Hallelujah mtumishi makonda ,damu ya Yesu ikufunike na kila ubaya utawarudia wenyewe kwa Jina la Yesu.
@mako3316 ай бұрын
Hii style ya Magufuli/Makonda ni nzuri, ngoja muone Arusha itanyooka ndani ya muda mfupi,
@MrTop-wj7no6 ай бұрын
Fasta kabisa
@SanareLaizer-en5it6 ай бұрын
Huyu mheshimiwa ameagiswa na mungu moja Kwa moja hakika ataishi milele
@MrTop-wj7no6 ай бұрын
Africa shida sana
@hsd86156 ай бұрын
Good sound hongera jambo tv
@vickykwembe58426 ай бұрын
Ni kweli Muheshimiwa hata wananchi pia ni waharibifu.tunawekewa taa za barabbarani wanaiba na kuharibu,maji wanakata mabomba wamasai ,hilo ni kweli naomba liwekewe mkazo,kwamba ninyi mmetuletea na sisi tutunze
@MrTop-wj7no6 ай бұрын
Kabisa
@ZaycargoMovers-vx6lf6 ай бұрын
Wezi watupu. Takukuru ifanye kazi yake😢
@vickykwembe58426 ай бұрын
Tunaomba stand mh hatuna stand, magari yanashusha abiria popote maana hamna stendi kabisa Arusha
@MrTop-wj7no6 ай бұрын
Kweli
@anaabsaid35446 ай бұрын
Huyo dada hafai kabisa tena ni mwizi na wako wengine yuma yake
@saidnoumani72446 ай бұрын
Kwa nini mwalimu awe msimamizi kwa ujenzi na kulipa...yeye ni mwalimu by professional!
@georgepeter96656 ай бұрын
Mikoa yote kazi ya uongo ni ni kawaida
@boscomwangosi10426 ай бұрын
Wanapiga mpaka wanapitiliza.
@ZaycargoMovers-vx6lf6 ай бұрын
😂😂😂😂
@MaryShayo-tg4vq6 ай бұрын
Mweshimiwa njoo Kilimanjaro hata mwezituu utuongonze tutashikur