Wewe makonda, na greyson msigwa nawakubali sana watanzania wenzangu mungu hawabariki sana!
@VolvoMwamakula-ci2we23 сағат бұрын
2025 ccm acheni ujinga Makonda mpeni urais anaweza sn uyu jamaa mnamzibia tu ccm Makonda ni zaidi ya viongozi 100000 kwa mtu 1 mpisheni Makonda awe ndo rais wa Tanzania ili amani itawale ccm Makonda anatufaa sn 2025 ivo tu❤
@osaruninaikara9143Күн бұрын
Kweli siku sii nyingi utakua nabii ubarikiwe sana
@annamwakibinga52721 сағат бұрын
Mungu akubariki sana Makonda dah yaani nashindwa nisemeje.
@AboubakarMalandi6 сағат бұрын
Makonda hana mpinzani ktk siasa za Bongo..Hongera sana Kwa kuiteka Arusha
@ShadiasemdamiКүн бұрын
Ubarikiwe kaka mungu akurinde
@ErickMandala-j7jКүн бұрын
Mwenyez mungu akawalinde na mabaya kwenye kufunga na kuanza mwaka mpya wapendwa watu wa mungu
@YusuphMwangobolaКүн бұрын
Mwingine huku ana fanya mkesha wa kunywa pombe na uzinzi.
@kadlovetv17 сағат бұрын
Jembe
@RaphaelMahir3 сағат бұрын
Nilikutana na makonda malaika beach resort mwanza, kiukweli sikujua Kama ni binadamu wa kipekee kiasi hiki,mungu akupe maisha marefu
@PastorErickjmiКүн бұрын
Mungu akubariki makonda tunakuombea sana
@KashindyeKalugulaКүн бұрын
Mungu akulinde kaka makonda ili uweze keta mazuri zaidi
@emmaculategideon4 сағат бұрын
Great man of God
@johannesishengoma1232Күн бұрын
Ama kweli Makonda ni kichwa chenye kipaji na ubunifu. Mwenyezi Mungu akusimamie na hakuhepushe na hila za wahuni wasiyopenda amani na maendeleo
@esthersissamo11208 сағат бұрын
Haleluya Mungu akulinde na mabaya yote uwe na afya njema na maisha marefu mkuu wetu
@joshuaabell2033Күн бұрын
Ila ipo hivi kama kiongozi mkubwa wa eneo ana hofu ya Mungu ilo eneo lazma liwe ba baraka za Mungu ulimwengu wetu asilimia 100 ni wa kirohooo
@ViolethMazengo-nd8cyКүн бұрын
Ametembea na watu wa Arusha amewasoma vizri wanachotaka siunajua watu wa kaskazin wanapenda nn
@SuleymanMadahaКүн бұрын
Namuombyaajekuwa rasiwa tz
@MasoudMakoe18 сағат бұрын
Natamani 2025 agombee tu u rais basi
@Kingstonbagamoyo13 сағат бұрын
Makonda nuksi kama chunusi
@Vuvuzelaz1Күн бұрын
Kaka un kipaji na Mungu akutunze
@zephamandia3958Күн бұрын
Sengo big up.
@patrickymkoma355816 сағат бұрын
Makonda hana Mpinzani
@patrickymkoma355816 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Carolina-sm5ztКүн бұрын
Mungu akulinde na akupe umri mrefu ili uendelee kulitumikia Taifa lako
@FelisterMichael-r8tКүн бұрын
Kiongozi wa kwanza kuku bari uchawi
@SuleymanMadahaКүн бұрын
Huyu nirasiwa arusha
@jumambarale699Күн бұрын
Ila huyu mwamba acheni tu anajua anachokifanya
@CopperBeltКүн бұрын
Makonda Tanzania makabila yote dini zote MUNGU aibariki Tanzania ni amani ya Tanzania kwakeli ni elimu tosha kwa vijana wengine
@lugelosanga5798Күн бұрын
Anajua yeye anachokitafutaaa huyu mwamba dodo litamdondokea ngoja watelezeee