Hao wanaojiita wasiojulikana watajulikana tu na wanaowatuma watajulikana tu kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.
@AdamLameck-x5n3 ай бұрын
Mmmh
@rogersiddy3 ай бұрын
Mimi huwa nashangaa sana watu kumuona Makonda kama Mungu mtetezi wawanyonge anaigiza kulia jukwaani hovyo kbs
@joshuaswai82033 ай бұрын
Nakukubali sana mr chumvi watekaji watajulikana tu hii ni dunia ya kisasa
@asteriashios18523 ай бұрын
Hiyo inafahamika sana makonda ni inshu ingine kabisa hapa Anafichwa makucha tuu na pia anawenza kuwa amemrudia mungu Kwajili ya mambo makubwa magumu aliyokwisha yafanya hapo nyuma labda km kaomba Toba Kwa mungu la sivyo ni mtu hatari sana naomba mungu ambadilishe kiukweli mwoneni tuu hivyo kaeni chonjo kabisa
@betitympeleta96973 ай бұрын
Wakati wa mungu umeshafika
@zamberimturi55933 ай бұрын
Arobaini za Makonda zaja sasa u Mungu mtu kwishaaaaaa!!!!!
@HijaSaid-t6c3 ай бұрын
Kila jambo na Wakati, Makati ukuta Allah atulinde na wanaojulikana
@MikaLaizri2 ай бұрын
❤✌️✌️
@Gaynor12343 ай бұрын
Na abanwe mbavu. Alifanya hayo kweli. Sababu ya Uchawa kwa mwendazake. Leo anajifanya msafi!!!!!
@esthermakelemo28643 ай бұрын
Yani Salim kikeke wetu kabisa CHADEMA,paka Raha,Yani akiwa anaongelea maslai ya Wana CHADEMA,hata tukiwa tumeonewa,Yani anaonekana kabisa ameguswa,me nampenda Sana mwandishi wangu wa miaka yote SALIMU KIKEKE,mitano tena
Lunch time😂😂😂 mi naomba hii kesi iishe before uchaguzii watu matako yatapungua bila diet😅😅😂😂
@esthermakelemo28643 ай бұрын
😂😂😂
@djoe82663 ай бұрын
😂😂😂kama nawaona
@SAIDIMUKSIN-iy2op3 ай бұрын
Mbona hamuongei ya boss wenu
@jesaminzo3 ай бұрын
😂😂😂Hawa jamaa!
@GodfreyMakala3 ай бұрын
Kama watakamatwa waliohusika wakatwe tu nao wawajibishwe kumjibu wa sheria
@AngelProsper-u6e3 ай бұрын
Kushindana na makonda nihatar Kwa afyayako hata aliemwajili anamwogopa
@Gaetano643 ай бұрын
Pumbavu ww
@JohariBruno-o8i2 ай бұрын
Wacheni viongozi wetu wachape kazi,majungu si mtaji.
@christinenyagiro66623 ай бұрын
Makonda hakuna anayemchukia bali anajichukia yeye mwenyewe. Kama ni msaidizi wa watu kwanini wengine awatafute kuwauwa? Kwani Tundu Lissu hana wazazi? Hana familia na waliompenda na marafiki pia? Basi anawasaidia kwa yale yanayo msuta. Unajuwa ukifanya ubaya kwa watu. Mungu anakushitaki kiroho na huwezi kuwa na raha na upendo wa kweli bali
@MkudeSimba-p3f2 ай бұрын
Makonda ni shujaa hawezi kuacha kuchapa kazi kuwaendekeza wavivu ! Makonda ndio rais wetu mtarajiwa !
@AlexMlaba3 ай бұрын
Bashite hawezi kukanusha tuhuma zidi ya lisu
@rebekakulwa61593 ай бұрын
Asiyejulikana
@DJJIMYTZ3 ай бұрын
Nauza Baiskeli
@deodathsilayo36393 ай бұрын
Ilifika steji akipatikana ni bashite aliongoza kikosi atashtakiwa mahakama gani
@monicamwita78653 ай бұрын
Ya kimataifa siyo tanzania kwani hawatatenda haki
@SrsalvinaEmilian3 ай бұрын
Mungu mlinde na kumtetea Makonda wetu. Amefanya mema mengi kwa Watanzania. Muokoe na tuhuma hizi.( Viva Makonda).
@jesaminzo3 ай бұрын
mungu yupi huyo? Labda wa baali!
@LazaroJohn-n2l3 ай бұрын
Tulia sheria ifuate mkondo wake
@monicamwita78653 ай бұрын
Hebu jitafakari. Ni kwrli ametenda mema, kufanya jaribio la kutaka kuua unafikiri mungu2 Anapenda? Jitafakari kabla kusema lolote.
@HusseinSaguti-sj9nh3 ай бұрын
Ww ni mwehu
@Fesary2 ай бұрын
Si, u relax
@TadeiMwende3 ай бұрын
😂😂😂😂 kwenye kamera mmetishaa wazee
@LusiaThom3 ай бұрын
Uyo mwogo kabisa mara maadamani mara iki tumechoka nae mweed
@mwansasungafumbwa91163 ай бұрын
Kipindi chenu hiki ni bora sana kama hamtonujuliwa na serikali mtaisaidia sana NCHI
@pavillioncry52413 ай бұрын
We mussa changamka upo kimyaaa tuuu we vip
@inocentlukumay7673 ай бұрын
Msisahau ya P did you
@AmosSniper3 ай бұрын
Ukimkosakosa mtu kumua ndiyo dawa yake hiyo,, kuua siyo kuzur jaman
@eliahbukukumwaikuju74033 ай бұрын
Alisema ,kumbukeni nimemtaja mala3,
@RashidShinza3 ай бұрын
Lisu ni shetenitu ulusi au China au kolea mapema Chinja lanahiii kibalaka wama shoga samia hatahivyo anapambana sana makonda hana zambi
@fxmeddy95673 ай бұрын
Huyo makonda ana roho ngumu sana. Lisssu anatakiwa awemakini na huyo jamaa
@monicamwita78653 ай бұрын
Wameshindwa. Ulinzi Mungu Baba uko pamoja na Lissu. Kumbuka risasi 16 lkn yupo hai japo ameachwa mlemavu. Je aliye fanya mpango wa kutaka kumuua Lissu yuko wapi? Tumuogope Muumba maana hadhihakiwi.
@IvoFransis3 ай бұрын
Ww mwehu umeibukia wapi? Dpworld
@saluuhans3 ай бұрын
Camera camera 😂😂😂😂
@NuruJuma-zv3yz3 ай бұрын
Kwanza gazeti la mwananchi ni gazeti la kikenya lirudi kwao likaandike habari zao
@monicamwita78653 ай бұрын
Acha hizo
@peterjengela17703 ай бұрын
Vipi limekugusa sehemu gani mpaka ulichukie
@georgemaziku66102 ай бұрын
Mnaona Wivu na roho mbaya kwa nyota ya makonda.Badala ya kufanya ya kwenu mnahangaika na nyota ya Mtu.Lakini makonda katulia nyie kazi ya kupiga domo
@amouromar69433 ай бұрын
Tuko sawa
@festonjeleka59193 ай бұрын
kitenge😂😂
@rogersiddy3 ай бұрын
Chizi sana uyo anakazia sauti kbs😂😂😂😂😂😂🙌
@ClarenceHilaly3 ай бұрын
Makonda na mama yake wote ni wauwaji wanaojifanya ni watu wema
@colombanipaulo89533 ай бұрын
Sisi watanzania sijui tukoje lakin? Mtu anaigiza kuwa mtetezi wa wanyonge tunamwona malaiki weee!
@LovelyBrain-wz7si3 ай бұрын
Aende mahakamani kwani wasndishi wa habari ndo mahakama?
@Mtwaletv3 ай бұрын
Acheni uchochezi fanyeni kazi
@AdamLameck-x5n3 ай бұрын
Makonda ni mzito hawez kubabaishwa na mtu yoyote
@margarethpolepole74383 ай бұрын
Makinda ana nyota kali sanaaaa huyo atadumu sanaaaa
@AthanaseKiyoja3 ай бұрын
Mlio nyuma ya makonda sijuu malendi kusanyeni nguvu hili halina na uchawa.Makonda ni nani juu ya uso. Dunia?Kumbukeni walikuwepo akina Gadaff na akina Magufuli,wote tumemalizana nao..watu watapungua.woo woo za.
@mirroyjunior83483 ай бұрын
Zamazime badilika
@lovenesdickson18243 ай бұрын
Ivyo waliompiga lisu risasi ,walipatikana hata mmoja?
@MicahGhloloj-bs4cy3 ай бұрын
Walichoma watu moto ndani ya gari wamepatikana Ila wale walimpiga lisu aaaaaah😂😂😂😂
@LusiaThom3 ай бұрын
Liogo ilo
@rehemakimungu64943 ай бұрын
We kitenge mnoko sana,Inaelekea Makonda humpendi,Achana naye, Mungu atamlipa
@robertphilip3853 ай бұрын
Atampendaje asiejulikana?
@eliasmedutieki75783 ай бұрын
Aisee nyie hapo mmnamaliza watu
@LovelyBrain-wz7si3 ай бұрын
Makonda anadharau akili za lisu mwehu akikimbia na nguo zako ukimkimbiza wewe ndo mwehu
@Super-Casanova3 ай бұрын
📸📸📸📸📸😂😂😂😂😂
@ChibemchetoMchetoChibejr3 ай бұрын
Mwamwamwaaaaaa
@laurentndichaye14453 ай бұрын
Hakimu na mwanasheria nani mwamuzi wa kesi.
@starjay30523 ай бұрын
nenda wingeleza utamuona
@nafutarymajogoro303 ай бұрын
Kitenge, kitenge, watisha
@philemonnongu32223 ай бұрын
Atachomoka tu makonda labda sio msukuma wa mza igoma
@silvesterrichardhelenya13193 ай бұрын
We kalia Igoma kesi iko uingereza
@deokessy65963 ай бұрын
Wasafi nyie
@MrTop-wj7no3 ай бұрын
Makonda ataendelea kuwa Makonda mpaka Mungu amchukue maana yeye ndo alimpa Afya,Akili na vyeo anavyovipewa kwa sasa
@robertphilip3853 ай бұрын
Kwani wengine wanachukuliwaga na nani?
@MsAggie53 ай бұрын
Hamna lolote! Mlimchukia Makonda kwa kuwa mnamchukia Magu, hakuna ushahidi wowote utakao mwingiza Makonda kwenye hiyo kesi ya Lisu
@ramadhanchenga46063 ай бұрын
Mmmmmh ngoja tuone
@NuruJuma-zv3yz3 ай бұрын
Makonda hawezi jibu vichaa, sababu hata hizo habari za hayo magazeti zimelipiwa na lisu ili Wananchi wamwonee huruma, magazeti ya michango tu
@liberatusjackson50453 ай бұрын
Ww nmanamke 😂😂😂😂😂😂😂tulia ukapike2 hayo niyetuu
@AdamLameck-x5n3 ай бұрын
❤
@mlamilainvestment41423 ай бұрын
Tulia 😂
@JamesSichimata3 ай бұрын
Lissu anatapatapa kila akiagizwa na waberigiji anakuja kukomalia tz
@dionismutayoba35423 ай бұрын
Wewe fara hujitambui kesi iko London habari ya uberigig inatoka wapi?Su unaota
@norahfrank3 ай бұрын
O brain ni wengi mno huku@@dionismutayoba3542
@JamesSichimata3 ай бұрын
@@dionismutayoba3542bora wewe mjanja uliyepeleka kesi uingereza
@OmarSeafood3 ай бұрын
Siku likikukuta
@willymwaipaja67832 ай бұрын
Anaebeza ajiulize kama angekuwa yeye au ndugu yake
@clemencemkondya85613 ай бұрын
Hachomoki kwalipi Tundulisu hana hoja huyo aliishachanganyikia .Acheni uchochozi hampendezi kabisa
@liberatusjackson50453 ай бұрын
Unapokua na uml40..😂😂😂😂jitaidiii kuwa na Akili maana bado kidogo utaitwa baba mkwe ...afu kichwanii maviiii kwanii ww huijuii ataa hakiyako😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤣
@MasterTulo3 ай бұрын
😂😂bila kujua anampandisha nyota makonda maana kawaida mtu akiongelewa sana hata kwa mabaya nyota inawaka
Kitenge wewe ni mtu unae kubalika sana na jamii. Ila kitendo chako cha kumchafua makonda hakikubariki. Kwani hakuna habari nyingiine ukasoma? wewe kitenge. Unachuki binafsi na makonda? Mnyika anatafutwa na polis kwa tuhuma za ali kibao wala hushadadii.
@rajabumtuga73723 ай бұрын
Dah. Wew jamaa cjui nakuonaje. Ngoj nikae kimya nisije kuuwawa
@RashidShinza3 ай бұрын
Nimeamini wajinga niwengi kuliko timamu lisu nilana tena pepo lipotezwe linatumwa nawazungu kuhalibu nchi yetu mbona ushoga aupigii kelele au madin kama zahabu zinabebwa
@JuliusWandwi2 ай бұрын
Katika wajinga Tanzania hii wewe ndo unaongoza akili huna .
@mwanaidchande91803 ай бұрын
Mti wenye,matunda ndiyo unapigwa mawe.
@robertphilip3853 ай бұрын
Matunda yenye sumu siyo
@KopiscoIsaya3 ай бұрын
Lisu Hana swaga.mfamaji hakosi kutapatapa.
@chazy7ya2163 ай бұрын
Lisu chali akuna kitu yani hanaswaga tena imebaki kujikomba nawazunguutuu tuone
@robertphilip3853 ай бұрын
Hivi wewe kenge unafaidika nini? Lisu angelikua ndugu Yako kafanyiwa hivyo ungefurahi? Hebu kuana hofu ya Mungu
@YHWHYAHWE3 ай бұрын
Lissu hana sera, kwa kifupi ni mfa maji tuu,
@aairraahseif56483 ай бұрын
Ndio lkn haimaanishi washambuliwe hii tabia ya kushambuliaa kuteka na kuuwa hii inaonesha madhaifu ya Chama na serikali! Kama waoga hivi ktk siasa,kuteka kuuwa siungi mkono itumike ktk siasa zetu, Vyama vijiamini tu
@Gdjn9743 ай бұрын
@@aairraahseif5648 yan watu washnde ushnd wao lakn si kuuwana wala kutekana af hak pia itendeke huyu lissu walitka afe iyo sio hak ni mungu pekee mwenye uwezo wa kuamua uish au ufe na s mwanadam apo CCM walifel
@zainajirani52963 ай бұрын
Hongera una akili timamu @@aairraahseif5648
@FrankNzombo-k3j3 ай бұрын
Lisu ni Simba wa taifa
@juliusmix3 ай бұрын
Kuna wakati unashindwa hata kuelewa kuwa watu wana akili mbovu kiasi gani. Mtu alipigwa Risasi mchana kwenye eneo maalumu... Leo hajatajwa hata mhusika mmoja halafu unasema ni mfa maji?