati huu mgumu mungu awabariki
@naomieogoti17604 ай бұрын
Woiye pole ndugu yetu mungu akutie nguvu wakati huu not easy at all
@easternature87234 ай бұрын
May God give our brother makokha strength during this trying time.
@edwardomondi34604 ай бұрын
Poleni sana kwa kumpoteza mpendwa wenu hasua mumewe Kaka Makhoha. Jitie Nguvu kwa maana Mungu atakulinda milele na pia yeye anayejua mawazo anayokuwazia na sio mawazo mabaya ila ni mawazo mazuri katika maishani mwako.
@veronicanjoki28004 ай бұрын
So so sad to lose a mother/wife, but our God knows more. Take heart our be loved Makhoha and the entire family. May God comfort you all and give you kukumbali.poleni saana
@JamesPasherio4 ай бұрын
God have mercy on this family...so bro you have loved your wife
@EmeldaOntita4 ай бұрын
Pole sana makokha mungu akutie ngufu wakati huu mugumu we loved her but god loved her more R.I.P mama you are a hero
@josephkirui45043 ай бұрын
Poleni sana makhokha and family
@ErickmuereGospelArtist4 ай бұрын
Pole sana sana sir makokha jitie nguvu sir pamoja na familia wote poleni sana
@chieflewy91874 ай бұрын
Pole
@stellahokworo39474 ай бұрын
Hoyee 😢😢😢😢pole sana makhoha may she Rip 😢😢😢my condolences to the entire family and the community at large 😢😢
@EstherAnyona-wx1os3 ай бұрын
Pole sana kwa familia
@jackylineaseyo94734 ай бұрын
Very painful, take heart Mr Makokha and family
@WinnyLivoi4 ай бұрын
Pastor anasoma maombi kwa simu gai
@estherpeter52114 ай бұрын
Si ni maandiko anasoma 😅
@joseahmosoin92244 ай бұрын
Pole sana Makhoha and the entire family may God of heaven comfort you and her soul rest in peace.
@beatricepallangyo28214 ай бұрын
Pole sana Makokhaa!!!
@carolineachieng46963 ай бұрын
Poleni sana familia ya Makhoha.. may Mama Purity's soul rest in peace 😢
@JamesirunguKaribe3 ай бұрын
Pole sana makokha
@judithnyabuto56863 ай бұрын
Pole ndugu yangu mungu yupo nanyi 😢😢😢
@Chrisantus-rh7mo4 ай бұрын
Poleni sana familia yote ya makokha mungu ako na nyinyi
@JoyceKathure-i6o3 ай бұрын
So sad,,may God give you peace
@BrianNdalo-o6b4 ай бұрын
Poleni my brother
@CelestineEgo4 ай бұрын
Pole sana ndugu ndugu makhoha
@unclemiltoncomedian4 ай бұрын
Poleni sana wapendwa mungu awape nguvu
@esthernabangi95774 ай бұрын
Kifo n kitu mbya l pass this situation 2020 dec date 19 us we burial our mom inauma😭😭😭
@BonfaceOgwe-wq9ny4 ай бұрын
Glory to almighty 🙏
@wycliffosinda87904 ай бұрын
May the lord grant you peace
@clerenasimiyuwanyonyi1924 ай бұрын
After loosing my mother and dad i realize the word poleni,jitie nguvu and others are so painfull
@carolmugo86244 ай бұрын
Pole to the family
@josephommuli11893 ай бұрын
Mluhya mjinga anazinga bb makaburini Kwani hana kwao
@HusseinIdachi4 ай бұрын
Inna lillahi wa Inna ileyhi raajiuun 😭😭😭 my heartfelt condolences to the family of Mr Makokha at this hard time may Allah give them strength
@princerick59004 ай бұрын
Makiwa kwa familia mungu awapee amani wakati huu mgumu
@DyeVee4 ай бұрын
pole sana MUNGU akutiye nguvu
@judithjuma61024 ай бұрын
Poleni sana. Mungu awatie nguvu
@jacklineosite80064 ай бұрын
Makiwa kwa family Mungu na awatie nguvu
@janerosemutuku79924 ай бұрын
Pole Sana Kwa familia
@connieakinyi78153 ай бұрын
Pole sana 😢😢😢😢 makokha
@KennethKuria-bt9os4 ай бұрын
May the good Lord give you peace
@stansiauisso54414 ай бұрын
Poleni wapendwa
@PeterAmunga-gu1hf4 ай бұрын
Poleni sana familia
@minnienjeri87094 ай бұрын
Pole sana makoha
@EvelyneShadrack4 ай бұрын
Mungu awatie nguvu poleni sana
@ChristineShabanji3 ай бұрын
Poleni sana
@wambuimaina32034 ай бұрын
May God comort you
@benardmutoto69174 ай бұрын
Ndugu makokha mungu awe nanyi
@MaxwelImbache4 ай бұрын
May her soul RIP...pole Sana makokha
@TrizahLydia4 ай бұрын
Mungu awatie nguvu poleni
@DavidOgutu-t1m4 ай бұрын
All shall be well. Take heart
@consolatandunge24774 ай бұрын
Woi pole dungu mungu akutie nguvu kwa kweli ulimpenda mke wako ... Jipe moyo
@ivyonejames34684 ай бұрын
😢😢😢😢the. Painful part. Ever
@Rose-vo8xd4 ай бұрын
Poleni wanafamilia
@JESCAMUHANJI4 ай бұрын
I feel that pain,poleni sana
@euniceogonya56973 ай бұрын
It is well it is well
@RitaDennis-q8t3 ай бұрын
Rest well,,pole sana Makoha
@joelimujaro25423 ай бұрын
Gaii huyu pastor anasoma maombi kwa simu
@annevilembwa49504 ай бұрын
Wa Kenya mtu akipatwa na msiba ,si wakati wa kumlaumu
@GGHH-fu5vs4 ай бұрын
Take heart bro
@rozzybaraka26264 ай бұрын
Poleni
@rodahnekesa99974 ай бұрын
Pole.xn.kwa.familia
@mimsbaibe6mimsgul7374 ай бұрын
My condolences to the family and friends
@rosejepkosei37934 ай бұрын
Mungu awafariji
@annevilembwa49504 ай бұрын
Pole mtiwe nguvu na mbingu
@sakinasalman50144 ай бұрын
Polen sana mungu awatie nguvu
@alexbibiana75184 ай бұрын
Pole san mundu wefwe naysayers akuride
@rachealnyambura61514 ай бұрын
😢😢😢my condolences to the family.
@nanciemungai38214 ай бұрын
pole for the loss its well R.i.p 🕊️
@connieakinyi78153 ай бұрын
Mm nko kisumu
@danielokiya4 ай бұрын
Surprised! Mbona wife hakupelekwa western!
@musaudaniel3 ай бұрын
Wah...Lngata tena ...terrible
@NicholasTabuche4 ай бұрын
It is well
@PolyneNgati4 ай бұрын
Pole waingo
@collinceoloo-k5i3 ай бұрын
Alipoteza wife ama
@JoyceChepkoech-ni2zy4 ай бұрын
Condolence to the family
@KevinMusonye-wq6qc4 ай бұрын
May her soul rest in peace
@Hylinekemunto-j1m4 ай бұрын
Pole sana 😢😢😢😢
@Maxmobi4 ай бұрын
Langata cemetery
@mebombayagi49894 ай бұрын
Sorry for the family
@FlorenceMusembi-u6u4 ай бұрын
Trans late with english not kiswahili
@dorcaswekesa33004 ай бұрын
Rest in peace
@carolineotinga-p5e4 ай бұрын
😢😢😢😢
@PatrickKavulavu4 ай бұрын
Kwani makokha alizika bibi langata kwa makuburi hakumpeleka western