MAKONDA Azindua WIMBO wa DIAMOND l Kuna UGOMVI wa DIAMOND na RAYVANY l Amtaja MBOSSO, ZUCHU!

  Рет қаралды 240,893

Global TV  Online

Global TV Online

4 жыл бұрын

MAKONDA AZINDUA WIMBO WA DIAMOND l KUNA UGOMVI WA DIAMOND NA RAYVANY l AMTAJA MBOSSO, ZUCHU!
Katika Kongamano la UVCCM kwa vijana wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ameutambulisha wimbo mpya wa Diamond akimsifia Rais Magufuli na Kazi zake ambazo amezifanya katika Serikali ya Awamu ya Tano....
Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 178
@jumaamanandi4329
@jumaamanandi4329 4 жыл бұрын
Siiiimbaaaaa mtu Mbaya sana dah 👏👏
@hadijaalpha7547
@hadijaalpha7547 4 жыл бұрын
My President baba Lao 👍❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@abbykruger1625
@abbykruger1625 4 жыл бұрын
Nataka kuona 🐘🐘🐘na Diamond platinum kwenye jukwaa moja special for mh.J.P.makufuri...
@kingwigo2961
@kingwigo2961 4 жыл бұрын
Utamwona tuu ndio misimu yaO
@jacklinedenis9621
@jacklinedenis9621 4 жыл бұрын
Piga keleee CCM
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 4 жыл бұрын
Nyimboo mbovuuu na huyu makonda anajitahidi kumuekaa kando harmonizeee .....aisee noma sana dah!
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 4 жыл бұрын
Makonda sifa za uongozii hana anachagua upandee yaniii kwa inavyoonekana anamkandamiza konde wazi waz aiseee kama mim harmo naachana na miziki...huyu mpuuz anashirikiana na wasaf kumshusha konde ......sema mungu yu pamoja nawe konde🐘🙏🙏🙏🙏🙏
@yusrasalmin9563
@yusrasalmin9563 4 жыл бұрын
Mwasi Mbega ni mlezi wa WCB
@mussajuma1736
@mussajuma1736 4 жыл бұрын
Bgp makonda mdee asije akajixifia rami ya goba wakati yy alikua anatoka nje.
@omarymnuru8746
@omarymnuru8746 4 жыл бұрын
Pierre kapiga kofia utasema kanda bongoman
@robertjagad5826
@robertjagad5826 4 жыл бұрын
Nazani nyimbo ya Zuchu kwenye hizi nyimbo za chama ndo Anthem(wimbo wa taifa) big up Zuchu.
@zakayomsaki5791
@zakayomsaki5791 4 жыл бұрын
Zuchu kamaliza. Nyimbo bora mno ile. Kuanzia mahadhi,ujumbe mpaka kila kitu
@robertjagad5826
@robertjagad5826 4 жыл бұрын
@@zakayomsaki5791 sana kamaliza yaani huo wimbo ni mzuri sana na umekaa kikampeni kweli kweli kama ule wimbo tu wa Komba wacha wasome namba
@victorjunior2073
@victorjunior2073 4 жыл бұрын
Piere liquid 1:57
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 жыл бұрын
Kumbe Wasanii wote ni CCM 🔥🔥🔥
@bodhibriar7401
@bodhibriar7401 2 жыл бұрын
I guess im asking randomly but does anybody know of a tool to get back into an Instagram account..? I somehow forgot my login password. I would appreciate any help you can give me
@omarytofiki2099
@omarytofiki2099 4 жыл бұрын
Makonda nakukubali,we ni kiongozi bora,dar umeiboresha
@vanessajames1567
@vanessajames1567 4 жыл бұрын
Baba lao Diamond your the best
@elishakilasi8714
@elishakilasi8714 4 жыл бұрын
Makonda-king
@jaxmnandumbi7403
@jaxmnandumbi7403 4 жыл бұрын
2:38 Alomuona piere liquid nimjue hapa
@mohamedsalum9460
@mohamedsalum9460 4 жыл бұрын
Hivi anaetoa post rayvanny Hana ugomvi na simbaa
@suleimayahya2099
@suleimayahya2099 4 жыл бұрын
Mwenzio hana kazi uko
@kenybenjiz7850
@kenybenjiz7850 4 жыл бұрын
Duh wasanii wote naona ni ccm Safi
@kingwigo2961
@kingwigo2961 4 жыл бұрын
Sio wotee baadhi
@ummuadam2423
@ummuadam2423 4 жыл бұрын
Kma umemuona Pierre nipe like😀😀😀
@deotv503
@deotv503 4 жыл бұрын
Nilidhani nmemuonaaa pekee yanguuu
@emmanuelchacha1216
@emmanuelchacha1216 4 жыл бұрын
umeniwahi comment yangu wewe
@teetharrangement7071
@teetharrangement7071 4 жыл бұрын
nhgffhsiiaooxokjhhhhjiiuiiiiooopoooooooooooiiiiiiooo
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 4 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 4 жыл бұрын
Nimemuona na lile kofia lake
@michaelndilima6210
@michaelndilima6210 4 жыл бұрын
Safi sana.
@vitusemmanuel9380
@vitusemmanuel9380 4 жыл бұрын
Sawa
@comrademlewaisavile336
@comrademlewaisavile336 4 жыл бұрын
Nakubal mr makonda
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 4 жыл бұрын
❤❤❤❤
@msheremasoud9527
@msheremasoud9527 4 жыл бұрын
Mm nakua ccm leo kwa ajili ya diamond tu nimeamua
@tariqoman8568
@tariqoman8568 4 жыл бұрын
Kwa nin yeye
@mdomani2404
@mdomani2404 4 жыл бұрын
😀
@boysulemani5647
@boysulemani5647 4 жыл бұрын
Aliemuona piere aweke link hp
@mkuunakukbalsanmboya9348
@mkuunakukbalsanmboya9348 4 жыл бұрын
Bado we kesho utaondka
@zabibumahango3785
@zabibumahango3785 4 жыл бұрын
@@mkuunakukbalsanmboya9348 hhhhhhuu le Huguette je yvvfgi je vous souhaite Just tuo
@magejuliani5293
@magejuliani5293 4 жыл бұрын
Magufuli Baba laooo
@ngolerashidi9974
@ngolerashidi9974 4 жыл бұрын
Noted
@mozasalum9715
@mozasalum9715 4 жыл бұрын
Piga kazi
@swissvany55
@swissvany55 4 жыл бұрын
I like this imefikia
@mpmsafitz7901
@mpmsafitz7901 4 жыл бұрын
Kama unaipenda CCM like nyingi kwake
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Makondaaaaaaaa
@kingwigo2961
@kingwigo2961 4 жыл бұрын
Pongezi Saana kwa MH. POLEPOLE. MOND HAWAIKOSEA
@mamadaya7512
@mamadaya7512 4 жыл бұрын
Makonda uko vizuri
@nestor384
@nestor384 4 жыл бұрын
Mondi bwana creative and opportunistic
@kirupyseleman582
@kirupyseleman582 4 жыл бұрын
Au sio
@angelinamkingi8164
@angelinamkingi8164 4 жыл бұрын
Baba laooooooo!
@yassirjailan2720
@yassirjailan2720 4 жыл бұрын
Wana wa CCM piga like kwangu hapo tupo pamoja ✊
@rujainahisihaka2279
@rujainahisihaka2279 4 жыл бұрын
Nimekubar
@stanleymwakasala3729
@stanleymwakasala3729 4 жыл бұрын
Inapendeza
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Mbowe unachelewa, unaona hizo kampeni wenzako wameanza!!
@hamisimussa2228
@hamisimussa2228 4 жыл бұрын
Yeye htaanza na Nani au htaonyesha falu john
@hamiskengwa5869
@hamiskengwa5869 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣(+_+)(+_+)🤣🤣🤣🤣 dah
@omarimukungwa2510
@omarimukungwa2510 4 жыл бұрын
Na yeye ameanza ujaona faru John kamvunja mguu
@jozzsimbatv1199
@jozzsimbatv1199 4 жыл бұрын
H
@bakarimashi2299
@bakarimashi2299 4 жыл бұрын
Mamaaa nakufaaaa piere nae ni ccm 🤣
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Ni kote kote
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Daimond
@asmaally3457
@asmaally3457 4 жыл бұрын
Kwa bidhaa maridadi na uhakika karibu Asma cosmetics, Kwa matatizo ya michirizi, makovu, nyama uzembe, kuongeza shape, hips,miguu,nguvu za kiume, kuwa mweupe, n.k Dawa zipo, karibu ofisini, SMS/whatsap 0693_330284
@simonlabia3877
@simonlabia3877 4 жыл бұрын
Mguu ndani na nje! "mara mtu wa maombi mara tena madisko.
@salhamrishoaish9292
@salhamrishoaish9292 4 жыл бұрын
Ccm oyeeeeeeeeh
@devothaeustace7051
@devothaeustace7051 4 жыл бұрын
😍
@aronkinyaga3700
@aronkinyaga3700 4 жыл бұрын
Kweli kabisa
@halimambwego3520
@halimambwego3520 4 жыл бұрын
My president baba laooooo
@manmachomaasai1095
@manmachomaasai1095 4 жыл бұрын
dar
@jumakillo3280
@jumakillo3280 4 жыл бұрын
Piereee nimemuona
@andsonmwakomana2278
@andsonmwakomana2278 4 жыл бұрын
Kaegan
@abelygeorge3892
@abelygeorge3892 4 жыл бұрын
Hapo saw makonda.
@yirgayemyirgah7820
@yirgayemyirgah7820 4 жыл бұрын
Harmonize anfnya nn tena uko mwishon au mntka tu ugomvi
@rahimmjawir7909
@rahimmjawir7909 4 жыл бұрын
Mondi alijua kua hii nyimbo baba lao inakujaa kuit Tena.
@mevakyavaleri6264
@mevakyavaleri6264 4 жыл бұрын
Wheeeeghh
@emmanueldaud8569
@emmanueldaud8569 4 жыл бұрын
Daah kweli simbaa baba lao
@leahjaphet4564
@leahjaphet4564 4 жыл бұрын
Lea
@edsonedward4579
@edsonedward4579 4 жыл бұрын
Chadema hawategemei wasanii kwenye kampeni zao wananchi wanakuja kwa mapenzi yao
@saidsebarua556
@saidsebarua556 4 жыл бұрын
Sawa mkuku wa mkoa wetu wa drs
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 4 жыл бұрын
Anajisifia kuzindua nyimbo badala ya sector za maendeleo.. na wahemewa wakuu wanapiga makofi kushangiria.. Mungu ibariki Tanzania.. tukutane October 2020
@realremih
@realremih 4 жыл бұрын
piere liquid 😂😂😂 wakenya wenye tunamjuwa huyu mtanzania mnipe likes👊
@josephlotto996
@josephlotto996 4 жыл бұрын
Kwa baba lao chadema hawatoboi
@saimonjoachim6817
@saimonjoachim6817 4 жыл бұрын
Duh goma kali
@erickchitumbi1308
@erickchitumbi1308 4 жыл бұрын
Mond siyo wa kipolepole
@angelinamkingi8164
@angelinamkingi8164 4 жыл бұрын
Watu nyoooooooooomi!!!
@destinyson9709
@destinyson9709 4 жыл бұрын
Duuuuuhhh liqued upo
@selemanikilindo3206
@selemanikilindo3206 4 жыл бұрын
pierre ujakoma maneno ya ovyo ovyo
@maryumamapunda1989
@maryumamapunda1989 4 жыл бұрын
Naona anaham ya kuchamba tena😃😃😃
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Mwaka wa mavuno huu!!!!!!!!!!!!
@mohamedifulass1222
@mohamedifulass1222 4 жыл бұрын
Wana ccm oyeeeeeeeeeeeee, maendeleo yako vizuli kwamweshimiwa jon pombe maguful
@tariqoman8568
@tariqoman8568 4 жыл бұрын
Ccm RAha
@abnizplatnumz5520
@abnizplatnumz5520 4 жыл бұрын
Baba lao
@thuvakonde2584
@thuvakonde2584 4 жыл бұрын
🇹🇿 amna upinzani n nchi ya chama kimoja mana hamna haki wala democracy kwa upinzani
@hamisimussa2228
@hamisimussa2228 4 жыл бұрын
Democracy ipi kwa kukosa kuwa na wasanii
@godfreymasele558
@godfreymasele558 4 жыл бұрын
Democracy ya kupombeka wizi uchochezi uongo uzushi chuki ubabe dharau mauwaji?
@sponsor7882
@sponsor7882 4 жыл бұрын
TEAM WCB HUYU
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Ni mlezi wa WC,kweli we beege
@salmaramadhan5386
@salmaramadhan5386 4 жыл бұрын
Hata mie naona
@mayungarichard7443
@mayungarichard7443 4 жыл бұрын
Mlitangaza kuja mabwepande leo hamjatokea why???
@annacarren9892
@annacarren9892 4 жыл бұрын
Jamani mmemuelewa Pierre 😂
@Mops9090
@Mops9090 4 жыл бұрын
Watuwekee wa harmonize bn
@beatusshirima2285
@beatusshirima2285 4 жыл бұрын
Hapo mondi mm sipo japo nakukubali
@robertkato5868
@robertkato5868 4 жыл бұрын
Imefanya mjafanya si ela zenu bali ni kodi za wananchi na ndio kazi yake kujenga na kuhudumia wananchi na ndio maana wananchi wanawajibu kulipa kodi. Tunachoitaji ni kuona umasikini wetu unaishi. Watanzania msindanganyike
@djgeorgekiller3617
@djgeorgekiller3617 4 жыл бұрын
Iyo song ni shida
@milomohamed7201
@milomohamed7201 3 жыл бұрын
Hii lini jamani hili fala si limepigwa na chini lakini? Maneno mengi bashite bana. Hao wanamziki wote ni mazwzwa tu kumbe ni walumumba? Shiiiit
@jazakamohamedi5181
@jazakamohamedi5181 4 жыл бұрын
Wananchi wote
@abdallayasin2850
@abdallayasin2850 4 жыл бұрын
Mpoo
@kiumanursingtv1647
@kiumanursingtv1647 4 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa mmmmh.....!!!
@easterjoachem5524
@easterjoachem5524 4 жыл бұрын
Mara pap on trend no.1😅😅wcb 4 lyf
@officialmrtop1018
@officialmrtop1018 4 жыл бұрын
Hahahah
@williamemmanuel8512
@williamemmanuel8512 4 жыл бұрын
Makonda reo
@foncetecelectricalandelect34
@foncetecelectricalandelect34 4 жыл бұрын
Pierre mjumbe wa kamati kuu 😅
@javamedia8870
@javamedia8870 4 жыл бұрын
Mh
@seasontv8137
@seasontv8137 4 жыл бұрын
Kura kwa maguful
@ezapesambili2130
@ezapesambili2130 4 жыл бұрын
Camera haichez mbali na Pierre
@shabanikallah1081
@shabanikallah1081 4 жыл бұрын
Mm binafsi sijawahi kuona kazi unayoifanya mpaka utakapo yafanya haya. Miundombinu ili mafuriko yasiharibu uchumi wa watu wako, acha Ombaomba waombe ila dili na Mateja, Makahaba na Vibaka ili jiji kiwe salama kwa watu wako.
@roselynnsungwe8272
@roselynnsungwe8272 4 жыл бұрын
Saf
@jacksonreuben3964
@jacksonreuben3964 4 жыл бұрын
Offer offer nunua au kopa mobisol solar watt 40,80,120,200 ikiwa pamoja na TV inch 21-43 na taa zake tukuletee hadi nyumbani pamoja na ufungaji ni bureeeeeeh wahi sasa offer hii ipo jirani kuisha.piga simu 0716777765
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 4 жыл бұрын
Mheshimiwa Makonda sisi wananchi wako wa Kimara Suka tunalia na Barabara ya suka kwenda Kinyelezi kwa kweli ni mbaya sana Mashimo makubwa yako barabarani na mvua zikinyesha kupita magari ni mtihani
@khalidballeth5957
@khalidballeth5957 4 жыл бұрын
Gambo🙄na huyo🤫kifuatacho kinafurahisha zaidi🚶
@erodeshayo8672
@erodeshayo8672 4 жыл бұрын
Kama nimemwona Pierre Jmn Dah Kweli
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 4 жыл бұрын
🐘🐘🐘🐘🐘🔥🔥🔥mnafata nyayoo tu
@liverpoolvsrangers2273
@liverpoolvsrangers2273 4 жыл бұрын
Ninachoona ni kama mkuu wa mkoa anataka kumgandamiza konde boy kama unaamini gonga like yako
@mwasimbega8712
@mwasimbega8712 4 жыл бұрын
Kabisaaa yanii hana sifa ya uongozii
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Noooo,mi mlezi wa WCB!
@yusrasalmin9563
@yusrasalmin9563 4 жыл бұрын
Tana Mwaigoga ni mlezi wcb
@yoshuasamwelbugumba2202
@yoshuasamwelbugumba2202 4 жыл бұрын
Mondo baba,lao
@nyangigelucas3050
@nyangigelucas3050 4 жыл бұрын
Pigeni hela wengine tunalala njaa uku
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Nenda na wewe ukajiunge usihofu
@errydeo8865
@errydeo8865 4 жыл бұрын
Chapa kazi ela ipo,bila hivyo utafilwa
@yoshuasamwelbugumba2202
@yoshuasamwelbugumba2202 4 жыл бұрын
Mondi baba,lao
@nindwakulwa9998
@nindwakulwa9998 4 жыл бұрын
Rayvanny kutalajia kutimka wcb kuanza lebo nayeye
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 4 жыл бұрын
Waimbe we lakini nyimbo za msimuo ni za Mr komba hao wengine janja janja weka komba uone hivo vifijo
@djmeza411a58
@djmeza411a58 4 жыл бұрын
Makonde usichague coz unampenda d waweke wote chage dogo Janja nawengine wengi sana beka fever utaaribu bro
Best Nasso - Chozi la mama (Official video)
3:20
Best Naso
Рет қаралды 867 М.
Rich Mavoko - Mapenzi (Official Music Video)
3:08
Billionea Kid
Рет қаралды 1,6 МЛН
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 29 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 11 МЛН
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
MrBeast
Рет қаралды 141 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 5 МЛН
Harmonize - Ushamba (Official Music Video)
3:21
Harmonize
Рет қаралды 7 МЛН
Stephen Kasolo - Bwana Usehemu (Official Video) Skiza 9037969
5:16
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 262 М.
Goodluck Gozbert- Simu (Official Video) For skiza SMS 7637215  to 811
3:47
Diamond Platnumz Ft Koffi Olomide - Waah! (Official Video)
4:29
Diamond Platnumz
Рет қаралды 160 МЛН
Who Is JD Vance? Why Trump Nominated Him for VP | WSJ
6:38
The Wall Street Journal
Рет қаралды 2,9 МЛН
Diamond Platnumz Ft Fally Ipupa - Inama (Official Video)
3:36
Diamond Platnumz
Рет қаралды 138 МЛН
Jux - Tanzania [Magufuli] (Official Audio)
2:15
JUX
Рет қаралды 181 М.
When You Get Ran Over By A Car...
00:15
Jojo Sim
Рет қаралды 29 МЛН