MAKONDA na MKEWE WALIVYOBAKI HOI KWA VICHEKO SHOO ya PROFESA HARMO - PASTOR TONY NAYE HOI...

  Рет қаралды 199,950

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAKONDA na MKEWE WALIVYOBAKI HOI KWA VICHEKO SHOO ya PROFESA HARMO - PASTOR TONY NAYE HOI...
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 166
@mtalimaaloyce7860
@mtalimaaloyce7860 Ай бұрын
Hamo ni mchekeshaji anaejua mambo kwanza anaakili sana, mda mwingine anaelimisha harafu anachekesha, congra
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 Ай бұрын
Very Talented
@ROMANMROSSO
@ROMANMROSSO Ай бұрын
Anafanya research ya kutosha
@FintanMkeshi
@FintanMkeshi Ай бұрын
Kwenye comedy Kenya hatuwawez big😮 up sana
@MwalimuImani-ep4py
@MwalimuImani-ep4py Ай бұрын
Standup comedy yote tumeiga kenya tena Churchill uliza kina pilipili na dogo pepe, ndo hata nalimi anatafata miondoko ya Ayeiya poa poa (Emmanuel Makoti)
@shukurukwake7447
@shukurukwake7447 Ай бұрын
Wapo vizuri Sana🎉🎉
@nolongeratease7583
@nolongeratease7583 Ай бұрын
Hawa comedians sio Tanzanians, Sikiza kiswahili.
@ogunaylan
@ogunaylan Ай бұрын
​@@MwalimuImani-ep4pyHaelewi mueleweshe
@riddi676
@riddi676 Ай бұрын
Mmeingia kwenye watubaki? Wabongo hatupendi kukubali vya kwetu 😅
@PendoNaftal-o1b
@PendoNaftal-o1b Ай бұрын
Mheshimiwa Makonda kazi nzuri kuwakutanisha watu,Barikiwa
@oscarkanyita2127
@oscarkanyita2127 Ай бұрын
Makonda anajua
@pallangyodaniel8918
@pallangyodaniel8918 Ай бұрын
Ni kuchekesha lakini kuna HESHIMA ya MUNGU imeonekana Sana sana PT WE LOVE YOU GOD BLESS YOU MORE
@4custaywithme
@4custaywithme 29 күн бұрын
NISHAONA
@pallangyodaniel8918
@pallangyodaniel8918 29 күн бұрын
@4custaywithme 🤙
@denisjohn1719
@denisjohn1719 Ай бұрын
Makonda ni Kiongozi mzuri mno ! Arusha inakua ya kimataifa zaidi
@dadychaps7527
@dadychaps7527 Ай бұрын
Hii Band team, bado wako polepole sana. Churchill leta ile team yako wapate ujuzi kiasi.
@princemogesa20
@princemogesa20 23 күн бұрын
Ni kama hawajui hii mambo
@SauliBasso
@SauliBasso Ай бұрын
Makonda is the best 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@StadiusKamugisha
@StadiusKamugisha Ай бұрын
Prof, waga namukubali sana.
@GodifreyWarioba
@GodifreyWarioba Ай бұрын
Mh Makonda nakuona mbali sana siku zijazo Mungu akutangulie
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Ай бұрын
Aliyepiga Lissu na wengine risasi atafika mbali
@benardmapuga4737
@benardmapuga4737 Ай бұрын
Ukiambiwa utoe ushahidi utaweza? Mitandao isikuharibie maisha
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Ай бұрын
@benardmapuga4737 Ushahidi wa jinsi alivyopanga mauaji hayo akifikia Hotel ya The African dream Hotel iliyo jirani na eneo la tukio area D Dodoma kwa kushirikiana na mtandao wa tigo uliotumika kum locate Lissu wiki moja kabla vimewasilishwa Mahakama ya Kimataifa London. We jifanye hujui kinachoendelea. Ushahidi mwingine wa kimazingira siku hiyo Makonda hakuwepo ikulu wakati JPM alikuwa anaapisha watu ikulu. Sambamba na hilo JPM alijikuta neno limemtoka wakati akihutubia akasema watu km Lissu dawa yao huwa ni risasi tu. Muda mfupi baadaye tulisikia Lissu kapigwa.
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Ай бұрын
​@@humphreymwihambi4330sasa wewe unabishia mawazo ya wengine
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Ай бұрын
@@benardmapuga4737 jibu langu uliliona jana bila shaka.
@saidkhalid6745
@saidkhalid6745 Ай бұрын
Prof.Hamo The KING🎉..... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@DanielMulimba-g4w
@DanielMulimba-g4w Ай бұрын
Mimi nampenda sana makonda kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉❤
@qwirinishao1003
@qwirinishao1003 Ай бұрын
My best comedian 👏👏
@dalilaabdulkarim4458
@dalilaabdulkarim4458 Ай бұрын
Mr makonda mashallah kwa kanzi yako .
@mwakiosalim2914
@mwakiosalim2914 Ай бұрын
Hamooo utatuua na kichekooo😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤
@malaikajabali-oj2fh
@malaikajabali-oj2fh 28 күн бұрын
Hio kasabuni kashetani 😂😂😂
@MartinMadimilo-z6w
@MartinMadimilo-z6w Ай бұрын
Jamaa harudii jokes huyu ni zaidi ya comedian
@musakihengu7436
@musakihengu7436 10 күн бұрын
Mkondo is a good leader
@shukurukwake7447
@shukurukwake7447 Ай бұрын
Professor Hamo Ametisha Naona Nimecheka kuliko walio hudhuria hapo😂😂😂😂
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Ай бұрын
Kwayote mema yaliofanyika apo makonda apewe 🌹🌹🌹 siyo jambo lakawaida
@Vegasboy254
@Vegasboy254 Ай бұрын
Huu upuzi wa wakenya na watanzania kutukanana inafaa iishe kabisa 😊
@ewm4266
@ewm4266 Ай бұрын
Ubishi ni ya mitandao tuu, kwa ground vitu ni different... don't take it to heart
@ronaldmwandoto7353
@ronaldmwandoto7353 29 күн бұрын
Hapana...bila matusi hamna upendo huku😂
@PaulKerore-v3p
@PaulKerore-v3p Ай бұрын
Makonda is the best
@dkensmopainvevo3683
@dkensmopainvevo3683 Ай бұрын
Watanzania wangali nyuma saana kwenye comedy yaani unalipia kiingilio alafu kucheka hutaki😂
@gulledahmed2954
@gulledahmed2954 27 күн бұрын
😂
@dalilahmubago5131
@dalilahmubago5131 Ай бұрын
Amen 🙏 hongera sana. Unajua kuchekesha
@ibrahimally1126
@ibrahimally1126 Ай бұрын
Huyu mwamba anifurahisha sana
@Jer74
@Jer74 Ай бұрын
😂😂😂Hamo wetu never disappoints😂😂
@SaidRajabu-x5t
@SaidRajabu-x5t Ай бұрын
Salut to professor Hamo
@JoachimLema-o5y
@JoachimLema-o5y Ай бұрын
Mungu kakupa kibali mkuu
@aulearthur3399
@aulearthur3399 Ай бұрын
I wish I was to this show
@tommillia7816
@tommillia7816 Ай бұрын
Professor Hamo hata kabla haja Anza ku ongea una Cheka tuu..😂
@MapenziMape-p8r
@MapenziMape-p8r Ай бұрын
Wakenya wanajua kutafuta pesa jamani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊
@Silab-g5o
@Silab-g5o Ай бұрын
ikifika ni mboka huwa hatubahatishi😂😂
@arkei4003
@arkei4003 Ай бұрын
Hatuchelewi 😂😂
@muhatia_johnny
@muhatia_johnny 26 күн бұрын
Sio wakenya,kuna kabila moja tu kenya laitwa kikuyu,linashinda makabila yote 46 kwa kutafta hela😂
@danielekakoro5265
@danielekakoro5265 26 күн бұрын
Kwanza huyo ni mkikuyu
@fredkangethe7497
@fredkangethe7497 24 күн бұрын
​@@muhatia_johnnykumbe Tanzania mwatujua sisi wakikuyu?!
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 Ай бұрын
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ni vile hakuna kizuri kisicho na kasoro. Ilivyo Arusha ndivyo inaweza kuwa Tanzania, Mungu ambadilishe mapingufu yake.
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 Ай бұрын
Sahihi MAKONDA NI KIONGOZI KATIKA VIONGOZI NCHI HII
@tsmedia.
@tsmedia. Ай бұрын
Kwenye Komedian ndg zang kenya Skhamoni😂😂😂
@gulledahmed2954
@gulledahmed2954 27 күн бұрын
Marahaba ndugu jirani zetu wa jamhuri tukufu la Tanzania
@tsmedia.
@tsmedia. 27 күн бұрын
@gulledahmed2954 😂😂🙌🙌
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 Ай бұрын
KUNA MDA HUWA NATAFAKARI MAKONDA AJE KUWA MBUNGE ENEO NILIPO KISHA WASIMPE UWAZIRI KWANZA MIAKA 5 YANI AWE JIMBONI TU. KISHA ATEULIWE KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MIAKA 2, KISHA WAZIRI WA ULINZI NA JKT 3 NA KISHA WAZIRI MKUU MWAKA MMOJA TU NA KISHA AJE AISHIKE NCHI AISE.🇹🇿✅🕓
@SophiaSaid-c6u
@SophiaSaid-c6u Ай бұрын
😂😂😂😂😂❤ ndoto yako kamayangu
@cloudngoko.2679
@cloudngoko.2679 Ай бұрын
@@SophiaSaid-c6u kabisa kila binadam tunamapungufu yetu kikubwa mzani tunao wenyewe ila kwa Makonda natamani itokee soon.
@gabrielnyambu8287
@gabrielnyambu8287 Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 damn! The kasongo part is leaving me in stitches 😂😂😂 its our president, though 🇰🇪 🇰🇪
@gulledahmed2954
@gulledahmed2954 27 күн бұрын
😂
@aritavincent6090
@aritavincent6090 28 күн бұрын
Respect prof hamo
@aloyce6583
@aloyce6583 Ай бұрын
Hata vichekesho ni culture na customs...hivyo usipojua lugha ya mahali vizuri utakuta watu hawacheki.
@dariusmwandembo9689
@dariusmwandembo9689 Ай бұрын
very true
@abdulaziz703
@abdulaziz703 Ай бұрын
Prof Hamo best of all times 😂😂😂
@johnsonrwige7234
@johnsonrwige7234 Ай бұрын
Kujeni goma congo 🇨🇩 na kigali 🇷🇼 piya😅😅😅
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Ай бұрын
Perfecte swahili.
@dalilahmubago5131
@dalilahmubago5131 Ай бұрын
Amen 🙏
@Rumbakweka
@Rumbakweka Ай бұрын
Uyu kashajua cod za watanzania nikuchukua hela tuu Kamfilisi ad manguruwe😅😅😅
@Rose-c5f
@Rose-c5f Ай бұрын
Kenya never disappoint, wakenya na pesa
@josiacharles2778
@josiacharles2778 Ай бұрын
Hooi mchungaji pole 😂😂 wasirika wako apa
@jimwafula4733
@jimwafula4733 Ай бұрын
Umesema umetenga na haujatutengea😂😂😂😂 prof. Hamo Ruto atakubeba 😂😂😂
@tatuKapilimba-ds2jf
@tatuKapilimba-ds2jf Ай бұрын
Talented
@BARAKAKAZUNGU-y6i
@BARAKAKAZUNGU-y6i Ай бұрын
Hio band inawaangusha bana churchil
@eligiusedmund3187
@eligiusedmund3187 Ай бұрын
Ukimtazama shemeji yetu yaan mke wa mkuu wa mkoa utaelea nn maana ya furaha na amani moyon
@RichardWaita
@RichardWaita Ай бұрын
Kenyans could not crack jokes in English while in Tanzania for obvious reasons. The fact remains Kenyans are good in-jokes.
@dennisevarist
@dennisevarist Ай бұрын
Prof harmo bado yupo onfire, Erico saizi ameishiwa contents 😂😂😂
@westcijosh
@westcijosh Ай бұрын
Na sometimes ana fress style
@KevinYongo-o2u
@KevinYongo-o2u Ай бұрын
Erico is on another level
@dennisevarist
@dennisevarist Ай бұрын
@KevinYongo-o2u it's not true
@abelsamaki9426
@abelsamaki9426 27 күн бұрын
Kasongo noma saaana
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo Ай бұрын
Hapo kiongozi umeongea utumbo kama utumbo wà kenge,hutufai kuongoza kwa Nini msijenge kiwanja kikubwa kwani hatuji kuongezeka nasi tunazaa watoto,
@hosseasimon3887
@hosseasimon3887 Ай бұрын
Prof🎉🎉
@harvestarmudidi1465
@harvestarmudidi1465 Ай бұрын
The way Kenyan comedians are trying not to crack a joke in English in Tanzania sounds stressful to them
@petergeorge7757
@petergeorge7757 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@marikwilliam9886
@marikwilliam9886 29 күн бұрын
Congrats hamo❤🎉😂😂😂😅
@abelsamaki9426
@abelsamaki9426 27 күн бұрын
Watanzania hiyo kasongo hapo inamaana kubwa Sana huku kenya
@dalilahmubago5131
@dalilahmubago5131 Ай бұрын
Aje Dar.
@eliasmapesa
@eliasmapesa Ай бұрын
Diamond anawahemesha sana kenya .
@NoelChambo
@NoelChambo Ай бұрын
Mngemleta na Salvadoo wa Uganda
@ochycyber9457
@ochycyber9457 Ай бұрын
Stand up comedy ya Prof. Hamo imeenda down sana these days
@dennismusila87
@dennismusila87 27 күн бұрын
Jokes ziko dry yo!!!
@WilliamOnyinkwa-mu4qz
@WilliamOnyinkwa-mu4qz 28 күн бұрын
Live band wa tz hawajajua kazi chenye wanajua ni choir ndio wanatushinda wakenya
@peterjanuary429
@peterjanuary429 Ай бұрын
Harmo my guy 😅😂
@willynyambok1568
@willynyambok1568 Ай бұрын
Ukiona kdf inamwalika ako sawa
@adammponzi-i5r
@adammponzi-i5r Ай бұрын
Pongez sana kwa waandaji maana japo htupo lakni tumeshiliki
@hijasalehe3098
@hijasalehe3098 29 күн бұрын
Duuu "ye amekazwa", hapo hadi Mh kacheka!
@KENTV11123
@KENTV11123 Ай бұрын
Pesa muhimu
@RajabMagoiga
@RajabMagoiga Ай бұрын
Content creator
@AfricanVictor
@AfricanVictor Ай бұрын
what do you mean?
@ndetaulwapallangyo8408
@ndetaulwapallangyo8408 Ай бұрын
I don't understand why do we brought over people of Kenya here! I stand out Tanzanians?
@IanMusamba
@IanMusamba Ай бұрын
I don't blame you!!!
@visitDar2011
@visitDar2011 Ай бұрын
worry out payment was peenut though .. this was act of reconciliation.
@everlineodera6444
@everlineodera6444 Ай бұрын
Why do we bring not brought. So we come to teach u that’s why we are brought 😂
@Shishinaya1554
@Shishinaya1554 Ай бұрын
​@@everlineodera6444😂😂😂😂
@EstherblessingNjoki
@EstherblessingNjoki Ай бұрын
You are kasonga
@MariamuMtinda-i8q
@MariamuMtinda-i8q Ай бұрын
Huyu mwamba katisha kwa maokoto😂
@MartinMadimilo-z6w
@MartinMadimilo-z6w Ай бұрын
Huyu jamaa ni hatari
@theupperroom254
@theupperroom254 Ай бұрын
The band led prof down . Professor is good with standby music. The band is dull. But it was good
@kenindula7319
@kenindula7319 Ай бұрын
At first they played off key yet its a very common song
@mwanaishadhuluma6053
@mwanaishadhuluma6053 Ай бұрын
Kikuyu wanajua kutafuta pesa
@FrancisOguta-xk5bt
@FrancisOguta-xk5bt Ай бұрын
Eric siku hizi amingilia uwana harakati hadi amesahau kazi yake ya uchekeshaji
@mambilib9284
@mambilib9284 18 күн бұрын
😅😅😅
@KinyoroDominic
@KinyoroDominic Ай бұрын
Ajaribu kenya awapee mic ......
@ibravicky
@ibravicky 22 күн бұрын
Border 😂😂😂
@diegomontenego5158
@diegomontenego5158 22 күн бұрын
Hamo mungu anakuonaa Ukweli huu asee
@SophiaMakweta
@SophiaMakweta Ай бұрын
Ati amekazwa??😂😂😂 Amebanwa 😂😂
@saidissa1278
@saidissa1278 Ай бұрын
😂😂😂❤❤❤❤❤
@willynyambok1568
@willynyambok1568 Ай бұрын
Aki Enyewe chiwawa NI chemu
@EdwardSimon-t8o
@EdwardSimon-t8o Ай бұрын
bila wakenya kumtaja diamond hawa ridhiki
@josephjumaone
@josephjumaone Ай бұрын
Diamond kioo cha jamii
@frankdzombojun1343
@frankdzombojun1343 Ай бұрын
It’s a way of promoting him as a brand.
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 Ай бұрын
Acha chuki binafsi tatizo la watanzania kila kitu mnaweka moyoni mpaka unaumia.
@walenisi9278
@walenisi9278 Ай бұрын
Bila Diamond kutajwa,watz hawaridhiki
@adamskainga6056
@adamskainga6056 Ай бұрын
Pdidy kashaa muinua
@johnsonrwige7234
@johnsonrwige7234 Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@georgenduuru
@georgenduuru Ай бұрын
Yani kuna watu izi jokes zinawabamba weh
@petergeorge7757
@petergeorge7757 Ай бұрын
Eeeh
@alexmusyoka2261
@alexmusyoka2261 Ай бұрын
Cogtrs😂😂😂😂
@amirlehao8945
@amirlehao8945 Ай бұрын
Arusha upinzani hawana chao kabisa
@mariamsaid2014
@mariamsaid2014 Ай бұрын
Such a boring crowd 😅😅😅 weeeh
@amirlehao8945
@amirlehao8945 Ай бұрын
Kwenye hii show mond ametajwa saana aise
@ajuwazaglodim7645
@ajuwazaglodim7645 Ай бұрын
Hamo mbona haukusoma IN MY BOOK!!?
@tonniemwafrika6679
@tonniemwafrika6679 Ай бұрын
Kaeni uko huku Labda mchekeshe kasongo
@jackiejoshuantinyari4725
@jackiejoshuantinyari4725 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@abdulazizamani8103
@abdulazizamani8103 Ай бұрын
Tanzanian's hawachekagi hata sijui kwanini wanaendaga shows 😂
@nyotasingers
@nyotasingers Ай бұрын
Ni jokes za Kenya wanang'ang'ana kuelewa. Usiwahukumu
@abdulazizamani8103
@abdulazizamani8103 Ай бұрын
@nyotasingers 😆 alright
@tanzaniadigitalacademy4813
@tanzaniadigitalacademy4813 Ай бұрын
Hawaskii kiinglishi alafu hawajui kama hao wachekeshaji wako kazini na kucheka ndio mafanikio ya kazi yao
@michaelngoda5933
@michaelngoda5933 Ай бұрын
Hivi kwenye shoo hiii arusha yule kipenzi Cha willy alikuwepo yule asietaka watanzania waheshimiwe kenya na wasilipwe vizuli
@georgedosela4945
@georgedosela4945 Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣
@josephgomalo41
@josephgomalo41 Ай бұрын
Sichokagi kumsikiliza Professor Hamo.. jamaa anajua mpaka anakera! Lmao..!
@jimwafula4733
@jimwafula4733 Ай бұрын
The band was not well planned
@dalilahmubago5131
@dalilahmubago5131 Ай бұрын
😂😂😂😂
@JewsJews-c8w
@JewsJews-c8w Ай бұрын
Makonda cannot go anywhere hawezi kwenda kokote, everything you see from him is fake Before nilikua najua hivo hata nikawaza awe raisi nilipo jua anafake nilimuomba Mungu ayafute maombi yangu
@paulongigwa2124
@paulongigwa2124 Ай бұрын
Acha wivu wewe, utafaidika nanini?
@paulongigwa2124
@paulongigwa2124 Ай бұрын
Acha wivu wewe, utafaidika nanini?
@stevendaudi39
@stevendaudi39 Ай бұрын
Fake ya nyoko
@erickrugabela7747
@erickrugabela7747 Ай бұрын
Wew utaenda wap
@fariarizaq7528
@fariarizaq7528 23 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@KnightShilwatso
@KnightShilwatso Ай бұрын
😂😂😂
@Dj2nyi
@Dj2nyi 26 күн бұрын
😂😂😂
DAKIKA 5+ ZA ELIUDI ZAMCHAPA MAKONDA - AMVUNJA MBAVU RC - UTAPENDA....
6:23
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
NDARO KAMCHOMEA STEVE TENA AYAAA
12:27
Steve Mweusi
Рет қаралды 551 М.
THE REASON WHY LUO CANNOT LIVE IN SIOKIMAU. BY: MC JESSY
20:52
Churchill Television
Рет қаралды 466 М.
HARUFU MBAYA INAHARIBU UJASIRI WA MWANAUME KATIKA NDOA "PASTOR MGOGO
22:40
Pastor Daniel Mgogo
Рет қаралды 243 М.
UTACHEKA VINNIE BAITE NA STEVE MWEUSI KIMEUMANA
10:27
Mweusi Family
Рет қаралды 2,5 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН